My cup runeth over ~ Na Kikombe changu kinafurika

My cup runeth over ~ Na Kikombe changu kinafurika




Manoa na Kungwi wakarudishiana majeshi, kweli Manoa alimmiss Kungwi mechi mpaka kwenye mabanda ya kuku! Kha! Watu wazima noumer!

Kungwi akaona akae kabisaa ampikie Manoa, morning sex morning breakfast surprise lunch wanasaidiana kulisha wanyama, kupalilia, mara humo humo shambani kwenye mahindi mechi inapigwa, bonge la random mind blowing sex!
Manoa akaota dyu dyu part 2, maana sio kwa kujaa kule! Hehe!

Patric na Maringo all night long! Maringo akarudisha shukrani zooote! Za nyumba za gari za kazi, patric kakolea mtoto mtam kama asali, akamshukuru aliemwachia Maringo yeye akampata maana sio kwa utamu ule!
Asubuhi morning sex as usual, bafuni moja, jikoni moja, mlangoni moja, kha! Lusaka ilivamiwa sio kwa mechi zile za kipepo, Patric kapagawaje sasa!
Utadhani wamepandisha mashetani

Mtoto yani bukiri bukireee, yeye ndio mama shibudiii shibudeeeee! Kweli mie amenichanganya,

Eveline amechoka kuwa side chic (mchepuko) ndio amenipangia nyumba, amenitoa kwetu, ananipa hela ya matumizi, kaninunulia gari, ila hajanioa sasa! Me natamani ndoa kama walokole wananvyotamani kurudi kwa Yesu, hawa wanaume sijui nafanyaje, kuwekwa chungu cha pembeni jaman mbona kazi,
Nimeanza kumpenda penda Musa, lakini nashindwa sasa! Nikibakia na Musa maisha yangu yana drop na mie nimeshazoea high life! 1st class planes, 1st class houses, 1st class cars, 1st class cash money, uuuuwi hata 1st Class basic needs na Musa hawezi afford kunipa atasubiri miaka 1000!
Ndoa naitaka hata jana! Luwi kuacha mkewake na wale watoto ni ngumu na ndoa zetu za kikristo kuacha mke ni ngumu, nitakuwa side chic mpaka lini, akawa anawaza amekaa kwenye kochi lake sebuleni,
Mlango ukafungulia, Hail Luw! Hail Mr it all!
Kufika akambusu busu pale Evelyne, bibie kavimba!
Luwi: kuna shida gani mpenz najua sijaja kukuona muda nilikuwa buzy na kazi na baba nae kaja tukawa buzy tunamwangalia!
Evelyne akamkata jicho tu
Luwi: usikasirike mpenz me nakupenda sana mpenzi wangu!
Evelyne: luwi embu kaa kwenye kiti kwanza, tuongee
Luwi: ohoo! Kuongea tena aya nambie nini unataka nitakupa kila unachotaka nakupatia wewe taja tu
Evelyne: nataka ndoa na watoto!
Luwi: akachoka! Mh! Haya umepatwa na nini tena?
Evelyne: nimeshukiwa na Mungu, nataka ndoa kwakweli nimechoka kuwa mchepuko haileti baraka
Luwi: sawa nitafikiria
Evelyne: unafikiria mpaka lini?!
Luwi: akawa anambusu busu, tunaweza anza na ombi la pili nikakupa watoto wakati tunaendelea na kujipanga na la kwanza!
Evelyne: luwi am serious! Nataka ndoa! Umri unaenda! Narudishaje heshima nyumbani?!
Luwi: sawa mpenzi utapata huku amepitisha mkono kwenye papuchi anamnyegeza! Na kumbusu boobs!
Evelyne: Luwi unaonaje me nikatafuta bwana mwengine nikaolewa alafu tukaendelea na maisha kama kawaida?!
Luwi: mh! Ngumu kumeza, akazinduka kwenye minyegezo, kwani kuna nini?! Maisha nayokupa hauridhiki?! Ndoa ndio nini lakini mbona tupo vizuri tu na wewe shida iko wapi?!
Evelyne: nataka ndoa love, ndoa ndoa ndoa! Ndio kila kitu kwenye maisha ya kila msichana!
Luwi: akambeba Evelyne mpaka chumbani akamwambia unataka ndoa sio, Evelyne anamwangalia, nakupa ndoa sasa! Kavua shati suruali akaanza kumchapa miti, du! Eve akaomba poo! Luwi akahakikisha kampanda kisawa sawa! Eve anaomba poo! Vyuma vimekaaaaazaaa! Luwi utaniua jamani, Luwi anazidisha dozi ili Eve asimsahau hata kama kapata mjinga anamlamba lamba na nini lakini yeye ndio mmiliki wa sekta zote. Eve kakojozwa mara 3 na bado Luwi anataka kuendelea! Kweli watu wazima ni moto wa kuotea mbali

Drogba kusikia let's give it a try! Tobaaa akamrukia Selina, hapo hapo mlangoni mechi ikaanza mlinzi anakula kwa macho! Kapigwa dyu dyu kakolea kweli Selina was a hooker hata ukimpiga dyu dyu juu ya bati au darini hajali, na ndicho kilichompagawisha Drogba! Sio kama wewe mpenzi msomaji ur sex life ipo kitandani tu! Unamboa mmeo(bwana wako) kiruu!

Pendo na Joseph wamekaa chumbani wanafurahiana, Caroline amesafiri kaenda school tour! Anarudi baada ya wiki 2, the house is full to them selves! Pendo akarusha ndoano zake, sasa mpenz harusi yetu itakuwaje
Joseph: itakuwa nzuri sana tu, nitakupa wedding ya uhakika haijawahi tokea ( kichwani akijua tu kuwa anaoa mtoto wa boss ~ sa sijui alikuwa analenga au ndio mapenzi ya kweli! Hata sijui me na wewe msomaji hatujui) harusi itakuwa nzuri sana, unaonaje baada ya mwezi m1?!
Pendo: sawa tu babe, ila mama anataka kunifanyia kitchen party na sendoff kijijini na mahari utatolea kijijini
Joseph: sawa yote nitafanya ngoja niongee na mtoto wa mjomba na mtoto wa baba mkubwa wanisindikize kulipa mahari akirudi Caroline tutaenda
Pendo akafurahi kweli its a dream come true! Hakujua how true marriage will be! Chezea wa zambia wewe!

Ismail bado ana hasira ya kumkuta mkewe kwa Manoa, akawa anajishindia zake ofisini anakula huko huko akirudi home analala, hajali cha lipofu wala Soya, mwanaume ameweka mavitu moyoni utadhani na yeye hachepuki, au ndio mke anauma?! Akajiwazisha pale weeeeee akaona labda Mungu alimlipa kwa kutembea na Kungwi! Akatubu na kutubu! Mungu nisamehe bora nikauke sitachipuka teena!

Masoud akapokea simu ya kungwi, haya tangu uhamie mjini basi kurudi hautaki na kazi yako nani anaifanya huku?! Ukifukuza usinikalie mikono mbele kama omba omba sitakupa kitu! We jichanue tu huki mjini kama unazaa.

Kungwi: mume wangu huishi vituko?! Nimepiga kukupa babari njema. Mwanetu Pendo kapata mchumba anataka kuoa!

Masoud: mchumba?! Ok sawa, hongera sana. Wanakuja lini huku?!

Kungwi: wiki ijayo wanakuja na mimi narudi kesho kutwa tupange sherehe ya mahari, sendoff na kitchen party

Masoud: we mwanamke kama una mashetani, sherehe zote hizo me natoa wapi hela ya kufanyia?
Kungwi: jaman si mtoto analipiwa mahari tunamfanyia sherehe kwa pesa hizo!
Masoud: sherehe kibao sijui sendoff, me mwislam najua nini kuhusu sendoff, me nafanya moja tu ya mahari. Kpati juu yako!
Kungwi: we baba wewe! Unafanya vituko kwasababu Pendo haujamzaa au? Acha wazimu nakwambia embu ngoja nije maana usinifanye nikaingia kwenye hii simu! Kama hautaki kumfanyia sherehe 3 basi usipokee mahari nitawaambia walete hapa kwake
Akakata simu
Masoud ameduwaa! Kweli kungwi kichwa panzi! Ndio maana simwonyeshi mali zangu, sio kwa ulofa alionao kama anataka kupokea mahari apokelee hukooo na hivi keshanitusi yule sijamzaa basi asije hapa shenz type!

Mary kajaa, uchi unawaka waaaa! Wa kumfaa hayupo kampigia Drogba namba haipo, mpigia Masoud yupo kijijini, akafunga kanisani mpaka church mojaaa kwenda kuongea na Pastor
Kufika Pastor kampokea vizuri mama umerudi tena ushauri wangu umeutendea haki au ndio ulilipua?! Mary kufika akafunga mlango akasahau kuloki akamrukia Pastor! Tobaaa Pastor anashangaa kweli leo nafungwa, Mary kamsukuma kwenye meza akampanda juu, Pastor kachizika! Tobaaa mechi mechini Pastor analia kimoyomoyo! Mary akazidisha dozi, uzuri Mary anaakili anatumia kinga sio kama hao mbululaz wengine, mechi ikaendelea juu ya desk la Pastor, mke wa Pastor akawa ameleta barua, akapita kama owner wa ofisi hakuna aliemzuia, kufungua mlango! Yeeeesu na maria! David?! Mambo gani unafanya?! David (Pastor) hata hajaskia maana walikuwa katikati ya orgasm! Mary kakolea, Pastor David kakolea! Mama mchungaji Neema akachoka, akimwangalia mwanamke ni mke wa mkuu wa mkoa, akachukua simu akawapiga picha, ndio Mary na Pastor wanashtuka! Neema akawaambia endeleeni tu prove ninayo! Akatoka akafunga mlango! Wakabaki wamekaa juu ya meza wameduwaa!

ITAENDELEA SAA 1 USIKU
 
Duuh jamani penny wengine tuna upwiru wa miaka,hii sehem hatari duuh
 
Joseph akiwa lunch time akawasiliana na kaka zake watoto wa baba mkubwa na mdogo na mtoto wa mjomba. Akawaambia anataka kuoa amempata anaempenda! Wiki ijayo anataka kwenda kulipa mahari anaombwa asindikizwe,
Wakamkubalia wakasema watakuja na mshenga na mjomba pia.

Kungwi nae anajiandaa kurudi kijijini, maana uchi sasa umepampiwa kisawa sawa! Akajiona mwepesi kama mwanariadha wa olympics alietoka trainings akijiandaa na michuano ya ligi kuu! Akamuaga Manoa, Manoa akampa hela ya maandalizi dola 200, Manoa skuhizi yupo vzuri mpaka hela anatoa, kiruu!
Kungwi akafurahi akarudi kwake kwa zamani akawa anapaki paki kesho aingie kijijini! Akampigia Pendo aje amuage na kumkabidhi nyumba

Pendo akatokeza baada ya nusu saa, wakawa wanapanga na kupangua pale na mama yake wakakubaliana ile nyumba wasirudishe maana babake Masoud keshazingua kuna uwezekano wa Kungwi kuja kuishi Lusaka akishamuozesha kama Masoud hatomfanyia Pendo sherehe 3 kama mtoto wake wa kulea, Pendo anashangaa tu haelewi itakuwaje, Kungwi anamwambia naenda mjini mambo yakikaa vzuri nitawaambia mje, akigoma narudi nitaipokea mwenyewe hapa!

Maringo yupo ofisini kazi zimekuwa nyingi, kila akifanya kazi anawaza mechi ya jana yake, kweli Patric alimtandika sio ki masihara! All day long anamuwaza Patric,
Wazungu wanasema touchè, Patric nae ivyo ivyo kazi haziendi! Anamuwaza maringo! Tobaa sms ikaingia kwa Patric, umenipa nini mbona nakuwaza sana?! Patric akajibu likewise! Maringo akauliza tunafanyaje sasa michezo ya kutoroka ofisini mgeni sio mazuri na lunch ni 1 hr tu
Patric: nitakuja nusu saa kabla tukaondoe tatizo la kuwazana ndani ya 1 hr tutakuwa tumelimaliza
Maringo: i will be waiting! Huku ana smile!
Lunch time kama walivyoahidiana Patric yupo mlangoni, Maringo akaja na Perfume ba simu, wakaendesha kuelekea Parking lot, mechi ikapigwa kwenye gari, gari inanesanesa tu maskini! Wamewasha gari a/c to the fullest, kha! Kweli kuna watu wanajua kufaidi na kuishi maisha! Kwichi kwichi all the way baada ya dk 45 wakaua! Kutoka gari nzima inanuka! Maringo anajipulizia perfume kama anaoga, fyuuuuuuuuu! Fyuuuuuu fyuuuuu! Patric kakolea amechizika na mechi ya Maringo, mind blowing sex! Akawa anamshangaa tu anavyotembea kuelekea ofisini na chura yake, kadata kama teja

Eveline nae kakolea na mechi ya jana, akamtext Luwi, jana ilikuwa amazing! I miss you
Luwi: miss you more
Eveline: asante kwa ndoa nzuri
Luwi: kimya
Baada ya nusu saa Luwi akamtext angalia chini, Evelyne kuangalia akamwona Luwi amekuja amevaa boxer na tai, Evelyne akacheeeka, akashuka chini akakimbia kumkumbatia, mechi ikapigwa ya jua la utosini, nyumbani kwa Evelyne! Hakuna mlinzi ni wao wawili tu! I think evelyne alisahau kuulizia ndoa tena maana sio kwa ile dozi!
Huku mbele kwasababu Pastor alipandwa ba Mary, akaamua kunyofoka kumkimbilia mkewe! Mary akamzuia, acha aende tuyamalize Mary akaendelea na shughuli yake, wala usijali me najua pa kumpata mkeo, hata ukitaka nimrudishe kwao naweza, me ndo mke wa mkuu wa mkoa!
Pastor akaguna kichwani anajiambia hyu Mary anaweza hata akamuua mke wangu sio kwa maneno haya, akaamua kumalizia mechi yake, moyoni machungu kibao! Mechi ilipoisha Mary akakaa sawa! Akiwa anavaa anamwambia usijali kuhusu mke wako akitaka talaka mpe tutaoana me na wewe
Pastor akamjibu tu ili kumpotezea sawa mpenz akamchumu kwenye mashavu Mary akasepa kama hajalala na mkuu wa madhabahu! Kiruu! Kweli Wazambia Noumer!

Neema mke wa Pastor akakimbia hakurudi nyumbani akaenda bank akatoa hela nyingiii nadhani zitakuwa za sadaka zile, hehe, akaenda kukaa Radisson Blue Hotel, roho inamuuuma anatamani arudi Tz, kha! Akawa kama amechanganyikiwa! Analia tu, simu yake ikaita kuangalua Masoud!
Neema: haloo, kaweka loud speaker
Masoud: vp mpenz mbona upo kama unalia
Neema: yani we acha natamani kurudi kwetu Tz
Masoud: kufanya nini tena kuna nini kwani yakhe?!
Neema: nimemfumania mume wangu kanisani ofisini na mke wa mkuu wa mkoa nikachoka ikabidi nichukue simu niwapige picha wakashtuka nikawaambia waendelee nikaondoka. Naogopa hata kukaa huku nahisi yule mama ataniua!
Masoud: la haula! Tobaaa! Ondoka njoo huku kwangu kijijini, ningekuja huko lakini wiki ijayo napokea mahari ya mtoto wa mke wangu Pendo
Neema: acha tu niende Tz siwezi kukaa huku ila nikiwaza watoto wangu nashindwa kabisa
Masoud: mpenz nielewe ondoka hapo njoo huku wala hata usilale ukifika stendi nipigie naja kukuchukua nakuficha mahali
Neema: sawa mpenz akawa anafunga funga mizigo akaoga asbh akaondoka kuelekea kijijini amejitanda maushungi kama mwislam hamna hata aliemfaham, njiani akiwa kwenye bus anaona simu inaingia ya mume wake hakuipokea akaikatam ikipigwa anaikata, mh mume akachoka akapiga Neema akaiacha hakupokea zikaja missed call 10 na sms 5 mke wangu upo wapi. Mke wangu njoo tuongee tuyamalize. Mke wangu nakupenda sana ilikuwa bahati mbaya. Mke wangu tafadhali rudi nyumbani tulee familia. Blah blah blah kibao! Neema hakujibu sms hata moja baadae akaizima simu

Usiku Selina na Drogba wamekaa wanaongea, cuddling, loving each other, smuching all the way, itadhani bigijii na mbao jinsi walivyogandana!
Wanapanga maisha yao na nini, Drogba anamwambia Selina me nakupenda kweli kweli hata kama nimeishi maisha machafu naomba usinihukumu! Upendo wangu kwako haupimwi na maisha nilioishi!
Selina: usijali mpenz me nimeishi maisha machafu na ya hatari kuliko wewe
Drogba: sawa unaonaje tukaishi pamoja? Ile nyumba niliokulipia tupangishie mtu mwengine kwa kodi kubwa zaidi
Selina: sawa sasa itabidi kesho nikitoka kazini nihamishe vitu vyangu kwako
Drogba: sawa. Mara hodi ikapigwa, Selina akaenda kufungua, ni Oga! Tobaaa!
Oga: selina?!unafanyaje huku?! Au kakangu kakulipa uje um stripie?!
Selina: karibu Oga, Oga akaingia zake ndani, akaenda kuongea na kakake Selina akaingia chumbani, wakaongea kinaigeria oale mara anaskia wanagombana, Selina anatoka haelewi maana wanaongea kikwao
Selina anuliza niaje tena?! Oga anamgombeza kakake ulichofanya sio vizuri kwenda kunizunguka bila kuniambia
Drogba: nikwambie nini?!si mlishaachana na Selina unataka nikuombe ruhusa ya nini?!kwani wewe mzazi wake?!au bado unampenda?!
Oga: huwezi tembea na mwanamke niliemuacha kwanza mwanamke mwenyewe muhuni tu na changudoa
Drogba: akampiga kibao, we Oga naona unavuka mipaka sasa, unasahau hapa ni kwangu ina maana Selina ni wangu. Hata angekuwa changudoa wa dunia, akamfuata selina akamshika kiuno huku anamchumu! Nimempenda hivi hivi alivyo na usinifanye nikachagua kati yako na Selina nitasahau tumetoka tumbo moja!
Tena umuombe msamaha kumwit muhuni n changudoa
Oga: hata siombi msamaha hapa, akawa anaelekea mlangoni atoke
Drogba: na kwangu nisikuone kama hautamuomba msamaha mke wangu!
Oga akawaangalia akatema mate akaondoka! Selina akawa analia tu, analia na mengi tu! Ila Drogba akawa haelewi anambembeleza tu mpenzi wake, my braza is crazy ooo don't mind him.

Dah kweli upendo wa kweli hauhesabu makosa!

Kungwi katua mjini, kufika nyumbani kwake Masoud hayupo akaamua kwenda kuripoti ofisini, mwl mkuu akamseeema we mwalimu gani umetuachia watoto hakuna taarifa akalimwa barua ya onyo ya kwanza nenda kafundishe nisikuone hapa Kungwi akaondoka zake kwenda kufundisha kachoooka lakini afanyaje?!

Neema amefika kijijini akampigia Masoud baada ya dk 10 Masoud akafika, akamkumbatia wakaondoka, akapelekwa kwenye nyumba ilioko karibu km 5 na stendi akawa anakaa hapo, nzuri nzuri kimtindo sio kama ya kijijini lakini sio kama ya mjini, Neema akawa anashukuru tu! Moyoni anaumia haelewi yupo kama amechanganyikiwa. Masoud akasimama kama mwanaume akampa show ya mchana wa jua kali, Neema akakaa sawa!

Jioni Maringo anatoka kazini anapata sms ya bank manager, nakuona umenitupa nimekumiss sana lini nakuona, akaisoma akaignore akarudi zake home
Kufika nyumbani anakuta nyumba imepaaambwa mishumaaa na maua chini! Eh anashangaa akajua ni Patric, akawa anayafuata yale maua, mara anakutana na boxer ya mwanaume mara anakutana na tai kila anavyozidi kusogea anakutana na saa mara kiatu mara boxi kufungua ndani anakuta chain ya dhahabu akafurahi anazidi kwenda mbele akamkuta Patric amekaa ndani ya bath tub! Mipovu imemfunika mishumaa inanukiaje sasa! Akawa anamwangalia tu Patric, anaona keshampindua mama yake pale! Maana ni siku hiyo hiyo alikuwa na Patric na usiku tena?! Akawa anamwangalia anacheka tu!

ITAENDELEA KESHO SAA 4 ASBH
 


Love on top as always Neema alikuwa honeymoon kwenye unremote areas, Masoud nae yumo mtu mzima sio ovyo! Neema on cloud 9, kama beyonce anavyoimba
Your the one i can always call
When i need, you make everything stop
Finally you put my love on top!

Baada ya mechi, Neema akaanza kufunguka, kamwaga mchele wooote, me nimechoka nataka kurudi kwetu Tz, najuta hata kuja Zambia, ningebakigi kuwa nurse Muhimbili hospital ningekuwa mbali, analalamika pale Masoud nguvu zikamwisha! Yani show yote aliomwonyesha Neema bado anawaka na kupiga mikelele! Ikabidi amsikilize kweli mbongo mbongo tu!
Masoud: wala usihame me ntakuoa
Neema: how?! Wewe si unamkewako?!
Masoud: wewe utakubali kuwa mke wa pili?!
Neema: lakini mimi ni mkristo siwezi kubadili dini, bado nampenda Yesu wangu!
Masoud: me sina shida na dini yako cha muhimu mapenzi, we utabaki na Yesu me nabaki na muhamad!
Neema: sasa nafanyaje maana mke wa mkuu wa mkoa ataniua!
Masoud: wewe achana na huyo mama me nitajua cha kufanya, cha muhimu usipokee simu yoyote zaidi yangu,
Neema: sawa mpenz
Masoud: sasa ngoja nifike nyumbani kwanza maana mke nae amerudi anasema mwanae anaolewa kuna mahari ya kupokea! Nitarudu usiku kulala hapa
Neema: sawa akamchumu mwaaah Maspud akasepa

Kungwi karudi toka shule chokest! Kakuta hamba mume hamna nini, akaendelea na shughuli hajui mumewe kaenda wapi. Kapika. Kafua. Kadeki. Kaoga. Akawa amekaa anasubiri mume huku anasikiliza redio.

Oga akawa anawaza tukio la jana, anawazua akina Musa wanamshangaa weweee mbona umeduwaa au unambashia mtu!
Oga: ah! Acha tu nimekutana na kituko jana kwa kaka yangu drogba, akaanza kumwaga ung'eng'e (maneno), Musa anashangaa! Tobaa! Enhe ukafanyaje, Oga akafunguka me nimemind sana!
Musa: sasa we Oga kwani bado unampenda Selina?!i thot mmeachana?!
Oga: ndio tumeachana lakini dah ile braza kaniburuza ndio nini kwenda kula makombo yangu?!
Musa: wewe umeona hafai unamwita makombo, si unajua wazungu wanasema one man's trash is another man's treassure. Yani Oga imenichekesha sana embu move on kaka. Tafuta demu mwengine kama upo na maringi endelea nae sa we unataka kugombana na ndugu kisa mwanamke? Hapana asee! We mwache Drogba ale raha akiona hafai atamtimua ndipo itamwambia i told you soo
Oga akakaa sawa akasema speaking of Maringo sijamsikia muda tangu nilipomwona church yupo na dingo yake, dah skuhizi Maringo mzuuuri sio kama alivyokuwa hapa anaendesha V8 imagine?! Kawa mwakeee kaniambia amepata kazi UN
Musa: mmmh! UN?! Hiyo kali asee me wala hata sijui! Hongera zake
Oga: sa sijui lile gari la baba yake au?
Musa: mwulize me mweupee nitakudanganya.
Oga akawa anajiwazia tu baadae wakarudi mzigoni

Jioni Oga akaingia kwa Didie wakawa wanapiga stori wakaenda Dinner. Akaanza kumwadithia kuhusu Drogba! Na mahusiano yake na Selina. Didie akashangaa kidogo akamshauri kama musa alivyomshauri. Kama imepangwa na Mungu oga hauwezi zuia, wewe utasema sana lakini kama imeandikwa yule dada hatochomoka kwa Drogba. Oga akawa mpole huenda ni kweli ngoja ni movuzishe majeshi kwa Maringo, little did he know abt Maringo!

Selina na Drogba wamezama mwezini, wako juu on Cloud 9, Selina na michezo ya stripping imempagawishaje sasa Drogba! Drogba kama mbwa pori anatoa tu mimate! Ha ha ha ha. Selina kweli mtamu mpaka Drogba kachukua likizo ya siku 3 kwa ajili yake tu! Dadadeki!

Pastor akampigia mkewe Neema hapokei sms hazijibiwi hajui Neema yupo wapi, anamtext rudi nyumbani mama watoto nakupenda nisamehe ni shetani tu amenipitia plz mama watoto rudi tulee watoto! Neema amesoma sms akasonya mmxxxiiiuuu! Akampigia Patric simu akamwambia kuna hatari uje unione akamwelekeza alipo Patric akachoma mafuta akaaga anaenda kwenye ziara kijijini, kufika wakakutania kwa ofisi ya mwenyekiti wa kijiji Ismail, Neema akaulizia ulizia akapapata!
Kufika akaongea na Patric kila kitu na prove akaonyesha Patric lahaula! Akachoka ila moyoni akafurahi, kuwa finally divorce inatembea akamwomba amrushie ile picha akarushiwa kwa blue tooth! Akamshukuru sana Neema akamwambia kama ndoa yako haiendi we ipige chini fuata furaha yako! Watoto wataelewa tu sasa unafanyaje otherwise uvumilie mpaka mwisho maana wewe si ndio mama mchungaji lazma uwe mfano! Neema akajibu sawa mheshimiwa, Patric akampa dola 3000 kumshukuru akamwambia ukiwa na shida nitafute akamwachia namba yake ya simu Neema analia tu akamwambia mkeo amenitishia kuniua, naogopa kurudi nyumbani, Patric akasema usijali me namalizana na mke wangu kama unaona hatari nenda kituo cha polisi toa taarifa! Ila haitatokea wala usijali me namjua mke wangu hawezi. Patric akaaga pale akaenda nyumbani kwa Ismail maana hakuwepo pale

Luwi amekolea kwa Evelina! Nyumbani hajaonekana ana siku 3 sasa mke amechoka vituko vya Luwi, siku watoto wameenda kwa babu yao kukaa weekend akampigia simu Hachikoko aje, Hachikoko akatia timu!
Mke wa Luwi analalamika huyu mdogowako simwelewi akamwaga ubuyu wote! Hachikoko akamshika pale anampeti peti anambusu shingoni mara kwenye maskio, mh mke wa Luwi akalegea! Hachikoko akafanya yake, tatizo wamefanya yao sebuleni , eh! Miti mitini! Mke wa Luwi anayarudi mauno, Hachikoko anaomba poo!
Wamemaliza, hachikoko anamwambia mke wa Luwi, dah ya leo kali mama itaniua me senior bachelor, duh kweli mdogo wangu hajui anachokikosa! Wamemaliza Hachikoko akaaga! Luwi amawa amekaa anaangalia Tv, tv na wewe kuangalia juu kuna survaillance camera, hakuiona iliwekwa wakati yeye amesafiri! Tobaaaa hii camera imeungwa wapi? Kufuatilia ipo library kwao imefungiwa kwenye safe! Password hana! Tobaaa nafanyaje sasa?! Fungua na wewe hamna kitu! Weka birthday zooote hamna kitu! Dah akachoka, ita fundi aka drill ikafunguka kwa alarm, kufuta hawezi iyo nayo shughuli nyingine!
Akaamua kuibamiza ile recorder akaipiga chini na kuichoma moto! Alarm bado inapiga kelele, wakaja watu wa fire! Wakaizima

Luwi akiwa amekaa na Evelyne, akaona simu inaingia ya watu wa fire, tumekuja kuzima alarm ya safe yako akauliza kuna nini akaambiwa ilifunguliwa kwa drilling! Akachoka nani kafanya akaamviwa inabidi uongee na mkewako sisi hatujui.
Akaingia kwenye laptop yake kumbe hata laptop ina rekodi kama back up! Kufungua tobaaa! Hachikoko?! My own brother?!
Evelyne anamwuliza kuna nini babe?! Luwi akamwambia nimemfumania mke wangu anetembea na kaka yangu akamwonyesha prove, akamwuliza Evelyne bado unaitaka ndoa? Maana hapa ni talaka moja!
Eve akafurahi a dream come true! Am finally getting married

ITAENDELEA SAA 1 JIONI
 
Kiruu Luwi akaaga kwa Evelyne akarudi nyumbani. Watoto wapo kwa baby yake, akajidai watu wa alarm wamenipigia simu kuna nini?!
Mke: ah ni alarm ilimbutua tu kidogo mume wangu
Luwi: kwenda kuangalia kumebomolewa. Vp mwizi aliingia au?!
Mke: hapana
Luwi: kuna nini?! Mbona sioni camera zangu huku?!
Mke: kawa mpole kama kuku kamwagiwa maji. Tobaa!
Luwi: we nwanamke mbona hauongei akatoa laptop yake, ngoja niangalie kwenye laptop yangu, mke akalowa Luwi nae msanii akamwita mke wake embu njoo ukae hapa tuangalie mke wangu hawa wezi watu wa baya
Mke: tobaa! Akakaa tu akijua muda wowote anapigwa chini
Luwi: mke wangu ilipandisha mashetani au?! Wewe wa kulala na kaka yangu?! We mama ni mzima kweli kichwani?! Una majini? Mbona me sikulala na mdogowako basi?! Yani umeamua kunifanyia unyama?
Mke: akapiga magoti hapo analia
Luwi: unalia nini sass unaomba msamaha wa nini labda?
Mke: analia tu lia lia na wewe!
Luwi: we mwanamke me uhuni nafanya ushanifumania nyumbani kwetu hapa?!
Mke: kimya analia mume wangu nisamehe nilipitiwa
Luwi: sasa haya madharau sass uka destroy evidence ili iweje sasa?! Kumbe we mwanamke ni mwuuaji ee?! Unaweza hata niulia watoto! Sasa naomba urudi kwenu
Mke: luwi nitaenda wapi jamani nisamehe tafadhali me si unajua wazee wote walishatangulia mbele ya haki?! Sina hili wala lile wajomba na mama wadogo wote walishakufa
Luwi: kama ilikuwa unayajua yooote haya kwanini ulitafanya?! We si ulijua huna ndugu na familia yako na yangu ndio kila kitu sasa kunizolea kama yangu maanake nini?! Tena nyumbani kwetu?!
Mke: analia michozi kama fisi pori!
Luwi: mimi wala sikupigi, ingia chumbani beba kila kilicho chako, akaandika talaka na watoto sikupi maana ushenzi umeufanya mwenyewe sikukwambia uufanye! Ondoka nenda kwa Hachikoko akakulee
Mke: analia hata nguvu za kutembea hana.
Luwi akatoka zake akaenda kwenye gari, akaificha evidence maana alijua mke ataharibu akaja na siku akampigia Hachikoko
Luwi: ivi braza ni vity gani mnafanya kalini?! Wewe ni wa kutembea na mke wangu!? Sasa njoo chukua mzoga wako sasa hivi kabla sijawafunga wote washenzi wakubwa akakata simu
Mke: Luwi tafadhali mimi mbona nimekusamehe mambo kibao mimi kukosea moja tu unatama kunifukuza kwanini lakini?!
Luwi: evidence ya misamaha iko wapi labda sasa?! Mbona haujawahi kunionyesha?! Lete evidence wewe ni msomi lete evidence kama yangu nikusamehe na mimi alafu mimi wala sijakufukuza wewe ondoka nenda kwa huyo unaemthamini mpaka mnafanya ushenzi wenu hapa kwangu!
Mke akajifungasha akaambiwa talaka ataikuta kwa Hachikoko ngoja aongee na lawyear na watoto atakuja kuwaonea kwa babu au bibi yao!
Mke akajifungasha akakodiwa taxi akaenda moja kwa moja mpaka kwa Hachikoko me nimefukuzwa mpenz sina hata pa kwenda jaman huki analia, Hachikoko akamchukua fasta kwenye gari, mh hapa kwangu pagumu asee! Akampeleka kwa Maringo!

Maringo kusikia fumanizi akachoka haya we Hachikoko huyu mke wa Luwi atakaa hapa kwangu mpaka lini?! Hela ya matumizia unaleta au ndo zengwe?! Me nahitaji privacy yangu ujue hata me natakiwa kutengeneza familia!
Hachikoko: we mwache kwanza hapa mpaka akili itulie mbembeleze ikishindikana itabidi nimpeleke kwa mama kule
Maringo: akacheka tu huyu anakaa hapa siku 2 tu! Ya 3 nampeleka kwa mama mkwe wake utamfuata huko huko. Hachikoko akaondoka kurudi kwake
Maringo akawa anamsanifu mke wa Luwi wifi jaman poooolee! Imekuwaje. Mke akafunguka pale Maringo anamsikitikia kiongo moyoni anamcheka anatamani anwambie we zoba kweli potezea tu!
Akaishia kumwambia usijali wifi bwana Luwi anakuwaga na hasira tu atakusamehe usijali bwana ngoja hasira ziishe atakuja kukuchukua alafu unajua Luwi na mama ni mia mia, kesho kutwa nakupeleka

Mke akawa analalamika pale jamani wanaume wa kiafrica me hata siwaelewi, wao waki cheat sawa sisi tuki cheat ni kosa la jinai kwanini lakini?! Sasa mimi nitaenda wapi lakini?! Na haya maziwa yangu yanapiga deki na mashavu yanachuma mchicha uuuwi! Nani atanipenda nimeshachoka hivi
Maringo akamwuliza kwani wifi una miama 100 mbona ivoo?!
Mke: nina 45 tu!
Maringo: Jlo umempita miaka kidogo tu lakini anavyokimbizwa na pupils kama treni za japan za mwendo kasi wa umeme, we una shida gani, ila kaa tu ufikirie siku hizi 2 utapata akili, wanaume hawa tunao tu! Ur happiness should come first! Custody ya watoto utaipata tu kwanza kaka hana hata muda wa kulea watoto wala usijali. Alafu me wala sio expert when it comes to relationships, yangu yenyewe ipo kwenye honeymoon stage hapa hata nashindwa cha kukushauri mpenzi wangu Suzana, mama ndio yupo vizuri kwenye haya mambo ya ushauri, labda nikupeleke kwake
Suzana mke wa Luwi akakataa me naona aibu kwa mama yako hata siendi, Maringo akamwambia ni mila kwenda kwa mama mkee yeye ndio ana final say unaweza hata usitalakiwe!
Suzana akaguna tu mmh! I doubt

Patric akaondoka kwa Neema anaenda kumwona Ismail nyumbani kwake, kufika anakutana na kipofu, wakasalimiana pale akawa anamwangalia yule kipofu kama amemwona mahali, akaja ismail wanasalimiana, eh ismail una mtoto mkubwa hivi?! Nilikuwa sijui
Ismail akaongea yake, Patric akaelewa, akamwambia lakini huyu mbona kama namjua nimeshawahi kumwona mahali!, Ismail akamwuliza kwahiyo wewe unajua vipofu wooote Zambia?! Patric akamwuliza kumbe ni kipofu?! Ismail akajibu ndio au ulidhania anakula pozi na miwani yake meusi?!
Patric akaguna mh! Ninae mfaham hakuwa kipofu, ila labda kweli namfananisha lakini mh! Akaingia ndani wakaongea weee, yule akaweka phone maskioni anarekodi kila kitu
Patric: sasa ile ishu yetu vepe
Ismail: ile iko poa kama wananchi watakubali una chance kubwa ya kugombea ubunge mpaka uwaziri utapita
Patric: unauhakika?! Maana ile ishu yetu ikibumbuluka wote tunaozea ndani, evidence uliweka wapi?!
Ismail: niliificha mahali, akamwelezea hamna mtu anaeweza inyaka au unataka uiweke kwako?!
Patric: hapana asee, kule kwangu kwenyewe majanga hapa naenda mpa mke wangu talaka ametembea na mchungaji, lazima nipite ofisini nikawaeleze waniandikie talaka kugombea nikiwa single hawatakubali lazima nioe
Ismail: akashangaa akamwambia hata me wa kwangu nimemfumania lakini sidhani kama nitampa talaka, ndio nawaza tu hapa akiondoka nitaishi na nani maana me nishakuwa mzee hapa!
Patric: pole sana ila fuata happiness yako kwanza asee, haya mambo ya mapenzi ni Mungu anajua sikuhizi wanawake sio waaminifu wapo wanashindana na sisi sijui kwanini!
Patric akaaga pale me ngoja nirudi mjini kabla hapajawa giza basi tutajaongea sikunyingine. Akaondoka zake, kipofu anajiambia moyoni that was close!

Mke wa mtu alipopoa wakiwa wamekaa kuangalia tv usiku wameshakula, Maringo akapata simu ya Oga, anataka waonane, Maringo akakataa nipo na mgeni kwangu siwezi muacha mwenyewe labda uje wewe! Aliogopa historia ya wifi yake isije jirudia!
Oga akatia timu ndani ya 1 hr wakawa wanaongea pale Maringo katinga kanga moja! Wifi yake akajua Oga ndio shem, anamsalimia kwa adabu baadae akatambulishwa kuwa ni rafkiake alichooka maana sio kwa kivazi kile yakhe!

Oga akalege akijua leo atapewa mechi maringo akamwambia leo naumwa period hatari, yani najmwa ndio maana wifi yangu kaja kuniuguza yani leo hata kunyoosha mkono siwezi nisamehe tu pole na matatizo sasa we nenda nitakutafuta siku nyingine!
Oga akaondoka mpole kama mbea koko, haamini kama Maringo kampa makavu live!

Asubuhi kumekucha Maringo anaenda kazini Suzana mke wa Luwi anabakia nyumbani kama housegirl Maringo akija kila kitu kipo kisafi kizuri chakula kimeivaje sasa?! Akapenda lakini akaona ishakuwa shida, wamekaa na wifi yake siku 4 akaona hachikoko haji akaamua kumpeleka kwa mama yake, Suzana anaogopa lakini atafanyaje akafikishwa akabwagwa na Maringo yeye akarudi zake kazini

Rasheeda anauliza kulikoni akaelezwa akajifanya amechoka. Luwi na Rasheeda ni kama chanda na pete, wanaelewana vbaya mno na hata affair ya eveline Rasheeda anaijua sanaa! Akawa anamsikiliza tu mkwe pale anaboreka tu akaamua amwache akae wiki 1 amtimue. Mtoto anapika anafua anafanya usafi Rasheeda akamwonea huruma akamwita luwi njoo kwangu tuongee. Luwi akaja wakaongea weee
Rasheeda: luwi me kama mama yako huyu mtoto wa watu keshakuwa wetu, hata wewe una kosa mbele za mahakama lazima na huyu atashinda mtapasuliwa mali nusu kwa nusu hauwajibiki nyumbani kama mume hauonekani ulitaka mtoto wa watu akalalwe na nani?! Nakwambia msamehe me mamako najua mahakama itawagawanyisha!
Luwi mbishi haelewi akapeleka vitu mahakamani, ikanfanya Suzana azidi kukaa pale kwa Rasheeda mpaka hukumu itoke Patric akija wana do kwa Rasheeda ila ndo kimya kimya kama umeme umekatika, hawajiachii kivile, Suzana akajionea mengi kipindi kile, akajua tu mama mkwe na baba mkwe hawapo pamoja. Sikunyingine Rasheeda anapiga simu aletewe wajukuu wa luwi analetewa wanakaa wiki nzima na Suzana anaona watoto wake
Uamuzi wa mahamaka ukatoka kweli Rasheeda mchawi, kama alivyoongea wakagawanyishwa mali nusu kwa nusu na watoto akapewa Suzana lakini Luwi ana haki ya kuwaona muda anaotaka, wakagawanyishwa muda wa kuwatembelea watoto, sikukuu, weekends, Suzana akafurahi sana akamshukuruje Rasheeda, Suzana akapewa nyumba aliokuwa anaishi na Luwi luwi akaambiwa atafute kwengine aishi ili suzana aweze lea watoto! Suzana akasema bingo bin bingo hata kama sina mume lakini nina mahali nina mali nina kazi mwanaume nitapata tu akawa na talaka yake single mother of two and ready to mingle!



Patric akarudi mjini kwa mke wake moja kwa moja akaenda kum comfront, Mary hakuelewa kwanini yule mke wa mchungaji kaamua kuunguza ndoa yake. Akajitetea pale wee lakini wapi Patric akamwambia nakupa masaa 48 funga kila ulichonacho kwangu ondoka! Na talaka naandaa nakuletea kwa wazazi waki! Mary akachoka meili na roho watoto wapo boarding hajawaaga akakimbilia kwa mchgj kumwelezea! Mchungaji akamwambia me siwezi kuishi na wewe maana legally ni mke wa mtu labda u fight divorce mahakamani wakupe nusu ya mali akapata akili akaenda kuonana na lawyer, lawyer akamwambia hapa mama utashinda sana sana mahakama imekuhurumia ni custody ya kuwaona watoto, na mumeo kuwa powerfull unaweza usipate kitu! Eh makubwaa! Akaona hapa mazito akarudi kwa Pastor yani me nikinyang'anywa kila kitu nakula sahani moja na mke wako, hawezi niharibia maisha me namwangalia tu! Lazima nimmalize. Mchungaji akashangaa wr Mary unakichaa au?!
Mary: ndio ninacho nipo tayar kupoteza mume na ndoa sio watoto! Nimewatoa kwenye uchi wangu nimehangaika nao navumilia ndoa chuuungu kwa ajili yako afu mkeo anakuja tu kilaini laini ananiharibia ngoja lazima nile nae sahani moja labda Mungu aingilie kati divorce yangu mahakamani akaondoka amemwacha mchungaji amebakia domo wazi!

ITAENDELEA SAA 5 USIKU
 
Back
Top Bottom