Realistically lissu ni chadema na JPM ni CCM ulitaka Lissu amuunge mkono mwenyekiti wa chama pinzani na chake? Hell no hata CCM kuna mazuri iliiga chadema ila haijawahi pongeza hadharani kwa hofu ya kuwapa umaarufu wapinzani wao!! So I don't expect hata siku moja Kamala kumsifia Trump hata akitekeleza yote aliyotaka maana ni chama pinzani.
Angelambishwa asali angekua kinyume na Mbowe? Unadhani kwanini Mbowe alikua kipenzi cha watawala kuliko Lissu? Nani ni mtandao hapo? Lissu alikua na malengo ya urais na moja wapo ni kutompongeza mshindani wako period.
Kumbe kumpinga hasimu wako kidemokrasia ni kukosa akili? Tanzania hatuelewi demokrasia kabisa. Ni hivi ukienda USA, UK, Afrika Kusini, Kenya n.k kuna majimbo ambayo chama tawala haiwezi kushinda hata ingejenga lami mpaka sebuleni. Ndio maana hata Mandela licha ya umaarufu wote alishinda urais wa Afrika kusini kwa 62% pekee maana yake karibu nusu ya nchi haikumchagua!! Nao walikua hawana akili?
Amuombe radhi wa nini? Hata mimi namuona Samia hafai kuongoza hata kwa siku moja, na pia naamini JPM alikua anachapa kazi sana ila angekua hai bado ningempigia Lissu kura kama nilivyofanya 2020 na hiyo ndio demokrasia