Mwl. niko Ughaibuni kuongeza Elimu, niliyoyaona..

Pesa ndogo hiyo...na kodi ya pango?
Kodi ya pango ni kama 100,000/=..Na ki kachumba kadogo, kenye meza, kabati, kitanda, choo mna share, jiko mna share..
Naona sister wauliza kila kitu, wataka kuja nini?!
Karibu utafute nawe..
 
Hivi ungeenda enzi zile kabla ya EU hajiashika kasi ungezungumzaje humu? Si ni hatari?
 
Mi nilikuwa nasoma, nikitoka class tu naenda Viwandani kupiga kazi, siku za weekend naenda kufanya usafi kwenye kumbi za senema, ilinilipa sana hadi hii leo hapa Bongo nimeweza kuwekeza kwa mtaji niliotoka nao ugaibuni na Mungu ananijalia Maisha si mabaya.
 
Safiiiii...
 
Kodi ya pango ni kama 100,000/=..Na ki kachumba kadogo, kenye meza, kabati, kitanda, choo mna share, jiko mna share..
Naona sister wauliza kila kitu, wataka kuja nini?!
Karibu utafute nawe..
Umejuaje mkuu, sister angu anaishi mitaa ya Golden Lane, London, ananiambia niende ila hizo Kazi anazonitajia chaaa! Ngachoka!
 
BBC DIRA YA DUNIA ALHAMISI 08.02.2018 via YouTube
Jaribu ku forward muone wenzetu.. kumbe yawezekana..!
 
Umejuaje mkuu, sister angu anaishi mitaa ya Golden Lane, London, ananiambia niende ila hizo Kazi anazonitajia chaaa! Ngachoka!
Duuh dada ukienda kama Tourist kazi hupati, labda cash in hand, ambazo waweza fanya wiki ukashangaa umepigwa au hakuna kipato, labda mwenye thread aje aseme ukweli..au wajuaayo haya mambo..
 
Nope mkuu, sitaki kwenda kuuza sura kule, kazi kazi ,sema vipi kazi anazopiga sister ziliniogopesha....kufanya usafi mochwari? Na mtu hapa alikuwa anapiga mzigo wa maana na master yake
 
Back
Top Bottom