My cup runeth over ~ Na Kikombe changu kinafurika

My cup runeth over ~ Na Kikombe changu kinafurika

A. TEAM HAPPINESS

Masoud kwa hasira za kudumu akarudi nyumbani kwake Neema anamshangaa kuna nini?! Masoud akakaa kwanza kwenye kiti
Neema akamletea maji ya kunywa akanywa, huku anapepewa na Masoud! Baada ya dk 10 Masoud akafunguka
Masoud: nimeenda kwa Manoa kuchukua koti nimelisahau pale kwake namkuta yupo na Kungwi wanaviringishana kama chapati!
Neema: eh hii nayo kazi enhe?!
Masoud: nikamchapa ngumu Manoa akaangukia kwenye kuku zake, nikamsema Kungwi nikaishia kummwagia michanga kwenye mkundu wake na usoni nikaondoka nikawaacha wanajikusanya
Neem: anacheka moyoni, kweli Mungu yupo na Mungu sio Bwashee
Pole sana mpenz wangu akamwambia Masoud, pole sana, hata mimi iliniuma sana kumkuta mume wangu na mke wa mkuu wa mkoa lakini za mwizi ni 40, huenda hawajaanza leo hiyo michezo na sie kuwafumania ni Mungu kutia muhuri kuwa inatosha! We deserve happiness and each other! Mengine tuwaachie wengine furaha yetu kwanza, pumzika kwanza tutaongea baadae, akamwamsha Masoud akampeleka kulala akampa na diclopar! Maana fumanizi laumiza sio moyo tu hata kichwa!
Neema akarudi kupika anajiambia Kweli God yupogo!

Manoa na kungwi wakajikusanya kama uchafu! Wanatiana moyo tuamke twende ndani tukaoge mambo yeshaharibika tena, wakaenda kuoga wote wara wapeane mechi za kibishi pale kitchen party ni kesho! Tobaa Kungwi anawaza itakuwaje sendoff ya mtoto wake maana kaharibu sio kitoto!

Suzana na bank manager wakapanga sherehe yao iwe ya watu 10 tu tena kanisani hawahitaji watu maelfu, wakaenda kuandikisha kwa Mchgj, wakapangiwa a week after harusi ya Pendo! Wakawaalika watu wa karibu tu wakawa wanajiandaa na shughuli na kuwaambia watoto ambao walikuja likizo! Suzana anajiandaa na mambo mawili, kusimamia wedding ya Pendo na harusi yake, akampigia wifi yake Maringo, unajua mwenzio nimechumbiwa naolewa week after ya pendo, maringo akafurahi akamshukuru Mungu wifi yake is happy! Na Bank manager amefanya kweli, akawa anahisi ingekuwa yeye angeolewa ila hakujuta! Ilimradi mtoto wa watu yupo mikononi salama sio mbaya
Mara akapokea simu kwa Luwi kuwa anaita kikao cha familia kesho, maringo anashangaa hajui kuna nini!
Kesho yake wakaenda kusikiza kikao cha familia, Luwi anawaambia kuwa amepata msichana anataka kumwona sooner! Na wameshabook kanisani, hawezi kukaa mwenyewe tena, na anampenda sana huyo dada. Manoa na Maringo na Hachikoko wanashangaa! Ghafla hivi hawa watu wamepandwa na nini?! Maringo akamwuliza harusi lini?! Akasema two weeks to come meaning after harusi ya Suzana mke wake, Manoa akamwambia akaongee na mama yake wapange siku ya kuja kumleta msichana pale mama yake atakapotaka kama ni nyumbani kwa maringo au kwa Rasheeda au kwa Manoa watavyokubaliana yeye hana sheedah!

Kitchen party na wewe! Mambo yakaenda vizuri akina mama wanamshangilia Kungwi pendo kapodolewa sio kitoto anawaka kama jua la saa 8 mchana! Akina mama wa kijijini wanamshangilia mzazi mwenzao Kungwi nae kaozesha mzaa chema kalipuka mbaya, anaringaje sasa! Mc alikuwa na kazi sio kitoto!
Baadae akaja mfundaji Rasheeda, anachekesha mwenyewe! Watu wote hawana mbavu, Pendo akacheka pale kidogo aanguke chini lakini vichekesho vyenye point! Ikaja muda wa zawadi muda wa keki muda wa msosi muda wa mziki wote baadae sherehe ikafungwa kungwi akafurahi lakini hakumsikia Masoud tena wala simu zake hazikupokelewa. Bado siku 3 sendoff ifanyike kachangiwa changiwa na mashoga zake na Pendo kachangiwa na marafkizake maana masoud alikataa kutoa hela ya sendoff baada ya lile fumanizi!
J4 Luwi akaenda kuongea na mama yake Rasheeda kuwa anataka kuoa na anatakiwa amlete binti nyumbani kumtambulisha, mama yake akakubali wakutane kwa Maringo, alhamisi jioni, wakakutana kwa Maringo, mrembo evelyne akaletwa kapendeza mwenyewe kapiga mtenge mreefu kama sister kumbe kapokonya mume, Rasheeda kumwona akajiambia moyoni kumbe ndio huyu aliempindua suzana! Kweli buki na faso ina vifaa, alikuwa mzuri, vipisto za kufa mtu! Akakaribishwa pale wifi mkwe akafurahi, wakapanga siku ya kwenda kulipa mahari, Manoa akamwambia ngoja tumalize sherehe ya pendo kwanza tuondoke alhamisi ijayo! Maringo akafurahi kuwa Suzana ndoa yake itafungwa bila kipingamizi maana Luwi atakuwa hayupo wala nini na pia Patric atakuwa free maana Rasheeda nae atasafiri!

Ijumaa ikafanyika sendoff ya Pendo, watu kibao hata hawajui walipotoka hata Masoud alikuja akajikaza akaa mbele kwa wazazi na Neema akakaa kwa wageni wa alikwa! Sherehe imeenda na kuenda wee na utambulisho na nini baadae keki, champaigne, misosi, mziki, nasaa za wazazi akaongea Kungwi, akaja Masoud akaongeeeeaaaaaa! Ongea na weweee! Baadae akamwambia Pendo kaka yako wa kukutoa hayupo naomba nikutoe mimi, kwanza mengine nitaongea baadae, akamkabithi kwa Joseph akambariki kama baba mlezi Joseph akafurahi mwenyewe anajua anaoa kwa matajiri, kiruu!
Alipomaliza akaanza kufunguka, kaongea wee baadae akamwita mkewe Kungwi na Manoa, watu wanashangaa kuna nini?! Akatoa kwenye koti lake Talaka! Akasema kuanzia leo namtalaka mke wangu wa 2 Kungwi, maana nimemfumania na huyu bwana Manoa (ila manoa nae ana moyo?!umefumaniwa bado unaenda kwenye sherehe kweli wa Zambia ni moto wa kuotea mbali) manoa anaangalia chini pale, kuanzia leo kungwi we sio mke wangu Pendo ataendelea kuwa mwanangu kwasbabu nampenda kama mwanangu wa kuzaa mwenyewe! Kungwi aibu akina mama wa kijijini wanamshagaa! Akawaruhusu wakae akamwita Neema, akamwambia Pendo na umati, kuanzia leo huyu ndio mke wangu, akapiga magoti akamwambia will you marry Me Neema?! Nakupenda sana mke wangu mtarajiwa, umenipenda kwa dhati wala sitakuzuiliwa kwa chochote na wala sitataka ubadilishe chochote, dini wala tabia wala utaifa wala rangi nimekupenda hivi hivi ulivyo! Neema anashangaa, Masoud akarudia will you Marry Me?! Neema anashangaa umati mkubwa unamwangalia akajibu Yes i will Marry You! Watu weweeeeee! Makofi kibao Pendo akajionea sinema la nguvu! Neema akavakishwa pete hivi hivi hajaachika kwa mchungaji! Kha kweli hii ni bubaaa! Unaacha huku unachumbia huku, wazambia ni noumer!
Sherehe ikaisha wakatawanyika

Joe akapona wakawa wapo na Kandi na Maringo! Wakaruhusiwa kutoka hospital Kandi anamsukuma Joe kwenye wheelchair, hurumaa! Lakini ndio ivo, kurudi nyumbani nyumba safije sasa! Joe aka appreciate service ya Kandi akaona haina jinsi Maringo hawezi mpenda tena akaamua kurudisha mapenzi kwa Kandi, sikunyingine wakiwa wawili wana do! Ivo ivo, Kandi aliifanya kazi kwa Joe mpaka kupona akatoka kwenye wheelchair kutembelea magongo na kutembelea gongo 1 sio mchezo!
Mrembo akawa anawaonea raha relationship yao, siku wazazi wa Joe wanataka kuaga kurudi kwao maana Joe yipo vizuri sasa, akawaambia msiondoke nina mazungumzo na nyie, huyu binti amenisaidia sana, amenihudumua sana alikuwa mpenzi wangu zamani tukaachana! Najua nilimkosea sana na sasa naona nazidi kumpenda kuliko zamani, naomba kwa ridhaa yenu nimtamkie mbele yenu kuwa nampenda na nataka kumwoa, akapiga goti kibishi! Huku kashikilia fimbo! Kandi nakupenda sana, naomba unikubalia ombi langu hili la kutaka kukuoa!
Kandi akatoa minjicho ikabidi akubali, haelewi imekuwaje?! Akavishwa pete pale haelewi ilinunuliwa saa ngapi maana wana siku 1 tangu watoke hospital, Mrembo anamwonea donge shogangu u made it! Wanacheka wanapiga selfie pale! Wazazi wakampongeza Joe kwa ujasiri ule, wakapanga siku ya kwenda kulipa mahari, Joe akadema iwe haraka iwezekanavyo maana nataka kumwoa after 2 weeks!
Kandi akafuraji akiiangalia ile pete analia tu, Mrembo akamwambia Musa, Musa akamwambia Maringo, Maringo akajibu WHATEVER!



ITAENDELEA SAA 4 USIKU
 
A. TEAM HAPPINESS

Shoga kalamba dume bila kutarajia! Kuhudumia koote hospital kumezaa matunda, sio wewe mpenz msomaji ukisikia ex anaumwa unaenda kumwombea afe! Akufi na cha moto utakiona! Hehe

Maringo akaanza kuwaza kha!mbona kila nikikata shingo watu wanaolewa sasa nisije funga macho na kufungua kila mtu keshaolewa na kuzaa. Hapa lazima nidai ndoa basi tu niondoe nuksi ngoja msimu wa harusi uishe na mie nianze zangu drama kwa Patric mpaka anioe

Kurudi nyumbani Neema na masoud wakazama chumvini, kila mtu anamnyonya mwenzie basi tu mechi ya BuuuBaaaa! Buuuuubaaa! ( i hope mpenz msomaji unaelewa maana ya Buubaa!)
Kutoka pale watu wazima wapo hoi! Hou bin taaban, Masoud akajiambia kuwa hajafanya makosa kumchumbia Neema.

Neema alajiri akajiiba akasepa, akaenda kuonana na Lawyer amwandikie Divorce kwa mumewake, Lawyear aka draft Divorce kweli mbongo Mbongo tu, akatoka kwa lawyear saa 5 asbh akaenda church, akamkuta Pastor anajianda kwa notes! Kufika akampa divorce! Naomba usaini mahakama itaamua custody ya watoto kama utapinga iyo talaka! Nakupa mimi talaka kwasababu ninekufumania na udhibitisho ninao! Neema akamwambia me naenda kubeba kila kilicho changu, nitakuja baadae baada ya talaka kuchukua wanangu, Pastor akachoka Neema huyoo nduki akaingia kwake kapaki kila kitu kaita taxi wakaingiza mzigo akasepa watoto wapo shule boarding!
Kesho yake ikawa ni j2 harusi ya Joseph na Pendo, Caroline ndio msimamizi kama mtoto, akapata na beibe wa kusimamia nae! Harusi ilifanyika Cresta Golfview! Pastor aliepewa talaka akaja akawafungia, akina Maringo na Suzana wakaplay part yao,wamependeza sio kitoto! Bank Manager anamshangaa Suzana alivyowaka. Patric hakuwepo ila akina Didie na Oga walikuwepo wanamtolea macho Maringo alivyolipuka na lile shepu! Ni sheedah!
Baadae wakaenda kupiga picha wakarudi pale pale kufanya sherehe! Sherehe na wewe mziki kwa saana ratiba chache, zawadi zapokelewa getini, ni keki, msosi, mziki mziki mziki mziki, utambulisho wa wazazi wa Joseph mziki mziki blues kila kitu yani harusi ya mziki tu sio kama harusi zetu za bongo maharusi wanakaa viti vya mbele wakisubiri kusujudiwa kama wafalme, ile haikuwa hivyo ni mziki, bi harusi anacheza na wagen waalikwa, mara baba mkwe mara mama mkwe mara caroline mara maids yani mixer ma flavor faln hivi amazing!
Kungwi akajibwida kucheza na Manoa, Rasheeda anawaangalia tu ndio maana walifumaniwa, Ismail akaenda kumwinua Rasheeda akacheza nae blues, Neema yupo na Masoud wanabluezika, sherehe ilipendeza sana
Baadae maharusi wakafungua wimbo wao wanaoupenda toka kwa tiner turner! Let's stay together, wakaingia wakwe wakaunga na akina Masoud wakaunga na akina Manoa wakaunga basi raha tupu hata Maringo alicheza na Oga sikuhio chezea Patric kujificha wewe?! Ni sheedah!



Baada ya harusi kuisha wakaondoka zao kwenda Honeymoon kila mtu akajikusanya kusepa na chake kasoro Rasheeda na Maringo walipeana lift since hawana mabwana lkn hawakujua kuwa wanashare bwana!

Luwi akafunga safari na Manoa na Rasheeda na Evelyne na Hachicoco mpaka Buki na Faso kutoa mahari, mambo yakaenda vizuri Eve akaona kama ni a dream come true, kha! A side chic kuwa main chic costs alot! Na yeye akajiambia kama i cost alishazilipa, sio bure kujisadaka kwa Mume wa Mtu hujui utaipata linj, akashukuru Mungu kajibu maombi yake, protocals zikafuata wakatema tarehe ta harusi na mahali ambapo wazazi wa eve watafikia

Kandi aneshazoea maisha ya kumhudumia Joe, huduma huduma na wewe na mechi za hapa na pale, siku kaamka na kipanda uso cha nguvu kupelekwa hospital mjamzito wa miezi 2! Tobaaa joe akafurahi finally anaenda kuitwa baba! Akamsahau kabisa Maringo aka concentrate na Kandi na mtoto na wedding yao

Mrembo akiwa idle aka contact michepujo yake yooote! Masoud kamkaukia kamwambia ye ni mume wa mtu hataki kuskia ameshatubu dhambi zake, Patric nae kamtemba sana akawa ana stress kuona shogake anaondoka ikamla sana, wakawa wamekaa na Musa pale wanapiga stori baada ya kazi, wakijiandaa kufunga funga! Musa nae akafunguka jinsi Eve alivyomtema na Mrembo akafunguka jinsi alivyotoswa! Wakaamua waondoke kwenda kupata lager!
Lager lager na wewe gari ya Musa hamna dereva zaidi ya Musa wapo maji kinyama, wakakodi taxi dereva taxi haelewi anawapeleka wapi akasikia tu Mrembo anamwambia nipeleke kwangu akamtajia wakashuka wakalipa wakaingia kwa mrembo, wanaanguka kila mtu anamdaka mwenzake yani taabu tupu! Waka manage kuingia ndani, kufika wakaanguka wote hapo chini kwenye sakafu mwingine katapika mwingine kajikojolea wakalala hapo mpaka asubuhi

Suzana na Bank Manager wako buzy wanavaa nguo wakafunge ndoa, kufika church wedding ya watu 15, akina Oga walikuwepo, akina Maringo ndo usiseme, Maringo kamganda Patric mpaka akamsindikiza, akina Mrembo na Musa wamo, Kandi na Joe walikuwepo
Joe anashangaa kumbe huyu ndo mwanaume Maringo ameniacha nae! Akachoka mkuu wa mkoa ndio kaniibia Maringo?! Ama kweli akawa anawashangaa wanavyojishaua kwenye mziki
Blues ikafunguliwa Suzana ni mke rasmi wa Bank Manager na mimba yake imeanza kuchomoza kimtindo kwasababu ya nguo alioivaa! Kila mtu na bwana wake kasoro Mrembo na Musa. Wakaona isiwe tabu ngoja tuinuke tuchezege, wakawa wanacheza wenzao wanawaangalia! Mh new couple in town kumbe hamna kitu!
Oga anambashia Maringo kumbe ndo huyu fala kaniibia Maringo, kha! Akawa anajilia tu kwa macho! Hii mbona kali Maringo nimempenda Bure kafuata Pesa?! Akawa anameza machungu huku anapata wine
Harusi ikaisha kila mtu akaondoka na wake Musa akaondoka na Mrembo, alipomshusha Mrembo, Mrembo na minyege yake akamkaribisha Musa ndani, wote team abandoned! Kufika Musa akamrukia mrembo, kwichi kwichi kwichi kwichi! Mpaka asubuhi, all night long wanafanya break nusu saa wanaendelea, uzuri kesho yake ilikuwa j2 so hakuna kazi!

Maringo na Patric wakarudi kwa Maringo, njia nzima Maringo amekuwa turn off anadai nayeye ndoa,
Maringo: si umeshakuwa bachelor now hakuna anaetuzuia kuoana tuoane basi na mimi nahitaji ndoa! Patric akachoka kwanza hajapona vidonda vya kwenye ndoa yale iliopita tena aje aoe Gold Digger kama Maringo si atafilisika mpaka aombe poo?!
Maringo na maombi yake ya ndoa ikamfanya Patric apaki ndani ya hoteli moja karibu akamshusha Maringo akamlaza juu ya gari, akampiga pumbu wee Maringo haelewi kuna nin, alidhani akimaliza hapo atapewa pete kumbe hola, mechi imeisha wakaingia kwenye gari Patric anamwambia hiyo ndio ndoa yake cha ziada kwa sasa sijajipanga! Maringo na ile mechi ikayeyuka mwilini akajaa uchungu akaviiimba wakafika home Maringo akalala room kwake, Patric akalala guest room chezea m zambia wewe?!

Selina wako vizuri na Drogba wake, Drogba akasafiri kwenda kwao Nigeria akamuacha Selina mwenyewe nyumbani, Oga na miupwiru ya kutoswa na Maringo akaenda kwa Selina kudai chochote kitu, ufunguo anao maana Drigba hakubadilisha kitasa, akaingia moja kwa moja chumbani akamkuta Selina amelala, akaanza kumfukunyua, fukunyu na wewe selina ana defend, staki staki, ila mwanaume ni mwanaume akamshinda nguvu akaanza kumla juu anaelekea chini, Selina akaona isiwe shida akamsukuma Oga akaanguka chini ya kitanda, akawa anashuka ili akimbie nje, Oga akamkamata Mguu, njoo hapa we malaya mkubwa, Selina anajinasua kwa oga atoke nje! Oga kamkamata akawa sasa anavua suruali amwingie, selina kampa teke la uso akaanguka, selina akaamka haraka haraka anakimbilia nje anapiga makelele majirani nisaidie nakufaa, amefika tu mlangoni akafungua akateleza chini nje ya mlango kumbe Oga katapika matapishi yake pale, majirani wakaskia wakawa wanakuja, kuja wanamkuta selina ameanguka chini damu zinamtoka kwenye kichwa na sehemu za siri kuingia ndani wanamkuta Oga nae kaanguka ametapika pombe wakawawahisha hospital,
Asubuhi Jirani anamwuliza docta niaje hapa, akaulizwa we nani akadanganya me jirani nimeachiwa huyu dada nimwangalie
Dokta: Oga hajambo hajaumia sana nadhani alilewa tu ila pombe ndio zinatoka
Ila selina anepoteza damu nyingi sana sehemu za siri na mtoto aliekuwa nae amekufa, alikuwa na mimba ya miezi 2, ila Selina tupo vizuri ingawa kichwa chake bado tunasubiri tuone maana hata kichwani nako alipoteza damu!
Jirani akachoka na kuchanganyikiwa akawa hajui anampataje mumewe maana simu yake haipatikani! Akaamua kwenda kumpiga picha Selina akaweka facebook yake akamtag mumewe kuwa Selina is Sick Help wanted! Call me akaweka no yake



ITAENDELEA KESHO SAA 5 ASUBUH
 
A. TEAM HAPPINESS

Drogba hakuona ile picha facebook lakini didie aliona, akampigia jirani akaja mpaka hospital, kucheki Selina amelala zake pale hana hili wala lile ICU, akaongea na jirani akamweleza kila kitu, akampigia mama yake mzazi amweleze Drogba kuwa mambo yameharibika hapatikani kwenye simu
Drogba kuambiwa na mama yake akachanganyikiwa, akaondoka Lagos akaja Lusaka, hospital moja,kumkuta mke wake amelala helpless akaongea na Doctor akaambiwa hali halisi akalia mwenyewe pale, Didie anambembeleza, braza leave it all to God naaaw! Ah God will do the miracle naaw! Chill bro don't cry naaaw! Drogba akatulia anamwangalia mke wake mara alale nae kitandani mara akae chini aombe basi ni drama kwa kwenda mbele,

Mrembo na Musa wameamka, kujikuta wapo pamoja ikawa weird kwao, wakasalimiana Musa akaondoka kwenda kuchukua gari walioiacha ukumbini, njiani anawaza itakuwaje na mrembo? Evelyne wake nae ndio huyo hapatikani anawaza jinsi Mrembo alivyo mtamu kuliko Eve, dah sasa anarudije, anamwangaliaje ofisini kesho?! Akawa haelewi anapigana na mawazo ya kichwa.
Mrembo akawa wamechanganyikiwa kalala na Musa, hajui musa kama amemdharau, amepiga bubaa! Akawa amejikalia analia maisha yake yanesha haribika! Ah akaamua aache kazi, aondoke tu pale maana ishakuwa balaa huku anajiuliza napata wapi kazi haelewi

Kandi akaenda kulipiwa mahari kwa wazazi wake, wamefurahi mwanao anaolewa miaka 35 hajaleta hata bwana nyumbani! Finally kaleta bonge la bwana anaendesha vx mama wa Kandi anafurahi kaletewa posa!
Shughuli ikaenda vizuri wakalipa mahari, wakaambiwa tarehe ya harusi, wakashukuru. Kandi kafurahi Mimba changa hajasema hata kwao anaona aibu. Joe akamwuliza umemweleza mama yako kuwa una mimba?! Akajibu hapana bado! Naogopa kumwambia ngoja tu harusi ikiisha nitamwambia, Joe akawa anashangaa hakutaka kuingilia!

Sendoff ya Eveline ikafanyika, bonge la sherehe Buki na Faso, mzee wake alikuwa Balozi, akina Rasheeda na Manoa wanashangaa Luwi kalenga bonge la familia hata akiwa maskini hafi maskini, sherehe ilifana, MC kamfagilia bi harusi wee mpaka akaweka wimbo wa Evelina



Baada ya sendoff kuisha kila mtu akatawanyika, Eve akaja kumwiba Luwi walipokuwa wamefikia saa 8 usiku! Luwi njoo nina nyege, Luwi akajua Eve amelewe akatoka akawa anamziba mdomo, wakakodi taxi hotelini mojaa, njian anamwambia Luwi nakutamani wiki ya 2 sasa nimefungiwa kwetu uchi wote unauma! Huku anamfungua zipu Luwi, mara anambusu mara anampandia kwa juu! Du! Dereva taxi anajionea maajabu kwenye kioo, kufika hotelini Eve kakolea Luwi akambeba juu juu honeymoon no 1, eve akafunga goal 2 bila wakalala!


Pendo na Joseph wapo honeymoon, Caroline ameachwa kwa Kungwi! Wamepigana miti wee mpaka wamechoka, Pendo kafanya style zote alizofundishwa za kumdatisha Joseph, siku ya 3 ndani ya Best western the island hotel,

Lawyer akampigia simu kwa Neema mumeo amekataa kusaidi divorce papers, Neema akamwambia ngoja nipe dk 20 nakupigia akaongea ma Masoud akamwambia akikataa tunaenda mahakamani, akampigia Pastor kumwuliza kwanini umekataa kusaini, akajibiwa me nakupends siwezi kukusona najua nimekukoses naomba nisamehe mpenz wangu Neema tumetoka mbali me na wewe, Neema akamwambia kama hautaki naenda mahakamani kukushtaki, Pastor akamwambia nenda tu, Neema akameambia Lawyer aendelee na kesi ya mahakama,

Musa akaona noma ngoja tu arudi kwa Mrembo akajielezee, kufika anamkuta mrembo amelala, akavua nguo zooote, akajidiba kitandani, mpenzi huku anambusu, anamwamsha Mrembo akajifanya amelaaala, baada ya kuamshwa sana akakubali kuamka! Kumwangalia Musa yupo uchi! Akawa ananfunga macho we Musa umekuja na Ungo nini?! Musa anamwambia niangalie, Mrembo anamwangalia kwa jicho moja lingine kafunga eti anaona aibu!
Musa akamwaga mchele me nakupenda hichi tulichofanya jana tupo sawa kabisaa, nakupenda kula siku nakuona natamani kukwambia lakini nashindwa, maana mmefuatana kama kumbi kumbi na Kandi naomba ukubali ombi langu la kutaka niwe mpenzi wako! Mrembo akafungua macho anamshangaa huyu vipii me nilijua nimepigwa bubaa, Musa akashuka chini, akatoa kwenye mfuko wa suruali yake Pete akaja akapiga magoti, will you be my wife?! Will you Marry me? Mrembo akadhania anaota, maana hii kali unakuwa proposed uchi?! Du majanga! Akawa anajipiga kichwani akidhani anaota, anajifinya mapajani, aamke kumbe kaamka, Musa akachukua maji akammwagia, akajua kweli haoti ni kweli, akawa kama ameganda, Musa anamwambia Mrembo me nasuburi! Mrembo akawa ameduwaa tu akazimia kitandani

Selina akaamka anamwona mume wake amekaa chini, akawa anamwangalia huku analia, mumewe akashtuka akamfuata anamchumu anamkumbatia, analia, Selina anamwangalia tu, baadae Drogba akamwita Doctor, Doctor akaja kumcheki akawa anamwongelesha anajibu, anamwuliza huyu nani anajibu ni mchumba wangu drogba, memory imerudi Drogba akafurahi sana, wakamuhamishia wodini ndani ya siku 2!

Alfajiri ya Buki na faso Eve akashtuka, kuangalia saa 11 asubuhi, tobaa! Luwi leo anaondoka na wazazi wake, akamwamsha kwa mahaba akawa anamkatikia mauno, mechi ya alfajiri mpaka kunakucha, ya mwisho mwisho mpaka kuja kuonana tena ni siku ya harusi, akazidisha spidi ya mauno kama feni, Luwi akaona isiwe shida jana nimefungwa kiboya na leo!? Akambinua Eve chini akaanza kumshughulikia



Ikawa Alfajiri Ikawa Asubuhi siku ya 4

ITAENDELEA SAA 8 Mchana
 
A. TEAM HAPPINESS

Evelyne akawekwa chini akabiringishwa kinyama, oh oh oh oh oh Luuuuuuuuwiiiii oh oh oh uuuuuutaaaaaaniiiiiiuuuuuuuaaaaa aaaa aaaaa! Chezea Senior Bachelor wewe?! Kuchu kuchu kuchu kuchu, Eve aliimba haleluiiiyaaa!


Mechi ikaisha Luwi akajiandaa ili kwenda kwa wazazi Evelyne hataki aondoke! Macho mekunduu utadhani kavuta bange! Love bite kila sehemu, mgongoni, mapajani, kwa wowowo, shingoni, kwenye boobs, tobaaa kweli Luwi kaua!

Baada ya 2 hrs ya mechi nyingine ya marudiano, Luwi akafika airport amechelewa wapo na evelyne, akina Rasheeda na Manoa na Hachicoco wakajua tu hapa mechi imepigwa ya kufa mtu sio kwa macho kuwa mekundu vilee!

Wakaaga pale, Eve kapiga gauni la kimini hatari, Luwi akawa ana wasiwasi kama atafika kwao salama, wazee wakaingia ndani ya airport wao wamebaki kwenye gari wanapigana ma kiss kiss! Kiss kiss na wewe mpaka mechi! Ndege bado dk 50 isepe akakimbia ndani huku anafunga zipu! Chezea papuchi wewe? Dyu dyu taaamuuuu je!

Mrembo kuzinduka yupo hospital, anashangaa tu manesi wamejaa, wanamhudumia pembeni amelala Musa, huenda alishinda hospital siku yote hio, akainuka akawa na kichwa kinamuuma hatarious! Akaambiwa na nesi arudi kulala wanamwekea dawa kichwa kitatulia. Akalala masaa 2 akashtuka anamwona Musa anamwangalia, Musa akamfuata akamkumbatia, pole mpenzi wangu, Mrembo akasmile, akamkiss mdomoni, Mrembo akajinyofoa anauliza nimefikaje hapa?!
Musa: kwani haukumbuki?!
Mrembo: hapana!
Musa akamwelezea kila kitu Mrembo kuangalua kidoleni hana pete, akamwuliza iyo pete iko wapi?! Musa akatoa kwenye mfuko wa suruali yake akamwambia hii hapa ulizimia kabla sijakuvisha
Mrembo: akaiangalia ile petee akaanza kulia, akamwambia Musa it's now or never!
Musa akamvisha pete akamchum mwaaah!

Selina akawa yupo vizuri akaruhusiwa nyumbani, Didie akaja kumtembelea lakini Oga hakuja na tangu wawe hospital hajawahi kuja wala kumwomba kakake Drogba msamaha, Didie aliposkia Oga hakuja akamfuata ofisini, we mambo gani umemfanyia mke wa kakako afu haujaja kuomba msamaha?! Unajua ni dharau hajakuweka ndani kwa kumwulia mtoto wake kwasababu anakupenda nenda kamwombe msamaha Oga akakataa naona aibu labda u arrange nije kwako tusuluhishe na baba akiwepo. Didie akaongea na wazazi wake na vile harusi imekaribia wakakubali waje wote na mama yao kuja kusuluhisha ugomvi wa watoto! Baada ya siku 3 kikao kikakaliwa kwa Didie, Drogba kumwona Oga akamrukia piga ngumi ngumi mateke piga sana Oga kachafuka uso kama ukuta wa coral paint! Mwekunduu madam wazaz wanaamulia hawawezi, Didie pekeyake hawezi akaenda ita majirani wakaja kumshika Drogba na Oga, mama mkwe akamshika Selina ambae alikuwa analia!

Wakaongea baba yao akaomba msamaha kwa Selina kwa niaba ya familia, Selina alimind akakataa kabisa kuolewa na Drogba akawa anaona atakufa tu kwenye hiyo familia kama Drogba atachukuliwa mbele za haki, wakambembeleza wazazi sana tu wakalipa fidia za usumbufu dola 5000 selina akakataa mtoto wangu hatorudi kwa dola 5000 nyie vipi?! Wakamwomba aziweke tu benki lakini asamehe maana watoto wanatoka kwa Mungu
Drogba akamsamehe mdogowake akamwambia ukirudia tena kama wazazi watakuwa hai au marehemu sitakukaribisha kwangu na nitavunja undugu na wewe. Selina akafanya the same ila moyoni alikuwa na uchungu sana, kurudi nyumbani akaomba kwa Drogba akae peke yake kwa muda wa miezi 2 na harusi isogezwe mbele moaka atakapokuwa tayari maana sasa ana uchungu hawezi funga ndoa, Drogba akamlipia ticket ya ndege kwenda Dubai kukaa miezi 2 akichoka arudi, Selina akafurahi akaondoka kamwacha Drigba pekeyake

Selina amesharudi nyumbani washazoeana na Bank Manager amesharudi kazini, mimba imesogea miezi 3 sasa, mdogo mdogo na watoto wakija kutoka shule wanalala kwake wakimaliza likizo wanarudi shuleni. Akasikia kuwa Luwi nae anaoa wiki hiyo hiyo, akasema good for them, Mungu awatangulie kwa kila jambo

Kandi amerudi kazini na mimba yake kama kawa, tumbo halijaanza kuchomoza ana wiki 2 afungiwe harusi! Akaomba likizo kwa boss ya hizo wiki 2 za harusi akapewa Mrembo akaja na yeye ofisini kumkuta Kandi akafurahi, anampa umbe wa engagement yake na Musa Kandi anashangaa wewe na Musa?! Noooooo! Haiwezekani! Nani angejua?! Hongera sana Mrembo! Wakawa wanaongea pale Musa akaenda kuomba ahamishwe bank, maana hawezi kaa pale na Mrembo, sasa ni wapenzi, manager akampa transfer mpaka makao makuu akamwandikia reference nzuuuri ya ukweli kamsifiiia anafaa kukaa makao makuu kufika kule akapandishwa cheo!

Lawyer yupo buzy na mambo ya kesi ya Neema, mahakama ikawaita ikawasikiliza, siku ya 1...2...3 kila mtu anajitetea kivyake hukumu ikatoka
Neema: akapewa talaka aliokuwa ameomba pamoja na nusu ya mali na nyumba waliokuwa wanaishi na custody ya watoto ila awe anapeleka watoto kwa baba yao siku za sikukuu na weekends. Neema akakubali

Pastor: akapewa nusu ya mali, mshahara wake anaopata lazima alipe ada ampe neema pesa ya chakula na theluthi ni yake. Pastor akalalamika me nafanya kazi ya kanisa akaambiwa usitake tulete watu wa usalama waanze kukagua pesa ngapi unaingiza, usitanie mahakama, nusu ya mshahara itaenda kwa mkeo mpaka watoto watakapofika miaka 20, na ada zote mpaka chuo kikuu utawalipia wewe. Pastor akaitikia kwa unyonge sawa. Pastor kurudi akaotoa kila kitu chake kwenye nyumba waliokuwa wanaishi na Neema akaenda kupanga!
Ila uchi ni noumer hauwezi amini baada ya uamuzi wa mahakama, akarudi tena kumtafuta Mary wazidishe kuchonga mzinga! Mary akajidiba kwa Pastor kupewa raha, kweli dyu dyu tamu asikwambie mtu!

Maringo hajasemeshana na Patric tangu harusi ya Pendo, asubuhi yake Patric akaenda job hakumtafuta Maringo na Maringo nae akafanya the same! Zikapita wiki 3 hawajaonana Patric akawa anashinda kwa Rasheeda, wanapigana miti wee na Caroline nae yupo pale, siku amekaa ofisini akaona Maringo ameposta facebook she's single dah roho ikamuuma sana, jioni akafunga safari mpaka kwa Maringo, akaingia akamkuta Maringo anaangalia Tv hakuongea wala salamu, akamvaa kama nguo, Maringo nae noumer alikuwa amejaa hatari alipomwona Patric akashukuru Mia ingawa hakutaka kumwambia, wakapigana miti na misumari pale weee, sebuleni mara sakafuni mara kwenye ukuta, kila mtu akamfunga mwenzie goal 3-3 hoi!
Asuhubi Patric akaamka, kumwona Maringo amelala akaenda kutengeneza Breakfast, akamletea kitandani, Maringo akafurahi akiwa anakunywa anakaribia kumaliza, Patric akamoa zawadi kufungua pete ya uchumbaa! Maringo anashangaa what happen?!
Patric: nimefikiria sana swala lako nimeona sio fair, kwakweli nakupenda maisha na unafaa kuwa mke wangu, naomba nikuoe tu! Maringo haamini anadhania anaota! Kumbe ni kweli, 8 Karat with Diamond Ring! Sio ya kitoto! Akavishwa pete na Patric wakarudia kuzama kwenye mahaba!



ITAENDELEA SAA 11 NANUSU JIONI
 
A. TEAM HAPPINESS

Kijijimi ikaingia team chura matata sana, team msambwandaa, anaitwa Hidaya! Akaenda kupanga chunba chake karibu na ofisi ya Ismail, asubuhi kiiila asiku akitoka nje, Ismail anamwangalia jinsi alivyo wa ukweli, Soya atasubiri miaka 1000 kwa Hidaya, wiki imepita Hidaya anamtega Ismail asbh mchana na usiku! ISMAIL akaona isiwe shida, siku Hidaya amekaa kibarazani anakula ugali wake anaskia hodii, akakaribishwa kumbe ni Ismail!
Samahani me mwenyekiti wa serikali za mitaa ofisi yangu ipo pale ningependa kukufahamu mama kama mwana kijiji mwenzangu, wakatambulishana pale Ismail akatengewa chakula akakaa kwenye kigoda akala, huku wanaongea. Hidaya alikuwa mchangamfu, mreeemboo, anan chura Nikki Minaj watasubiri miaka 1000, bonge la msambwanda, Ismail akiliangalia anadinda tu!
Stori na wewe kuanzia saa 7 mchana mpaka saa 9 alasiri, Ismail akaomba aonyeshwe msalani, kumbe choo kipo ndani kuingina ndani saa 9 kutoka saa 1usiku! Sasa sijui walienda kujaza choo au kuzibua choo?! Mungu anajua!

Asubuhi Ismail anaamkia pale kwa chai, jioni kiza anaenda kudai mrejesho, Hidaya akamweka vizuri sana, sikunyingime Hidaya anaenda ofisi ya Ismail Soya mke wa Ismail hajui hili wala lile! Akifika akimkuta hayupo anakaaa hapo wee anabandika vidude kama alivyokuwa anabandikaga Kipofu anauchuna anaenda kwake kusikiliza mazungumzo yoote ya kiofisi

Maringo akamwambia Patric harusi yetu tunaifanyaje?!maana me staki mama ajue itakuwa patashika, waka plan wafunge kwa siri kanisa tofauti na wanalosaligi! Maringo akashop online kwa ajili ya nguo yake ya harusi, aka contact wapiga picha camera za ukweli kama za BBC! Makuubwa kama mnara!

Evelyne akatua na wazazi Lusaka wakafikia kwa Evelyne, kesho harusi, Evelyne halali anawaza anaolewa kweli au ndoto?! Kukakucha bi harusi akaja kuhudumiwa na watu wasaloon pale pale nyumbani, kapambwa kapeendeeza wakaenda church, Luwi kumfunua Eve haamini kama ni yeye jinsi alivyokuwa mwake mwake babake. Wakafungishwa ndoa wakaambiwa you may now kiss the bride! Luwi kamkiss Eve kama porn star wazazi wanaangalia chini haya mambo ya watoto bwana!
Sherehe ikafanyika watu kibao watu 500 kwenye hotel ya Intercontinental, mambo mazuri, mziki kwa saanaa bluees kwenda mbele, Eve na Luwi kama watoto wanegandana kila saa wana kiss kiss hawachoki utadhani wamejuana leo! Maringo anawaonea raha love birda alijua kakake na ile Divorce atakuwa miserable lakini walaa, harusi ikaisha wakaenda zao Honeymoon, mechi kuanzia kwenye gari mpaka hotelini

Maringo akarudi na mama yake akamshusha kwake, yeye akarudi kwake kumkuta Patric amekaa uchi kajifunga tai na ua kwenye mdomo na champaigne mkononi, Maringo akajiambia tobaa! Patric am tired i need to sleep! Patric hapo amejaa hajui cha kuchoka wala nini, akamkamatia Maringo, kamata chini kamatia chini, kama kama kamakamakamakama!



Mrembo na Musa mambo baam baam, Mrembo akarudisha shukrani za kuwa engaged! Mechi kali nini, Musa aka appreciate akajiuliza huyu mrembi alikuwa wapi all her life?!

Selina yupo Dubai anaringa, Shopping using bank card ya Drogba, alifanya shopping ya kiiila kitu ndani ya wiki tatu akaamua kusafirisha mizigo mengine kwa dhl! Chezea pesa ya mnigeria weye?! Sikumoja akaenda mall akakuta nguo za watoto, roho ikawa inamwuuma sana, anamkumbuka mwanae alieuawa na shemeji yake akaenda kujiandikisha councelling kwa dokta kwa mwezi mzima, Drigba anaona ma transaction ya hela zake zinavyotumia anachoka tu akajisemea lakini ni mke wangu haina neno!

Neema ana jivinjari na Masoud, mpaka masoud akaomba poo akamwambia naenda kijijini maramoja niangalie biashara za kule, akaondoka akamwacha neema na watoto wake. Neema akaamua kukaa kwa uaminifu bila ku cheat akilifikiria lile jumba ana hasara gani?! Akiskia nyege anampigia Masoud wanafanya phone sex!

Masoud kurudi kijijini akaenda kumsalimia Ismail mara anaona chungu pembeni ya ofisi ya ismail, cheupee kama zunguu, chungu haswaa miguu hihasa, chingo limedondoka kama mate, mzuuurii, akamwuliza Ismail unawezaje kufanya kazi na haya majaribu? Mashaalah mtoto amekolea kama nini, kweli Mungu alivyomuumba alikaa chini akamtengeneza pole polee akiwa aneshiba chai! Wakaanza kucheka wakaendelea na discussion iliowaleta,
Masoud akamwambia me naoa mtoto wa kitz, mrembo mzuri ila huyu jirani yako ametia fora. Ismail anashangaa chap chap namna hii kweli watu wazima hawana cha kusubiria sijui amchunguze sijui nini! ISMAIL akampongeza Masoud, akarudi kwake.

Kandi akafanyiwa sendoff kapendeeza mwenyewe, anawaka na makeup yake, Joe akakabidhiwa mke, baada ya siku 3 ikafungwa harusi ya joe na Kandi Maringo akaalikwa hakwenda, wakaenda Mrembo na Musa, Bank Manager na Mkewe Suzana officially Mr and Mrs Joe Pastor akatangaza wakafurahi wenyewe Kandi haamini ikabidi aamini tu anamwambia Mrembo you are next! Mrembo anacheka

Pendo na Joseph wameshatoka honeymoon, wamerudi home na Caroline wao, Pendo kafurahi Mrs Joseph, siku wamekaa j2 nyumbani, Pendo anaskia vbaya kizunguzungu kupelekwa nyumbani ana mimba miezi 3, Jose akafurahi finally Pendo wangu ananiletea zawadi ya mtoto

Mrembo baada ya kupigwa mechi asubuhi akaanza ku act weird! Anaskia kichefuchefu kumwona Patric mara amfukuze mara wagombane Patric akamove kwa Rasheeda, usiku wa manane anapata simu ya Maringo njoo hospital nimelazwa, akakurupuka Rasheeda anashangaa kunani akajibu kikazi, akaondoka mpaka Hospital Doctor anamwambia Maringo yupo sawa ila ana mimba kubwa miezi 5. Patric akashangaa, miezi 5?! How?! Mbona haonyeshi?! Doctor akamwambia ndio hivyo alikuwa na risk ya kupoteza mtoto kama sio kuwahi kwake kuja, namweka bed rest miezi 4 kwanza nimwangalie asije akapata misscarriage
Patric akakosa pouz akakaa chini kabisaa

ITAENDELEA KESHO SAA 6 Mchana
 
Back
Top Bottom