My cup runeth over ~ Na Kikombe changu kinafurika

Masoud akaja kwa mkewe kungwi! Akamkuta anaskiliza redio
Kungwi: karibu mume wangu
Masoud: asante za mjini?!
Kungwi: salama
Masoud akaingia zake kuoga akawa amekaa anakula, kungwi kimya mpaka alipomaliza kula wakaanza kuongea
Kungwi: mtoto anataka kuolewa wanataka kuleta mahari wiki ijayo sasa unasemaje
Masoud: me sina shida na Pendo wala mahari yake nina shida na hela ya kufanta sherehe 3 sina uwezo huo mke wangu
Kungwi: ivi ingekuwa watoto wako wale uliwaozesha sherehe 10 ungewafanyia hivyo?! Au kwasababu huyu ni mtoto wa kufukia?!
Masoud: pendo sina tatizo nae kabisa ataendelea kuwa mtoto wangu milele hata kwenye urithi analo fungu lake lakini sherehe 4 sifanyi. Nimejitahidi 2 moja ya mahari moja iyo sendoff sijui mnaita me hata sijui sherehe za kikristo!
Kungwi: kama sherehe hazifanyiki 3 basi naenda kupokea mahari mwenyewe mjini
Masoud: sasa huo ni ukorofi unataka nionekane simpendi mtoto sio?!
Kungwi: ndio je haumpendi, ungekuwa umemzaa ungejua uchungu wake, kwahiyo me jumamosi naenda mjini
Masoud: mkewangu usifanye hivyo bwana mbona unapenda kuniharibia?!
Kungwi: nimeshamaliza ukitaka nikae sherehe zinafanyika 3.
Masoud akanyamaza kimya kungwi akaingia kulala!
Asubuhi kungwi akaenda zake ofisini, akampigia pendo kuwa mahari inapokelewa mjini na sio kijijini sherehe zote mjini babake amekataa kumfanyia sherehe na yeye hana uwezo kwaiyo hiyo nyumba ya mjini aendelee kumlipia kodi yeye anahamia mjini!

Pendo akashangaa tu mama jaman labds niwacheki siku 2 hizi huenda mtakuwa mmeweka mambo sawa, siwezi kumwambia Joseph alafu kesho mnabadilika hapa tutaonekana wote ni vichaa! Nyie malizaneni baada ya siku 2 mnipe jibu. Kungwi akachoka ameshayapenda maisha ya mjini anatamanj akakaae huko huko
Akawa anamtext Manoa me naacha kazi naja kuishi mjini tutakuwa tunaonana, Manoa akamwambia karibu mpenz wangy me nipo buzy na shughuli za hapa na pale!
Kungwi akapanda bichwa dah kweli nina promising future! Akaandika barua ya kuacha kazi, akaipeleka kwa mwl mkuu, mwl mkuu kam mind kweli akaanza kumgombeza, kungwi anamwangalia akamjibu karibu kwenye kpati ya mwanangu mjini Lusaka, mwl mkuu anashangaa akaondoka akaenda kuaga mashosti zake akawakaribisha kwenye sherehe ya mwanae mjini lusaka akawaambia waje watafikia kwake mashosti wakampigia vigelegele pale wakampongeza kungwi akaenda kuaga kwa wanafunzi wanaliaaaa jaman mwl unaondoka wanaliaaaa ikabidi mwl mkuu aje atulize ghasia! Kungwi huyoo akasepa!

Kurudi nyumbani akaendelea na shughuli kama kawaida! Akapaki mizigo yake yoote akaandika barua kwa Masoud akaondoka, Lusaka mojaaa!

Masoud akaenda kumsalimia Ismail, wakiwa wanapiga stori, Ismail akamweleza kuhusu mkuu wa mkoa kufumania mke wake na anaenda kumtalaka! Masoud akachoka, ismail akamwambja masoud yule mke wa mkuu wa mkoa amezoea raha sidhani kama atataka avurugiwe ndoa, lazima atakula sahani moja na snitch, lazima atamuua au kumdhuru snitch! Masoud anameza mate akaona hapa hapatoshi! Inabidi amfiche Neema haswaaa sio kitoto, wakaongea pale na yeye akamwelezea kuhusu kungwi anaozesha Pendo, anataka nifanye sherehe 10. Ismail akacheka sana yani Masoud unasahau?! Mkeo amekuvumia sherehe zako zoote za watoto wake wewe kufanya hizo 2 unaleta ubahili?! We kweli una shida haya bwana me staki yajirudie ya mkuu wa mkoa kwako au kwangu wanawake hawa delicate sana we mkubalie Kungwi tu! Masoud akajibu ah hili nali ngumu kumeza! Akaondoka zake kuelekea kwa Neema kulala

Patric akaenda kwa Maringo kumweleza kuhusu fumanizi lake, Maringo akashangaa akamwuliza utafanyaje sasa?! Patric akajibu nampa talaka!
Maringo: talaka means mna split mali pasu kwa pasu na watoto mnagawana
Patric: hamna kitu kama hicho me ndo nitaondoka na kila kitu
Maringo: watoto si wako chini ya miaka 18
Patric: ndio
Maringo: trust you me nachokwambia ni kweli huyu mwanamke atapewa nusu ya mali zenu bora uyaache,
Lakini Patric kujionyesha ye mwanaume akarudi nyumbani kwa mkewake Mary na barua ya talaka. Mary akaenda kwa lawyer akaomba kesi iende mahakamani basi akawa buzy na kesi yake wakati Patric yupi buzy na majukumu ya taifa na talaka watoto wapo boarding hawajui hili wala lile

Pastor anamtafuta mkewe hapatikani kwenye simu wala nini, kabadilisha namba ya simu akachoka zaidi
Masoud akaenda kumweleza Neema kuhusu mke wa mkuu wa mkoa kuwa ndoa yake ikiungua atamuua akaamua kumrudisha Tz. NEEMA akakataa mwanini nirudi?! Tena nimechoka kukaa kijijini nataka nirudi Lusaka, Masoud akamwambia sawa akampa funguo aende kukaa kwenye mjumba wake ambapo hamna hata mtu atamwona! Neema akafurahi akampa mautamu Masoud ya mwisho mwisho! Asubuhi Lusaka mojaaa Masoud akarudi kwake kumkuta Kungwi hayupo, kaacha barua kaondoka na kila kitu chake! Masoud akakosa pochi akampandia hewani, sasa mkewangu mambo gan.... kabla hajamaliza kuongea akakatiwa simu! Akachoka!

Kungwi mjini akajichanua kwenye nyumba ya pendo anasubiri aletewe mahari, akamwambia Pendo nimeshafika mahari mlete hapa msihangaishe watu kwenda kijijini, Pendo akamwambia sawa akamweleza Joseph akakubali. Maisha yao yakawa buzy na kupanga sherehe, kuchagua nguoo, kutafuta maids, kutafita ukumbii, kupanga wageni waalikwa! Buzy buzy buzy Pendo!.

Maringo akaenda kwa wifi yake Suzana kumtembelea na kumjulia hali na watoto, kapendeeza kapiga bonge la umini na lile chura ni sheedah! Kufika wanaongea kama hajatalakiwa! Stori stori wanataniana, wakapika wakala watoto walikuwepo aunty Maringo akawa anacheza nao pale, baadae akapata simu ya Meneja wa Bank anataka kumwona, kwasababu alishamsumbua siku nyingi akaamua aende kumsikiliza, akawaaga wajomba zake na wifi yake, wifi anamtania, nakuona nakuona wifi yangu unaenda kurudisha mrejesho, na hilo tako shemeji mbona kazi anayo, maana umebeba tani 10 huko nyuma natamani kumjua shem wangu! Maringo akawa anacheka tu wifi jaman! Akasepa zake

Wakakutana na bank meneja jioni saa 11 kapendezaaa Bank Manager kumwona akadinda! Kweli chura ni classic stuff, wakawa wanaongea pale Meneja akamwaga mchele oh unajua Maringo me nakupenda siku nyingi sana, basi tu nashindwa kukwambia kwasbabau mapenzi kazini hayaruhusiwi!
Maringo anamsikiliza tu anamwona kama ushuzi akamjibu boss bwana acha basi masihara utaniweza kwani?! Me mwenzio 1st class beyaaach! Au unatafuta kiki boss wangu?!



Manager: ah ayo mambo madogo sana,
Maringo: sawa ila sasa me nina mtu wangu ndio ananiweka mjini naona kama umechelewa
Manager: haina shifa si kila mtu anavuta upande wake, atakae kuwa na kisu kikali ndio mshindi
Maringo: ivo ee?! Sawa hamna shida basi twende tukapime afya maana me kutunia condom siwezi nina alergy!
Manager: akaonyesha dalili ya kuchoka akakubali shingo upande, sawa hata leo twende tukapime
Maringo: hapana leo hatuendi, kuna mtu anataka kwenda kumwona!
Manager: ndio mpinzani wangu nini?!
Maringo: unamjua Joe, alipataga heart attack ndio nataka kwenda kumwona
Manager: kweli niliskia basi ngoja twende wote wakaongozana mpaja hospitali, kufika wanamkuta Kandi anamhudumia anaweza kutembea kwa wheel chair na fimbo memory umerudi kidogo, wakafika pale wakawa wanamsalimia, Joe anamwangalia tu Maringo alivto mwake anashangaa wako na meneja wa bank sasa au?! Akachoka zaidi
Maringo: pole sana Joe pole sana, samahani sijaja kukuona muda nipo buzy na kazi na nikasafiri miezi 6 (mwongo)
Joe: asante naendelea vizuri
Maringo: naona, kweli kandi amefanya kazi kubwa nafurahi kukuona upo vizuri ngoja niende basi nimeleta vitu vitakusaidia kurudisha afya!
Joe: asante maringo huku machozi yanamtoka, alikuwa analia na mengi. Kiukweli Joe hakumpenda Kandi yeye ni maringo tu! Ila kwa wenzetu i guess ukiweka promise lazima iitimize sio kama wabongo promise ukipewa utasubiri weee mpaka kurudi kwa Yesu, promises zikam cost Joe!
Manager nae akabakia kuongea na rafkiake Joe
Kandi akamfuata Maringo, mami naomba niongee na wewe
Maringo: nina dk 5 fanya fasta
Kandi: joe anakupenda sana hamba chance ta nyie kurudiana?! Kila siku akilala anakuota anakutaja jina, hata alipofungua macho aliponiona akataja jina lako nikamwambia hapana ni mie Kandi. Jaman msamehe Joe tafadhali
Maringo: nimeshamsamehe ningekuwa sijamsamehe nisingekuja kumwona
Kandi: na maana mrudiane nae
Maringo: hayo ni maamuzi yangu binafsi na sidhani kama yanakuhusu
Kandi: sawa i was just saying!
Maringo: akaondoka zake amemwacha Kandi anamkodolea macho, macho kodooo! Anakodoa koodoooo!



Itaendelea kesho saa 5 asubuhi
 
Hii CD ya sasa hivi, Prison break, 24, zitasubiri miaka 1000!
NI MVURUGANO WA KUFA MTU!
MSOMAJI USICHOKE, TWENDE MPAKA MWISHO, UKIFIKA KATIKATI USICHUKIE WALA KUKIMBIA, NDIO MAISHA!



KIJIJINI:

Kashkash letee, natena letee

Kashkashi letee nasema lete,

Leteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Mdundiko ndani ya nyumba watu wanajimwagaje sasa! Kila mtu kwa sehemu yake, kila mtu na mtu wake, wengine wapenzi humo humo wanadandiana, kiruu, mwenyekiti wa kijiji nae yumoo, anayarudi na mke wake, watoto wa shule ndo kabisaa, wengine wanasaidiana kupiga ngoma na madebe, tobaaaa! Ni vurugu, ni mvurugano, ni vumbiii cha! Sio kwa vurumai lile, kila mtu na upande wake, ingekuwa enzi za mziki Darassa angeimba sio Chui sio Simba sio mamba he!

Ng’ombe mzima keshaliwa, mbwa anatafuta mifupa, sio kwa sherehe lile! Cha! Wanakijiji oyooooooooooooooooooooo, wanakijiji vepeeee! Alikosekana mzee wa sengeli tu maana sio kwa mifuraha ile, kijiji kimeshinda, kimeshinda kabisa, na mwenyekiti wa serikali za mtaa alipewa pongezi na mkuu wa mkoa, akatoa ng’ombe wa 3, soda kreti 30, bia kreti 40 na chibuku, wale wanywe wafurahi, sio kwa ushindi ule!

Mke: Nipe talaka yangu nakwambia, nipe!

Mume: Sikupi hata moja!

Mke: Sitaki kuishi na wewe tena nipe nirudi kwetu

Mume: Nishakwambia sikupi we mama kama unataka kwenda kwenu nenda wasalimie salama

Mke: Yani hapa piga ua talaka utatoa nakwambia, usinichezee ivoo, la sivyo nitakuonyesha wewe nitasahau nimezaa watoto 3 na wewe, mwanaume wa namna gani wewe Malaya mkubwa kabisa, hauna hata maana unatembea na kijiji kizima sa ajabu una ukimwi

Mume: kama mimi nina ukimwi hata wewe unao, mwanamke kukitembeza kama kinalika sasa, haujiheshimu hauheshimu ndoa wala nini! Hata kama watoto hawapo uliambia ufungulie jiko hilo?

Mke: wewe ongea wee ukimaliza andika talaka fasta niende kwangu

Mume: uende kwako au uende kwa huyo mwanaume unaemwona wa maana, hivi mama subira una akili kweli wewe?! Ndoa ya miaka 40 unaipiga teke? Mimi niulivyoozeshwa kwenu nilkiambiwa nisitoe talaka, kama unataka kurudi kwenu nenda mwenyewe nitakauja kuongea na kaka zako, kwanza hata wazazi hawapo

Mke: nakupa dk 10 andika talaka naondoka sina raha na wewe tena mshenzi mkubwa!

Mume: akamwangalia tu anamhurumia, akamjibu nakupa talaka kwa shingo upande, nenda kwa huyo wa maana utaja niambia usishangae ukirudi ukakuta chombo kingine

Mke: fanya haraka kumbe ulishapanga nitoke uingize mwengine aya fanya haraka

Mume: kaandika talaka ndani ya dk 15 kampa, nakutakia maisha mema na huyo bwege wako!

Mke kaingia ndani kafunga virago, ndukiiii, akafika mbele anaona mziki wa kijiji, eh! Leo kwani kuna nini jamani?! Kuangalia burudani na nyama zaliwa kila aina, anajiuliza imekuwaje? Amekuwa buzy sana na kazi za home hata yeye na mumewe hawajui? Katika kuangalia angalia anamwona mshefa wake! Tobaaa na huyu yupo huku tena na mwenyekiti wa kijiji, sasa ntaenda wapi maana huu mguu ndio wake,

Akaona bora ajidibe kwenye mziki, ili aonekane, kabla hajaingia mkuu akamuona, akatoka pale alipokuwa amekaa mke mtu akamfuata kwa nyuma akakuta anaingia kwenye gari nay eye akaingia, wakakaaa weeee huko ndani weeee, bila dereva, mkuu akashuka akaenda kuaga kwa mwenyekiti haooo nduki!

KUNGWI!

"Mapenzi ni kama SWIMMING POOLS usijisumbue kujua NANI aliogelea kabla yako! nani mnaogelea naye kwa wakati huo au nani ataoga ukitoka, WEWE ENJOY KUOGELEA TU MAMA, haina kuremba"

Kungwi akaonekana yupo buzy anaitendea kazi hela yake

Maisha yenyewe ya sasa sheedah tupu, we fanya yako,. Zaa watoto walee, ilimradi bwana anasomesha,a analeta msosi home, we una shida gani? Haya mambo ya kaangalia nani kapita, sijui rosa kapitaaaaaaaaaaaaaaaaa, bwashee kapitaaaaaaaaaaaa, maria kapitaaaaaaaaaaaaaa, Nancy kapitaaaaaaaaaaaaaaaaaaa shogangu ndoa haimalizi mwezi hio utarudi kwenu mwenyewe! We fanya yako, afu tabia za watoto wa dot com mnachungulia simu ya mwanaume sijui mnapokea mtakufa asee!

Kungwi kaendelea na yake yale ya ndani mabayo ni PG 18+ kama kawa kama dawa mrembo akaelewa somo, mashangazi wapo nje wanasubiria mwali amalizwe shangazi nae achukue zamu yake!

Kungwi alipotoka simu na yeye, haloo mpenzi za kwako?

Mume: salama za kushinda?

Kungwi: mbaya, nimekumiss kweli hapa nimetoka kwenye somo

Mume: karibu kwangu

Kungwi: mh! Huyo mkeo hayupo kweli?

Mume: nimeshamtalaka leo asubuhi alipoenda sippajui labda kaliwa na simba msituni ila najua mguu ule alikuwa anaenda kwa Yule boya wake anaemwona wa maana, me saivi bachelor mzee!

Njoo baby nikufanye malkia wa nguvu kwenye hekalu langu

Kungwi: nakuja nipe nusu saa!

Kungwi kakata mitaa na yale mavumbi ya kijijini Zambia , kufika kama chiriku, mavumbi mpaka usoni, dah ama kweli, wengine wanavikimbia kumbe wenzao wanavikimbilia kwa miguu. Kufika haangalikiki utadhani alikuwa anacheza mpira wa miguu kwenye michanga, ikabidi Yule mume acheke tu maana sio kwa mwendokasi ule! Ahahahaha, akaingia ndani akatoka na kiti na maji ya kunywa, pole best yangu, kungwi akakaa chini akapewa maji ya kunywa, wakawa wanapiga stori pale na nini, Mume anajieleza ujinga wa mwana mke alieacha ndoa akikimbilia kwa mkuu wa mkoa! Tobaaa kungwi akazidi kutega maskio, stori stori na wewe, kungwi kimyaaa!

Haya karibu nyumba sasa ni yako, Kungwi mh! Akaguna, asante ila me leo sio mkaaji, watoto nimewaacha mwenyewe lazima nirudi kwanza nikaangalia vepee wasije unguza nyumba na hivi kupika hawajui sijui itakuwaje usiku

Mume: wote mje make hapa me kukaa pekeyangu kama jinni hata sipendelei

Kungwi: sawa ngoja nijipange basi,

Mume: ujipange nini? Me ntakusaidia kuhama

Kungwi: sawa ngoja niwapange kisaikolojia watoto alafu tunahamia siku si nyingi, wakakubaliana pale wakaingia ndani! Mziki ukaanza, kungwi tenaaa! Sio wa masihara!


MJINI:

Meneja: Dada karibu

Dada: asante sana

Meneja: interview ikaendelea pale na nini, dada akajibu maswali kwa ufasaha, ikaingia interview ya vitendo! Dada akaipiga vizuri, akaishia kuajiriwa

Meneja: keshoa subuhi saa 3 uje usaini mkataba wa muda alafu uanze kazi

Dada: asante sana akaondoka kwa furaha akimshukuru Mungu!

HR Office:

Kandi: shogangu leo watu mdebwedo, kha! Nyomi kama ile balaa nina njaa hatarious!

Mrembo: yani acha tu hii interview mwendo kasi ajabu, eh shoga umeona msembwende ulee! Kha! Yule lazima ataajiriwa sio kwa yale mavi

Kandi: nimeona shostito! Kha! Yule kaongeza kama Kim Kardashiana au? Maana haipatikani nchi nzima au Yule mbongo nini maana ndo zao kama sio mbongo basi msoweto!

Wote wakaishia kucheka! Haya tutajionea ya ahera maana ya duniani mengi!

Kandi: Yule pale boss lazima atamuajiri na akimwajiri tu anakuwa sakramenti yake, ai jamani! Acha tu wakaendelea zao na kazi kama kawaida!

Musa: Oya niaaaje mwana,

Oga: Poa tu shega, wapi iyo?

Musa: Ah mie nimetoka hapo mjini mara moja boss alinituma, vipi za nyumbani? Selina hajambo?

Oga: Ah Selina bwana anazingua kweli ila basi tu

Musa: Kuna nini tena mwenzangu mapema hii mshaanza kubutuana?

Oga: Ah acha tu, ila kuna kinu kimoja nimekiona mitaa ya kati acha kabisa weka mbali na watoto!

Musa: eeeeh! Wachaa, sasa umefanyaje?

Oga: yani nilipomwona tu nikajaa! Kama simtanki, nilikuwa kwenye gari na dereva nikamwomba asimamishe, nikashuka kumsalimia, kapolee kanaona aibu chenyewe!, nikamwomba namba yake, akanipa nikambipu pale pale, akaisave nikamwambia tutawasiliana, tukasepa me na dereva, njiani

dereva: mdogowangu utakufa na nyota yako ya chipsi mayai, acha kuvamia chura hao, shauriako!

Oga: sawa kaka, ila si unajua vijana na damu kuchemka!

Dereva: najua ila aste aste we si upon a selina naskia mnakaria kuoana

Oga: ah selina Yule acha kabisa, mambo alionifanyia bora nirudi kwetu tu Nigeria, nikaoe kule ila huyu mdoli wa kibantu ni hatari hii itakuwa namba ya Soweto kama sio Tz! Kha!
Wakacheka pale na dereva wakarudi ofisini.

Musa: eh makubwa we Oga embu tulia na selina kwanza huwezi jua awa vyura wapo tu! Huwezi jua chura ya nani ile

Kufika mtaa wa 3, dada wa watu akapigiwa simu,

SIMU: uko wapi?

Dada: nipo mjini nimetoka interview

SIMU: ok pitia hapa ofisini nataka kuonana na wewe

Dada: sawa

SIMU: ikakatwa

Dada akachukua taxi moja mpaka alipoitwa!

Moja mbili tatu…. Enhe! Moja mbili tatu…. Safiii

Moja mbili tatu…. Enhe endelea ivo ivo, na wewe pia mikono ufanye vizuri unakosea kosea, enhe namna hiyo.

Eh nani we dada, vipi mbona haufanyi mazoezi? Haya njoeni huku upeesi, acheni hayo maongezi, wakaja wakawa wanafanya mazoezi,

Safi sana, leo mmenifurahisha sana kuliko siku zote, kesho tunaendelea na zoezi lingine ambalo litatusaidia stejini kwenye kucheza, sawa? Wakaitikia sawa! Haoo wakaondoka!

Mwalimu Selina nahitaji private class naona siwezi master level hii

Selina: sawa hamna shida, ila itabidi unilipe

Mwanafunzi: ngoja basi niongee na baba atakulipa ni siku gani na gani?

Selina: tufanye jumamosi masaa 4

Mwanafunzi: sawa hamna neno!

Karibuni wageni, karibuni sana,

Wageni: asante, huku wanaangalia bidhaa wanazouza

Hii bei gani, wanatajiwa, hii bei gani wanatajiwa, hii bei gani, wanatajiwa!

Basi wakajaribisha pale wakalipia wakaondoka.

Leo mauzo sio mabaya, afadhali maana sasa sijui ningefanyaje!

Mara simu ikapigwa, Pendo uko wapi shogangu

Pendo: nipo hapa kwenye kibanda change, nambie

Selina: ngoja kwanza nakuja hapo hapo nikupe ubuyu!

Pendo: haya karibu

Mkuu wa mkoa nae alionekana yupo na mke mtalaka, wakafika kwenye nyumba nzuuuri ya chini, mke mtalaka akijia kuwa ndio kwa mkuu wa mkoa, kumbe hamna kitu, kapangiwa fasta fasta kuepusha shari! Akamkaribisha pale na begi lake 1, karibu akamwonyesha vyumba vyote 3, na jiko na sebule, akamwambia kwenye fridge kuna kila kitu, wewe tu ujisevie, mimi natoka nitarudi kesho leo sitaweza si unajua nina shughuli za kiofisi?

Nje kuna mlinzi anakuja saa 12 jioni anaondoka saa 1 jioni, hii nyumba ni yako asikusumbue mtu!

Mke mtalaka akafurahi, akamshumu mkuu wa mkoa, mkuu akampa mil 3 akasepa huyoo, mke mtalaka akasema kweli, nilipomuacha Yule mzee sikuwa nimekosea! Vitu kama hivi ningevipata saa ngapi na uzee huu ningekufa nywele ile nyumba ya miti akhaa! Nimeteseka ujanani na uzeeni pia? Akawa anaiangalia ile nyumba anapanga jinsi atakavyoibadilisha kikwake kwake, ah maisha mazuri.

Mchungaji: Karibu, karibu kiti, karibu sana

Muumini: asante baba mchungaji,

Mchungaji: enhe niambie! Kuna shida gani maana ulisikika vibaya kwenye simu kama kuna dharura

Muumini: yani acha tu baba mchungaji, ndoa inasumbua babaa!, yani nimeshamfuma mume mara 5, nab ado mnaniambia kuhusu kusamehe jamani me ntaweza wapi?

Mchungaji: samehe tu mama dunia hii sio yetu na siku tutarejesha mrejesho kwa Mungu

Muumini: jamani yani sasa ndoa ipo kama kiazi mviringi sasa, hata sina raha ipo ipo tu, watoto ndo hao wadogo basi nakaaga tu mwenyewe!

Mchungaji: vumilia mama haya yanapita

Muumini: yani me siwezi kwa sasa itabidi nitafute furaha zangu tu!

Mchungaji: mama vumilia, tafadhali haya yote ni maisha

Muumini: akainuka fyeee akaondoka bila kuaga analia tu

Mchungaji akabakia anatoa macho tu!

ITAENDELEA
Du hii ni hatari ni bora kujikalia pembeni maana naona michepuko imefika mlangoni inabisha hodi.
 
Drogba akamwambia Selina nisindikize Nigeria nikasalimie wazazi Selina akakubali wakaingia Lagos mojaa kufika mama mkwe akamkaribisha kwa mikono mi 3 Selina, selina anashangaa mbona nashangiliwa namna hii kuna nini?!

Wakakaa siku ya 3 wakiwa wametoka kanisani Drogba akawaambia wazazi wake kuwa yule ndio mwanamke amempenda na anataka kumwoa akapiga magoti akamwomba Selina awe mke wake, Selina akaskia kuzimia, tobaa! Mbele ya wakwe tena! Alichoka! Akakubali Yes i will marry you!
Drogba akafuraaahi akamkumbatia, akampiga denda la kufa mtu utadhani Porn Stars! Wazazi wanaona aibu mpaka wanafunika macho!
Wakapanga baada ya siku 4 wafanye sherehe ya kumkaribisha mkwe nyumbani, mama mkwe akawapigia akina Oga na Didie waje, wakawa wananshangaa inekuwaje tena ghafla namna ile?! Wakakubali wakaenda kwao Lagos!

Sherehe ikafanyika kuubwa si unajua wa Nigeria walivyo mashauzi, rain Money nyingi nini! Yani ni sheedah! Selina na ushamba anaokota anazificha kwenye maziwa aibu! Akina Oga na Didie wanamcheka, kweli kaka etu kapata maskini! Selina kaokotaa mpaka kachoka! Dola 100 tu zaamgushwa! Hata kwenye stripping club hawaangushi dola 100. Kiruu!

Mziki mzikini Selina na high heels akaomba poo akavua akapewa viatu vya chini akacheza wee mpaka kizingumkuti akaamua kukaa pembeni ya mama mkwe



Mary na kesi ya mahakama, ikasikilizwa pale akashinda asilimia 50 maana na yeye alikuwa na evidence kapewa na dereva wake kuhusu Patric kutembea na wanawake, akiwemo selina na Rasheeda! Mahakama ikamwelewa kuwa ame cheat out of confussion maana alikuwa hapewi unyumba mwaka wa 3 sasa akale wapi? Mahakama ikamwelewa kwa upande mwengine alikuwa na kosa la kukaa kimya angekuja kusema mapema angepewa assets zoote za mume mahakama ikampa custody ya watoto mpaka watakapotimiza miaka 20 watarudi kwa baba yao kwa malezi. Kuona watoto Patric akapewa weekend na sikukuu. And vice versa wakija kwa Patric Mary atafanya hivyo. Akapewa nyumba wanayokaa na gari moja mali zingine zikabaki kwa Patric. Patric akaambiwa atoe nusu ya msahara uende kwa Mary na watoto mpaka watoto watakapotimiza miaka 20 na kuhamia kwake. Mary akafurahi sana alijua amekosa kila kitu. Patric akamind kimtindo ila watoto walikuwa wana mjaka 17 so bado miaka 3 waje kwake ndio Mary aanze ku suffer! Kesi ikafungwa talaka ikatolewa Patric akahamia kwa Rasheda. Akamdanganya Rasheeda kuwa wamekosana na mke wake so atakuwa analala pale muda mrefu sana Rasheeda akafurahi kuokota embe dodo chini ya mwembe akamkaribisha kwa mikono mi3.

Maringo yupo na kazi zake kama kawaida. Ameshazoea maisha ya kuiba na kuibwa! Wifi yake akamtext wifi bwana nisaidie, tuwe tunatoka out nataka kubadilisha maisha yangu kabisaa mambo ya kukaa hivi me bado mdogo lazima nipate bwana
Maringo akamwambia sawa wi wangu ndio twakukosa tena kwenye familia ivoo wakapanga wawe wanatoka kiila weekend Maringo akiwa na Patric anampotezea wifi yake

Neema katua kwenye mjengo wa Masoud! Akawa anashangaa palivyo pazuuuri! Haelewi! Nani ana service ile nyumba mbona vyakula vimejaa kwanini Masoud anaishi kwenye kichuguu! Wakati anamjumba kama ikulu ya marekani?! Akawa haelewi akajiambia shauri yake

Akapata text kwa mumewe mke wangu rudi nyumbani Neema hana mpango wa kukuua tena divorce imeshaisha ameshapewa chake rudi tuendelee na maisha na kumtumikia Mungu. Akaisoma ile sms akasonya! Mxxxxiiiiuuuuuu! Akaendelea kujilia raha nyumbani kwa Masoud

Bank manager akakomaa na Maringo siku wakakutana wakaenda kupima Bank Manager hana ukimwi. Maringo akaguna mh mbona Joe aliniambia vingine?! Akaomba appeal wapime hospital ingine wakapima hamna ukimwi Maringo akaona hapana sio kweli akamwambia Bank Manager naenda India kimatibabu nisindikize akasindikizwa kufika hamna cha matibabu wala nini akajidai mgongo unaniuma kuchekiwa yupo sawa akasema uchi unauma kuchekiwa yupo sawa wakaenda kupima ukimwi wote wawili wapo safi mh akawa anawaza

Wakiwa hotelini akamwambia niliskia kuwa mkeo kafa na ukimwi. Bank manager akamwambia sio kweli nani kakwambia?! Akajibu ah maneno tu ya bank. Akamjibu mke wangu aligongwa na gari na mtoto wangu akiwa kwao Sudan watu wakajua amekufa na ukimwi maana nilizikia kwao sikurudi! Mke wangu alikuwa muovu nikamsafirisha kwenda kwao watu wakajua anaumwaa! Maringo akaikubali kibishi ile historia lakini hakumpenda Bank manager!
Akakubali kupigwa mechi kibishi kichwani mwake anampango wa kum hook up na wifi yake suzana!
Mechi mechini bank manager hayupo vuzuri wala nini! Ila hela anayo kimtindo lakini sio kama Patric kurudi kwao Lusaka Maringo akaenda kucheki ukimwi akakuta hana baada ya miezi 3 kucheki hana

Siku amekaa na wifi yake suzana, akamwambia kuna bwanabnimekutaftia embu mchokoze. Akampa namba. Suzana akamchokoza wee na bank manager hajachokozwa mudaaaa akaona aitumie fursaa!
Wakaonana na Suzana asijue ninwifi wa Maringo na Suzana hakutakiwa kusema chochote wakadate for a week bila ku du! Bank manager akaanza kumpenda suzana! Wameenda mwezi mzima wakamalizia ligi nyumbani kwa Bank Manager! Wakaivana!
Suzana akakolea kwa Bank manager and vice versa is true! Bank Manager akamsahau Maringo maringo aliposikia mambo yanaenda kwa wifie akashukuru Mungu

Bado siku 2 mahari ipokelewe Masoud akaondoka kijijini akaenda mjini kufikia nyumbani kwa Pendo akaongea nae mwanzo mwisho kuwa yeye anampenda kama mwanae hatabkwenye uridhi wake wa kimaskini na yeye yumo! Pendo anashangaa akamwambia nielekeze kwa Kungwi ili kesho kutwa niende tusilete aibu si unamjua mamako alivyo!? Akaelekezwa siku ya mahari alfajiri akatua kwa kungwi
Kungwi anashangaa huyu mzee ametokea wapi?! Haelewi! Anashangaa Masoud anamwambia usikonde mke wangu me nakupenda nimetafuta mpaka nimepapata haya tujiandae kupokea mahari ya mwanetu tusijeleta aibu! Kungwi akafurahi sana

ITAENDELEA SAA 9 ALASIRI LEO
 
Alililili alilililiiiii vigelegele pale nini, wanawake 10 wamtoka kijijini kuja kumsindikiza Kungwi, saa 12 wapo pale sa sijui walikuja kwa ungo wamebeba mazawadi matenge nini, wamejaa wakaingia kupika chai chapati maandazi vitumbua wengine wanaaza kupika wali pilau, akaja Rasheeda na Maringo kusaidia kazi wanafanya kazi huku wanaimba



Ismail nae kaja kumsupport Masoud wakawa wamekaa pale mara akaingia Manoa! Ismail akamcheki wee kqa hasira hajui amfanyaje akajikausha kama hajui kitu! Wakaendela pale wanapiga stori za siku za kijiji manoa akafunguka na yake, ismail na yake, Masoyd na yake wanacheka wamshasahau yaliotokea wakamsifu manoa ana gari jipya ana biashara zimekua akawakaribisha baada ya mahari waende kwake wakapaone

Saa 4 asbh wakaja wakwe kuleta posa, wakakaribishwa posa ikapokelewa pale, wakaambiwa vitu vya kuleta wakaleta, wakamaliza kila kitu Kungwi kajaa kapendeza na mpambe wake Rasheeda! Wako viti maalum, kungwi akapewa chake kama mama, Ismail akapewa chake kama Baba mlezi, mashangazi hawakuwepo akapokea Rasheda, mengine yaliobaki sijui mjoba wa bibi akapokea Kungwi, kila kitu kikawa tayari akina mama vigelegele kwa saana! Pendo sio wa kwao keshalipiwa mahari tenaa!

Maringo akaenda kutambulishwa kwa Pendo na Rasheeda Maringo akamwambia nimeshawahi kukuona sijui wapi, Pendo akajibu me nauza nguo labda ulikuja dukani, Maringo akasema yah kweli nilikujaga enzi zile naanza kazi jaman sikujua kama wewe ni ndugu yangu kumbee hongera sana kwa posa, wakaongea pale kibishi, akamwomba Maringo awe maid wake maana hana dada! Maringo akasema usikonde mami me ntakuja na wifi yangu tutasimamia harusi yako Pendo akafurahi afadhali harusi itapendeza maana harusi bila maids ni balaa waka exchange contacts pale Pendo akaitwa na Joseph akatambulishwe ukweni. Sherehe ikaenda saa 7 wakala msosi saa 10 wakaaga wakwe wakatawanyika wakaambiwa harusi baada ya wiki 3.
Kungwi akawaambia sendoff itakuwepo na kitchen party! Wakasema sawa tutasubiri kadi ya mwaliko, Pendo akaondoka na Joseph na Caroline wakarudi kwao akiw amefurahi mwenyewe haamini a dream come true anaenda kulivaa shela jeupe finally!

Kungwi akapewa hongera na Manoa, hongera best (kishkaji ili Masoud asiskie) kungwi anajichekesha tu, asante shemeji namwona Mkeo Rasheeda anazidi kwiva unamtunza vzuri hongera sana, Manoa anacheka hata me namwona anazidi kupendeza. Ngoja nikamsalimie akaenda kwa Rasheedah anamshika mkono mpenz nakuona ndani ya umini umetoka chicha bwana wako yupo wapi?!
Rasheeda: eeee! We shamba boy embu niachie nanharufu zako za kuku na bata na ng'ombe na mayai ya nyoka sijui kuku mtajiju!! Me nimepaka designer perfumes eeh! Unanichafua na gauni yangi la Donnatella versace!
Manoa hajui cha Donatella wala versace kwanza alijua ni watu wawili tofauti, akazidi kimshika acha maringo wewe ngoja nikukumbatie akawa anamkumbatia kabisaa, anamchumu Kungwi anacheka nawaona nawaona anawaambia! Rasheeda anacheka niachie bwana we shamba boy utaninukisha shombo mabanda ya kuku miee huku anacheka we Maringo njoo mchukue baba yako ananichafua tu hapa mpeleke akaoge huku wanacheka wakaanza kucheka wote walioko pale karibu kungwi anamwambia Rasheeda hata haukui jamani umejaa vituko kweli huku wanacheka!

Sherehe ikaisha akina Ismail na Manoa na Masoud wakaondoka kwenda kulala kwa Manoa, kufika wanatoa toa macho tu palivyo pazuri wakaambiwa walale kwanza asubuhi wataona kila kitu

Wa Nigeria nako mambo ni baam baam baada ya sherehe kukawekwa kikao na baba mkwe kuwa Drogba na Oga wapatane hata kama wamemyang'anyana mke haihusu sasa Drogba anataka kuoa na kama Oga ana kisasi amalize pale pale ili mwenzie akaishi kwa amani na mkewe
Oga akaachilia kila kitu akabariki akawaombea pale wote shwari akamkaribisha Selina kwenye familia ugomvi ukaisha akina Drogba wakaaga wanaenda Lusaka lakini hawakwenda wakajitosa hotelini for honeymoon no 2 wakawaambia wazazi harusi ni baada ya mwezi m1 na inafanyika hapo hapo Lagos
Kufika hotelini wakapigana miti weee, kha! Drogba na mafuraha yake anamning'iniza Selina anaomba poo akakumbuka jinsi Kungwi alivyokuwa anampa maujuzi aka apply kwa selina anashangaa tu drogba katoa wapi haya mafujo, kila waki du anaongeza ujuzi mmoja mmoja Selina anazdi kupagawa!

Suzana yupo na Bank manager wake, mapenz yamekolea! Bank manager anawapenda watoto wa suzana kama wakwake! Mechi kiiila siku bank manager akawa muda mwingi anashinda kwa Suzana kwake hajaenda ana wiki ya 3, outings, date night, dyu dyu nights, zote zinafanyikia wakiwa kwa Suzana.
Suzana akamshukuru sana Maringo kwa kumpatia bwana kama Bank Manager, hakutegemea wataiva kiviiile kama alivyomuona! Maringo akafurahi wifi yake kapata happiness akamwambia wifi yake komaa hapo hapo alafu me na wewe tumechaguliwa kuwa maids wa harusi ya mtoto wa rafkiake mama inafanyika akamtajia tarehe suzana hakuwa na kipingamizi mbele ya wifie maana mpaka wifi kamchagua ujue amekubalika sio kitoto

Mary akawa ana enjoy nyumba to herself akiskia nyege anampigia Pastor, Pastor akamwambia me staki historia ijurudie kama zamani bado nampenda mke wangu neema sana tu na sijui kwanini mpaka leo hajarudi na wala sielewi yupo wapi, Mary akaona mizinguo akampotezea anampigia Drogba last alimpigia Drogba akaambiwa asimtafute tena kwani ameshaoa na haitaji huduma yake akachoka
Akaamua aendelee kula sahani chafu na Dereva eake ambae kama sio yeye anegachwa na mumewe akiwa na nguo tu, wakawa wanapigana mechi hotelini kwenye gari anashindwa kumwingiza kwake mpaka watoto wakirudi shuleni ndo anamwingiza kwake, akawa anajiona free woman! Sio kwa ile miti dereva aliokuwa ana deliver kwake, akajiuliza miaka yote hii alikuwa wapi asiwe na dereva! Dereva hakuwa kwenye mahusiano yoyote na mtu wala hajazaa nje, alikuwa mtu mzima kuliko Mary, akawa anampa tu raha anarudi kwake hataki kuonekana njaa anamganda Mary, wakitoka out analipa kila kitu! Hata kama hotel ni expensiVe anajikakamua analipa, alimpenda Mary kikwelii sema wakati Patric anachanganya madem akamwa anaumia sana akijua atamletea Mary ukimwi ndani.

Neema akapigiwa simu na Masoud kuwa yupo Lusaka atakuja asubuhi kwake, akafurahi akajua anagawa mechi free free bila guilt akawa ana enjoy mjengo keshajiona malkia wa nguvu thoughts zoote zipo kwenye ule mjengo nikiolewa nitafanya hiki na kurekebisha that, nakuweka hiki basi taabu tupu wakati Pastor anamsubiri akalee watoto

Suzana akatolewa out na Bank Manager! Wakiwa wanakula akaskia vbaya kama kizunguzungu mara kichefchefu akaomba warudi nyumbani, wakiwa wanaondoka kuelekea kwenye gari akazimia! Bank manager kumpeleka hospital kumcheki akaambiwa ana mimba changa ya mwenzi, bank manager akafurahi akijua kuwa anaenda kupata familia ambayo amekuwa akimwomba Mungu miaka yote finally inatimia!

Luwi na Evelyne ni dam dam, mechi kiiila siku hata hawachokani, sijui Evelyne alikuwa anafanya kufuru au, akamsahau kabisa Musa, siku wamekaa na Luwi simu ikaingia private no akaipokea akaweka loud speaker asijue ni Musa
Musa: haloo mpenz za masiku umenisusa jaman nimekumiss sana lini nakuona?!
Luwi akamnyang'anya simu Evelyne akamwambia mimi ni mume wa Evelyne wewe ni nani?
Musa: mmh samahani sikujua kama Evelyne ameshaolewa nisamehe bro!
Luwi: akakata simu, eve roho inamwenda mbio ndi ndi ndi! Luwi hakuongea kitu akamwinua juu juu evelyne akampeleka kitandani akaanza kumpiga dyu dyu!
Sa sijui lile Dyu dyu ni la hasira au la mapenzi ya kweli?! Wanaume wasomaji mtatuambia



ITAENDELEA SAA 6 MCHANA KESHO
 



Maringo amekaa nyumbani kwake kajaa miupwiru akimpigia Patric hapatikana akajisemea leo ntakoma sio kwa kujaa huku!

Baada ya nusu saa Patric akaja, akamkuta maringo amejilaza sebulen anaangalia tv, akamuamsha Maringo kumwona akadhania anaota, akafikicha macho kama tom and jerry wanavyofanya! Kuangalua vizuri ni Patric Nyege zikaamka!
Mechi ikapigwa hapo hapo kwenye kochi moja, Maringo chini Patric juu, Patric akazama chumvini kama mvuvi, Maringo akajiona yupo heaven ya 12, tobaaa anapiga mikelele mikelele ya utamu Patric anazidisha douz! Baadae akampanda kama farasi kutu kut kutu kutu hiiiiiiiihaaaaaaaaa!
Baadae Maringo akafanya mapinduzi akampindua Patric kamweka kwenye sakafu akaanza kumride, hiiiiiiihaaaaaaaa!
No wonder Ciara aliimba let's dance like we are making love ah ah ah ah ah ah maaaking love ah ah ah ah ah let's dance like making love
Ile kitu utaumba nyimbo zoote duniani her desire was fullfulled oo!



Na kwa Drogba mchezo ni huo huo, horse riding all night long! Baada ya siku 3 wakarudi Lusaka, maana Drogba alikuwa na meeting na boss zake,
Wamerudi officially engaged, Selina akatamani sana kumweleza Pendo lakini akasita maana sio kwa ule unyama aliofanyiwa na mama yake! Kweli binadamu hawasahau hata kidogo! Akanyamaza kimya!

Akina Ismail na Masoud wakaonyeshwa zao nyumba ya manoa na sehemu anayofugia kuku, wakashinda mchana mzima, Ismail akaambiwa abaki mpaka harusi ipite akae pale pale kwa manoa, Masoud akaomba aende kukaa hotelini, akawadanganya anaenda kukaa hotelini kumbe ana jumba lake la nguvu!

Jioni akatia timu kwa Neema, Neema kampikia nyumba safi imepambwa mishumaa, Masoud akajua leo all night long hakuna kulala! Kwichi kwichi kwa saaaana Neema akawa huru zaidi ya alivyokuwa kijijini kwasababu ile area hakuna anaeijua zaidi yake na Masoud! Akamkatikia mauno mtoto wa kibongo akamdatisha zee la Zambia

Soya amebakia kijijini na kipofu alipotoka kwenda mjini kipofu akapiga simu mjini aje achukuliwe maana deal linaenda kubumbuluka ameshajulikana! Baada ya siku 1 wakaja wakaka wa 4 wakaja kunchukua mbele ya Soya, anahitajika mjini na wajomba zake, huyu nae alitoroka bwana tumemtafuta kweli, Soya akawaruhusu waondoke nae maana alishachoshwa na vitendo vyake! Soya akabaki mwenyewe hana pa kuchepukia hana pa kujipoozea akatamani aende mjini akakosa nauli kumpigia ismail kuwa aende akakataa me mwenyewe nimechangiwa na Masoud tena nilete na mke wangu?! Tafuta mwenyewe nauli ya kuja na kurudi hapa nilipo nimefikia kwa Manoa, Soya akaona isiwe shida akampigia Kungwi anataka kwenda hana pa kufikia akakaribishwa kwake lkn akasita, akashukuru nitakuja akakata simu akajiambia me hata siendi kwanza mwanamke mwenyewe anatembea na mume wangu

Mary na Dereva wapo kwenye maraha yao wanayajua wenyewe, Dereva amechooka mwanamke anampelekesha utadhani ana mota nyingi, akajisemea "hii ni shida ya kupigwa miti na dyu dyu tofauti tofauti" ndio maana mwanamke haridhiki me nimeshajichokea sijui nizuge nasafiri? Akamwambia Mary kuwa ameitwa safari kikazi kijijini, akasepa!

Bank Manager ana take care mzigo wake, Abiria chunga mzigo wako, Suzana anapetiwa kama yupo massage Spa! Kweli Bank Meneja pale ndo kafika!
Wamekaa baada ya wiki 2, wakiwa wanaongea Bank Manager akamwambia Suzana unaonaje tukioana?! Me nimechoka kukaa idle, nakupenda sana, tunakaribia kupata mtoto sioni kwasababu gani tusioane akatoa pete, will you marry me
Suzana akabakia speachless! Kawa bubu ghafla! Hakutegemea itakuwa mapema namna hio! Akamkumbalia sawa nitaolewa na wewe! Mechi ikaanza

Evelyne aliyaruka majoka! Mauno, maraha, Luwi akaona isiwe shida, akaamua ku propose wakiwa wanelala kitandani baada ta mechi! Eve haamini, uuuwi! Pete ya white gold with diamonds! Eve alichanganyikiwaje sasa akafuraaaahi! Kweli Divorce njoo mgeni apone!

Ismail akaondoka kwenda mjini kufuatilia mambo yake ya kikazi na kuonana na Patric, Kungwi anaenda bwana kwa manoa mchana kweupe kuomba mrejesho, wakawa wanapigana miti weee asoud akaingia mlango haujafungwa! Kufika akaingia kile chumba anacholala alisahau koti lake lilikuwa na kitambulisho chake, akiwa anatoka anaona kuku wanapiga makelele akajiambia ngoja nikamsalimia Manoa huenda yupi kwa kuku
Kufika anaona Manoa amemlalia mwanamke, mh anataka kuondoka anaona nguo kama ya Kungwi! Kuangalia vizuri ni kungwi tobaaa! Akasema kwa nguvu Mke wangu ni wewe au?! Kungwi kuangalia Masoud! Mamaaa weee! Manoa akainuka haraja haraka akawa anavaa nguo keenda kuongea na Masoud, Masoud akampiga ngumi Manoa, akaanguka kule kwenye majani ya kuku, we mke wangu umechanganyikiwa au?!mpaka na manoa unatembea nae?! Manoa anatembea na Soya anatembea na wewe kha! Mbona hauna haya we mwanamke?
Kungwi akajiliza uongo uongo pale unajua unajua mume wangu!
Masoud: hakuna cha unajua hapa, kumbe ndio maana uling'ang'ania upokelee mahari mjini ili upigwe dyu dyu na Manoa?!ama kweli zimwi likujualo halikuli likakwisha! Akachukua mchanga akamwagia Kungwi usoni na kwenye papuchi! Akaondoka zake, Manoa anajiokota okota na suruali yake ya shamba!

ITAENDELEA SAA 1 USIKU
 

Attachments

  • Screenshot_2017-01-25-13-10-30-1.png
    Screenshot_2017-01-25-13-10-30-1.png
    264.5 KB · Views: 131
mixer mixer hilo vuruga vuruga mpaka asielewe kama la mapenzi ya kweli au la hasira,akitoka hapo hoi kachoka kama gari la mkaa,trip shamba trip gereji.mbupu kwa kwenda mbele

Hahahaha. Wazambia Noumer wanapiga bubaa wanasepa!
 
Back
Top Bottom