Watery
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 2,729
- 3,512
Wanakufa sema virusi vyote ni vigumu sana kufa
Kibaya cha ukimwi ni kinaweza kujificha sehem ambayo ata antibodies hazifiki
Ndo maana mwaka juz walipata concept ya kuvifichua virusi ili vijitokeze viuwawe ila tatizo likaja huwez kuvifichua vyote na madhala ya kuvifichua since unatumia madawa makali ya kansa
Ndo maana PEP unayokunywa inaenda kuviwahi virusi kabla havijaenda kujificha na kuwa untreatable

Wakuu naomba mnitoe ujinga kidogo ninvyoelewa mimi maana ya virus ni huwa kirusi hakifi kwa dawa yotote ile sasa unapopimwa viral load na kuambiwa unavirusi kazaa na unapoanza kutumia dawa viral load inaweza kuwa nil kama mnavyosema maana yake ikiwa nili virusi havione kani swala langu ni kama dawa zinafubaza na haziui virusi kwanini virusi visibaki vile vile vya mwanzo unapoanza kutumia dawa badala yake virusi vinapungua hadi viral load inakuwa undetected sawa vinakwenda wapi wakati dawa ni za kufubaza tu