Yani apa ndo naamini ni jinsi gani ulivyo na ni jinsi gani usivyo na akili timamu
Nilijua tu kwa kudeduce we ni mtu wa aina gan
Kwanza una pinga ukimwi af unaleta makala zinazo sema kuhusu kutafta dawa ya ukimwi baada ya kuua maelf ya watu na rate ikawa inaongezeka
Pili na kubwa kuliko unasema ARV zilikuwa zinatumika kutibu cancer kisa, AZT ni moja ya dawa zilizotumika kutengeneza ARV
Ni mtu mjinga pekee anaeweza kusema chuma ni gari wakati welevu wote wanajua chuma ni moja ya component iliyoko kwenye gari
Nataman ata nikuone maana nyuma ya mitandao unaweza kuta mlughalugha anaongea mambo ya kijingakijinga na sikuzote akili ya binadam inaenjoy kusikia itayofrah kuamini
Hizi ndio mbinu wanazozitumia kuwaogopesha na kuwadanganya watu....mbona mimi sikubaliani na HIV na sijafa kwa HIV?Wakuu kama sehemu ya elimu hii si vibaya tumgoogle mmoja wa waathirika huko ng'ambo huyu bwana hapa chini anaitwa Emery Taylor
[emoji116][emoji116]
![]()
How AIDS Denialism Can Kill You Part VI: Emery Taylor Dies at age 28
The Rethinking AIDS Website predominantly displays Emery Taylor as one of many people living just fine without HIV medications. The Home Pa...denyingaids.blogspot.com
Hamna kitu kama carrier kwenye huu ugonjwa ni either positive or negative
Maneno ya mtaani doesnt mean anything aslong as mtu anaspread umbea anaothan ni kwel
Kuna dem apa mtaani ilikuwa awe dem wang
Inavyosemekana alikuwa anatembea na mzee moja apa mtaani ambae inasemekana alikuwa mgonjwa wa ukimwi
Sasa dem kajaa skendo kibao mpaka kaondoka mtaani
Kundi moja la watu wanasema mzazi wake alimpimisha dem na dem akakutwa na ngoma na alilia sana alivyokutwa hvyo
Kundi lingine la watu wanasema dem hajatoka na yule mzee
Na jamaa wke ambae ni rafk yng na ndo alimtoa bikra anasema alimpima yule dem na dem hana ngoma
Kumbuka ata mi nikitaka kusambaza hyo habari ntasambaza nitayoona inanifrahisha nafsi
Ukiwa mtafiti habari ka hyo ni ngum sana kwako kuifanya maana mtafiti ili kufanya utafiti lazima apate evidence na ahakikishe kitu ambacho stori hazina
Ukimwi haupo kama hivo unavodhani ww...Yeye anao wewe huna hiyo mimba aliipata kwa uwezo wa roho mtakatifu au ulijifunga makombora?
Anza kuepuka ww Mungu hakuleta HIV , mbona HIV inakupa Muda kujipanga kugawa Mirathi afu ndo ufe c leo ukifata sharti la Dawa unaishi hadi 15 years extra time ogopa Sukari BP MalariaMada za HIV naziogopa sana.. mungu aniepushe aise
Kwaiyo nini mbadala wa ARV Kiongozi?Hizi ndio mbinu wanazozitumia kuwaogopesha na kuwadanganya watu....mbona mimi sikubaliani na HIV na sijafa kwa HIV?
Mbona humu kuna watu wengi tu hawakubaliani na HIV na hawafi?
Mimi natimiza wajibu wangu kutoa elimu sahihi kwa wengine,sasa uamuzi wa kukubali kufutilia/kudadisi na kisha kuelewa ninachokisema ni juu yenu.Mimi simlazimishi mtu.
Kinachoua watu ni magonjwa mengine kabisa...
Kasome vzr ww, na soma vzr nilivyoandika post zang zoteMmh nenda kasome vizuri kazi ya PEP Boss
Afu utuambie kwenye mwili ni sehenu gani ya mwili antibodies azifiki?
Jitahidi kuitoa vizuri shule yako boss tu akutegemea hapa
Mmh nenda kasome vizuri kazi ya PEP Boss
Afu utuambie kwenye mwili ni sehenu gani ya mwili antibodies azifiki?
Jitahidi kuitoa vizuri shule yako boss tu akutegemea hapa
Kasome tena kazi ya PEPVirusi hawaishi kutokana na science, so hawafi
Ninaposema kufa au mtu yoyote anaposema kufa inamaana wanakuwa inactive, na wanakuwa inactive pale conditions zake za kuwa active zinapoondolewa
Moja wapo ni wakiwa nje ya mwil wa binadam
So pep inachofanya ni kuua cell zilizokuwa affected ko na virus navyo ufa
Mwaka 2017 nilipimwa nikakutwa HIV+ na nikaanza kutumia ARV, lakini baada ya kupitia uzi huu https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/553230/ ambapo mkuu Deception alikuwa mchangiaji niliamua kuachana na ARV, na leo ni 2019 niko powa na kila nikienda kupima nakuta HIV-. Picha hizi ni ushahidi kuwa nilimfata PM akanipa ushauri jinsi ya kuachaView attachment 1143082View attachment 1143083
Ni rahis kuongea ata kama unachoongea ni uongo
Yawezekana bado unao sema unajipa moyo na unaamin kwel haupo au umetengeneza
Nihakikishie huna niamin na ntaubiri apa kuwa ni kwel
Mkuu hii kitu ipo nasi kwa rangi zake zote. Tunaishi nayo. Jielimishe na ujikinge na uwapendao.Mada za HIV naziogopa sana.. mungu aniepushe aise
Toka nyuma ya hiyo keyboard mkuu, jitangaze kama unajiamini.Dawa ya ukimwi ninayo Dozi ni miezi mitatu unapona kabisa
Kua wa kwanza kwanguToka nyuma ya hiyo keyboard mkuu, jitangaze kama unajiamini.
Kua wa kwanza kwangu