My fiancee who was HIV+ now tested HIV-

My fiancee who was HIV+ now tested HIV-

Ukitaka ujue kuwa huyo bado anao mwambie aache kutumia ARV walau kwa wiki moja tu, utaona mziki wake! Then uje utupe mrejesho
Sio suala la majaribio, We can't take that risk now while she has a baby already in her belly. Usalama wa mtoto kwanza.
Guys let's take this topic very serious mnajua kwanini nasema hivi? Hata sisi ambao bado tu wazima so long as tunapima kila siku basi changamoto hii inaweza pia kutukuta, hapa kuna issue ambayo ni very technical, imagine leo unaenda kupima kwa vipimo hivi hivi vilivyoleta mkanganyiko ulionifanya kuanzisha hii mada, then unaambiwa you are HIV+ nadhani kila mtu anajua stress za hiyo habari, ukaamua kufata ushauri wa wataalamu wa kuanza kutumia ARV kila siku ili kufubaza virusi, miaka kadhaa baadaye ukaja kupima ukaambiwa you are HIV- tena kwa vipimo vilevile. Very contradicting mazeeeee
 
Never trust everything written on JF.Ogopeni kufakamia mademu au wanaume ambao hauwaamini, au unaona mazingira ya ngoma yapo.Ukimwi upo na unaua.
 
Sio suala la majaribio, We can't take that risk now while she has a baby already in her belly. Usalama wa mtoto kwanza.
Guys let's take this topic very serious mnajua kwanini nasema hivi? Hata sisi ambao bado tu wazima so long as tunapima kila siku basi changamoto hii inaweza pia kutukuta, hapa kuna issue ambayo ni very technical, imagine leo unaenda kupima kwa vipimo hivi hivi vilivyoleta mkanganyiko ulionifanya kuanzisha hii mada, then unaambiwa you are HIV+ nadhani kila mtu anajua stress za hiyo habari, ukaamua kufata ushauri wa wataalamu wa kuanza kutumia ARV kila siku ili kufubaza virusi, miaka kadhaa baadaye ukaja kupima ukaambiwa you are HIV- tena kwa vipimo vilevile. Very contradicting mazeeeee
Hapo sumu za ARV zishaharibu mwili muda mreefu unakuja ambiwa u are -Ve,dadeki.
 
Unatumia Prep??
Hapana mkuu situmii Prep na wala sijawahi kufikiri kuitumia, kimsingi Prep ni jamii fulani tu ya ARV. Kama ningekuwa na wasiwasi wowote kwamba mpenzi wangu huyu hatumii dawa vile inapaswa let say anaruka siku kadhaa hajameza au hamezi dawa kwa wakati......hayo ndio yangekuwa ni mazingira hatarishi kwangu na hapo sasa ndio ningetakiwa kutumia Prep kabla ya kwichi kwichi.
Hope umenielewa!!
 
Inawezekana dawa zikapunguza virusi mpaka visionekane, lakini vipo bado, ila vichache sana.

Tafuteni ushauri wa wataalam kujua aendelee vipi na dawa ili kuvidhibiti virusi visiongezeke na kurudia kuonekana katika vipimo.

Hoja yako kubwa unayotumia kuwakosoa wengine kwamba HAKUNA MUNGU ni kwamba haonekani,Je, wewe umeshawahi kumwona HIV?

Hujawahi kumwona HIV lakini unaamini kwamba yupo.Kama huyo ARVs zimefanya virusi viwe vichache kiasi cha kutoonekana,kwanini isiwe hivyo kwa watu wengione wengi?
 
Hello,

Nina mpenzi wangu who is HIV+ for years now while I am HIV-
Alipata ujauzito miezi kadhaa iliyopita, nikampeleka Agakhan hospital ili aweze kuanza clinic ya mama na mtoto, kama kawaida ni lazima wamama wachekiwe afya zao though tulikuwa tunajua status yake, hivyo tukamwambia Nurse there is no need of doing the HIV test. Nurse akasema ni kitu cha lazima sio hiari yetu, basi akapimwa kwa rapid test method called Determinant majibu yakaja she is HIV-. Tukamwambia hivyo vipimo vyako vitakuwa ni vibovu, nurse akasema hapana acha nifanye confirmatory test using another rapid test method known as Unigold, tukasubiri majibu yetu after fews minutes majibu yakatoka tena she is HIV-. Utata ukaanzia hapo nikawaambia my fiancee tested HIV+ about 4 years back at Regency hospital and she has been on ARV's medication since that time and we have been checking for Viral load several times and the last viral load check we did shown still there were over 1000 viruses in her body. Sintofahamu hiyo ilituweka njia panda kwasababu hatukataka ku-risk usalama wa mtoto, tukaamua kwenda Regency kuonana na wataalamu wake ambao wamekuwa wakimtibu kwa kipindi cha miaka 4 sasa, Regency wakarudia kumpima using Unigold bado majibu yakatoka HIV- ndipo wakashauri tuchukue sample ya damu ipelekwe Nairobi ikapimwe kwa kipimo kinachoitwa ELISA bado tunasuburi majibu.

Sintofahamu niliyonayo mimi haswa how comes Viral load check still see over 1000 viruses, but our rapid antibody-antigens test shows a non-reactive results. I am not a medical doctor but I have read so many articles/documentaries about HIV/AIDS and that little knowledge I have plus Love is what gave me courage to be in relationship with someone who is HIV+ while am HIV-

Ninachojua hata kama viral load ingefika level ya kuwa undetected but so long as those antibodies are there in ur body then any rapid test will show reactive response.

MADAKTARI WETU TUNAOMBA MTUTOE KWENYE HIYO SINTOFAHAMU

Best Regards,
Mambomengimdamchache.
Wait.....you consciously hooked up with a HIV+ person wewe ukiwa HIV-? I need to know how!
 
Hoja yako kubwa unayotumia kuwakosoa wengine kwamba HAKUNA MUNGU ni kwamba haonekani,Je, wewe umeshawahi kumwona HIV?

Hujawahi kumwona HIV lakini unaamini kwamba yupo.Kama huyo ARVs zimefanya virusi viwe vichache kiasi cha kutoonekana,kwanini isiwe hivyo kwa watu wengione wengi?
Wapi nimeandika kwamba sikubali uwepo wa Mungu kwa sababu haonekani?

Unaweza kunipa nukuu ya nilipoandika hivyo?

Unaelewaje kwamba hiyo ndiyo hoja yangu kubwa kwamba Mungu hayupo?
 
Mkuu HIV ipo na watu wanasoma hadi jinsi alivyo kuanzia muonekano I mean shape, stucture, DNA etc..
Na kinachopimwa kwenye mwili ni reaction ya mwili wako antigen_antibody reaction pale unaposhambuliwa na hawa wadudu.
Amin kwamba

HIV ni jina alilopewa retrovirus wa jamii fulani ili aonekane kwamba anasababisha Ukimwi,hakuna retrovirus wa jamii yoyote duniani mwenye uwezo wa kusababisha ukimwi.Sasa kama retrovirus hawana uwezo wa kusababisha ukimwi,unatumia kigezo gani kumpachika jina la HIV?...unaelewa ninachomaanisha hapo?

Yaani ni sawa mimi nikuite wewe ng'ombe,hiyo bado haiwezi kukubadili wewe uwe na sifa za ng'ombe,bado utakua binadamu,yaani hapo nitakua nimekuita jina la ng'ombe kwasababu zangu binafsi ninazozijua mimi.

Sasa kujulikana kwa umbo la retrovirus hakufanyi retrovirus huyo aweze kusababisha ukimwi.
 
mbona kasema viral load wamepimwa wakakutwa wapo 1000+

Sasa kama viral load ni zaidi ya 1000,kwanini hao virus ambao viral load yao inapimwa hawaonekani?...ndio maana niliwahi kuwaambia watu humuhumu kwamba hata hiyo wanayoiita viral load haiwakilishi virusi vyovyote vile,bali ni kitu kingine kabisa ambacho hakina uhusiano na virusi,sitaki kwenda mbali sana nisije nikachanganya watu.

Kama hiyo viral load inawakilisha HIV,kwanini basi vipimo havimuoneshi huyo HIV?Hangaika nalo hilo swali,ukishindwa kamuulize Daktari unayemwamini na usiondoke kwake mpaka akupe jawabu.
 
Mimi sio mtaalamu wa mambo ya afya, so either ilikuwa bioline au determinant ila confirmatory test using Unigold amefanyiwa tena hospital 2 tofauti, imewezekana vipi Unigold kutoa negative result kwa mtu ambaye tayari huko nyuma ilishathibitishwa kuwa ni positive na amekuwa kwenye dozi ya ARV kwa miaka isiyopongua 4 mpaka sasa?? Hilo ndilo swali langu la msingi ndugu. Naomba utupe kile unachofahamu

USHAURI:
Kama ataendelea kupimwa NEGATIVE,angalieni sana msimwambie aache kutumia ARVs ghafla,mtamkosa.

Maana ARVs ni addictive,yaani zinasababisha uraibu kama zilivyo dawa za kulevya...nadhani hata wewe unajua kwamba wale wanatumia dawa za kulevya kama cocaine huwa wana vituo vyao maalum vya kuachishwa dawa,vinaitwa METHADONE clinics...wakiacha ghafla dawa za kulevya wanaugua sana na hata kufa kabisa.

Sasa ARVs ni kama dawa za kulevya tu.

Soma hapa chini uone ARVs zinavyotumika kama dawa za kulevya na mateja wa dawa huko Afrika Kusini;

 
Ukitaka ujue kuwa huyo bado anao mwambie aache kutumia ARV walau kwa wiki moja tu, utaona mziki wake! Then uje utupe mrejesho

Kuna kitu hukifahamu bado kuhusu ARVs,soma post number 78 labda unaweza kupata picha kidogo.
 
Kuna vitu vya kujifunza na kujaribu mzee lakini sio hiko.
(Siwanyanyapai waathirika) ila nimewahi kuona mtu mmoja hospitalin mwenye maradhi hayo aiseee ogopa sana aliteseka mno
We umeona mmoja, me nmeona wengi sana mahututi wenye CLINICAL FAILURE, Mpaka nmezoea.
 
Kuna vitu vya kujifunza na kujaribu mzee lakini sio hiko.
(Siwanyanyapai waathirika) ila nimewahi kuona mtu mmoja hospitalin mwenye maradhi hayo aiseee ogopa sana aliteseka mno
..neno waathirika ni unyanyapaa. Umenyanyapaa unintentionally
 
Umewahi kumwona HIV? usitake kubadili mada.
Nataka kubadili mada au nahoji unachosema kuwa nimesema ni mada?

Wewe umeleta hoja ya kuona HIV. Ukanibandikia hoja hiyo mimi. Kimakosa. Kwa sababu mimi sijawahi kufanya hoja ya kuona kitu kama ya msingi katika kuthibitisha kitu.

Mimi kukuambia hiyo hoja unayonipa unanibambikia bure, kwa sababu si yangu, ni kubadili mada kivipi?

Kwani wapi nimesema kuona kitu ndiyo uthibitisho wa kwamba kipo?

Nimeshatoa mfano hapa, nikasema, kuona kitu si uthibitisho kwamba kipo.

Naweza kumuona Charlie Chaplin katika movie, hilo halimaanishi Charlie Chaplin yupo. Amefariki miaka mingi tu.

Ukienda jangwani au sehemu iliyo wazi na yenye kupigwa jua kali unapoweza kuona mbali, unaweza kuona kwa mbali kuna kama maji (mirage) ukikimbilia upate hayo maji unakuta hamna maji, ni jinsi mwanga unavyokuwa tu.

Kwa hiyo kuona kitu kipo hakuthibitishi kipo.

Na pia, kutoona hakuthibitishi hakipo.

Mimi nipo ndani ya nyumba sasa hivi. Nimepaki gari langu nje. Silioni. Lakini hilo halimaanishi gari langu halipo, kwa sababu tu silioni.

Kwa hivyo, kuona au kutoona kitu hakuthibitishi kwamba kipo au hakipo.

Na nimeyaandika haya sana tu hapa.

Tatizo hujanisoma, halafu unarukia mambo kusema unaelewa pingamizi langu kubwa kwenye hoja ya kuwepo Mungu ni kwamba haonekani.

Nimekupa nafasi unipe nukuu nilipoandika hivyo, umeshindwa.

Kwa sababu ni habari uliyoiandika kwa ukosefu wa uelewa.

Hujaelewa hoja zangu. Unafikiri tu kwamba umezielewa.

Jipange upya.
 
Unajua, kamuulize daktari yeyote kama amewahi kuwaona Virusi wa Ukimwi (Jibu ni HAPANA

Kwa hiyo wanajuaje kwamba huyu mtu ni HIV+, atakwambia wanapima ANTIBODIES.

Antibody ni sawa na walinzi/askari wa mwili ambao wanatengenezwa na mwili kama kuna VIRUSI ama BAKTERIA wameshambulia mwili.

Sasa Antibodies zikiwepo kwilini haimaanishi una HIV, Bali yaweza kuwa ni ugonjwa mwingine wa kawaida tu unaotibika kirahisi sana hata wakati mwingine Antibodies wanaweza maliza shughuli.

Ndio sababu utakuta mtu anaenda kupima Leo anaambia uko HIV+ akirudi baada ya muda Fulani anaambiwa uko HIV-.

Ni kwamba hakuna ugonjwa unaoitwa HIV wala Ukimwi.
Acha uongo.
Tofautisha aina za micro organisms na vipimo vinavyotumika kudetect.
1. Bacteria
2. Protozoa
3. Fungi
4. Virus
5.

Kamuulize huyo daktari wako fake ameshawahi kuwaona virusi wa mafua (influenza/flu) virus?
Kama hajawahi kuwaona, does it justify kuwa mafua hayapo?

Tatizo la kukua kwa nchi fukara.
 
Back
Top Bottom