Mwl Nyerere aliwahi kumpigia kura Mbunge wa Upinzani. Je, alikuwa msaliti?

Alitumia Demokrasia ya kupigia mtu anayemuona atasaidiana na wanachi katika kuleta maendeleo. Mwl. hakuwa katika mlengo wa UCCM bali maslahi ya taifa na wananchi wake. Kwangu sioni shida kwa DR Slaa. Kuwa na Kadi ya CCm kwani nani hajui kama aliwahi kuwa CCM na baadaye akaondoka kwa ufedhuri wa hao watu. Kadi ya shibuda na Mrema walisharudisha? Sambwe Shitambala naye alirudisha ya CDM?

Mfano huu hauendani na sula la Dr Slaa kuwa na kadi mbili hai za vyama viwili!
 
Kaka hapo kwenye blue naomba kupatie jina la huyo mwizi aliyeangukia pua..! Teh teh teh, Nyerere alikuwa hamumunyi maneno. kwenye ufisadi
Kwi!kwi! nimeshasahau jina lake. Lakini ukitafuta kumbukumbu za uchaguzi wa 1995 pale Musoma jina lake utalipata.
 
Back
Top Bottom