copernicucci98
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 1,232
- 2,384
Mkuu, ngoja nikurahisishie.
Nenda kasome makala za Peter Duesberg kuhusiana na HIV/AIDS utaelewa vizuri zaidi.
Kuna Uzi uliletwa humu JF kuna jamaa alikuwa anatakiwa kwenda USA (alikuwa na afya imara) asa akatakiwa kwenda kupima HIV ili kukamilisha taratibu.
Akapima, akakutwa HIV+ (kumbuka alikuwa na afya nzuri tu!!) Baada ya kuambiwa wewe una HIV, jamaa akaanza kudhoofika kwa spidi kubwa sana... Jiulize nini tatizo?
Hii HIV ni uovu mkubwa sana uliopatwa kufanywa kwetu sisi WaAfrika, umepoteza na unaendelea kutupotezea watu.
Psychology + ARVs/Sumu lazima ufe tu, huku wachache wakiingiza matrillion ya pesa kwenye akaunti zao.
Fanya utafiti uone jinsi madaktari wanaoeleza ukweli kuhusu HIV wanavyopotezwa ndo utaelewa.
ARVs na vipimo vya HIV ni mradi tu kama mradi wa kufuga kuku ili upate faida, ni mradi kama wa duka huwezi kukubali upate hasara kizembe.
Peter Duesberg.. Aahahahahah Nimemsoma kwa mara ya kwanza cz huwa siyo muumini sana wa kusoma conspiracies apart from "APOLLO HOAX"
Observations na findings nilizozipata;
1. He is a Professor of molecular biology
2. He is a HIV denialism
3. Alikuwa advisor wa masuala ya public health wa Thabo Mbeki. Na ndiye aliyemshawishi Thabo Mbeki kutokuamini kama HIV inasababisha UKIMWI
4. Kutokana na Mbeki kuamini maono ya Professor Peter, kulitokea vifo vinavyozidi 330,000 vilivyokuwa related na HIV and AIDS
5. Durban declaration. Madaktari zaidi ya 5,000 (scientists and physicians) SA walisign kupingana na hoja za Proffesor Peter na sera ya public health ya bwana Thabo
6. Professor Peter anachukuliwa kama public murder kwa kusababisha vifo
7. Professor Peter amewekwa kikaangoni (academic misconduct investigation) kwa professional misconduct na machapisho yanayopotosha.
Hoja zangu:
1. Ndugu unasupport hoja ya huyu mtu na kuignore repercussion yote iliyotokea, why?
2. Kwanini tuchukue taarifa fupi fupi? kwamba kama yeye aliamini hivyo na sisi tuamini vile? na kuachana na tafiti zingine zote? What makes him awe superior na wenzake?
3. Kulikuwa na hoja kuwa mtu akipinga uwepo wa HIV anauawa. Kwanini huyu Professor hakuuawa?
4. Hajafanya scientific investigation yoyote. Yeye anaamini tu kupitia theory. No in vitro/vivo trials. How come?
Bottom line and conclusion: Chovya chovya, uukwae, uje uone moto wake. Ni vema kuukwaa ktk harakati za kawaida kuliko kuukwaa kwa kuyaamini maandishi ya conspiracists