Kuna watu humu ni wa kawaida kabisa lakini wameweza kutambua jinsi ulivyo na uwezo mdogo wa kufikiri;
1.Wapi nimepinga ukimwi?hebu lete maandishi yangu popote pale nilipopinga ukimwi.
2.Ni kweli kwamba chimbuko au ARVs za mwanzo kabisa ni AZT na zilikua zikitumika kama treatment ya cancer...AZT ndio ARVs za mwanzo kabisa na zilikua zikitumika ku treat cancer,na uzuri ni kwamba,nimekupa uthibitisho kwa kukupa link usome ni lini AZT iligundulika na lengo la ugunduzi wake lilikua nini....AZT haikugunduliwa ili itumike kwa ajili HIV,bali iligunduliwa ili itumike kwa ajili ya cancer kunako mwaka 1960,na uzuri ni kwamba mwaka huo HIV/AIDS bado ilikua haijatangazwa...
Sasa sijui wewe unachopinga ni kitu gani...naona umekosa mahali pa kunikosoa sasa unaona ujitengenezee vijisababu vyako halafu ndio uvikosoe hivyo ukidhani unanikosoa mimi.
NB;
Nakumegea faida ingawa najua unanichukia...ngoja nikufundishe kitu...
Je,unajua kwanini AZT zilitengenezwa kwa namna zilivyo ili zitumike kwenye cancer?
Jibu ni kwamba,kipindi hiko kina Robert Gallo walikua wanafanya utafiti kwamba cancer ilikua inasababishwa virus....utafiti ili prove failure,sasa wakaamua kubuni jambo lingine ambalo wangeweza kuzitumia AZT kupiga hela na kutimiza malengo yao mengine...ndio sasa wakaja kuhusisha ukimwi na virus huyu wanayemwita HIV...hiyo nimekuibia kidogo tu...
Sasa kwakua wewe ni kiburi,siendelei kukufundisha mpaka uombe msamaha.,,,ha ha haaaaa