My fiancee who was HIV+ now tested HIV-

My fiancee who was HIV+ now tested HIV-

Halleyuyaaaaah!! Mungu ni mwema
 
Wee jamaa mpuuzi kweli niongope ili nifaidike na nini
Mkuu utakufa
Acha kusikiliza porojo
Maisha ni yako na wanaokutegemea ndo watakaoumia
Ukimwi upo
Najua unajiskia vizr kuamini hakuna ukimwi ila kiukwel upo
Ukisoma zaidi kuhusu huo ugonjwa utagundua kuna mengi sana ambayo watu hawayajui ndo maana kuna wanadhani kuwa haupo
Unaweza kukaa ata miaka 15 na huo ukimwi kama hautumii madawa yoyote na ukawa vizr kabisa wa afya
Ukimwi si ugonjwa wa kukuua harakaharaka, ila ukitumia madawa unaweza kuishi ata mika yote ya maisha yako ndugu
Kwanzia 2017 ni miaka miwili tu na ni hatari kwako kujichukulia kama experiment
Nasema hivi kwasababu spend mtu adanganyike na kuumia
Najua kila anaeuchukia akuna kitu kizr kukisikia kama kuwa na hope
Madawa ya ARV yanamfanya mtu aishi.ata miaka yake yote.adi uzeeni kama anafata mashart vizuri

Anaekwambia hvyo.muulize swali
Kwanini.miaka ya 90 watu walikuwa wanaugua ovyoovyo na kufa ovyoovyo na rate ikawa inaongezeka mpaka madawa yalipokuja
 
Mkuu hii adhabu ya kutumia hayo mavidonge yao niliitumikia kwa mwezi na point, kama sio Deception leo hii ningekuwa na miaka miwili nabugia mavidonge yao

Sasa kama unaweza kukaa miaka 15 bila kuugua huo ugonjwa utakuwaje ni hatari? Basi kisukari itakuwa ni hatari zaidi maana huwez kukaa miaka 15 usitumie dawa then ukawa vzr...

Na tena kama hujui mtu anayetumia ARVs kwa miaka let say 15 anakuwa amechoka zaidi ya asiyetumia ARV

Halafu naona bado unashindwa kutofautisha Kati ya Ukimwi na HIV
Jifunze kutofautisha kwanza
 
Unajua, kamuulize daktari yeyote kama amewahi kuwaona Virusi wa Ukimwi (Jibu ni HAPANA

Kwa hiyo wanajuaje kwamba huyu mtu ni HIV+, atakwambia wanapima ANTIBODIES.

Antibody ni sawa na walinzi/askari wa mwili ambao wanatengenezwa na mwili kama kuna VIRUSI ama BAKTERIA wameshambulia mwili.

Sasa Antibodies zikiwepo kwilini haimaanishi una HIV, Bali yaweza kuwa ni ugonjwa mwingine wa kawaida tu unaotibika kirahisi sana hata wakati mwingine Antibodies wanaweza maliza shughuli.

Ndio sababu utakuta mtu anaenda kupima Leo anaambia uko HIV+ akirudi baada ya muda Fulani anaambiwa uko HIV-.

Ni kwamba hakuna ugonjwa unaoitwa HIV wala Ukimwi.
Unaongea nonsense
 
Unajua nilitaka nikujibu vibaya, ila...

Asee tumia akili zako vizuri...!
Jibu tu utakavyo mkuu but I can't tolerate the shit u are delivering..... It is real bullshit.....

I guess u haven't lost ur relative because of this terrible dzs and maybe u haven't seen how terrible it is.....

Saying HIV is not real is the greatest nonsense i ever saw among blacks....shameful
 
Wewe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine.

Huwezi kuja hapa na kuropoka ropoka.

Hiyo biashara yenu ya kuwauzia watu sumu mnazoita ARV muda si mrefu itafika mwisho.

Hakuna Ukimwi unaoua MTU, ni hayo maARV yenu yanaua watu.

Kama MTU ana upungufu wa kinga kwanini msimpe maelekezo akatumie matunda na vyakula ili kinga ziwe imara?

Badala yake mnamuingiza kwenye mnyororo wa kununua kifo kwa hayo maARV yenu!

unazungumza lugha ya wapi??

(Saying HIV is not real) is the greatest nonsense (i ever saw among) blacks....shameful.

inaonekana umelewa wewe
 
Ha ha ha haaaaaaaaaaaa!....wanaonifahamu wanaelewa kwanini nacheka.

There is No way to test for HIV,kwasababu hakuna HIV duniani...kinachopimwa kwenye damu si HIV bali ni kitu kingine kabisa.

Tumepigwa changa la macho zaidi ya miaka 30 sasa.

HIV/AIDS is a MINDSET DISEASE.
So mkuu wewe mautamu utelezi unapiga mgodi wowote uwe wa dhahabu,chuma,kobati,makaa ya mawe,tanzanite twende kazi?
 
Sasa kama unaweza kukaa miaka 15 bila kuugua huo ugonjwa utakuwaje ni hatari? Basi kisukari itakuwa ni hatari zaidi maana huwez kukaa miaka 15 usitumie dawa then ukawa vzr...

Na tena kama hujui mtu anayetumia ARVs kwa miaka let say 15 anakuwa amechoka zaidi ya asiyetumia ARV

Halafu naona bado unashindwa kutofautisha Kati ya Ukimwi na HIV
Jifunze kutofautisha kwanza
Safi sana,yaani umemjibu vizuri kweli...

Sijui kwanini watu wanaounga mkono dhana ya HIV/AIDS wanakua ma gulagula kiasi hiki...yaani wanaongea vitu vya kipuuzi bila hata kujitambua...yaani anakubali kwamba unaweza kukaa miaka hata 15 bila kula ARVs...wakati huohuo hajui kama wakubwa zake wanasema range ni miaka 0 hadi 10....anyway,kwa kifupi hawaoni kama kuna upuuzi ndani ya kile wanachokiongea..

Sasa kama unaweza kukaa miaka 15 kuna haja gani ya kuogopa HIV kuliko kuogopa cancer au kisukari?

Halafu mimi najua janja zao zote,najua kwanini wanasema unaweza kukaa hadi miaka 10 bila kutumia ARVs,...jibu ni kwamba,wanajua wazi kwamba HIV/AIDS ni ugonjwa fake,sasa wanapoteza muda au wana buy time ili ukiugua ugonjwa wowote ule ndani ya miaka hiyo waseme kwamba HIV ndio sababu,sasa wanajua ni vigumu mtu kukaa miaka mingi hivyo bila kuugua...kumbe kuugua ni kawaida hasa kwa kipindi kirefu kama hicho cha miaka 10,jamaa wana ujanja wa kipumbavu sana.

Wanafikiri sisi sote wajinga hatuwezi kujua janja yao.
 
So mkuu wewe mautamu utelezi unapiga mgodi wowote uwe wa dhahabu,chuma,kobati,makaa ya mawe,tanzanite twende kazi?
Mimi naona kugopa HIV ni utumwa kama ulivyo utumwa mwingine tu...yaani unaogopa kitu kisichokuwepo,hufanyi mambo yako kwa amani,hata mkeo unamwogopa kwa maana unaamini anaweza kuambukizwa kisha akakuambukiza wewe...huu ni utumwa wa hali ya juu sana...tena naweza kuuita upumbavu kabisa uliopita viwango vya upumbavu wa kawaida.
 
Hello,

Nina mpenzi wangu who is HIV+ for years now while I am HIV-
Alipata ujauzito miezi kadhaa iliyopita, nikampeleka Agakhan hospital ili aweze kuanza clinic ya mama na mtoto, kama kawaida ni lazima wamama wachekiwe afya zao though tulikuwa tunajua status yake, hivyo tukamwambia Nurse there is no need of doing the HIV test. Nurse akasema ni kitu cha lazima sio hiari yetu, basi akapimwa kwa rapid test method called Determinant majibu yakaja she is HIV-. Tukamwambia hivyo vipimo vyako vitakuwa ni vibovu, nurse akasema hapana acha nifanye confirmatory test using another rapid test method known as Unigold, tukasubiri majibu yetu after fews minutes majibu yakatoka tena she is HIV-. Utata ukaanzia hapo nikawaambia my fiancee tested HIV+ about 4 years back at Regency hospital and she has been on ARV's medication since that time and we have been checking for Viral load several times and the last viral load check we did shown still there were over 1000 viruses in her body. Sintofahamu hiyo ilituweka njia panda kwasababu hatukataka ku-risk usalama wa mtoto, tukaamua kwenda Regency kuonana na wataalamu wake ambao wamekuwa wakimtibu kwa kipindi cha miaka 4 sasa, Regency wakarudia kumpima using Unigold bado majibu yakatoka HIV- ndipo wakashauri tuchukue sample ya damu ipelekwe Nairobi ikapimwe kwa kipimo kinachoitwa ELISA bado tunasuburi majibu.

Sintofahamu niliyonayo mimi haswa how comes Viral load check still see over 1000 viruses, but our rapid antibody-antigens test shows a non-reactive results. I am not a medical doctor but I have read so many articles/documentaries about HIV/AIDS and that little knowledge I have plus Love is what gave me courage to be in relationship with someone who is HIV+ while am HIV-

Ninachojua hata kama viral load ingefika level ya kuwa undetected but so long as those antibodies are there in ur body then any rapid test will show reactive response.

MADAKTARI WETU TUNAOMBA MTUTOE KWENYE HIYO SINTOFAHAMU

Best Regards,
Mambomengimdamchache.

Ngoja nikuongezee uelewa ambao pengine hata madaktari humu hawajui...

EVERYONE TESTS POSITIVE ON ELISA TEST....kwa wasioelewa kiingereza maana yake ni KILA MTU ANAPIMWA POSITIVE NA ELISA...
Hii maana yake,kuna procedure zinafanywa wakati wa kutumia ELISA,sasa kuna hatua/step fulani(siitaji kwa sasa) ikirukwa/ikiachwa,LAZIMA mtu yeyote yule hata akiwa Obama,Trump,Bush au hata Robert Gallo mwenyewe apimwe POSITIVE...hii ina maana kubwa sana kuonesha kwamba kinachopimwa pale si HIV na hakina ulazima wa kuhusiana na HIV...

NB:
Hata WHO wanajua pia kwamba,mara nyingi sana ELISA huweza kutoa FALSE positive results...ingawa hili neno 'false positive' ni la kisiasa tu,kama kitu hukioni na huna njia ya kukipima utasema hili jibu ni false positive?

Sasa hata WHO wanajua wazi kwamba mambo kama TB,LUPUS,HEPATITIS,PREGNANCY nk huchangia sana kuleta majibu hayo wanayoyaita false positive....sasa jiulize kwanini mambo hayo yawe na chance kubwa ya kusababisha positive results....ukijua hili ndio utagundua kwamba kinachopimwa pale si HIV...

By the way,majibu ya ELISA yameshatoka?Naomba utujuze kama hutojali.
 
Soon nitawapa majibu ya ELISA, hope ndani ya week hii tutayafata.
 
Soon nitawapa majibu ya ELISA, hope ndani ya week hii tutayafata.
Tutashukuru sana...

Ngoja nikwambie kitu kingine nyeti ambacho madaktari hawawezi kukwambia...

Fanya utafiti mdogo tu;Mchukue mkeo ukampime viral load labda Agakhan,halafu baada ya siku moja au mbili nk mchukue tena ukampime hapohapo Agakhan au badili kituo uende Regency kwa mfano...hakikisha usipite muda mrefu sana kati ya vipimo hivyo viwili...tofauti iwe masaa au siku chache tu inatosha....

Baada ya kufanya hivyo linganisha majibu ya vipimo hivyo viwili uone vinatofautiana vipi au gap yake ikoje....halafu jiulize maswali kama kweli kinachopimwa ni HIV au la.Katika hali ya kawaida tunategemea majibu hayo mawili yatofautiane kidogo sana kiasi cha kufanana....lakini fanya utafiti huo halafu uje ulete majibu hapa.

Kwa mfano...sasa unajua viral load aliyopimwa mwanzo,sasa nenda tena mara ya pili hapohapo au badili kituo uone.

NB:
Nawapenda sana,ndio maana nawaibia elimu hii adimu ambayo huwezi kuipata kwa daktari yeyote humu.Kama mtafuata haya ninayowaambia wala hamhitaji kushawisha na mtu kwamba hakuna uhusiano wowote kati ya HIV na AIDS...na hata huyo HIV mwenyewe hayupo kiuhalisia.
 
Back
Top Bottom