Asante mkuu kwa swali zuri sana. Ndugu yetu amesema hakuna Daktari anayeweza kulijibu hili swali.. kama kawaida me nasema labda Daktari wa upande wa kwao.. Madaktari wa upande wa kwetu tunao upeo na uelewa japo ni mdogo.
Kabla sijakujibu labda niseme kuwa miongoni mwa masomo magumu "duniani" ni "immunology".. Samahani kwa kusema hivi japokuwa sina uelewa wa tasnia nyinginezo.. Kulielewa ni hadi udedicate muda wako na jitihada za kutosha sana.
.
.
Kuna kitu kinaitwa White Blood Cells na kuna kitu kinaitwa Latent HIV Reservoir. Nitajaribu kueleza kwa urahisi kadiri nitakavyobarikiwa
1. Life span (Siku za kuishi) ya white blood cells ni as early as 3 days to 6 or 9 months.. Kumbuka CD4 ni aina ya white blood cells ambazo life span yake ina average miezi 6.
2. Kufa kwa white blood cells: Zinauawa kwenye Lymphatic systems (Lymph nodes) kwenye spleen, brain, intestines etc
3. Kumbuka HIV infection anashambulia CD4 cells ambazo zinauawa na lymphatic system kwa wastani wa kila baada ya miezi 6.
4. Kumbuka kazi ya ART ni kuzuia HIV replication. Akizuia replication means no longer replications. Zile cells ambazo zimeshashambuliwa zinauawa baada wastani wa miezi 6 kwenye lymphatic system.
5. Kwavile huyu mdudu tumesema hafi, na kwavile kwenye damu kuna dose ya dawa muda wote inayozuia replication, hawa wadudu wanabaki at latent phase "latent HIV reservoir" kwenye ule mfumo unaoziua white blood cells
6. Ndiyo maana wataalam wakapendekeza tupime uwingi wa virusi vya UKIMWI mwilini "HIV viral load" baada ya kuwa kwenye dawa kwa zaidi ya miezi 6 tukitegemea % kubwa ya white blood cells zitakuwa zimeuawa and hence HIV amepelekwa kwenye latent phase.
Ndugu yangu amesema tunatekeleza tu yaliyoandikwa kwa miongozo ya WHO. Niseme kwamba miongozo haikuandikwa kwa kuotea otea.. kila kitu kina sababu zake. Muongozo unatuambia kupima viral load baada ya miezi 6 kwasababu hizi.
Zipo na sababu nyingine.
Just tried my best to make a difficult language understandable. Japo nakiri hii mada ya immunology ni ngumu sana. Siyo immunology in relation to HIV alone, bali kwa ujumla wake.
Asante.
Mtaalam hata sisi wengine tunafanya kazi sekta hii hii ya CTC clinic ; Hebu niambie
1. Hapo namba 3 umesema HIV anashambulia White blood cells (can we see the virus when you check to know the reduction of white blood cell is due to HIV and not any other infectious bactoria or virus ) maana hata malaria of flu weakens the immunity system
2. If ART zinazuia HIV replication - so at some point HIV wote wanakufa au? you said in 6 months infected cells zinauwawa kabisa so why see viral load copies less than 1000 / ml si zingeisha tu zote ?
3.Kama mdudu hafi - well good u mean anakuwa dormant na hauumwi right? mbona hoja ya mdudu kutokufa inakinzana na no 4 kuwa ART zitauwa damaged cells?
4. Hoja ya mwisho- Are you sure 100% kuwa miongozo na sera za mashirika makubwa duniani hayana hidden agenda? umesoma historia ya PEPFAR duniani na sera yake ya ukimwi? Nadhani hata wataalam wa afya tunakimbilia kukariri guidelines na miongozi under assumption kuwa zimekuwa tested time and time over series of cohort studies ila the fact that ART zinauzwa kwa faida kubwa, HIV being a political disease (maybe real am not sure ) - nakushauri wewe kama daktari tumia muda mrefu sana kusoma maandiko tofauti na jipe nafasi kujiuliza lots of WHY?
Swali langu : Mwaka jana sera ya dunia imekuwa ni Test and Treat yaani ukikutwa ni HIV postiive basi wewe hapo hapo unakuwa refered CTC clinic kuanza ART , hebu tujiulize ni nini nyuma ya pazia kimeleta sera hii? kama zamani walipima CD4 kugundua lini uanze dawa why now?
Hivi karibuni kwenye mpango mkakati wa PEPFAR mmarekani ameilazimisha (wanasema kwa lugha nzuri eti wameishauri) Tanzania kuwa bado kuna watu wengi sana wana ukimwi ila hawajui status zao? kama wewe ni mtakwimu jiulizie how? sasa sera mpya imekuja inaitwa Ïndex testing" ambayo hutumika kwenye magonjwa ya mlipuko yaani ukikutwa na HIV basi utashauriwa kuleta mlolongo wa watu unao/ulioshirikiana nao kimapenzi . Mwathirika anaweza akatoa nambari za simu ukatafutwa na mhudumu wa afya kwa siri kubembelezwa ukapime. Nachosema ni kuwa haya yote ni kuongeza client base ya watumiaji wa ukimwi. Nchi maskini tumeaminishwa sana kutumia machapisho na tafiti za nje na si kitu kibaya ila tumeshindwa tu kujenga wataalamu wanaopose na kujiuliza maswali juu na tafiti hizi.
Leo hii makisio (estimate) za wagonjwa wa ukimwi duniani hutolewa na UNAIDS kwa system yao ya SPECTRUM? estimates hizi kufanyika marekani na sisi tunaletewa makisio ya wagonjwa wa kila mwaka . Hebu tujiulizie je NBS hawawezi? Na katika timu ya makisio mchango wa wataalamu wa ndani upo valued kiasi gani?
Niambie kama PEPFAR ana nguvu ya kutoa estimates huko CHina ? Nenda tu kasome utaniambia.
Binafsi sikatai kuwepo au kutokuwepo kwa ugonjwa hili ni jukumu la mtu kusoma na kupata opinions na kufanya infirmed judgement. Ila napata simazi kwa wataalam wanaokariri guidelines na scientific assumptions bila wao kujiuliza . Twende mbele turudi nyumba weather HIV yupo au hayupo ni ugonjwa uliopo kisiasa . Kwa lishe watu wangepona, kwa kuutokomeza ingewezekana ila kwa kuwa ni driving force behind big pharma industries basi tutapiga mark time hapa hapa.