my doc judgement!?!!?!

Erickb52 mlengwa mbona nishafika zamani , sasa unajua nini Erick ?
Wasiliana na beibe nasty muifunge Thrade, unajua sababu yake ?
Sababu ni NZI (housefly) watajaa kunako Sredi !
Na mii'nzi ikijaa itatuletea some other jems transmision.

Siamini kama sisi tunaitwa nzi... Haya bwana!
 
Last edited by a moderator:
Siamini kama sisi tunaitwa nzi... Haya bwana!

Mkubwa sobhuza nakupenda sana as my fellow Jf member , sijaku'point wewe Nzi, wala awaye yeyote!
Nzi wangu mie nawajua mie! Kamwe ww huweziwajua! Umeniskitisha kujinasibisha na yalio nyuma ya pazia!
Ofcoz sidhani kama unafahamu aim yangu ni nini kutumia neno Nzi ktk comments yangu!
Hivi msemaji akisema "usimwage mchele kwenye Kuku wengi "
kwa ufahamu wako utaelewa hao anaowakwepa ni Kuku wa kikweli ?
Nikupe pole ya awali .
 
Last edited by a moderator:
maskini @Husynino alijidai kuondoka akidhani mumewe atabembeleza, kumbe where ndo kwanza kaoa kabisa.
 
Erickb52 mlengwa mbona nishafika zamani , sasa unajua nini Erick ?
Wasiliana na beibe nasty muifunge Thrade, unajua sababu yake ?
Sababu ni NZI (housefly) watajaa kunako Sredi !
Na mii'nzi ikijaa itatuletea some other jems transmision.
Hahahahaaaa hii thread iko mahala pake acha kuogopa...
Nenda kampe mgonjwa dawa faster
 
hihihihiiii unatibu maradhi gani???

Swali zuri sana, naahidi kukujibu bt not nw, coz i'm already being at works!
Namshughulikia mgonjwa MAALUMU!
Concetration 100% inahusika now, that's why umeona kitambo kimepita mgonjwa yuko kimya, humuoni kwenye Uzi , manaake treatment table are processing .
 
Hahahahaaaa hii thread iko mahala pake acha kuogopa...
Nenda kampe mgonjwa dawa faster

Babaake ! Umeiona eeh ? Ndiyo hivyo nimekomaaje na mgonjwa!
Sasa kwa vile mgonjwa wangu si unajua ni celebrite mtarajiwa so far ukifika muda wa visitors , foleni na vurugu getini nitafutie japo wagambo wa3.
Treatment at works now!
 
Katika hali isiyo ya kawaida beibe nasty , fahamu kwamba mara tu nilipoisoma headin' ya Sredi, maandalizi ya kuichangia kwanza nimeenda kuoga, nikajipaka mafuta, nika'spray light perfume (siyo ile kali ikaja kum'disturb my patient)
Ni hivi :-
Taarifa hii imenikuta kikaoni nime'pay excuse kwa wanabodi nitoke kwa dharura, na ndiyo nishatoka .
Doc on the way now! With fully treatment tools, pia ile kesi imefutwa rasmi.
Hukubahatisha kuipata Tiba hapa, u m e p o n a.

Uuuuuuwiiiiiiiii dnt touch dat way jaman doc haaaaaa n uknw wat umenifanya nicheke wakt ninamaumivu dats why u are my doc aiseee
 
Last edited by a moderator:
Babaake ! Umeiona eeh ? Ndiyo hivyo nimekomaaje na mgonjwa!
Sasa kwa vile mgonjwa wangu si unajua ni celebrite mtarajiwa so far ukifika muda wa visitors , foleni na vurugu getini nitafutie japo wagambo wa3.
Treatment at works now!

Heeheeee doc spare me sm breath plz haaaaa dnt make me cry kwa kucheka
 
Lol
Asipopatikana unambie tujue la kufanya hata kama ni kureport police ila si kwa kumtafuta mwingine na kwa wakati hajapatikana ntakusaidia kupunguza maumivu sawa eeeeh

Thank uu b52 im feelin sm relief nw
 
Uuuuuuwiiiiiiiii dnt touch dat way jaman doc haaaaaa n uknw wat umenifanya nicheke wakt ninamaumivu dats why u are my doc aiseee

I'm sure you will get well soon!
Release your body to Doc only!
Pre-symptoms indicated the disease need more med care!
Processin' of identifying if further treatment requirable.
Nadhani nimebakiza enjection moja ya mwisho.
Hii nitakudunga saa 5 usiku.
Sawasawa ?
 
Babaake ! Umeiona eeh ? Ndiyo hivyo nimekomaaje na mgonjwa!
Sasa kwa vile mgonjwa wangu si unajua ni celebrite mtarajiwa so far ukifika muda wa visitors , foleni na vurugu getini nitafutie japo wagambo wa3.
Treatment at works now!
Dah hapiti mtu....
 
Dah hapiti mtu....

Ndo-manaake ! Atakae kujaribu kupita, nafikiri kwanza aenda Tbc's library aombe disc inayoonesha milipuko ya Gongolamboto!
Sidhani hata kama B52 bombers zitahusika, that's a minor war!. It's quite incridible to get a rival here!
 
Swali zuri sana, naahidi kukujibu bt not nw, coz i'm already being at works!
Namshughulikia mgonjwa MAALUMU!
Concetration 100% inahusika now, that's why umeona kitambo kimepita mgonjwa yuko kimya, humuoni kwenye Uzi , manaake treatment table processing .

mchome vizuri hiyo sindano.....
 
hihihihiiii unatibu maradhi gani???

We umesahau ile wewe ndiye doctor wangu utakayetibu maradhi yangu ya mapeeenzi njoo unipe raha za dunia mimi sina pa kukimbilia zaidi yako mpeenzi.hebu tulia mtoto baibe Nasty kama ni doctor nakusuburi uje utibu maradhi mwili, naomba usichelewe ninakusubiri wewe hakuna mwingine wee zaidi yako wewe na dawa unipe nafuu japo nipate ujee fanya haraka uje wewe nafsi ipate tulia. chorus. Judgement akajibu doctor nimeshaingia kwenye chumba cha kutibia mbona mmemlaza jamvini mpelekeni kitandani sikai mahala pa kuchoma napajua mie ondoa acha uoga uoga uoga kama sijakuchoma umeshalegea je ni kikuchoma si utazimia ondoa acha uoga uoga uoga baibe nasty anajibu mbona doctor mchokozi wanishikashika kichokozi na hizo zako pozi sijui nitamaliza dozi nahisi kuchanganyikiwa sijui pa kukuanzia nahic umeshanielewa siumwi tena tumbo .nilipoyasikia hayo nikamwacha na doctor wake yaliyoendelea siju vipi mpenzi baibenasty unaendeleaje?doctor judge mgonjwa vipi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom