My fiancee who was HIV+ now tested HIV-

My fiancee who was HIV+ now tested HIV-

Ha ha ha haaaaaaaaaaaa!....wanaonifahamu wanaelewa kwanini nacheka.

There is No way to test for HIV,kwasababu hakuna HIV duniani...kinachopimwa kwenye damu si HIV bali ni kitu kingine kabisa.

Tumepigwa changa la macho zaidi ya miaka 30 sasa.

HIV/AIDS is a MINDSET DISEASE.
Brother I normally read your comments na nimeanza kufanya utafiti binafsi ipo siku ntakutafuta niseme Asante umejitoa saana kuweka wazi Mambo ya HIV/AIDS
 
Ukimwi Upo Mazee,Watu wanaondoka na kilo mbili daily na maambukizi mapya kwa siku ni watu 200.....Kuna baadhi ya watu huwa na kinga kali hawapati virus hata wakipiga Dry kwa mtu mwenye HIV+,nishashuhudia jamaa alikuwa anakula demu mwenye ngoma lakini yeye hakupata kabisa na walizaa naye mtoto.
Kazeze kazeze!!!!kuna mtu humu anashangiliwa na kawajaza wengi ujinga kwamba HIV haipo ngoja wapige kavu waunganishe wataenda chukua njugu peke yao.
 
Huo ni msimamo wako na uvivu uliopitiliza ukiwa tayari kujifunza utatafta information..
Watu wanakesha na kusoma molecular biology ya wadudu ambao hawaonekan kwa macho.. Ww unatupotosha et hakuna aliyewahi kumuona HIV
google ndio takataka gani,nani aliyekwambia kila information from google ni ya kweli.hakuna aliyewahi kumuona HIV
 
Huo ni msimamo wako na uvivu uliopitiliza ukiwa tayari kujifunza utatafta information..
Watu wanakesha na kusoma molecular biology ya wadudu ambao hawaonekan kwa macho.. Ww unatupotosha et hakuna aliyewahi kumuona HIV
Endelea kujidanganya
 
Hello,

Nina mpenzi wangu who is HIV+ for years now while I am HIV-
Alipata ujauzito miezi kadhaa iliyopita, nikampeleka Agakhan hospital ili aweze kuanza clinic ya mama na mtoto, kama kawaida ni lazima wamama wachekiwe afya zao though tulikuwa tunajua status yake, hivyo tukamwambia Nurse there is no need of doing the HIV test. Nurse akasema ni kitu cha lazima sio hiari yetu, basi akapimwa kwa rapid test method called Determinant majibu yakaja she is HIV-. Tukamwambia hivyo vipimo vyako vitakuwa ni vibovu, nurse akasema hapana acha nifanye confirmatory test using another rapid test method known as Unigold, tukasubiri majibu yetu after fews minutes majibu yakatoka tena she is HIV-. Utata ukaanzia hapo nikawaambia my fiancee tested HIV+ about 4 years back at Regency hospital and she has been on ARV's medication since that time and we have been checking for Viral load several times and the last viral load check we did shown still there were over 1000 viruses in her body. Sintofahamu hiyo ilituweka njia panda kwasababu hatukataka ku-risk usalama wa mtoto, tukaamua kwenda Regency kuonana na wataalamu wake ambao wamekuwa wakimtibu kwa kipindi cha miaka 4 sasa, Regency wakarudia kumpima using Unigold bado majibu yakatoka HIV- ndipo wakashauri tuchukue sample ya damu ipelekwe Nairobi ikapimwe kwa kipimo kinachoitwa ELISA bado tunasuburi majibu.

Sintofahamu niliyonayo mimi haswa how comes Viral load check still see over 1000 viruses, but our rapid antibody-antigens test shows a non-reactive results. I am not a medical doctor but I have read so many articles/documentaries about HIV/AIDS and that little knowledge I have plus Love is what gave me courage to be in relationship with someone who is HIV+ while am HIV-

Ninachojua hata kama viral load ingefika level ya kuwa undetected but so long as those antibodies are there in ur body then any rapid test will show reactive response.

MADAKTARI WETU TUNAOMBA MTUTOE KWENYE HIYO SINTOFAHAMU

Best Regards,
Mambomengimdamchache.
Mkuu, you have my respect. Ni hilo tu
 
Kazeze kazeze!!!!kuna mtu humu anashangiliwa na kawajaza wengi ujinga kwamba HIV haipo ngoja wapige kavu waunganishe wataenda chukua njugu peke yao.
Kabisa nasoma nondo za Decepticon na mantiki yake lakini Ngoma ipo na nimeshuhudia watu wameondoka na kilo mbili,family friend wazazi wote wameondoka na kilo mbili,,,,,NI KAZEZE NI KAZEZE.

Wacha wagonge DRY tu "MBAAZI" kwa msaada wa TRUMP zipo tu.
 
Acheni kudanganya watu,maana naona wengine wameshaanza kujiliwaza kuwa haupo ili waendelee kujihalalishia uzinzi.Unaingia JF unakutana na mtu anatumia hidden ID,humjui hata kwa sura,kisa yeye ni senior humu ndani unaanza kumuamini kila anachoelezea kwa kujifurahisha nafsi yake,akili ya kuambiwa changanya na zako...
 
So long as she is on medication for years now, it's safe. Kwahiyo kiongozi napiga mbichi daily na wala sina maambukizi. Unapiga bao lako Moja la kiufundi ukienda sana Mbili. Unaweza usiamini ila huo ndio ukweli, ni vizuri pia kuendelea kijifunza vitu vipya kila siku sababu dunia hii ya science na technology vitu habadilika kila siku.
Jamaa wewe ukaishi Mars sasa maana ume-advance vya kutosha hapa tena siyo size yako.

Mimi hata na hela juu siiloweki kavu cha kufia nini?anyway bro,hongera Mungu ajaalie majibu yaliyotoka yaendelee kuwa hivyo na believe me huyo mwanamke kwa moyo uliomuonyesha hakuna siku atakutendea mambo mabaya ya kutisha.
 
Mkuu, you have my respect. Ni hilo tu
Jamaa wewe ukaishi Mars sasa maana ume-advance vya kutosha hapa tena siyo size yako.

Mimi hata na hela juu siiloweki kavu cha kufia nini?anyway bro,hongera Mungu ajaalie majibu yaliyotoka yaendelee kuwa hivyo na believe me huyo mwanamke kwa moyo uliomuonyesha hakuna siku atakutendea mambo mabaya ya kutisha.
Umechangia vizuri ila umeharibu hapo kwenye kutabiri akili ya mwanamke...
Aliyekuambia ukimtendea mema mwanamke anakulipa kwa mema nani?
Anyway ipo siku nitaeelezea ukweli kuhusu Newton’s third law of motion inavyotawala mahusiano...
 
Ha ha ha haaaaaaaaaaaa!....wanaonifahamu wanaelewa kwanini nacheka.

There is No way to test for HIV,kwasababu hakuna HIV duniani...kinachopimwa kwenye damu si HIV bali ni kitu kingine kabisa.

Tumepigwa changa la macho zaidi ya miaka 30 sasa.

HIV/AIDS is a MINDSET DISEASE.
naungana na wewe.
 
Yani hapa bongo hyo ELISA hakuna ?
 
naomba nimuulize Deception kama HIV ni illusion nini kinachosababisha antibodies reaction kwenye mwili ili tukiepuke.mbona sometime unakuta mtu anapata lishe nzuri,ana maisha mazuri ,hana magonjwa yoyote ila anaamua kwenda kupima HIV anakutwa positive.
pia kwann mtaani kuna case nyingi za mtu kupima HIV kukutwa hana baada ya miaka anatembea na msichana mwenye HIV positive ,then naye akienda kupima anakutwa pia ameshaathirika je kama hakuna HIV kwann huyu wa pili naye amekutwa positive
Unajua, kamuulize daktari yeyote kama amewahi kuwaona Virusi wa Ukimwi (Jibu ni HAPANA

Kwa hiyo wanajuaje kwamba huyu mtu ni HIV+, atakwambia wanapima ANTIBODIES.

Antibody ni sawa na walinzi/askari wa mwili ambao wanatengenezwa na mwili kama kuna VIRUSI ama BAKTERIA wameshambulia mwili.

Sasa Antibodies zikiwepo kwilini haimaanishi una HIV, Bali yaweza kuwa ni ugonjwa mwingine wa kawaida tu unaotibika kirahisi sana hata wakati mwingine Antibodies wanaweza maliza shughuli.

Ndio sababu utakuta mtu anaenda kupima Leo anaambia uko HIV+ akirudi baada ya muda Fulani anaambiwa uko HIV-.

Ni kwamba hakuna ugonjwa unaoitwa HIV wala Ukimwi.
 
Mkuu wapi huko bado wanatumia determine au ww ni muganda?
Maana hospital nyingi Tz zimeachana na hicho kipimo ambacho kilkuwa kinatumika zaman. Siku hizi ni Bioline and unigold for confirmation
Mimi sio mtaalamu wa mambo ya afya, so either ilikuwa bioline au determinant ila confirmatory test using Unigold amefanyiwa tena hospital 2 tofauti, imewezekana vipi Unigold kutoa negative result kwa mtu ambaye tayari huko nyuma ilishathibitishwa kuwa ni positive na amekuwa kwenye dozi ya ARV kwa miaka isiyopongua 4 mpaka sasa?? Hilo ndilo swali langu la msingi ndugu. Naomba utupe kile unachofahamu
 
Mi mwnyw huwa nashangaa sana.. wakati kingereza ishakua lugha ya kawaida sana katika ulimwengu huu wa dijitali
 
Ukitaka ujue kuwa huyo bado anao mwambie aache kutumia ARV walau kwa wiki moja tu, utaona mziki wake! Then uje utupe mrejesho
 
Back
Top Bottom