my doc judgement!?!!?!

mchome vizuri hiyo sindano.....

Yaani BT ! ungekua unajua umahiri wangu wa machomaji ! Ikatokea nimekuhudumia abadan huwezi kubali utibiwe na Daktari ama muhudumu yeyote yule tena. Hakika nimemahirika katika fani iliyo mezani .
 
We umesahau ile wewe ndiye doctor wangu utakayetibu maradhi yangu ya mapeeenzi njoo unipe raha za dunia mimi sina pa kukimbilia zaidi yako mpeenzi.hebu tulia mtoto baibe Nasty kama ni doctor nakusuburi uje utibu maradhi mwili, naomba usichelewe ninakusubiri wewe hakuna mwingine wee zaidi yako wewe na dawa unipe nafuu japo nipate ujee fanya haraka uje wewe nafsi ipate tulia. chorus. Judgement akajibu doctor nimeshaingia kwenye chumba cha kutibia mbona mmemlaza jamvini mpelekeni kitandani sikai mahala pa kuchoma napajua mie ondoa acha uoga uoga uoga kama sijakuchoma umeshalegea je ni kikuchoma si utazimia ondoa acha uoga uoga uoga baibe nasty anajibu mbona doctor mchokozi wanishikashika kichokozi na hizo zako pozi sijui nitamaliza dozi nahisi kuchanganyikiwa sijui pa kukuanzia nahic umeshanielewa siumwi tena tumbo .nilipoyasikia hayo nikamwacha na doctor wake yaliyoendelea siju vipi mpenzi baibenasty unaendeleaje?doctor judge mgonjwa vipi

The Katibu! Umenikunaje kunako !
Maeneo yangu yote ya misisimko, yamesisimka !
Nau'dedicate mwimbo huu to my patient beibe nasty.
Also my patient sh's much well already.
Nawe Secretary kuta unaagiza kinywaji.
Mie namalizia shughuli ndogondogo.
 
Last edited by a moderator:
my doc leo nimeamka na maumivu ya naniliuuu

My Patient , katika hali inayoonekana leo shughuli itakua pevu, hata mie Doc wako nimeamka na tatizo la naniliuu kama ulivyo wewe leo!
Ndiyo kusema leo tunatibishana, their is no further dialogue so far!
Barter treatment system itahusika tu leo !
Sawasawa ?
No mediation! No reconciliation !
 
The Katibu! Umenikunaje kunako !
Maeneo yangu yote ya misisimko, yamesisimka !
Nau'dedicate mwimbo huu to my patient beibe nasty.
Also my patient sh's much well already.
Nawe Secretary kuta unaagiza kinywaji.
Mie namalizia shughuli ndogondogo.
heeh! we doctor na mbwembwe zote zile bado anaumwa tena naniliuu mi siagizi kinywaji naenda direct kumchukua mgonjwa hautamkuta tena jamvini utamkuta kitandani na wewe beibenasty toka huko buswelu nikukute buzuruga doctor kasema utamkuta seokotoure
 
Last edited by a moderator:
My Patient , katika hali inayoonekana leo shughuli itakua pevu, hata mie Doc wako nimeamka na tatizo la naniliuu kama ulivyo wewe leo!
Ndiyo kusema leo tunatibishana, their is no further dialogue so far!
Barter treatment system itahusika tu leo !
Sawasawa ?
No mediation! No reconciliation !

In bad shape utanionea huruma etii nipo kwa bed
 
heeh! we doctor na mbwembwe zote zile bado anaumwa tena naniliuu mi siagizi kinywaji naenda direct kumchukua mgonjwa hautamkuta tena jamvini utamkuta kitandani na wewe beibenasty toka huko buswelu nikukute buzuruga doctor kasema utamkuta seokotoure

Nachukua bajaj naja hali yangu tete the secretary
 
The Katibu unadhania mie Dr Judge nna tatizo? Na my patient wangu ndiyo mwenye tatizo, hakubali tiba ya awae yeyote.
We si jaribu kujipendekeza kwake uone kama utasikilizwa!
Nahisi haumjui vema celebrity to be huyu!
Sanasana umenikumbusha ile maneno inasemwa "kwenye ngoma hapakosi watazamaji" nawe nakushukuru kua mtazamaji kiherere, unashangilia sana! Unashabikia pia mdundo wa ngoma.
 
Maneno kuuntuu
 
Nachukua bajaj naja hali yangu tete the secretary

Hee!
Mabwaku!
Mgonjwa! Doc nnajinakshi !
Nnajimisifacamp!
Najiestablish !
Unaniumbua in front of ze pipo laik zis ?
Umeupeleka wapi msimamo wa awali?
Kwamba utadedi na Doc wako!
Mara tena kwa Secretary !
Haya katibiwe .
 
hee dr. mie si kama ambulance tu me ni she hofu ondoa.halafu unaharakishia kuvaa suti wakati nepi hujavaa ndo maana haponi.mi lazima niwe mpiga chabo ngoma naiskia mdundo wake kwanini nisijongee kuona wadundaji
 
In bad shape utanionea huruma etii nipo kwa bed

Nani kakudanganya huruma inahusika kunako tiba ?
Hatukufundwa hivyo! Kule ujerumani.
Huruma zikihusika zawezapoteza mgonjwa!
Na kwa vile tulipoteza doz ya dawa, leo nikifika tu nakudunga sindano mbili za harakaharaka, ni mikito tu kwa kwenda mbele.
 
In bad shape utanionea huruma etii nipo kwa bed

Nani kakudanganya huruma inahusika kunako tiba ?
Hatukufundwa hivyo! Kule ujerumani.
Huruma zikihusika zawezapoteza mgonjwa!
Na kwa vile tulipoteza doz ya dawa, leo nikifika tu nakudunga sindano mbili za harakaharaka, ni mikito tu kwa kwenda mbele.
 
Hee!
Mabwaku!
Mgonjwa! Doc nnajinakshi !
Nnajimisifacamp!
Najiestablish !
Unaniumbua in front of ze pipo laik zis ?
Umeupeleka wapi msimamo wa awali?
Kwamba utadedi na Doc wako!
Mara tena kwa Secretary !
Haya katibiwe .

We siumemwambia the secretary kuwa nikufuate buzuruga ama kanidanganya? Bas mi ntakufa na wewe my doc
 
Nani kakudanganya huruma inahusika kunako tiba ?
Hatukufundwa hivyo! Kule ujerumani.
Huruma zikihusika zawezapoteza mgonjwa!
Na kwa vile tulipoteza doz ya dawa, leo nikifika tu nakudunga sindano mbili za harakaharaka, ni mikito tu kwa kwenda mbele.

mmmmh jaman bas hata kama bt kidogokidogo sio saaana kama unavyosema
 
In bad shape utanionea huruma etii nipo kwa bed

Nani kakudanganya huruma inahusika kunako tiba ?
Hatukufundwa hivyo! Kule ujerumani.
Huruma zikihusika zawezapoteza mgonjwa!
Na kwa vile tulipoteza doz ya dawa, leo nikifika tu nakudunga sindano mbili za harakaharaka, ni mikito tu kwa kwenda mbele.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom