shigongo??????????????
upi huo wa kuandika habari za kuwachafua watu????
Habari za uzushi na uwongo??????
Hivi watanzania gani ambao sio wanasisa wala viongozi ambao tunaweza kusema wemeifanyia nchi makubwa...au tunaweza sema
Ni watanzania ambao tunawapenda na kuwakubali kwa wanayoyafanya....
Mi nawa nominate watu hawa...
Michuzi
JamiiForums
Lundenga
Clouds FM
TCCIA
IPP Media
Azaki
Kipanya
wengine mnaweza wataja.....
why????????
But we huoni hiyo industry ya urembo kaanzisha yeye hata kama
ana hitilafu zake?????????
why????????
But we huoni hiyo industry ya urembo kaanzisha yeye hata kama
ana hitilafu zake?????????
mmemsahau mwanakijiji
i will catch u ,i will teach something.
Dont mess with someone u dont know very well.
Dont say i didint warn u.
i will catch u ,i will teach something.
Dont mess with someone u dont know very well.
Dont say i didint warn u.
Sure boss... especially when you are "smiling devilish!!" 😛