My Corona relief trip and lessons therefrom

My Corona relief trip and lessons therefrom

Tulituma muda mrefu sana ndani ya ile underground city, kunatisha sana kule chini hususan ukiwa alone au mkiwa wawili tu. Cha kushangaza kuna dada mmoja wa kirusi ambae tulikutana nae chini kule kule akizunguka zunguka mwenyewe (solo traveler). She joined our team tukawa watatu. Aisee yule dada nilimvulia kofia, haogopi na iliingia mpaka sehemu ambazo mimi nliona noma kuingia. alikuwa akituita kwenye mapango ambayo mtu utaogopa kuingia. Kwa kweli alituona kwamba sisi si kama yeye hivyo baada ya muda tukaachana nae. Baada ya kama masaa mawili hivi tuliamua kutoka kwa hiyo tour yetu kwa kivutio hichi cha kitalii ikawa imeishia hapo.

Kufika nje unafikizia kwenye maduka ya kununua vijizawadi kidogo. Nkasema ngoja tukaangalie kama kuna vitu vya bei nafuu tunaweza pata maana ki-kawaida zawadi tunanunua 2 days or a day before our flight ya kurudi. Katika pita pita zetu nkakutana na taa flani hivi za kuweka kwenye nyumba. Zile taa ni nzuri na nilidhamiria kuzinunua. Nlitaka 17 pieces ambazo zilitosha nyumbani kwangu na siku zikifungwa ntawaletea picha humu maana ni urembo mzuri sana. Mbeleni huko mtakuja ona kwamba nilifanikiwa kuzinunua.

Kufika kituo cha daladala ili turudi Goreme tukakutana na yule dada wa kirusi anaelekea kaymakli (ile sehemu nyengine yenye underground city). Tulipiga story mbili tatu pale na ndio nkapata lesson kwamba decision ya hayati rais Magufuli ya kusema hakutokuwa na lockdown wala masharti makali kwa watalii wanaotaka kuja Tanzania ilikuwa na faida zake kiuchumi. Huyu dada aliniambia kwamba nchi pekee alizoweza kusafiri ni Turkey au Tanzania. For her Tanzania was expensive, ndio maana akaamua kwenda Turkey. This means kama Tanzania ingekuwa somehow affordable basi angekwenda Tanzania. This was another lesson for me, pengine watunga sera wa Tanzania wanatakiwa waone hili, kwamba okey tunaweza opt kwenda na Quality tourism instead of quantity lakini nchi bado haipo na miundo mbinu ya kufanya Quality tourism. bado the number of tourists tunaowataka waje nchini ina mashiko sana. Baada ya muda kidogo daladala ikatokea hao tukarudi zetu mpaka kwenye junction ya kuelekea Goreme ambapo tuliamua kwenda kununua nguo za watoto. Nguo ki ukweli si ghali sana hapa japo baadae tulikuja gundua kwamba nguo zilikuwa bei rahisi zaidi kwenye mji uliofuata (Antalya). Ile ndio ilikuwa night yetu ya Mwisho Cappadoccia. Tulirudi Goreme around saa moja usiku na cha kwanza kabisa tuliamua kutafuta taxi driver ambae angetupeleka airport ya Kayseri kesho yake. Unajua kwa wenzetu watu si sana kuzungumza lugha za kigeni, unless uwe unajishughulisha na issue ambazo itakubidi ujue lugha hizo. The driver tuliyempata was a good person, alikuwa na appointment haswa maana asubuhi yake he was at our hotel ontime. He was knowledgable na alijua mambo mengi kuhusu Cappadocia ka Kayseri. Kwa kweli alikuwa very proffession na I recommend him kwa mtu yoyote ambae atafika Cappadoccia amtumie yeye. Haya ndio mawasiliano yake, japo kadi imeandikwa English spoken driver 😀 😀 😀

View attachment 1794713

Tulispend time kubwa sana kwenye jacuzzi that night maana ndio hotel pekee ambayo tuli-book na ilikuwa na Jacuzzi.

Mapenzi yana-run dunia wazee, hii yote ni power of love. When you love you can go out of your way, mshairi mmoja wa kiarabu anasema "mpenda akipenda hutaka kutomuudhi na kumfurahisha ampendae". My wife deserves so much! Yaani ni ule msemo wa " A woman who does not ask for anything, deserves everything" na hawa viumbe wa hivi wapo wachache sana. Ndio rafiki yangu Karucee once aliwahi niambia nimtunze sana huyu mwanamke and that's what I do and I am going to do for many years to come (as long as I am alive).

Safari ya kuelekea Keysaeri (ambao ni mji wa nne kwa ukubwa / kiuchumi nchini Uturuki) ilianza saa kumi kamili alfajiri iliyofuata. Ni mwendo wa lisaa moja speed 80 kwa saa. Around saa kumi na moja na nusu tukawa tumefika, checking in na procedures mbali zikafanyika na mpaka saa kumi na mbili na nusu tukawa tumetulia tunasubiri boarding. Around saa moja kama na robo hivi tuka-board na saa mbili hivi tukaruka. Tuliingia Antalya around saa nne na huu ndio ulikuwa mji wetu wa mwisho kabla hatujarudi tena Istanbul kuchkua ndege na kurudi Tanzania.

Until then....................................
Good women are gems, once you find one you have found light in your life.

Cling to her.
 
Acheni kunitamanisha jamaniii.

On a serious note I miss travelling.

I just have to incorporate my two little kids and we are set.
Hahahahahahahahaha

What I did was to send them to their grand maaa and paaa.

Sikuwa na huruma mimi hahahahah! Hususan nkikumbuka walivyonitesa Dubai sina hamu nao na hawatasafiri nami mpaka may be kuanzia 2022.
 
Hahahahahahahahaha

What I did was to send them to their grand maaa and paaa.

Sikuwa na huruma mimi hahahahah! Hususan nkikumbuka walivyonitesa Dubai sina hamu nao na hawatasafiri nami mpaka may be kuanzia 2022.
Itabidi nijikaze tu.

Sema maximum two weeks I doubt I can go longer than that without them.
 
Itabidi nijikaze tu.

Sema maximum two weeks I doubt I can go longer than that without them.
Jikaze bestyyyy.

Of course you only need two weeks and depending on a country, sometimes 10 days can do. Like if someone wants to go to UAE, hahitaji hata 10 days huyu mtu na for 2 people haitogharimu hata $1,500/= it is affordable kwa kweli
 
Jikaze bestyyyy.

Of course you only need two weeks and depending on a country, sometimes 10 days can do. Like if someone wants to go to UAE, hahitaji hata 10 days huyu mtu na for 2 people haitogharimu hata $1,500/= it is affordable kwa kweli
Thanks for the info.

We should have a thread/forum for Wanderlust Diaries or JF Globe Trotters.

It would be awesome for the widely travelled and those looking to travel

cc Boss Maxence Melo please have an additional forum for this.
 
Thanks for the info.

We should have a thread/forum for Wanderlust Diaries or JF Globe Trotters.

It would be awesome for the widely travelled and those looking to travel

cc Boss Maxence Melo please have an additional forum for this.
I agree.

Na nadhani wadau washapendekeza huko nyuma mara kadhaa kuhusu kuwa na Jukwaa hilo.

Kama sio Corona sasa hivi ningekuwa Copenhagen 😀😀😀😀.

It was a good 10 days trip lakini ndio hivyo tena hahaaha
 
I agree.

Na nadhani wadau washapendekeza huko nyuma mara kadhaa kuhusu kuwa na Jukwaa hilo.

Kama sio Corona sasa hivi ningekuwa Copenhagen 😀😀😀😀.

It was a good 10 days trip lakini ndio hivyo tena hahaaha
Litasaidia sana hasa kuhusu Visa applications, what to expect, places to visit, must try stuff, foods etc etc. It is going to be an awesome forum.

Pia tutaweza kushare experience za usafiri mfano Airlines, Hotels.... Tunaweza kuwatag kama wapo Ili kuwafikishianujumbe kuhusu services zao.
 
Duh!

Unafeli ndugu, hebu fanya uvute jiko aiseee. Yaani nyuzi za kutafuta wenza zote hizi humu jukwaani huzioni??? au Miss Natafuta kashapata?
Nadhani angeshapata ange edit kidogo ID

Pengine next summer naweza amka under the same roof na Miss Natafuta kabla hatujakula mikate mitamu ya ki Turkish tuanze safari ya kui explore Ayasofya?

Hakuna wakati mujarab wa kumuendea inbox kama sasa.

And, I know I got your back, mkuu!
 
Litasaidia sana hasa kuhusu Visa applications, what to expect, places to visit, must try stuff, foods etc etc. It is going to be an awesome forum.

Pia tutaweza kushare experience za usafiri mfano Airlines, Hotels.... Tunaweza kuwatag kama wapo Ili kuwafikishianujumbe kuhusu services zao.
Kweli kabisa, na JamiiForums inaweza kufaidika kwa kupata members ambao ni mashirika ya ndege na hotel kubwa za Kimataifa. Maxence Melo hebu lifanyieni kazi hili wazo
 
Nadhani angeshapata ange edit kidogo ID

Pengine next summer naweza amka under the same roof na Miss Natafuta kabla hatujakula mikate mitamu ya ki Turkish tuanze safari ya kui explore Ayasofya?

Hakuna wakati mujarab wa kumuendea inbox kama sasa.

And, I know I got your back, mkuu!
Hahahahahahhahahah

All the way bro, go for it and you have got my back!

Cannot imagine Miss Natafuta anakuwa shemeji yangu rasmi.
 
Kwa kweli aisee. Lakini pia zipo nchi nyingi ambazo you can go and relax baada ya Muda mrefu wa maumivu ya Corona. The following is the list of countries ambazo hazina quarantine na hazihitaji uwe vaccinated (so far). Zinahitaji uwe na Negative PCR test certificate tu.
1. Jordan (Must visit country hii aisee)
2. Nepal
3. Lebanon
4. U.A.E
5. South Africa kwa konda msafi
6. Cape Verde
7. Egypt
8. Ethiopia
9. Djibout
10. Senegal
11. Kenya
12. Uganda
13. Somalia
14. Zambia
15. Mexico
16. Antigua and Barbuda
17. Aruba
18. Colombia
19. Dominica
20. Honduras
21. Niccaragua
22. Panama
23. Turks and Caicos
24. U.S.A
25. Albania
26. Bosnia and Herzrgovina
27. Georgia
28. Turkey

Kwa hiyo mkuu wasitutishe, tutasafiri na hatuchanjwi.
Hiyo namba sita nailia timing.
Ngoja niendelee kupekua gharama zake,kama panafikika kirahisi.
 
Unajua this can happen hivi hivi kiutani utani hahahhha.

Let us buy time. Ntafanya Maamuzi by August ya nchi gani nakwenda this year. Japo shemeji yako anataka nimpeleke tena Turkey hahahahh
😁 Aaah! Shemeji alisahau nini Uturuki? 🤦🏾‍♂️ This time afanye research ya SADC aanze kupasha misuli moto kuelekea Latin au Asia.
 
Shukran mkuu.

Mkuu mimi ni mtu nipo kwenye hospitality industry, niko njema kwenye sector hii. Believe me hawa jamaa walifanya uhuni tu. Contract ni "payment on arrival". They just do take advantage of some situations. Of course you have my card details, wait mpaka siku iishe and if I don't show up, charge it accordingly. Hawa jamaa walipayta walking-in clients wakaona hebu tulibutue na huyu akija tunampeleka sister hotel hapo hawezi kataa. I don't agree with you kwamba Booking.com will have to charge you 72 hrs after you book, kila hotel zina sera zake mkuu. Na mimi napenda ku-book hotel za payment on arrival maana huwezi jua what can happen in a day.
Nashukuru Sana mdau mwenzangu hata Mimi nipo kwenye Hospitality kwa hiyo nachosema unapokuta Booking yako iko Cancelled hasa ya Booking.com mpaka iwe cancelled itakuwa walikutafuta mpaka Waka give up.Policy nayoijua through Booking.com Ni Charge in Advance na Expedia charge upon arrival.

Booking.com wako sensitive kutokana na fake Booking hasa toka Nigeria na Mimi huwa nakutana nazo Sana.
Hotel lazima iwe na policy ya "No Show"lakini Kama booking yako ili filter then wange reinstate tu kuliko kuku transfer to the sister Hotel ambayo you did not intend to stay

Nimevutiwa Sana na weledi wako pia Ni vizuri kuelimishana.

Watanzania wengi hawajui umuhimu wa Reservation,na matumizi mengi ya Online Payments
 
😁 Aaah! Shemeji alisahau nini Uturuki? 🤦🏾‍♂️ This time afanye research ya SADC aanze kupasha misuli moto kuelekea Latin au Asia.
Kwa kweli aisee.

Kuna sehemu anataka aparudie aisee

20210524_054858.jpg



Hiyo resta inaitwa Chef Esmer kaka, kuna wa-Syria hao wanapika balaa
 
Back
Top Bottom