My crazy theory…..

My crazy theory…..

Magufuli alikuwa Christian kwa sababu nilimuona Kanisani mara nyingi sijui sana khs Tundu Lisu lkn najua siyo muslim, hivyo ukiangalia patterns za matukio nchi hii tangia uhuru, utaona victims wote (karibia) ni Christians tu hakuna muslims hata mmoja ukiondoa labda Kibao ambaye ni mtu mdogo sana hata hivyo kuweza kumjumuisha, na nijuavyo muslims wako vitani against the so called "mfumo Kristo" tangia uhuru na wala hawafichi kama tu unaweza ku -read between the lines na ndiyo maana hata husema (muslim) kwamba uhuru wameleta wao na wao ndiyo waliomkaribisha Nyerere plus pendulum sasa hivi imelalia upande mmoja tu, power yote karibia 100% iko kwao (muslims), hivyo kuamini kwamba ni coincidence tu wanaofariki wote wametokea tu kuwa Christians kuwa naive.

war on Christianity is real ...
Whaaat? Iraq stands against America 😃😃
 
Mkuu umechanganya mafaili.
Magufuli is on record kwa kusema, mtu anayetusaliti katika mapambano yetu ni fair game.
Na hardly 24hrs late risasi zilimmiminikia Lissu.
Mtandao wana madhambi yao makubwa, lakini hili la kupigwa risasi Lissu, its in Magufuli’s court!
Ukweli mtupu,!
 
Kwa hilo la Lissu ni mwenyewe alifanya, kwa jinsi Magu alivyokua anapenda sifa lazima angewaumbua hao wana mtandao..!!

Na Magu adui zake wakubwa walikuwa wahuni kuliko hata upinzani. Sasa ingetokea fursa kama hiyo sidhani angeiachia..!!

Sema wahuni walimjaza akajaa kisha wakamgeuka..!!
Na wahuni walifanikiwa kuchomeka watu wao ili kumuharibia kwa wananchi.
Kwa Magufuli na Falsafa zake, kwake Lissu ni sehemu ya Wahuni na Wanamtandao. Lissu alitumika na hao kina Rostam kumuhujumu Magufuli.

Katika michezo yao, wakaamua kumuumiza mwenzao ili kumuharibia Magufuli. Kama Magufuli alibaini hili, kamwe asingeweza hata kuigiza kutoa pole kwa Lissu.

Binafsi naamini, kama kweli hili lipo vile mtoa mada asemavyo, basi LISSU ATAKUWA ANALIJUA VIZURI NA IPO SIKU ATALITAMKA WAZI MWENYEWE, ila tu kama ni mwenye kujali ustawi wa umma.
 
What if…..just what if wanamtandao ndo waliosuka njama za kutaka kumuua Tundu Lissu huku wakijua kwamba endapo watafanikiwa, basi lawama zote atabeba/ atabebeshwa Rais Magufuli kwa sababu tayari watu hao wawili [Magufuli na Lissu] walikuwa na vita baridi ya maneno?

Crazy huh? Maybe it is crazy, but it ain’t far-fetched.

Watu huwa wanajua sana ku exploit fursa.

What say you? Am I way off base? Or am I onto something here….
Ndivyo ilivyo fanyika kwa Ben saa8 Chini ya mbowe akishirikiana na wana mtamndao
 
What if…..just what if wanamtandao ndo waliosuka njama za kutaka kumuua Tundu Lissu huku wakijua kwamba endapo watafanikiwa, basi lawama zote atabeba/ atabebeshwa Rais Magufuli kwa sababu tayari watu hao wawili [Magufuli na Lissu] walikuwa na vita baridi ya maneno?

Crazy huh? Maybe it is crazy, but it ain’t far-fetched.

Watu huwa wanajua sana ku exploit fursa.

What say you? Am I way off base? Or am I onto something here….
Sasa nae Magu alifeli vipi kuhakikisha anawajua wahuni wanaomchafulia utawala wake. He blessed every bad action.

Alikuwa na nafasi bora sana ya kuwadhibiti wahuni kwa ushahidi wa baadhi tu ya matukio tunayohisi yalifanyika kumhujumu.

Kama alipotezea, he was among wahuni.
 
Mtu mmoja hawezi kujua kila kitu.
 
What if…..just what if wanamtandao ndo waliosuka njama za kutaka kumuua Tundu Lissu huku wakijua kwamba endapo watafanikiwa, basi lawama zote atabeba/ atabebeshwa Rais Magufuli kwa sababu tayari watu hao wawili [Magufuli na Lissu] walikuwa na vita baridi ya maneno?

Crazy huh? Maybe it is crazy, but it ain’t far-fetched.

Watu huwa wanajua sana ku exploit fursa.

What say you? Am I way off base? Or am I onto something here….
wanamtandao ndio walimnyima Lissu hela ya matibabu? ndio walimfukuza ubunge? ndio walimnyima mafao? ndio walikataza asichangiwe damu? ndio walikataza wana ccm kumjulia hali? ndio walimkaripia yule mwanamke aliyeenda kumjulia hali? ndio waliotoa cctv camera kwenye yale makazi? ndio waliozuia polisi kufanya uchunguzi?
 
Magufuli hakuwa MTU wa kuigiza wema kwa watu anaowachukia. Tuseme kwa vile alionekana kufurahishwa na mabaya yanayowakuta wapinzani wake, Mtandao ulitumia fursa hiyo kumgombanisha na RAIA wengine.
Hata Mimi binafsi ukiwa adui yangu siwezi kujihangaisha kukupa msaada pale unapofikwa na baya, nitaacha ujipambanie.

Hili linalosemwa lina uwezekano mkubwa sana!

..Jpm alifanya zaidi ya kumuacha TL apambane na hali yake.

..kwa mfano, aliyezuia TL asitibiwe na Bunge ni Jpm, sio Spika Ndugai.

..kwa hiyo hata kama Jpm hakutuma wauwaji kwenda kumshambulia TL, alimuongezea machungu kwa kuzuia matibabu yake, pamoja na uchunguzi wa tukio.

..lakini pia kuna swali ambalo halijibiwi. Je, ni nani aliyeondoa walinzi wa area D ili kuwezesha shambulizi dhidi ya TL? Je, ni genge lipi, kati ya Mtandao, na genge Jpm, inawezekana ndilo lililoondoa walinzi eneo la tukio?
 
wanamtandao ndio walimnyima Lissu hela ya matibabu? ndio walimfukuza ubunge? ndio walimnyima mafao? ndio walikataza asichangiwe damu? ndio walikataza wana ccm kumjulia hali? ndio walimkaripia yule mwanamke aliyeenda kumjulia hali? ndio waliotoa cctv camera kwenye yale makazi? ndio waliozuia polisi kufanya uchunguzi?
Kwani Magufuli ndo alikuwa anawajibika na matibabu ya Lissu?

Magufuli ndo alikuwa mwajiri wa Lissu?

Magufuli ndo alikuwa mmiliki wa damu za watu?

Stupid idiot!
 
Hawa wazee wa network kuna asilimia kubwa ndio walifanya hilo jambo...
kumbuka hiki kikundi wana malengo ya muda mrefu sana na huandaa mikakati yao kwa umakini wa hali ya juu.. yani ni ngumu kufahamu kwa wakati huo unapokuja kugundua it's too late..

mfano jpm hakumpenda sa100 awe msaidizi wake lakini njemba zilitumia mbinu wanazojua hadi bibi akakaa pale, kumbe walikuwa na mipango ya muda mrefu...

Suala la TAL , matibabu yule mzee asingeweza kutoa, walikuwa na ugomvi mkubwa tayari, hata hapa Tanzania nimeshuhudia watu wakishangilia kifo cha mtu kwa sababu tu walitofautiana katika mambo flani flani... hata kifo cha Ndugai juzi hapa kuna raia walifurahi... hio ni hulka ya mwanadamu...

Kama juzi tu hapa wana ccm wameanguka na lori, kuna raia wamekuja hapa wanafurahi kweli kweli, wengine wakisema dereva alitisha sana, wengine wakisema kwanini hawakufa wote, hali ya kuwa watu walikuwa wameumia vibaya, wengine walipoteza maisha, lakini yote hio kufurahia wengine wanapata matatizo kisa ni tofauti za kisiasa.

sasa wanakujaje tena kumshangaa jpm ambae alikaa kimya kwenye matibabu...?

lakini tukumbuke kwamba hawa wazee wa network wana nguvu sana, maana ilifika muda na yeye wakampeleka mbele za haki...
 
..Jpm alifanya zaidi ya kumuacha TL apambane na hali yake.

..kwa mfano, aliyezuia TL asitibiwe na Bunge ni Jpm, sio Spika Ndugai.

..kwa hiyo hata kama Jpm hakutuma wauwaji kwenda kumshambulia TL, alimuongezea machungu kwa kuzuia matibabu yake, pamoja na uchunguzi wa tukio.

..lakini pia kuna swali ambalo halijibiwi. Je, ni nani aliyeondoa walinzi wa area D ili kuwezesha shambulizi dhidi ya TL? Je, ni genge lipi, kati ya Mtandao, na genge Jpm, inawezekana ndilo lililoondoa walinzi eneo la tukio?
ukiachana na hayo sijui kuondoa walinzi area D, ambalo ni suala dogo sana, mbona hamshangai ilikuwaje hao wanamtandao kumfyekelea mbali jpm?
 
Kasema anaamini. Unamwomba ushahidi wa nini sasa ilhali hiyo ndo imani yake?

Imani huwa haina ushahidi. Unaweza kuamini chochote kile.
😂 N sawa na wanaoamini kuna pepo na jehanamu, ukiwaambia walete ushahidi wanakupa vifungu vya Biblia na Quran
 
Back
Top Bottom