Kiranga ,
Ilikuwa katika jimbo la Musoma. Mwaka 1995. CCM walisimamisha mwizi (sasa hivi tunawaita mafisadi). Mwalimu akawaonya kuwa huyu mtu mliyemsimamisha ni mwizi, tafuteni mwingine. CCM kama kawa yao wakakataa. Mwalimu akasema hadharani kuwa hawezi kumpigia kura mwizi na atampigia kura mgombea wa NCCR/ Mageuzi, Ndobho, ambaye alishinda uchaguzi mwaka huo.
Yaani hii habari ya wezi CCM mpaka aibu, we limtu kama Mabina lile limtu la kazi kabisa linajulikana, wameenda kulifanya "Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mwanza"
Duh,
Aibu.
Ndio maana imeajiri majangili na maharamia kuwa katibu mkuu wa chamaCCM wote ni wezi na wanalindana. Kuanzia ngazi ya juu hadi wilayani. Ndiyo maana kauli ya kujivua gamba sasa wanatamani hata wasingeitoa.
Kiranga ,
Ilikuwa katika jimbo la Musoma. Mwaka 1995. CCM walisimamisha mwizi (sasa hivi tunawaita mafisadi). Mwalimu akawaonya kuwa huyu mtu mliyemsimamisha ni mwizi, tafuteni mwingine. CCM kama kawa yao wakakataa. Mwalimu akasema hadharani kuwa hawezi kumpigia kura mwizi na atampigia kura mgombea wa NCCR/ Mageuzi, Ndobho, ambaye alishinda uchaguzi mwaka huo..........
Naomba kusahihisha kidogo, Mwalimu hakumpigia kura huyo mpinzani, ila alimnadi mbele ya wapiga KURA, hii ilikua Musoma mjini wakati anamnani Mr. Clean Mkapa, mgombea wa magamba alikua na scandals kibao, mwalimu akamtolea uvivu hapo hapo na akasema, kama mimi ningekua ndio nyie wananchi ningempa Kura fulani.
Assume wewe ni mwana CCM kati Nape wa CCM na Dr.Slaa wa CHADEMA ungemchagua nani?. Weka uahabiki pembeni.
Hilo swali halihitaji hata form 6 kujibu.... Dr. Slaa all the way.
Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
Toa details, source yako ni ipi, Nyere alisema hili lini na alimpigia mbunge gani wa upinzani huyo?
Hukumbuki Paul Ndobo - Musoma Vijijini.
Yaani hii habari ya wezi CCM mpaka aibu, we limtu kama Mabina lile limtu la kazi kabisa linajulikana, wameenda kulifanya "Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mwanza"
Duh,
Aibu.
wakazi wa mwanza hakuna asiyemjua mabina, Ila hakuna asiyejua kuwa CCM wameweka pesa mbele
Dr.SlaaAssume wewe ni mwana CCM kati Nape wa CCM na Dr.Slaa wa CHADEMA ungemchagua nani?. Weka uahabiki pembeni.