My fiancee who was HIV+ now tested HIV-

My fiancee who was HIV+ now tested HIV-

Alinipa ushauri wa jinsi ya kuacha kutumia ARV. Hapa kumbuka maamzi ya kuacha nilikuwa nishafanya baada ya kuona hoja zake zake zina mashiko kuliko za wanaounga mkono uwepo wa HIV.
Alikusaidiaje? Alikupa ushauri gani?
 
Kwa hiyo Mkuu, unataka kusemaje?

Huo ugonjwa haupo? Wanao ugua wanaugua nini? Unaweza kuwaponya?
wewe ni mdau wa afya halafu bado unasema ukimwi ni ugonjwa...nani aliyekwambia kwamba ukimwi ni ugonjwa na unaua?

Ukishajua ukimwi ni nini,na ukishajua tofauti kati ya ukimwi na huyo mdudu wenu HIV ndio uje nikufundishe sisi tunaopinga tuna hoja gani...kwanza jifunze hayo mambo ya msingi hapo juu.
 
Nimeshajua mkuu.

Nifundishe kwa nini unapinga?
 
Teh teh kama huyu ni daktari aliyehitimu basi kuna tatizo somewhere.

Anadai kuna sehemu virus wanajificha mwilini, hawaonekani serious???
Anaweza kuwa daktari lakini aliparua madesa
 
UKIMWI HAIUI KINACHOUA NI MAGONJWA MBALI MBALI MTU ANAYOYAPATA HASA BADA Y KUWA NA UPUNGUFU WA KINGA MWILINI.

kumbuka hata Sasa kila mtu au watu wengi wana TB(latent) lakini hujitokeza pale kinga inavyoshuka hapo tayari ni upungufu wa kinga mwili ndo umesababisha.Upungufu wa kinga mwilini unaweza sababisha na vitu vingi hasa kama huli lishe bora,unapata maradhi ya mara kwa mara na risk factors zingine.

Ndugu Deception nimefatilia hoja zako siku nyingi kwenye swala la ukimwi tuko pamoja ila kwenye HIV bado sijapata jibu japo nimemsoma huyu mdudu wa kutengeneza na kwakuwa evidence sina sijawahi kumuona.

Hivyo niseme sitakubali wala kukupinga hili jambo linahitaji uchunguzi wa kina maana kuna maswali mengi hapa,,hivyo endelea kutoa unachokijua nami naendelea kufuatilia vyanzo mbalimbali kufahamu hili jambo japo kwa sasa imani ipo kuwa HIV ipo kutokana na evidence mbali mbali ila siku zote elimu haina mwisho na kwenye medical uwezi kumaliza vyote nami nachukua nafasi ya kujifunza hapa.

Mwisho ndugu zangu siri ya afya bora ni hizi magonjwa utayasikia kwa jirani hasa haya mkubwa
1.Maji safi na salama
2.Chakula bora na mlo kamili (kile chenye virutubisho vyote vya asili sio vile vya viwandani)
3.Mazoezi ya Wastani
4.Usitumie vitu vyovyote vye kuhatarisha afya yako Ngono zembe,sigara,pombe nk
5.Pata Muda wa kupumzika wa kutosha kila siku.
6.Usafi binafsi na mazingira
7.Jua Maisha sio vita relax (hapa unahitaji kunielewa zaidi usikurupuke)

Nb:Unaweza ukawa na unavyovijua toa watu wajue
 
Hata mimi nimeshuhudia hio...positive baada ya mwaka negative..hii inatokea kuna uzi nyingi humu zimeelezea kiwa vipimo hiv vyote vya mahospital havipim HIV bali vinapima uzaloshaj wa kinga za mwili so mateja na walevi wengi au jamii duni nyingi zikipima huwa majibu asilimia kubwa yanakuja+
So nakushauri utafute nyuzi hizo humu ujifunze kuwa + haimaanishi una virus
 
Masulupwete: mimi namuunga mkonk Deception kuhusu madhara ya hizo dawa, usifikirie hawajui, kuna suala la mkataba na taasisi iliyowekwa kidhibiti mfano FDA, ukijaribu kuleta mambo yako watasema not scientific proved , hata kama inatibu, mfano mzuri Dr. Sebi, MD Gerson, Max etc,
Ukisubiri mpaka wao watangaze umeliwa, mimi ninakujibu hili nikiwa na uhakika na nime prove kuna vitu ukitumia viral load inashuka na CD4 inapanda na mwisho kabisa viral load inakuwa 0.
Mkuu Deception. Heshima yako.

Naomba niulize machache hapa na hasa kwa yale yanayoendelea kwa wenzetu Ulaya na Marekan kuhusu gonjwa hili.

Maswali yangu ni haya (1) Je ni kwamba Ulaya na USA hawana uelewa wa ubaya wa kutumia ARV (kama unavyojaribu kutueleza hapa) au ni nini kinaendelea kwa wenzetu hawa?

(2) Kama wana uelewa wa madhara ya ARV, Je tuseme Ulaya/USA wako tayari kupoteza watu wao kwa gonjwa hili? Au ARV wanazotumia wao ni tofauti?

(3) Moja ya silaha zinazoelezwa (na watu wa mtazamo wako) kutokomeza HIV ni lishe bora na watu kuzingatia mazoezi. Vitu hivi kwa Ulaya/USA ni sehemu ya maisha yao ya kila siku kwa karne nyngi lakin mbona bado wanasumbuliwa na janga hili?
 
Mimi natamani ningekuwa na ujasiri kama wako.Kuna dada aliniambia yuko positive nikaogopa hapohapo na she is confident tukapime.Amenielezea mengi kuwa inawezekana lakini nilijiuliza what is the risk worth?Why take it?Wanawake ni viumbe wa ajabu sana ndugu yangu japo ni mama zetu..Ingekuwa wewe ndio uko H.I.V + asingekubali kuwa na mahusiano na wewe tena angekutangaza.Kama unaona ni uwongo jaribu leo,mtongoze dada na umpe taarifa ya uwongo kuwa upo H.I.V+ then ulete mrejesho wa reaction yake.Kuwa makini alikuwa anashida akakupenda ili umsitiri.Yakiwa negative mpaka huko Nairobi anaweza kukubadilikia hadi ukashangaa.Dont take any risk for a woman
true word ever been spoken
 
Masulupwete: mimi namuunga mkonk Deception kuhusu madhara ya hizo dawa, usifikirie hawajui, kuna suala la mkataba na taasisi iliyowekwa kidhibiti mfano FDA, ukijaribu kuleta mambo yako watasema not scientific proved , hata kama inatibu, mfano mzuri Dr. Sebi, MD Gerson, Max etc,
Ukisubiri mpaka wao watangaze umeliwa, mimi ninakujibu hili nikiwa na uhakika na nime prove kuna vitu ukitumia viral load inashuka na CD4 inapanda na mwisho kabisa viral load inakuwa 0.
Naamini watu wengi hapa (mimi nikiwa mmojawapo) tungetamani sana siku moja gonjwa hili liwe historia. Au ikiwezekana basi kuwe na dawa mbadala wa arv ambayo inatajwa kuwa na madhara au watu wasitumie kabisa arv kama tunavoambiwa mkuu Deception.

Kwanza ni faraja sana kusikia mtazamo huu unatoka kwa mtu aliye miongoni mwetu hapahapa nyumbani (naamini yuko Tzania). Huu ni uzalendo ulioje.

Naamini hata tunaom-challenge hapa sio kwamba hatutaki hilo lifanikiwe bali inawezekana ni ishu ya kujenga uelewa tu. Na hapo tusichokane, tuelekezane tu kwa upole na uvumilivu kwani hata huko madarasani wanafunz wanatofautiana uelewa, kuna wanaoelewa haraka na wenzangu ambao hadi tuvute kasi kwanza.

Jingine linaloleta maswali na tashwishi nyingi nafikiri ni kiu ya wadau kwenda kuyafanyia kazi maono haya ya mwenzetu huyu. Katika hali hiyo ni lazima mtu aelewe vema na hasa kwa kuwa suala lenyewe halihitaji kubahatisha kwa sababu linagusa uhai na maisha ya watu.
 
Mkuu
UKIMWI HAIUI KINACHOUA NI MAGONJWA MBALI MBALI MTU ANAYOYAPATA HASA BADA Y KUWA NA UPUNGUFU WA KINGA MWILINI.

kumbuka hata Sasa kila mtu au watu wengi wana TB(latent) lakini hujitokeza pale kinga inavyoshuka hapo tayari ni upungufu wa kinga mwili ndo umesababisha.Upungufu wa kinga mwilini unaweza sababisha na vitu vingi hasa kama huli lishe bora,unapata maradhi ya mara kwa mara na risk factors zingine.

Ndugu Deception nimefatilia hoja zako siku nyingi kwenye swala la ukimwi tuko pamoja ila kwenye HIV bado sijapata jibu japo nimemsoma huyu mdudu wa kutengeneza na kwakuwa evidence sina sijawahi kumuona.

Hivyo niseme sitakubali wala kukupinga hili jambo linahitaji uchunguzi wa kina maana kuna maswali mengi hapa,,hivyo endelea kutoa unachokijua nami naendelea kufuatilia vyanzo mbalimbali kufahamu hili jambo japo kwa sasa imani ipo kuwa HIV ipo kutokana na evidence mbali mbali ila siku zote elimu haina mwisho na kwenye medical uwezi kumaliza vyote nami nachukua nafasi ya kujifunza hapa.

Mwisho ndugu zangu siri ya afya bora ni hizi magonjwa utayasikia kwa jirani hasa haya mkubwa
1.Maji safi na salama
2.Chakula bora na mlo kamili (kile chenye virutubisho vyote vya asili sio vile vya viwandani)
3.Mazoezi ya Wastani
4.Usitumie vitu vyovyote vye kuhatarisha afya yako Ngono zembe,sigara,pombe nk
5.Pata Muda wa kupumzika wa kutosha kila siku.
6.Usafi binafsi na mazingira
7.Jua Maisha sio vita relax (hapa unahitaji kunielewa zaidi usikurupuke)

Nb:Unaweza ukawa na unavyovijua toa watu wajue
Mkuu,unaweza kutolea ufafanuzi zaid point ya 7?
 
Back
Top Bottom