Nilishasahu juu ya hii simulizi mkuu....asante kwa tag, ngoja nipige kambi hapa kidogo nijikumbushe.
Hapo kwenye kukosa kuona mpira wa Man U vs PSG bila shaka labda kisimbusi cha hoteli uliyofikia hakikuwa cha Bein (wao ndio official broadcaster mitaa hiyo)
Ila ingekuwa ni kwa Premier League ungeiona tu kupitia TRT Spor ambapo kwa hao jamaa TRT ni kama TBC kwetu (sema TBC kwetu haina packages ni full time kutazama maendeleo ya chama)
Kama kawaida, tuliamua kulala bila wasi wasi tukijua kwamba (as we read somewhere) anytime tunaweza fika stand ya mabasi na kuchkua basi na kuelekea tuikotaka kuelekea. Hapa tulijidanganya na hatimae ikatu-cost kiasi (ntaeleezea hapo mbele), funzo kuu ni kwamba make sure you check on everything especially travel time table when you are travelling between cities abroad.
Safari yetu sasa ilikuwa ni kutokea Ankara kuelekea katika mji mmoja mzuri sana unaitwa Cappadocia. I strongly recommend to anyone who will travel to Turkey to visit this small city. Basi lilituchukua kutokea Ankara mpaka Nevsehir, hapa ni kama kilomita 30 hivi na ushee mpaka kufikia Cappadocia.
Cappadocia ni mji mdogo wa kitalii na maarufu sana kwa safari za "hot air balloon". Ni mji ambao upo kwenye mapango ambayo yamechongwa ili kuufanya uwe wa kitalii. Hotel nyingi zipo mapangoni na miongoni mwa vivutio ni hizo cave hotels. Hotel unayokaa iko pangoni kabisa, yaani ndani ya pango na it brings about good feelings sleeping in the caves. Cappadocia ni miongoni mwa sehemu ambayo nili-enjoy sana ndani ya safari yangu hii. Watu wake wengi ni wageni (sio wenyeji) wa eneo lile, utofauti ni kwamba kuna waliohamia mwanzo na waliohamia kuchelewa.
Hitoria ya mji wote huu mpaka maeneo ya miji ya chini ya ardhi kama Derinkuyu!!
Tulipofika stand saa tatu na nusu asubuhi kwa mipango ya kupanda basi la saa nne asubuhi tulilikuta tayari limejaa na bus lililofuata ndio litaondoka saa saba mchana, hili bus lilikuwa halifiki moja kwa moja Capaddocia na linaihia Nevsehir ambapo ni mji mdogo ambao upo kilimeta kadhaa kabla ya kufika Cappadocia kama nilivyosema. Ilitulazimu kulipia taxi USD 14.2 ambazo zilikuwa sawa na TL (Turkish Lira) 110 kutokea Nevsehir to Cappadocia. Ticket ya bus kutoka Ankara to Capaddocia ilikuwa USD 16.3 kwa watu wawili kwa mwendo wa masaa manne na nusu.
Tulifika hotelini ilikuwa ni saa kumi na mbili jioni na jioni ile ile tuliamua kutemebelea open air museum iliyokuwepo pale pale Goreme (Cappadoci), had a wonderful dinner and spent hours in Jacuzzi.
Cappadocia at night!
Derinkuyu na Kaymakli ni miji mikubwa miwili iliyopo chini ya ardhi katika mjii huu wa Cappadocia. Cappadocia inayo underground cities zisizopungua 36 lakini miji miwili mikubwa ndio hiyo niliyitaja hapo juu.
Ni mwendo wa takriban 1 hour by a public transport na visiting one of this place was a must do thing for us. It was Friday, so at 10:00 am sharp we were ready to start our trip to Derinkuyu. Baada ya swala ya ijumaa safari yetu ya kuingia ndani ya huu mji ilianza. Mji huu unasemekana kujengwa mnamo 8 Century BC na inasemekana ulijengwa kutumika kama kimbilio wakati wa vita. Mji huu umekwenda chini karibu mita 85, ndio, mita 85 chini ya ardhi na ndani ya mji huu kuna vyumba, majiko, kanisa, makaburi, sehemu za wana-mji kupumzikia, milango iliyofungwa kwa zana mbali mbali za mawe, chimneys, and a lot others areas. Natamani ningewaekea picha nyingi sana za kutosha maana kuna mengi ya kujifunza juu ya mji huu.
Hiyo picha ikinionyesha nikiwa nje ya mlango unaoelekea kwenye eneo la makaburi ndani ya mji huu. Yaani watu walikufa na kuzikwa humo humo ndani, watu waliishi humo ndani kwa muda mrefu bila kutoka nje. Kuna maeneo maalumu ya kupatia hewa. Humo ndani kulikuwa na hospitals na miongoni mwa watu walioishi wapo ambao walikuwa ni matabibu.
Anyway, story za mji huu ni kubwa na ukitaka kujua zaidi basi ingia google uka-search au nakushauri pia jichange ukatembelee Capaddocia.
Picha hizi mbili zinaonyesha miji hii ya Kaymakli na Derinkuyu kwa hisani ya google.
DERINKUYU UNDER GROUND CITY
KAYMAKLI UNDER GROUND CITY
Until then........................................................
Bro kuna nchi ambazo hazihitaji hata uwe na Negative certifiate ya Corona leave alone Vaccination. Recently nlikuwa nikicheki, ni nchi za Ulaya tu bad o zimebana. I have been considering African countries this year but I am yet to decide.
Nimechecki DRC na Congo Brazaville, nimecheki Namibia na Botswana. Nimecheki Zambia na Zimbabwe lakini badp sijawa convinced.
I dont wanna go to Maldives japo hii ni miongoni mwa nchi ambazo zipo open without restrictions na zinapokea watalii from kila nchi duniani.
Nimecheki nchi kama Tuvalu, Fiji, Palau, Wallis and Fatuna, Samoa and many others.

Kwa jinsi dunia ilivyo sasa, things will never be the same again...
Mataifa sasa yanashindana kwenye kugundua chanjo zao na kupiga chini zilizogundulika kwingine...
Kuna kipande cha video nilitazama juzi kati (sijakithibitisha), wanasema Mchina kaanza kutengeneza chanjo yake na ili uingie nchini kwake ni lazima wakudunge chanjo yao, hapo bado hujapimwa oil...
Sasa ukigoma kupigwa chanjo yao, kama wataka kuendelea kuingia nchini mwao basi itakulazimu ukae karantini wiki 3
Kwa jinsi dunia ilivyo sasa, things will never be the same again...
Mataifa sasa yanashindana kwenye kugundua chanjo zako na kupiga chini zilizogundulika kwingine...
Kuna kipande cha video nilitazama juzi kati (sijakithibitisha), wanasema Mchina kaanza kutengeneza chanjo yake na ili uingie nchini kwake ni lazima wakudunge chanjo yao, hapo bado hujapimwa oil...
Sasa ukigoma kupigwa chanjo yao, kama wataka kuendelea kuingia nchini mwao basi itakulazimu ukae karantini wiki 3
Ni kweli things won't be the same again but zipo nchi zitatumia hii hali kama fursa kwa mfano Tanzania.
Bado nchi za kwenda zitakuwepo za kutosha bila hizo restrictions. Nlikuwa nacheki Russia na kikwazo pekee kilichonifanya nisiichague this year ni fact kwamba as a tourist you will have to be invited by their tour operators/agents and for that invitation letter you need to pay about $65 per letter.
Unanikumbusha movie moja hivi inaitwa "The Bucket List" ya Jack Nicholson and Morgan Freeman...
Jamaa walikuwa wanaumwa na matumaini hayakuwepo tena, hivyo wakaona ni vyema wapige misele sehemu zote maarufu duniani kwa utalii ikiwemo kwenda Tanzania kwa ajili ya safari...visit The Great Wall of China, Taj Mahal, climb Mt Everest, drive a vintage Shelby Mustang and Dodge Challenger around California Speedway etc
Unanikumbusha movie moja hivi inaitwa "The Bucket List" ya Jack Nicholson and Morgan Freeman...
Jamaa walikuwa wanaumwa na matumaini hayakuwepo tena, hivyo wakaona ni vyema wapige misele sehemu zote maarufu duniani kwa utalii ikiwemo kwenda Tanzania kwa ajili ya safari...visit The Great Wall of China, Taj Mahal, climb Mt Everest, drive a vintage Shelby Mustang and Dodge Challenger around California Speedway etc
Bro kuna nchi ambazo hazihitaji hata uwe na Negative certifiate ya Corona leave alone Vaccination. Recently nlikuwa nikicheki, ni nchi za Ulaya tu bad o zimebana. I have been considering African countries this year but I am yet to decide.
Nimechecki DRC na Congo Brazaville, nimecheki Namibia na Botswana. Nimecheki Zambia na Zimbabwe lakini badp sijawa convinced.
I dont wanna go to Maldives japo hii ni miongoni mwa nchi ambazo zipo open without restrictions na zinapokea watalii from kila nchi duniani.
Nimecheki nchi kama Tuvalu, Fiji, Palau, Wallis and Fatuna, Samoa and many others.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.