My fiancee who was HIV+ now tested HIV-

My fiancee who was HIV+ now tested HIV-

Unajua kwamba HIV inapatikana ktk Maji Maji yenye damu sasa kama hupigi show za kibabe unapataje HIV ni check 0769745533 nakupa tiba ya Hiyo kitu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hapana ingekuwa hivyo kungekuwa hakuna haja ya kupima CD4 kila baada ya miezi 4 maana wanaangalia ongezeko la Kinga hizo kama za shuka ama za panda
Inasemekana ukitumia ARV kwa muda mrefu (au njia yoyote ya kuongeza CD4, hata kupitia chakula) ukipima unaoneka huna virusi

Lakini ukweli unabaki virusi vinakuwepo tu
 
Virus wanakwepo ktk borne marow hawaongezeki kwa maana ya kuzaliana kwa kuwa Kinga ako imeimarika kama kabla ya kuugua
Inasemekana ukitumia ARV kwa muda mrefu (au njia yoyote ya kuongeza CD4, hata kupitia chakula) ukipima unaoneka huna virusi

Lakini ukweli unabaki virusi vinakuwepo tu
 
Hapigi show za kibabe hadi michubuko Mkuu ,yani unaeza toka na Mtu HIV positive bila show ngumu na unakuwa poa tu ila ikitokea ana magonjwa ya zinaa unaweza ambukizwa tu
Yah, my brother anaishi na mke wake hiv+ kwa miaka mitatu sasa, ila yeye hana na kila akipima, hawavikuti.
 
Hapigi show za kibabe hadi michubuko Mkuu ,yani unaeza toka na Mtu HIV positive bila show ngumu na unakuwa poa tu ila ikitokea ana magonjwa ya zinaa unaweza ambukizwa tu
Ulichosema ni kweli. Bro ni mlevi, so ninachohisi jamaa huwa anapiga kimoja tu cha haja na kulala, hapa michubuko haiwezi kutokea.
 
Ulichosema ni kweli. Bro ni mlevi, so ninachohisi jamaa huwa anapiga kimoja tu cha haja na kulala, hapa michubuko haiwezi kutokea.
Kipindi sijui kama mpenzi wangu yu HIV+ nilikuwa napiga show za kibabe sana mpaka kupata michubuko. Sometimes nilikuwa napiga hata akiwa bleed ila bado sikupata maambukizi. Hii kitu ilinishangaza sana, kwanini sikupata maumbukizi kipindi kile maana hadi mboo ilipata sugu sababu ya michubuko.
 
Hoja yako kubwa unayotumia kuwakosoa wengine kwamba HAKUNA MUNGU ni kwamba haonekani,Je, wewe umeshawahi kumwona HIV?

Hujawahi kumwona HIV lakini unaamini kwamba yupo.Kama huyo ARVs zimefanya virusi viwe vichache kiasi cha kutoonekana,kwanini isiwe hivyo kwa watu wengione wengi?

Nalikua naenda kumtwika hayo maswali, asante
 
Yah, my brother anaishi na mke wake hiv+ kwa miaka mitatu sasa, ila yeye hana na kila akipima, hawavikuti.

Aksante sana mkuu...

Ninachotaka mimi ni watu wajue kwa lazima hata kama hawataki kujua,kwamba huko mitaani mambo kama haya unayosema ni mengi sana ingawa watu wanayafumbia macho aidha kwasababu ya ubishi ama ujinga tu.

Nashukuru kwa kutuletea ushuhuda mwingine.Najua shuhuda ziko nyingi sana huko mitaani,ni suala la watu kufuatilia tu.
 
Upungufu wa Kinga mwilini usababishwao na Ngoma ni hatarii mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Acha ukimwi ubaki kuwa ukimwi
Angalia hata unavyoandika ndio utaona kwamba hujui unachokiandika....

"upungufu wa kinga usababishwao na ngoma" ndio ugonjwa gani?
 
Kuna watu hawawezi pata Ukimwi kabisa.. Cell zao hazina markers special kwa ajili ya HIV...!![emoji2089][emoji2089]

Theory yote kuhusu HIV/AIDS ni wongo mtupu.....sasa wewe hata hiyo theory yenyewe ya wongo pia hujaielewa...hujui hata tofauti kati ya HIV na AIDS.

Watu kama wewe ni vigumu sana kuwaelewesha vinginevyo,kwakua hata basic knowledge tu hamna.
 
Tulia kijanaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekaa CTC mwaka mzima unaniambia nini???? Kiufupi utofauti kati ya Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi na kuumwa ukimwi upo lakini usije kufananisha Upungufu wa kinga usababishwao na vimelea vya HIV na upungufu wa kinga ya mwili usababishwao na magonjwa mengine..dawa au stress

USIFOSI UKIMWI KUWA KITU CHEPESI KIJANA...!
 
Angalia hata unavyoandika ndio utaona kwamba hujui unachokiandika....

"upungufu wa kinga usababishwao na ngoma" ndio ugonjwa gani?
Ngoma ni HIV kijana...!! Mbona unapagawa sana unao nini...[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Theory yote kuhusu HIV/AIDS ni wongo mtupu.....sasa wewe hata hiyo theory yenyewe ya wongo pia hujaielewa...hujui hata tofauti kati ya HIV na AIDS.

Watu kama wewe ni vigumu sana kuwaelewesha vinginevyo,kwakua hata basic knowledge tu hamna.
Sasa mkuu sisi wenye ndugu ambao wanatumia ARV tufanyaje kuwanusuru wawe wazima wa afya
 
Kwa nchi zetu kiukweli kipimo cha H.I.V bado hakipo!

Kwenye hiyo scenario what l can comment; is either mwili wa huyo mkeo umeacha kuzalisha antibodies zinazopambana na virus, kumbuka hivi vipimo vinapima antibodies reaction na siyo virus.
 
Sasa mkuu sisi wenye ndugu ambao wanatumia ARV tufanyaje kuwanusuru wawe wazima wa afya
Kuna utaratibu wa kufuata wanaweza kuacha ARVs,sio ghafla tu.Wapo wengi tu wameshaacha kutumia hizo sumu miaka mingi tu na hawana hata dalili kwamba kesho wataugua.
 
Kuna utaratibu wa kufuata wanaweza kuacha ARVs,sio ghafla tu.Wapo wengi tu wameshaacha kutumia hizo sumu miaka mingi tu na hawana hata dalili kwamba kesho wataugua.
Ndo mkuu tupe huo utaratibu wa namna wanaweza yakuacha ili nimuokoe ndgu yangu
 
Back
Top Bottom