Strategist7
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 304
- 478
Nadharia dhaifu sana hii ukizingatia namna serikali ya Magu ilivyo respond baada ya Lissu kupigwa risasi.
,Bonge moja la comment. Kila anayejaribu kumsafisha jiwe kwa kuwa tu Samia ameshindwa kuongoza nchi huwa simuelewi.Kwamba wanamtandao wakaondoa Askari kwenye makazi ya viongozi pale area D, pamoja na CCTV? Kwamba wakazuia uchunguzi usifanyike baada ya tukio? Kwamba wakazuia matibabu na kumfuta Lissu ubunge?
Aaah Nyaningabu, you used to be intelligent and remarkable critical thinker, where have you put that an outstanding brain of yours?!!!!!
Magu hakukemea kabisa?,Bonge moja la comment. Kila anayejaribu kumsafisha jiwe kwa kuwa tu Samia ameshindwa kuongoza nchi huwa simuelewi.
Wanamtandao wamepata nguvu hivi sasa kwa kuwa Samia anaingilika na kulubunika.
Jiwe alishindwa nini kukemea jaribio LA kumuua Lisu? Mbona alizuia hata viongozi kwenda kumuona kule Nairobi? Mbona alipiga marufuku kumchangia hata damu mbwa huyu jiwe? Mbona alimnyima hata fedha ya matibabu?
Jiwe hasifishiki.
Well saidKwenye system kuna mambo mengi yanayoendelea, wewe ukiwa Rais huwezi ukatuma watu waende kuua kila siku wapinzani wako wakati unajua fika itakuchafua moja kwa moja, kwahiyo kuna uwezekano wa kikundi kisichokutakia mema kikatumia hilo gape kukuchafua kwa kuwaondoa wapinzani wako kwa kuwaua kikatili ili uyumbe maana pressure itakayokuja kwako kutoka kwa wananchi ni kubwa na utakua umechafuka sana.
It's obviousWhat if…..just what if wanamtandao ndo waliosuka njama za kutaka kumuua Tundu Lissu huku wakijua kwamba endapo watafanikiwa, basi lawama zote atabeba/ atabebeshwa Rais Magufuli kwa sababu tayari watu hao wawili [Magufuli na Lissu] walikuwa na vita baridi ya maneno?
Crazy huh? Maybe it is crazy, but it ain’t far-fetched.
Watu huwa wanajua sana ku exploit fursa.
What say you? Am I way off base? Or am I onto something here….
Mkuu kwa akili hizi za vijana wa mtume hawatokaa washinde the so called "mfumo Kristu".Magufuli alikuwa Christian kwa sababu nilimuona Kanisani mara nyingi sijui sana khs Tundu Lisu lkn najua siyo muslim, hivyo ukiangalia patterns za matukio nchi hii tangia uhuru, utaona victims wote (karibia) ni Christians tu hakuna muslims hata mmoja ukiondoa labda Kibao ambaye ni mtu mdogo sana hata hivyo kuweza kumjumuisha, na nijuavyo muslims wako vitani against the so called "mfumo Kristo" tangia uhuru na wala hawafichi kama tu unaweza ku -read between the lines na ndiyo maana hata husema (muslim) kwamba uhuru wameleta wao na wao ndiyo waliomkaribisha Nyerere plus pendulum sasa hivi imelalia upande mmoja tu, power yote karibia 100% iko kwao (muslims), hivyo kuamini kwamba ni coincidence tu wanaofariki wote wametokea tu kuwa Christians kuwa naive.
war on Christianity is real ...
Ni maelekezo kutoka msoga mission ya kwnza target ni lissu
Mission ya pili target alikuwa Magu
Can't you see
Can you?
Mkuu umechanganya mafaili.What if…..just what if wanamtandao ndo waliosuka njama za kutaka kumuua Tundu Lissu huku wakijua kwamba endapo watafanikiwa, basi lawama zote atabeba/ atabebeshwa Rais Magufuli kwa sababu tayari watu hao wawili [Magufuli na Lissu] walikuwa na vita baridi ya maneno?
Crazy huh? Maybe it is crazy, but it ain’t far-fetched.
Watu huwa wanajua sana ku exploit fursa.
What say you? Am I way off base? Or am I onto something here….
Magufuli hakuwa MTU wa kuigiza wema kwa watu anaowachukia. Tuseme kwa vile alionekana kufurahishwa na mabaya yanayowakuta wapinzani wake, Mtandao ulitumia fursa hiyo kumgombanisha na RAIA wengine.Ukabila unakusumbua, kama kweli hakuhusika kwanini hakuweka wapelelezi ili wapatikane wauaji?? Kwa jinsi alivyokuwa Magu unahisi angekubali kuchafuliwa Kama sio kweli?
Kwani Tundu Lissu si mwananchi wake na jukumu la kulinda amani ya nchi na raia ni la kwake rais..!!
Rais gani anakubali kupata kashfa kama ile na akatulia ikiwa hahusiki?
Huyo Magu hakuwa mtakatifu wa kila kitu acha taharuki..!!
Kwa hilo la Lissu ni mwenyewe alifanya, kwa jinsi Magu alivyokua anapenda sifa lazima angewaumbua hao wana mtandao..!!Magufuli hakuwa MTU wa kuigiza wema kwa watu anaowachukia. Tuseme kwa vile alionekana kufurahishwa na mabaya yanayowakuta wapinzani wake, Mtandao ulitumia fursa hiyo kumgombanisha na RAIA wengine.
Hata Mimi binafsi ukiwa adui yangu siwezi kujihangaisha kukupa msaada pale unapofikwa na baya, nitaacha ujipambanie.
Hili linalosemwa lina uwezekano mkubwa sana!
Kwenye system kuna mambo mengi yanayoendelea, wewe ukiwa Rais huwezi ukatuma watu waende kuua kila siku wapinzani wako wakati unajua fika itakuchafua moja kwa moja, kwahiyo kuna uwezekano wa kikundi kisichokutakia mema kikatumia hilo gape kukuchafua kwa kuwaondoa wapinzani wako kwa kuwaua kikatili ili uyumbe maana pressure itakayokuja kwako kutoka kwa wananchi ni kubwa na utakua umechafuka sana.
Kwa hilo la Lissu ni mwenyewe alifanya, kwa jinsi Magu alivyokua anapenda sifa lazima angewaumbua hao wana mtandao..!!
Na Magu adui zake wakubwa walikuwa wahuni kuliko hata upinzani. Sasa ingetokea fursa kama hiyo sidhani angeiachia..!!
Sema wahuni walimjaza akajaa kisha wakamgeuka..!!
Na wahuni walifanikiwa kuchomeka watu wao ili kumuharibia kwa wananchi.
Shangaa na wewe..!!Alivujisha clip za kina Nape, Angeshindwa kunyetisha za hao wahuni. Tuache masihara bhana.
Awe aliwatuma au hakuwatuma ila alikua na taarifa ya kinachoendelea na akachagua kukaa kimya kama ataishi milele
Nakazia 📌 😹Mleta mada ni mmoja ya mifano ya watu wa ovyo nchini. PUMBAV kabisa
And yet you can’t get enough of me! Suck my dick 🖕.Mleta mada ni mmoja ya mifano ya watu wa ovyo nchini. PUMBAV kabisa