Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,609
- 8,298
Steve mweusi na ndaro.
nakubaliana na wewe katika 1 na 4Comedy Industry hasa stand-up comedy inakua kwa kasi saana duniani.
Hawa ni comedians 5 bora wangu wa muda wote. Hawa jamaa sio sense of humor sio punchlines hakuna wakuwashika.
1. Trevor Noah -huyu Msouth Africa anakipaji kikubwa saana. Binafsi naona sanaa yake imejielekeza saana kwenye siasa na masuala ya kijamii.
2. Steven Trevino- huyu jamaa ni hatari. Utamwelewa zaidi kama wewe ni mtu wa familia. My favorite ni I Speak Wife.
3. Steven Harvey- japo siku hizi hafanyi Stand-up comedy ila kama wewe unafuatilia Family feud utakubali Steve anakipaji cha hali ya juu.
4. George Carlin [Late] alifanya saana comedy ya siasa na dini. Aliweza kuyaeleza madhaifu ya dini katika hali ambayo ilikufanya ujifunze huku unacheka.
5. Mpho Pops - Huyu jamaa ni Msouth Africa....sio mkongwe ila kwa kipaji alichojaliwa hasa punchlines ni hatari saana. South Africa ina comedians wazuri saana.
Kevin Hart is overrated!6. Kevin Hart
so is Trevor Noah!Kevin Hart is overrated!
Wanaongea chapSijafanikiwa kumwelewa Kevin Hart.
Lakini nikiri wengi wa black comedians wa Marekani sijawaelewa hasa lugha yao.... Katy na Kevin muda mwingi sisikii wanachokiongea. Na Nigerians pia siwasikii wanachokisema.
1. George Carlin (The GOAT)Comedy Industry hasa stand-up comedy inakua kwa kasi saana duniani.
Hawa ni comedians 5 bora wangu wa muda wote. Hawa jamaa sio sense of humor sio punchlines hakuna wakuwashika.
1. Trevor Noah -huyu Msouth Africa anakipaji kikubwa saana. Binafsi naona sanaa yake imejielekeza saana kwenye siasa na masuala ya kijamii.
2. Steven Trevino- huyu jamaa ni hatari. Utamwelewa zaidi kama wewe ni mtu wa familia. My favorite ni I Speak Wife.
3. Steven Harvey- japo siku hizi hafanyi Stand-up comedy ila kama wewe unafuatilia Family feud utakubali Steve anakipaji cha hali ya juu.
4. George Carlin [Late] alifanya saana comedy ya siasa na dini. Aliweza kuyaeleza madhaifu ya dini katika hali ambayo ilikufanya ujifunze huku unacheka.
5. Mpho Pops - Huyu jamaa ni Msouth Africa....sio mkongwe ila kwa kipaji alichojaliwa hasa punchlines ni hatari saana. South Africa ina comedians wazuri saana.
I agree.so is Trevor Noah!