Lamborgini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2024
- 419
- 546
Yule aliye pigwa kibai na wilsmiyh anaiyea nani mkuu yuki vzr
Kwangu mimi.Comedy Industry hasa stand-up comedy inakua kwa kasi saana duniani.
Hawa ni comedians 5 bora wangu wa muda wote. Hawa jamaa sio sense of humor sio punchlines hakuna wakuwashika.
1. Trevor Noah -huyu Msouth Africa anakipaji kikubwa saana. Binafsi naona sanaa yake imejielekeza saana kwenye siasa na masuala ya kijamii.
2. Steven Trevino- huyu jamaa ni hatari. Utamwelewa zaidi kama wewe ni mtu wa familia. My favorite ni I Speak Wife.
3. Steven Harvey- japo siku hizi hafanyi Stand-up comedy ila kama wewe unafuatilia Family feud utakubali Steve anakipaji cha hali ya juu.
4. George Carlin [Late] alifanya saana comedy ya siasa na dini. Aliweza kuyaeleza madhaifu ya dini katika hali ambayo ilikufanya ujifunze huku unacheka.
5. Mpho Pops - Huyu jamaa ni Msouth Africa....sio mkongwe ila kwa kipaji alichojaliwa hasa punchlines ni hatari saana. South Africa ina comedians wazuri saana.
Sijafanikiwa kumwelewa Kevin Hart.Kwangu mimi.
1,Dave Chapelle
2.Katy Williams
3.Chris rock
4.Kevin Hart
😅😅 iyo show ilikuwa nzuri kuna wale wajerumani wanavyocheka. Fluffy na trevor noah show zao unaweza kuangalia kila rika hawatumii lugha mbayaGabriel Iglesias /Fluffy- Aliniacha Hoi na show yake kuhusu n'gombe India.
Na Dave Chappelle wapo kwenye top 10 yangu.
ngoja nije niitafute sijawahi kuiona hiyoWalishawahi kuwa na tour pamoja Mexico. It was lit.
Show yao ipo YouTube.
Napenda saana sanaa ya nyumbani ila comedy nimeshindwa kuangalia.Koi mzungu na yule aliyemkera Mama Samia Suluhu wako wapi katika orodha yako?
Hakika mkuu 😀.Napenda saana sanaa ya nyumbani ila comedy nimeshindwa kuangalia.
Comedians wetu hawajiandai wanajin'gatan'gata ku copy na kupaste.
Kujiandaa na kufanya mazoezi ni muhimu saana. Naamini kila kitu ni practice.
wanaamini ngombe ni watu waliokufa so hutakiwa kuwasumbua hata ukimkuta kwenye traffic jam... anavoelezea lazima uchekeGabriel Iglesias /Fluffy- Aliniacha Hoi na show yake kuhusu n'gombe India.
Na Dave Chappelle wapo kwenye top 10 yangu.
Mtafute Rasheed Wallace, Patrice Lumumba O’Neal, Dave Chappelle, Eddie griffin na kart Williams na don ricklesComedy Industry hasa stand-up comedy inakua kwa kasi saana duniani.