FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,913
- 11,317
utapeliUnajua kwamba HIV inapatikana ktk Maji Maji yenye damu sasa kama hupigi show za kibabe unapataje HIV ni check 0769745533 nakupa tiba ya Hiyo kitu
utapeliUnajua kwamba HIV inapatikana ktk Maji Maji yenye damu sasa kama hupigi show za kibabe unapataje HIV ni check 0769745533 nakupa tiba ya Hiyo kitu
Noma snaa mkuuDaah ww ni mtu kutoka sayari nyengne kabisa na sio hii kwa huo moyo wako ww
ACHANA NA HUYO MPUUZI... ATAMUUA NDUGU YAKONdo mkuu tupe huo utaratibu wa namna wanaweza yakuacha ili nimuokoe ndgu yangu
Usiwapoteze watu kwa kuanza kuwapa miti shamba au wakaacha kunywa dawa kwa ujinga wako...Kuna utaratibu wa kufuata wanaweza kuacha ARVs,sio ghafla tu.Wapo wengi tu wameshaacha kutumia hizo sumu miaka mingi tu na hawana hata dalili kwamba kesho wataugua.
PEPUnatumia Prep??
Hongera msomi wa chuo.Hello,
Nina mpenzi wangu who is HIV+ for years now while I am HIV-
Alipata ujauzito miezi kadhaa iliyopita, nikampeleka Agakhan hospital ili aweze kuanza clinic ya mama na mtoto, kama kawaida ni lazima wamama wachekiwe afya zao though tulikuwa tunajua status yake, hivyo tukamwambia Nurse there is no need of doing the HIV test. Nurse akasema ni kitu cha lazima sio hiari yetu, basi akapimwa kwa rapid test method called Determinant majibu yakaja she is HIV-. Tukamwambia hivyo vipimo vyako vitakuwa ni vibovu, nurse akasema hapana acha nifanye confirmatory test using another rapid test method known as Unigold, tukasubiri majibu yetu after fews minutes majibu yakatoka tena she is HIV-. Utata ukaanzia hapo nikawaambia my fiancee tested HIV+ about 4 years back at Regency hospital and she has been on ARV's medication since that time and we have been checking for Viral load several times and the last viral load check we did shown still there were over 1000 viruses in her body. Sintofahamu hiyo ilituweka njia panda kwasababu hatukataka ku-risk usalama wa mtoto, tukaamua kwenda Regency kuonana na wataalamu wake ambao wamekuwa wakimtibu kwa kipindi cha miaka 4 sasa, Regency wakarudia kumpima using Unigold bado majibu yakatoka HIV- ndipo wakashauri tuchukue sample ya damu ipelekwe Nairobi ikapimwe kwa kipimo kinachoitwa ELISA bado tunasuburi majibu.
Sintofahamu niliyonayo mimi haswa how comes Viral load check still see over 1000 viruses, but our rapid antibody-antigens test shows a non-reactive results. I am not a medical doctor but I have read so many articles/documentaries about HIV/AIDS and that little knowledge I have plus Love is what gave me courage to be in relationship with someone who is HIV+ while am HIV-
Ninachojua hata kama viral load ingefika level ya kuwa undetected but so long as those antibodies are there in ur body then any rapid test will show reactive response.
MADAKTARI WETU TUNAOMBA MTUTOE KWENYE HIYO SINTOFAHAMU
Best Regards,
Mambomengimdamchache.
Huezi acha RV kiholela lazina ufate taratibu kwa Dawa nyingi ni miti Shamba kaka zinaboreshwa ktk tablets n.kUsiwapoteze watu kwa kuanza kuwapa miti shamba au wakaacha kunywa dawa kwa ujinga wako...
Ukiacha kunywa dawa mwaka mkubwa sanaa...ur gone
Mkuu jaribu kumpa mtu mitishamba alafu aache dawa then baada ya mwezi kapime Viral load yake...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] yale yale ya babu wa loliondoHuezi acha RV kiholela lazina ufate taratibu kwa Dawa nyingi ni miti Shamba kaka zinaboreshwa ktk tablets n.k
Kinachonishangaza hawa kama kweli wana uhakika hakuna HIV/AIDS, kwa nini wasijitokeze public waongezewe damu iliyothibitishwa ni ya mtu mwenye ngoma then wapime baada ya miezi mitatu.Mkuu jaribu kumpa mtu mitishamba alafu aache dawa then baada ya mwezi kapime Viral load yake...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] yale yale ya babu wa loliondo
Hebu tupe hizo faida za Alkaloid unayohitajibkila mara?Mti Shamba upi unampa sio kila Mti Shamba na huwezi mwachisha Dawa hadi pale Kinga zimefikia kiwango cha kutosha , Google neno Alkaloid usiwe mvivu inayopatikana ktk mimea kama tiba alafu irudi hapa na ulichokipata humo unaweza kutusaidia zaidi
Hebu tupe hizo faida za Alkaloid unayoitaja kila mara?
Hebu tupe hizo faida za Alkaloid unayohitajibkila mara?
Chief kama huamini HIV ni real naomba nikuletee damu ya mtu ambaye ni HIV + then ujichome uje kutupa mrejesho..... kama uko dodoma au dar nicheki tufanye mchongo huo then baada ya miezi mi 3 uje kutoa mrejesho humu ndaniJaribu kutumia lugha ya kistaarabu asee...
We unanitajia Microorganisms unadhani siwajui?
Nimezungumzia Antibodies wanaotumika kujua kama huyu mtu ni HIV+ au LA, na nikaeleza antibodies wanaweza zalishwa kwa magonjwa mengi sana.
Kipi kimekuwa kigumu kwa kichwa chako kuelewa?
Niambie, kwanini Leo mtu akienda kupima anaambiwa ni HIV+ na baada ya muda anaambiwa ni HIV-?
Nina wasiwasi sana wewe ni mmoja was wahusika wa kuwauzia WaAfrika wenzangu KIFO kwa matakataka yenu mnayoita ARVs.
Aibu iwe juu yenu...!!!
Hakika mkuuChief kama huamini HIV ni real naomba nikuletee damu ya mtu ambaye ni HIV + then ujichome uje kutupa mrejesho..... kama uko dodoma au dar nicheki tufanye mchongo huo then baada ya miezi mi 3 uje kutoa mrejesho humu ndani
Hawa jamaa sijui wanakaa sehemu gani...Hakika mkuu
Na hiki na mimi ndio nimewaomba HIV denialist wote.Wajichome tu tuwapime baada ya miezi mitatu ili dunia ijue ukweli.
Watanzani wanapenda kubisha kila kitu hata kama hajui kitu chenyewe na anatoa data alizowahi kusikia mahali wakisemaaHawa jamaa sijui wanakaa sehemu gani...
Kama wanaweza waende hosptali yyte kubwa jirani na wanapokaa watembelee ward ya internal medicine waombe kuonana na wagonjwa wa AIDS walio stage 4 ndio watajua ile kitu ni real na sio ya kuchezea hata kidogo...
Au kama bado inakuwa ngumu kuamini solutioni si simple tu....
Nimletee damu ya HIV + then mrejesho ataleta mwenyewe
Kwani hiyo electronic microscope ni shilingi ngapi kiasi cha kufanya iwe adimu sana na serikali yetu ishindwe kununua?