Rico redi
Senior Member
- Jul 15, 2023
- 163
- 314
Na wanamtandao ndo waliwafanyia figisu Dr ulisubhisya baada ya kutoa ushauri juu ya lissu kupelekwa Kenya
Yani eneo ambalo alikuwepo waziri Wa nishati na mbunge Wa chato CCTV camera zinaondolewa bado mnasema ni wanamtandao
Mauaji ya Ben saanane,azory gwanda mauaji ya kwenye viroba yote hii ilikua kazi ya wanamtandao
Halafu mnaosema lisu alikua anatumika na mtandao mmeanza kumfuatilia lissu lini???? Lisu Wa mkapa,Wa kikwete na magufuli ni lissu yule yule hajawai pepesa
Ko kipindi cha msoga alikua anatumika na nani?? Mkapa au??? Na kipindi mpaka analazwa ndani wakati anapambani haki za wenye makazi tarime yote hii alikua anatumika au???
Acheni upumbavu!!!