My crazy theory…..

My crazy theory…..

😂 N sawa na wanaoamini kuna pepo na jehanamu, ukiwaambia walete ushahidi wanakupa vifungu vya Biblia na Quran
Hata mimi naamini mimi ni tajiri namba moja duniani!

Ila ukiniomba ushahidi nakula kona 🤣.
 
What if…..just what if wanamtandao ndo waliosuka njama za kutaka kumuua Tundu Lissu huku wakijua kwamba endapo watafanikiwa, basi lawama zote atabeba/ atabebeshwa Rais Magufuli kwa sababu tayari watu hao wawili [Magufuli na Lissu] walikuwa na vita baridi ya maneno?

Crazy huh? Maybe it is crazy, but it ain’t far-fetched.

Watu huwa wanajua sana ku exploit fursa.

What say you? Am I way off base? Or am I onto something here….
usihamishe Goli! Magu aliongea 3hrs kabla ya Lissu kupigwa risasi! na waliomsaidia Lissu walitimuliwa kazi kuanzia Mkuu wa Mkoa, Daktari mama moja hivi mpaka amehojiwa mtandaoni na Aliyetoa helcopter kwenda Nairobi naye alikufa
What if…..just what if wanamtandao ndo waliosuka njama za kutaka kumuua Tundu Lissu huku wakijua kwamba endapo watafanikiwa, basi lawama zote atabeba/ atabebeshwa Rais Magufuli kwa sababu tayari watu hao wawili [Magufuli na Lissu] walikuwa na vita baridi ya maneno?

Crazy huh? Maybe it is crazy, but it ain’t far-fetched.

Watu huwa wanajua sana ku exploit fursa.

What say you? Am I way off base? Or am I onto something here….
 
What if…..just what if wanamtandao ndo waliosuka njama za kutaka kumuua Tundu Lissu huku wakijua kwamba endapo watafanikiwa, basi lawama zote atabeba/ atabebeshwa Rais Magufuli kwa sababu tayari watu hao wawili [Magufuli na Lissu] walikuwa na vita baridi ya maneno?

Crazy huh? Maybe it is crazy, but it ain’t far-fetched.

Watu huwa wanajua sana ku exploit fursa.

What say you? Am I way off base? Or am I onto something here….
I thought about it hasa baada ya polepole kuanza kuexpose mambo ya ndani.
 
Swala la TAL kupigwa risasi lina utata sana sana, eti wafyatua risasi 30+ na bado mtu anatoka hai?!
Waliofanya hilo tukio walikuwa na lengo la kumharibia JPM tu...
 
..unashangaa mtu kurushiwa risasi 30+ na kupona?!

..mbona kuna watu walionusurika ktk shambulizi la bomu la nyuklia Hiroshima Japan?
 
Em tupe ushahidi mkuu 😎
Sina ushahidi, ila mazingira tu yanaonyesha alihusika.

●Yeye na watu wake waligoma kabisa kumpeleka hospital.
●Waligoma kabisa kumpa huduma/haki zake huko hospitali.
●Alipopona wakakataa kumlipa stahiki zake kama mbunge.
Alipoingia bimama ndio kwenye zile 4R(ambazo kimsingi ni bosheni na uongo tu), wakampa stahiki zake.

Huo ndio ushahidi wangu wa kimazingira. Na kama kweli hakuhusika, hata Polepole kwenye hizi episodes zake angemsafisha, ila hawezi.
 
..Jpm alifanya zaidi ya kumuacha TL apambane na hali yake.

..kwa mfano, aliyezuia TL asitibiwe na Bunge ni Jpm, sio Spika Ndugai.

..kwa hiyo hata kama Jpm hakutuma wauwaji kwenda kumshambulia TL, alimuongezea machungu kwa kuzuia matibabu yake, pamoja na uchunguzi wa tukio.

..lakini pia kuna swali ambalo halijibiwi. Je, ni nani aliyeondoa walinzi wa area D ili kuwezesha shambulizi dhidi ya TL? Je, ni genge lipi, kati ya Mtandao, na genge Jpm, inawezekana ndilo lililoondoa walinzi eneo la tukio?
Laq

Sasa kama wanamtandao wanatajwa kumuua Rais, hilo la kuondoa walinzi linauzito gani was kufikiri linafanywa na rais tu?

..Ni ushahidi gani unaowaunganisha wana mtandao na kifo cha Magufuli?

..Magufuli alikuwa akitumia Spyware toka Israel wa kudukua mawasiliano ya watu aliowahisi vibaya.

..Na Spyware hiyo iko very effective ndio maana uliona wakina Kinana, Membe, wamedukuliwa.

..Wanamtandao wangepanga njama za kumuua Magufuli lazima wangekamatwa nasema hivyo kwasababu ya mamlaka, vyombo, na nyenzo, alizokuwa nazo Magufuli.

..Mimi kwa maoni yangu Magufuli hakuuwawa, alifariki kwa maradhi.
 
Ingawa Lisu aliumia.

Ila alizengua sana.

Watu walikuwa busy kurekebisha mifumo yeye analeta ujinga wake.
 
Kuna wakati namtetea Sana Lissu, ila ana makandokando mengi hasa kutumiwa sana kwake na wanamtandao kunaniumiza sana!
Hata Lema sijawahi sikia anamsema Msoga vibaya!
 
What if…..just what if wanamtandao ndo waliosuka njama za kutaka kumuua Tundu Lissu huku wakijua kwamba endapo watafanikiwa, basi lawama zote atabeba/ atabebeshwa Rais Magufuli kwa sababu tayari watu hao wawili [Magufuli na Lissu] walikuwa na vita baridi ya maneno?

Crazy huh? Maybe it is crazy, but it ain’t far-fetched.

Watu huwa wanajua sana ku exploit fursa.

What say you? Am I way off base? Or am I onto something here….
Hiyo nakubali for the sake of argument. Vipi na Ben Saanane?
 
Mtu mmoja hawezi kujua kila kitu.
Then he was not fit for the position. Kwa matukio yale alipaswa kuyashughulikia na kuwawajibisha walioshindwa kufanya wajibu zao.

Lakini aliamua kuyakalia kimya, wahuni wakatumia faida hiyo.
 
Kwamba wanamtandao wakaondoa Askari kwenye makazi ya viongozi pale area D, pamoja na CCTV? Kwamba wakazuia uchunguzi usifanyike baada ya tukio? Kwamba wakazuia matibabu na kumfuta Lissu ubunge?

Aaah Nyaningabu, you used to be intelligent and remarkable critical thinker, where have you put that an outstanding brain of yours?!!!!!
Kwakweli amezingua sana; reasoning yake ktk hii nadharia yake haijazingatia empirical evidence ipasavyo. Ktk utawala wake wote Magufuli alikwepa hata tu kutoa pole kwa wafiwa, achilia mbali kuzungumzia mauaji yaliyofanyika chini ya utawala wake. That, in and of itself, is pretty telling of his position and role on the issue in question.
 
What if…..just what if wanamtandao ndo waliosuka njama za kutaka kumuua Tundu Lissu huku wakijua kwamba endapo watafanikiwa, basi lawama zote atabeba/ atabebeshwa Rais Magufuli kwa sababu tayari watu hao wawili [Magufuli na Lissu] walikuwa na vita baridi ya maneno?

Crazy huh? Maybe it is crazy, but it ain’t far-fetched.

Watu huwa wanajua sana ku exploit fursa.

What say you? Am I way off base? Or am I onto something here….
Mkuu hapa unapoteza muda tu na hii post. Suala la kushmbuliwa Lissu tulikwisha funga ukurasa, muuaji ni Wasiojulikana chini ya Makonda kwa amri ya Magufuli.

Hata kama unafikiri vinginevyo, jiulize maswali matatu yalifuatia baada ya shambulio:-
1. Kwa nini Serikali haikufanya uchunguzi? Je ni wana mtandao walizuia? Walikuwa na uwezo gani?

2. Kwa nini waliotaka kumuombea walikatazwa na Polisi?

3. Kwa nini walizuia mafao yake pamoja na kumtoa ubunge wa Ikungi.

Otherwise kama ni wanamtandao basi na Magufuli alikuwa MWANAMTANDAO pia
 
Back
Top Bottom