TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,185
- 18,201
Kitambo sanaNitawasikiliza.... bila shaka wewe Mkongwe hawa comedians hawajaanza comedy leo.
Kitambo sanaNitawasikiliza.... bila shaka wewe Mkongwe hawa comedians hawajaanza comedy leo.
Zunguka duniani kote,Volodymyr Zelensky Rais wa Ukraine.
Kwangu hapana.
Sauti tu sitaweza kumskiliza.
Rais fala Sana yule,Haha...
Vlodomyl Zelensky ndie alipaswa kua nambari wani
Yupo vizuri ila anatumia sana refference za mizagamuo kwenye punchline zake yeye pamoja na russel peters na adrew schulz hicho ndo kinaboa muda mwinginemkuu niambie kuhusu jamaa anaitwa Max Amini. Jamaa ana punchline nzuri
NitarudiMimi naoengezea na hawa
1. Gabriel iglesias
2. Matt Rife
3. Bill Burr
4. K Von
5. Dave chapel
Mkuu umenifurahisha, Mimi sio mkongwe ni upekuzi tu kipindi hiko nikakumbana na hao comedian wakizamani na nikawapenda.Bila shaka wewe mkongwe.
Umenikumbusha saga la Katt kuwaanika wenzake Club Shay
Mtu kama Trevor utamsikiliza na mkeo, mama, baba na watoto wako and you're still comfortable.Yupo vizuri ila anatumia sana refference za mizagamuo kwenye punchline zake yeye pamoja na russel peters na adrew schulz hicho ndo kinaboa muda mwingine
KabisaMtu kama Trevor utamsikiliza na mkeo, mama, baba na watoto wako and you're still comfortable.
Namba 6 Makongoro Nyerere .Comedy Industry hasa stand-up comedy inakua kwa kasi saana duniani.
Hawa ni comedians 5 bora wangu wa muda wote. Hawa jamaa sio sense of humor sio punchlines hakuna wakuwashika.
1. Trevor Noah -huyu Msouth Africa anakipaji kikubwa saana. Binafsi naona sanaa yake imejielekeza saana kwenye siasa na masuala ya kijamii.
2. Steven Trevino- huyu jamaa ni hatari. Utamwelewa zaidi kama wewe ni mtu wa familia. My favorite ni I Speak Wife.
3. Steven Harvey- japo siku hizi hafanyi Stand-up comedy ila kama wewe unafuatilia Family feud utakubali Steve anakipaji cha hali ya juu.
4. George Carlin [Late] alifanya saana comedy ya siasa na dini. Aliweza kuyaeleza madhaifu ya dini katika hali ambayo ilikufanya ujifunze huku unacheka.
5. Mpho Pops - Huyu jamaa ni Msouth Africa....sio mkongwe ila kwa kipaji alichojaliwa hasa punchlines ni hatari saana. South Africa ina comedians wazuri saana.