teh teh teh si n'chezo inategemea n'ntu na n'ntu
nimekaa kimya kwa kuwadharau now mnaona nimewaogopa
so be very carefull kama unajua maana ya ip no
basi ujue nitakushika na utajuta kuzaliwa...
All i need is one phone call and you punk can be history.......
nimekaa kimya kwa kuwadharau now mnaona nimewaogopa
so be very carefull kama unajua maana ya ip no
basi ujue nitakushika na utajuta kuzaliwa...
All i need is one phone call and you punk can be history.......
Hivi watanzania gani ambao sio wanasisa wala viongozi ambao tunaweza kusema wemeifanyia nchi makubwa...au tunaweza sema
Ni watanzania ambao tunawapenda na kuwakubali kwa wanayoyafanya....
Mi nawa nominate watu hawa...
Michuzi
JamiiForums
Lundenga
Clouds FM
TCCIA
IPP Media
Azaki
Kipanya
wengine mnaweza wataja.....
bosi kama uneichukulia personal samahani, i didnt mean anything personal; but i wouldnt go for lundenga [dalali wa ukahaba] wala mkipanya [for no reason]
enjoy your thread
hapo kwenye nyekundu kuna mushkeli kidogo... Lakini kama mtm alivyosema hayo ni maoni yako. Naomba unitajie vitu vitano vikubwa ambavyo hawa waungwana wamevifanya.
mimi na wewe ni peace tu my friend...
Sijachukia lolote.
Actually nimefurahia mchango wako humu...
Kuhusu lundenga ni kweli ana matatizo hayo but industry imekuwa kubwa i mean vodacom wanatoa one bilion tsh kwenye urembo huwezi sema lundenga hajacchangia mafanikio hayo.
kipanya ana mchangi mkubwa kwenye katuni zake..
Usisahau yeye ndie first political cartoonist tanzania.
Kwenye vipindi vya tv
atleast watanzania wanaweza kutazama ubunifu wake na wakacheka au kufurahi....
Remember nimesema favourite na sio hero....
kama nilivyosema yeye ni dalali wa ukahaba...
lakini hii ni thread yako na unajua kwanini ulianza na hao hapo na kuacha wengine wazito kwa taifa letu
- voda wanaochangia hiyo hela kuna interest za watu fulani mazee, lakini pia wanatumia mashindano kama bango la matangazo
- kuna ufisadi mkubwa sana hapo kuhusu hao mabinti, siwezi sema mengi lakini private [hidden sponsors] ni wengi zaidi, its is more of abuse than..******
- ukija kwake mwenyewe, unajua tabia yake halisi???
- kwa kipanya sidhani kama amefikia kuwa role model
actually mimi pia nilikuwa na msimamo kama wako...
But think about it.
Kuna watu wangapi wana abuse wanawake hapa tanzania kwenye nafasi zao....???
At least lundenga kama anawa abuse ni wale wanaokubali
i mean wana uhuru wa kukataa...
All in all siamini kwamba unahitaji kuweka bilioni moja ili
tu utembee na wasichana wengi wa kitanzania....
Wapo watu wana abuse wasichana na hawatoi hata shilingi umenipata?????????
Halafu mkisoma vizuri nimesema ni nawa nominate......i mean sijawachagua but napendekeza muwajadili so go on....
so be very carefull kama unajua maana ya ip no
basi ujue nitakushika na utajuta kuzaliwa...
All i need is one phone call and you punk can be history.......
we will see....
I am a man of few words.....
abuse ni abuse, period!!!! Huwezi sema huyu ni bazazi poa, huyu sio...
1. Haruob Othman
2. Issa Shivji