My favourite local tv to watch

Kwenye hizi zote sidhani kama Start TV inampinzani, hasa kipindi chao kile cha asubuhi, msikilizaji na mtazamaji huwa wanaruhusiwa kupiga simu, tena line yao haina jam kama ITV, mkuu jaribu kufuatilia hasa Jumamosi wakati wanachambua magazeti, kuanzia saa 1:30-9:00 hakika roho yako hadi itasuhuzika!
 
mi Sibuka.... hivi hakuna mjanja wa kuanzisha chanel ya mamove tu na burudani kidogo... nafikiri atapata sana watu manake wapenzi wa move tuko kibwena
 
Back
Top Bottom