My-Ex

wakuu...
first of all ngoja niweke mambo uwazi zaidi ili m-weigh in hii ishu kwa uzuri..ni mimi ndo nilimtendea ubaya kwa ku-dump,thinking the "grass is greener on the otha side", ofcourse ukichangia na utoto wa akili basi nikajua demu analeta za kuleta.
nikaanza kuwa na ishu nyingine,my ex found out and she was willimg to work things through but mimi kijogoo nikampiga chini for good.

how wrong was i to think the grass is greener.....nimezunguka na kuzunguka,and now i know for sure she was ONE OF A KIND!!!!!!ALINIPENDA FROM HER HEART AND I LET HER GO,AND NOW IM IN PAIN UNIMAGINABLE...

WILL SHE FORGIVE ME AFTA THIS LONG? i love her na i miss her daily

...typical! dah, bro hapo kazi ngumu unayo... unatarajia yeye aokote every single piece of broken glasses (which symbolizes BROKEN HEART) kisha aziunge unge tena mpaka kila single piece ya glass ikae sehemu yake,... mnh... bado hiyo chupa/glass itakuwa ina nyufa nyingi kadhaa ambazo ni wewe itakuwa jukumu lako ku handle with care!

Kwakweli umemtenda vibaya sana Bro, duh!, inasikitisha, maana unasema ulim dump, akafanya jitihada mrudiane, uka cheat, kisha uka m dump tena...after 4YEARS!!! ndio unakuja kubaini you were wrong?! Sijui...

Ninaloweza kukushauri sasa ni KUMUOMBA MSAMAHA KWANZA kwa yote yalotokea, mueleza ukweli kuhusu feelings zako kwake,... then mpe yeye uamuzi wa kuamua nini analotaka kuhusu uhusiano wenu. It may take time, kwani tayari Scars ulizomuachia zilishaanza ku heal (labda) na ili kuepusha wewe kumtonesha tena, atataka kukujua tena Upyaaaaaaa....

Speak with her, lakini mpe muda wa kutosha kutoa uamuzi wake, hata akikataa, kumbuka ni haki yake baada ya mateso na machungu makubwa uliyompatia...

Be brave, ndio uanaume huo kunyenyekea na iwapo kweli unaamini ulikosea, anastahiki msamaha wako.
 
is all about luv usijifanye kidume nenda tu kapige magoti mbembeleze ,halo halo halo unalo!!!!!!na usiombe demu mwenyewe awe na hasira na wewe utakoma,n way kila la heri
 
Its not easy to forgive but to forget is even harder.Wale watu nimeona wakiwa in these situation wakirudiana huwa hawakai in peace.It is always up and down namwenye kumkosea mwenzake huwa held hostage.Its like they never move on from the initial problem.Tena chances za kutendwa na mpenzi kama huyu are very high because they know they can live without you(during the 4 yrs).Luv is like a spring esp before marriage-maji iko tamu ikiwa clear lakini once it becomes polutted,you will have to drink the water with the mud though it will quench your thirst it will have a bitter taste.If you cant live without her and love her too much get her back but if you can move on please do;a fresh start is always the best thing.
 
Mie mwenyewe mke niliye naye alinibwaga tena kwa mikwala kibao na viapo vyote kwamba simfai, lakini mwenyewe ndio alirudi kimtindo na ngonjera kibao za kubembeleza, na kwa kuwa nilikuwa bado namzimia nilimkubali, na tulifunga ndoa. Tuna watoto watatu sasa, na ni miaka 8 imepita, we both appreciate we are happier than we had ever been.
 
Mkuu Rogue,kama walivyosema wakuu wengine ni vyema ufanye mawasiliano haraka na huyo binti na uanze kwa kumuomba msamaha kwa kile ulichokifanya wakati ule na umwambie ungelipenda kama inawezekana muanze upya mlifufue tena penzi lenu na mungu akipenda mfunge ndoa na muishi kama mke na mume.

Naamini hawezi kukupa jibu wakati huo huo kwasababu inawezekana kabisa akawa ameanzisha uhusiano mwingine kwahiyo atahitaji muda wa kuweza kufanya maamuzi sahihi. Nafikiri unatakiwa ujiandae kupokea jibu lolote kati ya YES au NO kwasababu miaka minne ni mingi na inawezekana yeye ameshakuondoa kabisa moyoni mwake.

Hebu jaribu kijana bahati inaweza kuwa yako.
 
wakuu...
first of all ngoja niweke mambo uwazi zaidi ili m-weigh in hii ishu kwa uzuri..ni mimi ndo nilimtendea ubaya kwa ku-dump,thinking the "grass is greener on the otha side", ofcourse ukichangia na utoto wa akili basi nikajua demu analeta za kuleta.
nikaanza kuwa na ishu nyingine,my ex found out and she was willimg to work things through but mimi kijogoo nikampiga chini for good.

how wrong was i to think the grass is greener.....nimezunguka na kuzunguka,and now i know for sure she was ONE OF A KIND!!!!!!ALINIPENDA FROM HER HEART AND I LET HER GO,AND NOW IM IN PAIN UNIMAGINABLE...

WILL SHE FORGIVE ME AFTA THIS LONG? i love her na i miss her daily

Rogue, pole sana mkuu!

Huyo mwanamke alikuwa/ana nini ambacho umeshindwa kukipata kutoka kwa wanawake wengine? - Just curious! Je huyo mwanamke unampenda au unamtamani tu? Kuna mada humu jamvini inaendelea kuhusu kupenda na kutamani ('love and lust') nadhani inaweza kukusaidia kujua position yako. Maelezo yako yanaashiria unamtamani zaidi kuliko kumpenda huyo mwanamke. Yeye inaelekea alikupenda na hata alikuwa tayari muendelee na uhusiano wenu pamoja na ukweli kwamba ulimsaliti.

Rogue, kupenda ni jitihada ya makusudi na kamwe haiji kwa bahati. Ndio maana nina mashaka kama hizo hisia ulizonazo tunaweza kuziita 'kupenda'.Kupenda ni kutoa zaidi kuliko kupokea. Ukweli kwamba umeshindwa kupata mwenza kwa miaka minne, inaashiria kwamba pengine wewe ni mtu wa kupokea zaidi kuliko kutoa. Kwa mtu anayejua kutoa si vigumu kupata mtu wa kupokea. Ni vizuri focus yako kwenye mahusiano ikawa zaidi kwenye nini unatoa na si nini unapokea (unconditional love) - kama vile baba/mama anavyopenda mtoto/watoto wake!

Ni vizuri umegundua kuwa ulimkosea. Ni vema ukamwomba msamaha unconditionally, na yeye atambue hivyo. Usiombe msamaha ati kwa sababu unataka mrudiane. Si vibaya kama baada ya kumwomba msamaha ukamwonesha pia kwamba huna 'mtu' kwa sasa. Jenga mawasiliano na umpe muda, ili wazo la kurudiana litoke kwake na si kwako. Kama hatatoa wazo la kurudiana, basi tafuta mwengine wa kumpenda(ninaamini wapo wengi). Lakini kama unataka kupendwa (bila wewe kwanza kupenda) basi itakuwia vigumu sana ku-stabilize.

Ni hayo tu kwa sasa.
 
Mke wako wa kwanza ndie mke. Wengine ni wapitaji tu. Wengi wamakupa ushauri mzuri na wengine wamkujoki. Kaa chini yatafakari na chagua hapo yaliyo sahihi. Mimi ninakushauri umtafute huyo mamsapu wako wa kwanza, fanya maongezi nae ili kujua msimamo wake then mjimuvuzishe ANGAZA kuchaki afya. Kwani miaka minne ni mirefu. Ile samthing haiwezi kukaa bila kuguswa au kugusa.
 
Mkubwa mbona hiyo simple sana.......! kama hunacomittment na demu mwingine for now, aisee is very easy mtwangie tu...ila hakikisha na yeye ankufeel kisanaa na hajakamatwa bado or hajajikamatisha!
 
Ebwana eeeh nenda kamcheki akiwa poa kuwa na msimamo..... mimi naugulia mapenzi mtu wangu we wacha tu....

Mimi nakuombea Kheri Insha'allah ufanikiwe.
 
Very interesting... now you understand the saying 'you never know somethings' worth till its gone' the best thing cha kufanya sasa ni kumuomba msamaha, you are carrying alot of guilt in you... you have realised how much you hurt her and feel sorry, mtafute umuombe msamaha hata kama yeye hatokubali mipango yako... it will be better and even healthier for u. then depedning on how she responds , gauge and see if you can ask her for a second chance.... this things happen and sometimes for a reason... to open your eyes and see the real issues. sometimes you have to burn your fingers. Miaka minne ni mingi kama bado yupo yupo tu basi una bahati sana. plus comparing your new Gf with your ex is normal.. but to actually move on.. you should appreciate each of them as a unique person. very different from the previous.

let us know how it goes... Wana JF we care!! and all the best. akikataa ni-PM tu... LOL we can work something out... and am very different from her kwi kwi kwi
 
let us know how it goes... Wana JF we care!! and all the best. akikataa ni-PM tu... LOL we can work something out... and am very different from her kwi kwi kwi

Rogue, JF patamu bwana! Haya ushindwe mwenyewe sasa:D!
 
Rogue, JF patamu bwana! Haya ushindwe mwenyewe sasa:D!

ASANTENI wakuu...
KUPENDA nampenda sana,sio matamanio wa kimwili,kama ni hiyo mbona easy tuu..i think wakuu mnanipata!!
AFTA 4 YRS,I came to realize huyu mamsapu ana "qualities" zote za kuwa "maza hausi",the mother of my kids.....

I TOOK YOUR ADVICE,NACHAKALIKA NIPATE CONTACTS ZAKE..
STAY TUNE,THE SAGA CONTINUES.....
 
...mimi naugulia mapenzi mtu wangu we wacha tu....

Mimi nakuombea Kheri Insha'allah ufanikiwe.

Mola wako Mlezi hakukuacha, wala hakukasirika nawe.
Na bila ya shaka wakati ujao utakuwa bora kwako kuliko ulio tangulia.
Na Mola wako Mlezi atakupa mpaka uridhike.

Kwani kila penye uzito hufuatia wepesi.

"HAKIKA ALLAH YU PAMOJA NA WANAO SUBIRI”.
 
ASANTENI wakuu...
KUPENDA nampenda sana,sio matamanio wa kimwili,kama ni hiyo mbona easy tuu..i think wakuu mnanipata!!
AFTA 4 YRS,I came to realize huyu mamsapu ana "qualities" zote za kuwa "maza hausi",the mother of my kids.....

I TOOK YOUR ADVICE,NACHAKALIKA NIPATE CONTACTS ZAKE..
STAY TUNE,THE SAGA CONTINUES.....

Mkuu, heshima mbele

kama hali ni hiyo, unasubiri nini mkuu, ushauri hapando huo, take the next available flight, na rose lako mkononi, au whatever, kamtake radhi, muanze upya! Atakuelewa tu, hawa dada zetu ni waelewa sana sema sisi ndo huwa hatuwaelewi!
 
ASANTENI wakuu...
KUPENDA nampenda sana,sio matamanio wa kimwili,kama ni hiyo mbona easy tuu..i think wakuu mnanipata!!
AFTA 4 YRS,I came to realize huyu mamsapu ana "qualities" zote za kuwa "maza hausi",the mother of my kids.....

I TOOK YOUR ADVICE,NACHAKALIKA NIPATE CONTACTS ZAKE..
STAY TUNE,THE SAGA CONTINUES.....

Kila la kheri...the very best of luck...and we will stay tuned.
God bless you!!!
 
umepata ushauri mzuri sana kutoka kwa wanajamii ila jiweke 50/50 usije pata contacts alafu mambo yakawa kama ulivo tarajia be ready for anything mate! ila nakupata kabisa mzee aka 4 sio mchezo inaelekea uliweka 150% feelings mlipokua pamoja sasa zika 50% tu!!!! all the best
 
Hongera sana kijana, umeonyesha ujasiri wakiume naushupavu sana. Kila la kheri mimi ushauri wangu ningekuwa wewe ningempa kazi mshikaji wangu kule bongo awe karibu na shoga wa huyo mwali wako kwa kumdodosa ni nini anachokiwaza au fikiria kwa sasa kuhusu relationships. Na je **** akipewa salamu zako anareact vipi! Kwa kweli inabidi kumuanzia bali sana sio kukurupuka tuu. Pia ujitahidi kujua mienendo yake kwa sasa ikoje pia. Usije ukageuzwa buzi! Tena baada ya hayo yote, nakushauri uangalie movie "coming to america", kwa maana kwamba jaribu kumuonyesha you are a simple guy and she should love as you are not what you have, maana kama nilikuelewa vizuri ni kwamba ulimdamp mkiwa bongo ! au hata unaweza kumbwambia umerudi kushi dar...yani kumuonyesha you are simple and you still love her uone inakuwaje.
All the best my dear.
 
Very interesting... now you understand the saying 'you never know somethings' worth till its gone' the best thing cha kufanya sasa ni kumuomba msamaha, you are carrying alot of guilt in you... you have realised how much you hurt her and feel sorry, mtafute umuombe msamaha hata kama yeye hatokubali mipango yako... it will be better and even healthier for u. then depedning on how she responds , gauge and see if you can ask her for a second chance.... this things happen and sometimes for a reason... to open your eyes and see the real issues. sometimes you have to burn your fingers. Miaka minne ni mingi kama bado yupo yupo tu basi una bahati sana. plus comparing your new Gf with your ex is normal.. but to actually move on.. you should appreciate each of them as a unique person. very different from the previous.

let us know how it goes... Wana JF we care!! and all the best. akikataa ni-PM tu... LOL we can work something out... and am very different from her kwi kwi kwi

Ndio maana wengine tunakuwa addicted na JF
 
Where are we with the saga. jamani mbona hautupatii updates??:)

Maybe you should persue Shishi's offer it may turn up to be to be what you have been looking for all your life.but hopefully you are not a rogue as you have named yourself.
 
Back
Top Bottom