My Corona relief trip and lessons therefrom

My Corona relief trip and lessons therefrom

Hongera sana mkuu.

Share nasi ili tujifunze basi mzee baba. Sisi wengine ndio machipukizi ujue
Nitajitahidi kufanya hivyo lakini sipo vizuri sana kwenye kuandika hasa story. Ila kikubwa mishe zangu zimenifanya nitembee miji mbalimbali na kujifunza culture tofauti tofauti. Mwaka huu ndio sijasafiri kwa sababu ya korona, otherwise nilikuwa nina list ya nchi za kutembelea kama 6 hivi.
 
Nitajitahidi kufanya hivyo lakini sipo vizuri sana kwenye kuandika hasa story. Ila kikubwa mishe zangu zimenifanya nitembee miji mbalimbali na kujifunza culture tofauti tofauti. Mwaka huu ndio sijasafiri kwa sababu ya korona, otherwise nilikuwa nina list ya nchi za kutembelea kama 6 hivi.
Duh! Wewe kiboko mkuu 😀😀😀
 
Mkuu hebu tuambie taratibu za kupata Turkish visa and requirement documents

Then tuambie kwa mtu ambaye anawaza au anataka kwenda huko kwa ajili ya kutafuta maisha kiujumla

What they really inspect at the airport so that they can let you ass out?
 
Mkuu kwa nini nisikujibu?? Don't you worry kabisa.

Kuhusu usafiri yaani flights inategemea unataka kusafiri na shirika gani la ndege. Kutokea Tanzania nadhani mashirika yanayokwenda huko ni Qatar airways, Turkish airways, Ethiopian airways, Emirates airways, sasa ukitaka the cheapest one kati ya hayo utachkua Ethiopian. Bei yake itagharimu kwenye $600-$700 hivi kwa mtu mmoja na hiyo ni return ticket.

Kuhusu accommodation itakugharimu $30 kwa chumba kizuri tu, japo vipo vyumba vya chini ya hapo. Kuhusu kula, ukiwa na $20 per person kwa siku wewe ni tajiri mkuu unapiga meals za maana. Kuhusu excursions almost sehemu nyingi entry fee ni bure. Utalipia kuingia sehemu chache tu na gharama sio kubwa. Most of the places hazitogharimu zaidi ya $10, unless kama utataka tour guide.

Usafiri wa ndani ya Turkey pia ni rahisi. Taxi itakayo kupeleka umbali wa km 80 itakugharimu $30 that means Tanzania taxi ni ghali sana. Kuelkea maeneo ya kitalii kwa pale Istanbul ni kwa mguu maana mengi yapo around Fatih area ambako hotels nyingi zipo.

Public transport zao kama bus na tram na train pia ni bei rahisi and are easily accessible.

Vipi mkuu umepata mwanga kiasi??
Ndio mkuu nmekupata vizuri sana nashukuru. Naona think will be my trip next year Mungu akipenda
 
Mkuu hebu tuambie taratibu za kupata Turkish visa and requirement documents

Then tuambie kwa mtu ambaye anawaza au anataka kwenda huko kwa ajili ya kutafuta maisha kiujumla

What they really inspect at the airport so that they can let you ass out?
Mkuu,
Mimi niliomba tourist Visa. Walihitaji kuona valid passport ya angalau for the next 6 months from the day I applied. Wakataka niwe na health insurance, wakataka niwe na return ticket, wakataka niwe na accommodation confirmation ya kipindi ntakachokaa kule, wakataka pia bank statement na marriage certificate.

Kuhusu kwa wale wanaotaka kuzama kiukweli sijui utaratibu but I guess uingie kama mtalii then ujifanye msomali.
 
Mkuu,
Mimi niliomba tourist Visa. Walihitaji kuona valid passport ya angalau for the next 6 months from the day I applied. Wakataka niwe na health insurance, wakataka niwe na return ticket, wakataka niwe na accommodation confirmation ya kipindi ntakachokaa kule, wakataka pia bank statement na marriage certificate.

Kuhusu kwa wale wanaotaka kuzama kiukweli sijui utaratibu but I guess uingie kama mtalii then ujifanye msomali.
Niliona visa zao wao wanazitoa kwa online pia au hata ubalozi pia wanatoa

Hawa agent wa online ni wakuaminika kweli ai wezi tu coz natarajia kuanza safari zangu hiv karibuni but nataka nianze na Kenya na sadec countries nipate travelling history
Then nijilipue Europe niombe asylum

What's your opinion about that?
 
Wakuu vp kuhusu chakula hapa Tumezoea ugali,samaki,kuku,wali,ndizi nk huko mbelembele inakuwaje na juice je au Mikate inatest kama Mikate Yetu au? piaukitaka kununua midudu ya Kizungu inakuwaje Anijibu Yoyote mwenye Uzoefu na safari

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Niliona visa zao wao wanazitoa kwa online pia au hata ubalozi pia wanatoa

Hawa agent wa online ni wakuaminika kweli ai wezi tu coz natarajia kuanza safari zangu hiv karibuni but nataka nianze na Kenya na sadec countries nipate travelling history
Then nijilipue Europe niombe asylum

What's your opinion about that?
Kwa hapa Tanzania visa lazima uende ubalozini, they will have to interview you!

Mimi mkuu huwa nafanya mwenyewe kila kitu, sitaki agent maana ninao uzoefu kiasi changu.

If you need my opinions kwenye kujilipua, then frankly I would tell you not to. Mimi naamini Tanzania bado ni sehemu nzuri sana ya kuishi ukiwa na shughuli ya kukuingizia kipato. Kama huna issue kabisa basi hapo nweza nkakuelewa kiasi maana hata kwenye dini yangu tumeambiwa usikae sehemu moja kama mambo yako magumu. Hama kabisa
 
Jumaanne tulivu ilikuwa imefika, siku zangu za kukaa Istanbul kwa mujibu wa itinerary yangu zilikuwa zimemalizika na ingenibidi tu kuondoka na kuelekea Ankara. Kiukweli sikufanikiwa kutembelea baadhi ya sehemu kama nilivyopanga lakini kwenye maisha nimefunzwa kuridhika na ninachopata.

Sehemu ambazo sikupata kutembelea ni pamoja na Topkapi Palace, Istanbul Archeological museum na sikupata kufika Fenerbahce kwa Samatta.

Ankara ndio mji mkuu au mji wa kiserikali wa nchi ya Turkey. It was my first time kupanda hizi treni za mwendokasi, wanaita high speed trains. Nilitumia shirika la serikali ya Uturuki liitwalo TCDD. Kutokana na ukweli kwamba kuna ubaguzi juu ya ngozi nyeusi duniani huwa mambo yangu nayafanya kwa ustadi mkubwa sana niwapo nchi za watu. Niliamua kukata business class ambako obvious kungekuwa na watu wachache tu unlike economy classes, in terms of toilets hata watumiaji pia tungekuwa wachache na ingeepusha kuchukuliana poa, na ni imani yangu pia watu wanaosafiri kwenye business class of first classes wanakuwa ni watu wa upper class in a community so hata kiwango chao cha ustaarabu kinakuwa tofauti.

TDCC.jpg


Saa nne kasorobo juu ya alama tulikuwa tumeshaingia ndani ya train na tushapata seat zetu, COVID-19 measures were in place na social distancing was one of them. Tulikaa seat za mbali mbali kidogo lakini katiba row moja so tulikuwa tunaonana from side ways. Hii ilimpa wife muda wa kulala na mimi muda wa kutosha wa kushangaa mandhari nzuri sana ya nchi hii ya Uturuki.

in the train.jpg


Ni mwendo wa masaa manne na nusu wenye kukava kilometa kama 218 hivi. Mnamo saa nane na nusu tulikuwa Ankara gar station (kituo kikuu cha train pale Ankara, baada ya kutoka tu ndani ya train tulifuatwa na askari ambao walikuwa wamevalia kiraia na kutuonyesha ID zao na wakataka tuwape passports zetu. Bila kusita na wala kuuliza maswali mengi nilitoa passport zote nikawapa, mmoja akazipiga picha kwa simu yake na akazituma somewhere through Whatsapp na mwengine akawa anatuuliza friendly kwamba tunafanya nini tunategemea kukaa muda gani Ankara and questions like that, tulijibu kila swali na baada ya dakika chache tu tulipewa passport zetu na jamaa wakatuambia "Enjoy your journey"

Nisiwe muongo, kiukweli nlichukia sana kwamba out of all passengers, kwanini wale askari walitufuata sisi tu??? na walionekana kwamba walijua hata kabla ya treni kufika kwamba kuna waafrika wawili ndani ya train. Hii ilinifanya kujiona mnyonge sana. Nafahamu kwamba ni procedures lakini why kwetu tu??

Baada ya dakika kumi hivi tulikuwa nje ya station na namna palivyo pale kupata taxi mfumo wake ulituchanganya kiasi, ilibidi tutembee kwa mguu mwendo wa dakika kama tano hivi na tukakuta kituo cha taxi ambapo tulichkua kuelekea hotelini kwetu.

Tulifikizia hotel inaitwa "Cinnah" ipo city centre kabisa na nadhani ni karibu kabisa na Ubalozi wa Marekani. Usiku huu kulikuwa kuna game ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE nadhani PSG vs MANU, aisee nilihangaika kuitafuta hii game sana sana sana tu ila hawa jamaa sijui ndio uzalendo au ushamba, hawaonyeshi hizi game. Kwanza hawatumii DSTV kabisa ilibidi tu nijirudie hotel nilale huku nikiwa sina furaha.

Unfortunately, Ankara tulipanga kukaa siku moja tu maana kama nlivyosema huu ni mji wa kiserikali zaidi, sio mji wa kitalii. There is not much to see to be honest.

The next day was gonna be our trip to Cappadocia, beautiful place to be in Turkey. Lets meet then............................
 
Nilishasahu juu ya hii simulizi mkuu....asante kwa tag, ngoja nipige kambi hapa kidogo nijikumbushe.

Hapo kwenye kukosa kuona mpira wa Man U vs PSG bila shaka labda kisimbusi cha hoteli uliyofikia hakikuwa cha Bein (wao ndio official broadcaster mitaa hiyo)

Ila ingekuwa ni kwa Premier League ungeiona tu kupitia TRT Spor ambapo kwa hao jamaa TRT ni kama TBC kwetu (sema TBC kwetu haina packages ni full time kutazama maendeleo ya chama)
 
Back
Top Bottom