My Corona relief trip and lessons therefrom

My Corona relief trip and lessons therefrom

Hiyo ni stage ya juu sana. Nimepanga kuanza na mikoa ya hapa Tz kwanza ili kuumba upenzi wa kusafiri kwa familia yangu. Taratibu wakishapenda nitaanza kuhangaikia hizo za abroad.
Good mkuu.

That's also good believe me!

1M for trip za hapa hapa nchini will be more than enough bro
 
Sorry naomba unijibu kama hutojali. Inagharimu kama kiasi gani kwa kila kitu kuanzia usafiri, accomodation etc
 
Awali ya yote kuna vitu nataka nivifahamu kuhusu uturuki hasa upande wa shopping.

Nasikia nguo, viatu ni vizuri sana. Nafikiria siku nielekee pande hizo ninunue baadhi ya vitu vya ndani.
Bro,

Ni kweli nadhani vitu sio ghali sana kule. Nadhani Antalya ndio vitu bei rahisi zaidi
 
Sorry naomba unijibu kama hutojali. Inagharimu kama kiasi gani kwa kila kitu kuanzia usafiri, accomodation etc
Mkuu kwa nini nisikujibu?? Don't you worry kabisa.

Kuhusu usafiri yaani flights inategemea unataka kusafiri na shirika gani la ndege. Kutokea Tanzania nadhani mashirika yanayokwenda huko ni Qatar airways, Turkish airways, Ethiopian airways, Emirates airways, sasa ukitaka the cheapest one kati ya hayo utachkua Ethiopian. Bei yake itagharimu kwenye $600-$700 hivi kwa mtu mmoja na hiyo ni return ticket.

Kuhusu accommodation itakugharimu $30 kwa chumba kizuri tu, japo vipo vyumba vya chini ya hapo. Kuhusu kula, ukiwa na $20 per person kwa siku wewe ni tajiri mkuu unapiga meals za maana. Kuhusu excursions almost sehemu nyingi entry fee ni bure. Utalipia kuingia sehemu chache tu na gharama sio kubwa. Most of the places hazitogharimu zaidi ya $10, unless kama utataka tour guide.

Usafiri wa ndani ya Turkey pia ni rahisi. Taxi itakayo kupeleka umbali wa km 80 itakugharimu $30 that means Tanzania taxi ni ghali sana. Kuelkea maeneo ya kitalii kwa pale Istanbul ni kwa mguu maana mengi yapo around Fatih area ambako hotels nyingi zipo.

Public transport zao kama bus na tram na train pia ni bei rahisi and are easily accessible.

Vipi mkuu umepata mwanga kiasi??
 
As matter of fact hakuna binadamu asiyependa kutalii..basi tu sometyms uchumi unakaba..pia nadhan changamoto nyingine n mtu kukosa taarifaa sahihi..mf..pamoja na Tanzania kuanzisha channel yake ya safar kwenye issue za utaliii..bado kuna ukosesefu wa taarif mf..bei za kuingilia mbugani..payment methods.gharama za kuingiza magari. Nk.nk..nwhile Wenzetu hizi taarif zpo online
 
Vibaya mno. Ninapenda sana ku explore na ku extend my horizon. Nashukuru sana nimetembea sana na nimeona mengi.
Hongera sana mkuu.

Share nasi ili tujifunze basi mzee baba. Sisi wengine ndio machipukizi ujue
 
Uzi umenitia machungu Sana,wacha niserve na Mimi.
Yes yes and that is the spirit.

Halafu wala sio expensive ujue. I mean not necessarily uanze na nchi ghali, my first trip ambayo nlisafiri kwa pesa yangu mwenyewe nliamua nianzie South Africa and that was the best decision.

You can start small and grow bigger mkuu
 
Mkuu uzi mzuri sana though it flows slowly. Tafadhali ongeza kasi kidogo katika kuumalizia japo twajua una majukumu.

Huwezi jua mtu akaamua kwenda kabla ya mwaka kuisha.
 
Mkuu uzi mzuri sana though it flows slowly. Tafadhali ongeza kasi kidogo katika kuumalizia japo twajua una majukumu.

Huwezi jua mtu akaamua kwenda kabla ya mwaka kuisha.
Okey mkuu. I will do my best, umebaki kama sehemu 6 hivi.
 
Back
Top Bottom