My fiancee who was HIV+ now tested HIV-

My fiancee who was HIV+ now tested HIV-

Mnasema HIV anaambukizwa kwa njia ya ngono,jamaa ameishi na mpenzi wake for years wakishiriki tendo mpaka mpenzi wake amepata mimba,maana yake hakutumia kinga...halafu miaka yote hiyo hajapata kile mnachokiita maambukizi...yaani bado mnang'ang'ania tu mi theory yenu ya ajabu ajabu..au unataka kusema hakupata mchubuko?...au labda mpenzi wake anatumia ARVs ndio maana yeye hakuambukizwa?...au labda yeye hana receptors?....ha ha haaa nacheka sana nikifikiria aina za majibu mnayopendaga kuwaambia watu.
Its all about chances
Usichojua ni bora ukae kimya
SmartSelect_20190630-132157_Chrome.jpeg
 
Yeah ni kwel kupata ni ngum kama anatumia dawa na viral load iko chini
Kuna wanaosema ata ikitokea umegusans mma nae dam unaweza usipate though njia ya dam ndo effective sana
Imekuwaje nipo kwenye relationship ya namna hii na imewezekanaje sina maambukizi mpaka leo.
Jibu lake ni hili;

Nilianza ku-date na huyu mdada nikiwa sijui status yake kabisa, nilipokolea na penzi na kutaka kuoa ndipo nilipoanza kutafuta watu wanaomjua huyu dada pamoja na familia yake kiundani......Mdau mmoja wa karibu na familia yao ndio alinitonya kuwa huyo dada kuna kipindi aliugua TB akakonda sana na baadaye ikaja kuthibitika kuwa ni HIV+. Hiyo taarifa ilinistua sana na kunitia kwenye dimbwi la mawazo..ila nililazimika kumuita mpenzi wangu anithibitishie na hakika aliniambia ni kweli she is HIV+, Nikamuuliza kwanini unataka kumuangamiza mwanaume anayekupenda upeo? Jibu lake lilikuwa simple sana "am sure you are safe" akiwa na maana kwamba aliambiwa na madaktari wake as long as atatumia dawa vizuri basi haitakuwa rahisi yeye kumuambukiza virusi mtu mwingine, nakumbuka that day nilimtandika vitasa ( ngumi na makofi) vya kutosha.
Kesho yake nilinunua vipimo mimi mwenyewe nikampima na kumkuta kweli she is HIV+ namimi nilikuwa HIV-, basi hapo hapo nilifanya maaumuzi ya kuachana naye na tukawa mbali kabisa.

Kwa kipindi cha miezi 3 tu tukiwa tumeachana huyo mdada alifanya majaribio ya kutaka kujiua kwa kumeza vidonge vya fragili mara 2 bahati nzuri ndugu walikuwa wakimuwahisha hospital.

Akaanza kuugua na ukichaa kwa sababu ya msongo wa mawazo basi hapo ndipo huruma iliponiingia na kuamua kuanza kurudisha ukaribu wangu kwake, weekend namtoa out mbalimbali as a normal friend ili apunguze stress, basi taratibu nilianza kumpenda penda tena

Nikaanza kujiuliza kama nililala naye kavu almost mwaka na sina maaumbukizi basi huenda hayo aliyoambiwa na wataalamu wake yana ka-ukweli, basi nami nikaanza kujisomea makala mbalimbali juu ya HIV/AIDS na kwa kweli nilichimba kadiri nilivyoweza. Baada ya kusoma sana basi ile hofu yangu juu ya HIV ikaanza kupungua.

Baada ya kipindi cha kama miezi 8 toka tuachane basi mapenzi yetu yakaanza tena upya tukifanya mapenzi nikiwa nimevaa kinga. Baada ya miezi kadhaa kupita ustaarabu wa kutumia kinga ulinishinda ndipo nikafungulia tena kupiga kavu under condition that sitapiga zaidi ya bao moja na kutumia mda wa kutosha kuandaana kabla ya sex, good thing bidada huyu yupo wet kupita maelezo.

So guys mpaka leo mimi naamini sina maambukizi sababu mpenzi wangu anatumia dawa vile inavyopaswa na hata mimi hujipa jukumu la kumkumbusha kila mda wa dawa unapofika. Maumbile yake kuwa Wet kirahisi wakati wa kumuandaa na kutopiga zaidi ya bao moja vyote hivi ndio vimechangia mimi kuwa salama.
 
Hello,

Nina mpenzi wangu who is HIV+ for years now while I am HIV-
Alipata ujauzito miezi kadhaa iliyopita, nikampeleka Agakhan hospital ili aweze kuanza clinic ya mama na mtoto, kama kawaida ni lazima wamama wachekiwe afya zao though tulikuwa tunajua status yake, hivyo tukamwambia Nurse there is no need of doing the HIV test. Nurse akasema ni kitu cha lazima sio hiari yetu, basi akapimwa kwa rapid test method called Determinant majibu yakaja she is HIV-. Tukamwambia hivyo vipimo vyako vitakuwa ni vibovu, nurse akasema hapana acha nifanye confirmatory test using another rapid test method known as Unigold, tukasubiri majibu yetu after fews minutes majibu yakatoka tena she is HIV-. Utata ukaanzia hapo nikawaambia my fiancee tested HIV+ about 4 years back at Regency hospital and she has been on ARV's medication since that time and we have been checking for Viral load several times and the last viral load check we did shown still there were over 1000 viruses in her body. Sintofahamu hiyo ilituweka njia panda kwasababu hatukataka ku-risk usalama wa mtoto, tukaamua kwenda Regency kuonana na wataalamu wake ambao wamekuwa wakimtibu kwa kipindi cha miaka 4 sasa, Regency wakarudia kumpima using Unigold bado majibu yakatoka HIV- ndipo wakashauri tuchukue sample ya damu ipelekwe Nairobi ikapimwe kwa kipimo kinachoitwa ELISA bado tunasuburi majibu.

Sintofahamu niliyonayo mimi haswa how comes Viral load check still see over 1000 viruses, but our rapid antibody-antigens test shows a non-reactive results. I am not a medical doctor but I have read so many articles/documentaries about HIV/AIDS and that little knowledge I have plus Love is what gave me courage to be in relationship with someone who is HIV+ while am HIV-

Ninachojua hata kama viral load ingefika level ya kuwa undetected but so long as those antibodies are there in ur body then any rapid test will show reactive response.

MADAKTARI WETU TUNAOMBA MTUTOE KWENYE HIYO SINTOFAHAMU

Best Regards,
Mambomengimdamchache.
thats a miracle
 
Sasa mkuu sisi wenye ndugu ambao wanatumia ARV tufanyaje kuwanusuru wawe wazima wa afya

Mkuu.. Watu wa mfano wa Deception wapo sana kote duniani. Anachokisema ni sahihi upande wao. Hao ni "pseudoscientists".. huwa either wana "false reasoning" au wanafanya kusudi kwa faida zao. Ndiyo maana utakuta wanaomsupport wanakuja na kuandika number zao za simu eti wanasaidia.. by the way, hata hao wanaocomment anaweza kuwa ni yeye mwenyewe na id zake tofauti tofauti, who knows? Ogopa sana internet.. Hizo clips anazowawekea.. How sure kama zote anazoweka ni kweli hao watu wameongea? what if ni internet fubrications? Kawaulize wale walioacha dawa wakaenda kutibiwa kwa "babu wa Loliondo"..
Nawasikitikia sana..eti anawashauri muache dawa, amesahau kuna watu wengi waliacha dawa wakatumia hizo alternative medicines, at the end wakaja na shuhuda mbalimbali waliporudi miguu yote miwili kwenye ART..

Alternative medicine ipo, na ina branch yake ambayo inatambukika kisheria.. Lkn ina misingi yake tofauti na huyu bwana anavyo-proclaim.

Nimekuwa nikimfuatilia kwa muda mrefu, mabandiko yake yote. Justification zake ni za kuungaunga. Anawezaje kuconclude kwa sample size ndogo eti mtu ukiandika ndo anakutumia kama mfano, wakati wenzake tuna cohort ya muda mrefu na bado tunaenrol clients na tunaendelea kuwafuatilia.. Nimemwambia kama haamini aje huku.. yeye awe testimony kwa followers wake.. misingi yote ya kisheria ifuatwe.. apigwe just a low dose ya HIV virus.. Baada ya miaka kadhaa aje awaambie ndugu zake kama HIV yupo au hayupo.
Eti anakushauri ndugu yako aache dawa.. nakusikitikia sana ndugu yangu.
.
.
.
By the way bado nasubiri aniletee proof from the lab kuwa HIV virus hayupo kama walivyofanya wenzake walioleta proof from the lab na kutuletea structure ya huyo virus. Siyo hizo fubrications from the internet kwa faida ya pseudoscientists. Eti wanachopima ni kitu kingine kabisaaaaa.. Hiyo kitu kingine kabisaaaaa ni nini??
.
.
.
Kuna mtu amesema eti Madaktari wa jamii forums wamemshindwa.. Huyo mtu anashindwa kujua kuwa hakuna daktari asiyejua alternative medicine na uwepo wa pseudoscience.. wanachofanya ni kumpuuza huyu bwana... wenzie wamespend upto 15 and forth yrs learning on just one component of science from different angle globally, yeye anagoogle conspiracists, anajidai ndo proof zake.
Anasahau conspiracists wapo kwa kila angle.. kila existing science kuna watu wana mawazo mbadala.. ndiyo maana kuna "science community".. kupitia all emerging ideas, kutafuta proof.. na either ku-endorse au vinginevyo.
Eti wamepumbazwa.. yaani wote wapumbazwe isipokuwa yeye tu? What a psychopath.
Pathetic.
 
Maneno yako yanaonesha fika unaogopa
Kusema ushawah ni rahis ata kama hujawah
Nenda ukapewe virus ulete marejesho
Af sio kwa kufanya ngongo
Ni tukuchome sindano ya dam ya mtu mwenye virusi

Au mybe utakuwa na ngoma unajarb kuwaambia wenzako wasiwe makini ili mfe wengi
Nikizungumzia BRAINWASH hii ndio maana yake halisi,yaani mtu anabadilishwa namna yake ya kufikiri ili awe anafikiri kwa namna ile ambayo programmer wake anataka awe anafikiri kwa manufaa ya huyo programmer.

Hebu soma haya maneno yako hapa chini uone kama na wewe ni mwathirika wa hii BRAINWASH;

"Vinginevyo uje huku nikukutanishe na mwenye virusi, tupitie sheria.. then upewe miezi mitatu tu uwe unamchovya kama hivyo unavyoshauri wenzio. Kama haujaanza kuhara kabla hata ya incubation period"

Hayo maneno wapo wenzako wengi tu walishaniambia mara nyingi tu,sikushangai kwakua najua una huu ungonjwa uitwao 'brainwsh'..

NOTE:
Umesema utanipa mtu mwenye HIV nifanye naye ngono kwa miezi 3 tu,na unaamini kwamba nitaanza kuugua baada yapo...lakini umejisahaulisha kwamba humuhumu kuna mtu anafanya hivyo unavyotaka kwa miaka mingi lakini hadi leo anapima NEGATIVE....yaani huu mfano hai wa humu umeshausahau,sasa unafikiri hata mimi nikifanya hivyo unavyotaka nitaweza kubadili akili yako ambayo tayari imeshaathirika vibaya?

Pia kuna mwingine yeye amesema amefanya hivyo zaidi ya mara 8...yote haya unajisahaulisha.

Nilichojifunza kwanzo ni kwamba,you are not driven by evidence,bali wewe unaendeshwa na mihemko ya kipropaganda za media from west pamoja na kupenda kukariri bila kuhoji.
 
Kwa sasa ni ruksa kila mtu kupiga domo kadiri atakavyo, kwa sababu DAWA ZIPO watu hawadhaliliki tena kama zamani.

Nikikumbuka jinsi majirani zangu Baba na Mama Mapinduzi walivyodhalilika mtaani kwetu kwa kuchomoza mbavu na mabega mithiri ya kuku wa mdondo na hatimaye wote kufariki wakiacha watoto wadogo, ndugu na majirani miaka ile ya tisini sina hamu na hili gonjwa.
 
Unapaswa ujue kupata HIV sio rahis kiivyo
Kupata ni game of chances ambapo ina ugum wake
Kama akijs kwako mchome dam ya alie na higher viral load na si vinginevyo
Mkubwa Deception.. nimerudi hapa kufuata papers zako pamoja na citation za wanasayansi wako wengine walioprove kuwa hakuna kirusi anayeitwa HIV. Kama nilivyoomba mwanzo, nitahitaji nione kwa paper zako methodology including mechine zilizotumika. Nahitaji ku-brainwash hii sumu niliyolishwa.

Nashangaa nakutana na hizi propaganda badala ya kutekeleza maombi yangu, ewe mwanasayansi.

Labda kukujibu; nimekutaka wewe uje nikukabidhi kwa HIV positive clients kwasababu ninao 250,000 ambao wana maambukizi.. ninao zaidi ya 500 ambao awali walikuwa kwenye discordant relationship thereafter wakaturn kuwa HIV positive.
Kwanini nianze kuignore hii sample size yangu nifuate mfano wako mfu wa sample size 10 kama unavyojipambanua wewe mwenyewe?

Namuamini vipi huyo anayesema amefanya sex mara 8 na HIV positive person? Just bz ameandika? What if ni wewe mwenyewe una id zako nyingine za kusupport false justification zako ili uendelee kuuza matunda yako??

Nitaendelea kukusubiri uniletee justification kwasababu nimedhamiria kujifunza upya kuhusu HIV. Tena natamani nijifunze kupitia wewe. Njia pekee ya kujifunza ni kuleta proof za kutoka lab kuwa huyo mdudu hayupo.
Siyo porojo zako za kutafutiza weak spot kuconclude eti HIV hayupo.
Ewe mwanasayansi nguli.
SmartSelect_20190630-132157_Chrome.jpeg
 
Hilo ni swali gumu kidogo kwangu labda wataalamu watusaidie. Mimi mwenyewe honestly nilianza kuigonga K ya huyu bidada kwa nidhamu baada ya ku-confirm status yake kwamba ni HIV+ ila wakati sijui status yake nilikuwa naichapa na kuisugua kisawasawa kiasi cha kupata michubuko kabisa....nilijiuliza sana hivi kwanini sikupata maambukizi kipindi kile? Jibu nililopewa na wataalamu ni kuwa vidudu vilivukwa vimefubazwa na dawa za ARV's
 
Hyo ni kama negligible sema kuna baadhi ya viking ascendants pekee ndo hawapati
Ambayo population yao ni below 2mil dunian
Wengine wote ni game of chances na ratio
Unaweza ukalala na mwenye ngoma ata mara 2000 na usipate
Kuna watu hawawezi pata Ukimwi kabisa.. Cell zao hazina markers special kwa ajili ya HIV...!![emoji2089][emoji2089]
 
Unapaswa ujue kupata HIV sio rahis kiivyo
Kupata ni game of chances ambapo ina ugum wake
Kama akijs kwako mchome dam ya alie na higher viral load na si vinginevyoView attachment 1142880
Boss mwache aje.
Tutaona vifungu vinasemaje ili kila mtu awe safe kisheria. Tutaliweka wazi kwasababu tunachohitaji ni kuuhakikishia uma.. Tutamuenrol kwenye cohort yetu. I am serious of this.
.
.
Napata ukakasi namna anavyotaka kupotosha watu. Anabase na wale ambao wanapata exposure na hawapati, wale wanaopata exposure na kuukwaa hawagusii kabisa.. Anajiitaje mtaalam mtu wa hivi? Cz kama ni mtaalam anatakiwa awe na reasoning kwenye 360° na awe na uwezo wa kutoa "postulates"..

Aliambiwa watu wanapimwa viral load.. Anajibu hiyo siyo viral load bali ni kitu kingine ambacho hajui ni nini. Kama haujui unakaa kimya, unakubali kudanganywa cz haujui.

Kuna yule mwingine anasema kama nchi hatuna kabisaaaa kipimo cha HIV ila tunapima antibodies..
Comment kama hii unajua kabisa huyu mtu ni "layman"..

Akiniletea proof zake naombeni mnitag
 
Ha ha ha haaaaaaaaaaaa!....wanaonifahamu wanaelewa kwanini nacheka.

There is No way to test for HIV,kwasababu hakuna HIV duniani...kinachopimwa kwenye damu si HIV bali ni kitu kingine kabisa.

Tumepigwa changa la macho zaidi ya miaka 30 sasa.

HIV/AIDS is a MINDSET DISEASE.
mkuu tuambie hicho kitu kingine ni kipi
 
Acha kudanganya watu wafe ww
Kuna utaratibu wa kufuata wanaweza kuacha ARVs,sio ghafla tu.Wapo wengi tu wameshaacha kutumia hizo sumu miaka mingi tu na hawana hata dalili kwamba kesho wataugua.
 
Wakuu naomba mnitoe ujinga kidogo ninvyoelewa mimi maana ya virus ni huwa kirusi hakifi kwa dawa yotote ile sasa unapopimwa viral load na kuambiwa unavirusi kazaa na unapoanza kutumia dawa viral load inaweza kuwa nil kama mnavyosema maana yake ikiwa nili virusi havione kani swala langu ni kama dawa zinafubaza na haziui virusi kwanini virusi visibaki vile vile vya mwanzo unapoanza kutumia dawa badala yake virusi vinapungua hadi viral load inakuwa undetected sawa vinakwenda wapi wakati dawa ni za kufubaza tu
 
Akiacha kutumia iki ndo kitachofata

Ataishi mwaka wa kwanza vizuri sana
Ataishi mwaka wa pili vizuri sana
Ataishi.mwaka wa nne vizuri sana
Waka wa tano mpaka 8 ataishi kwa kusuasua kimtindo
Wa kumi na tisa ndo atakuwa na hali mbaya zaidi kiasi cha kuanza kufakufa

Yan katika watu wote duniani ni mtu moja tu ndo agundue hakuna ukimwi na kuanza kukushawishi hamna ukimwi
Mtu mwenyewe si mwanascience bali ni observe na mtu wa vijiwen
I wish ungewasha camera yko umuone upande wa pili
Ndo mkuu tupe huo utaratibu wa namna wanaweza yakuacha ili nimuokoe ndgu yangu
 
Ata ukiviacha ghafla hamna kibaya
Jiulize kwann miaka ya zamani walikuwa wakikukuta na ukimwi wanakwambia ukianza kuugua ovyoovyo ndo uanze doz
Ndo mkuu tupe huo utaratibu wa namna wanaweza yakuacha ili nimuokoe ndgu yangu
 
Mtu yeyote akitumia dawa ipasavyo chances za kuambukiza zina approach zero
Inaweza kuwa kweli.
Ila kwa brother iko tofauti, mke wake ni wale watu ambao akili zao hazipo timamu, na walipomgundua walimuanzishia dawa za ARV lakin hakuwai kuenda kuchukua tena, aliishia kuchukua za kumkinga mtoto tu akawa akiwadanganya madaktari kuwa anatumia ARV. Mpaka leo hatumii hizo dawa na brother pamoja na mtoto wake( ana mwaka mmoja saiv) hawana maambukizi.
Hapo mimi nadhani ni kwa sababu virus vinashindwa kuivamia damu yake (non compatible)
 
Back
Top Bottom