My-Ex

Ngoja kwanza,nani alikua chanzo cha kuvunjika kwa mahusiano yenu?
Je kama ni wewe ulichukua hatua gani kuzuia hilo la kutengana lisitokee?
Wewe bado WAMPENDA hivyo rudi mwombe msamaha then usikilize atasemaje.
 
Kwanza tupe sababu ya kuachana. Halafu jibu swali .Je sababu bado inahold water au la. ? Check out your emotions mkuu.
 
My-Ex

--------------------------------------------------------------------------------

Heshima wakuu..

inakuaje pale umeachana na mamsapu wako kitambo na bado yuko ndotoni kama jana vile?
nimeachana na ishu yangu miaka 4 iliyopita but bado nina filingz nae mnoo.kwasasa tuko mbali mbali,yeye yuko bongo.
dont get me wrong i have moved on since then,but kila demu naempata i cant stop comparing to my ex.i want her back.

so far najua hajaolewa!!!

ANS :SIMPLE
AMUA MABOX AMA MY EX
 
Kwanza tupe sababu ya kuachana. Halafu jibu swali .Je sababu bado inahold water au la. ? Check out your emotions mkuu.

mheshimiwa tatizo umerukia treni kwa mbele...
sababu ziko wazi kwa wale walionipata from the beginning..

ni hayo tu mkuu
 
Wakuu...

After ushauri wenu nimewasiliana na ex-mamsapu wangu,and i must say her response was encouraging...in simple terms,she was happy to hear from me,we talk for 3hours!!!.....yes,i counted!!!

Sijaweka hadharani dhamira yangu yet.....

Stay tune
 
Hongera, lakini usikawie kufikisha ujumbe wako. Maana na yeye sasa hivi ana furaha tele kusikia tena toka kwako baada ya kipindi kirefu. Kila la heri.
 
Heshima wakuu..

inakuaje pale umeachana na mamsapu wako kitambo na bado yuko ndotoni kama jana vile?
nimeachana na ishu yangu miaka 4 iliyopita but bado nina filingz nae mnoo.kwasasa tuko mbali mbali,yeye yuko bongo.
dont get me wrong i have moved on since then,but kila demu naempata i cant stop comparing to my ex.i want her back.

so far najua hajaolewa.

wakuu msaada tafadhali...nitalitatuaje hili tatizo?
Na kwataarifa yako ukimuacha mke mwaka mmoja lazima ugongewe
 
Back
Top Bottom