witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,830
- 47,772
Umenifikirisha mkuu...ngoja nichukue gamba nisepe!Sasa mbona unajichelewesha kutimka, kachukue karatasi lako kurasini utimke
Umenifikirisha mkuu...ngoja nichukue gamba nisepe!Sasa mbona unajichelewesha kutimka, kachukue karatasi lako kurasini utimke
Huku Mkuu watu hawajali ngazi za elimu, ni Wanapiga kazi tu na haki za wafanyakazi zinazingatiwa bila kujali aina ya kazi. Lakini bongo shamba boy anafanya kazi bila mkataba na anaweza akadhulumiwa asifanye loloteNope mkuu, sitaki kwenda kuuza sura kule, kazi kazi ,sema vipi kazi anazopiga sister ziliniogopesha....kufanya usafi mochwari? Na mtu hapa alikuwa anapiga mzigo wa maana na master yake
Golden laneUmejuaje mkuu, sister angu anaishi mitaa ya Golden Lane, London, ananiambia niende ila hizo Kazi anazonitajia chaaa! Ngachoka!
Hiyo ya chumba laki ni sehemu gani hiyo?Kodi ya pango ni kama 100,000/=..Na ki kachumba kadogo, kenye meza, kabati, kitanda, choo mna share, jiko mna share..
Naona sister wauliza kila kitu, wataka kuja nini?!
Karibu utafute nawe..
Hapana kaka, mie alyways M-JapanVw beetle itakufaa
Tena hiyo bei poa mkuu..Hiyo ya chumba laki ni sehemu gani hiyo?
Au Liverpool
Then go for toyota yarisHapana kaka, mie alyways M-Japan
Ni kama bureTena hiyo bei poa mkuu..
Uzuri wenyeji wanadai huko kuna Wayahudi sana, wakubaguliwa kama sisi! Kasheshe umesikia wanavyowafanya Waafrika kule Israel!Umejuaje mkuu, sister angu anaishi mitaa ya Golden Lane, London, ananiambia niende ila hizo Kazi anazonitajia chaaa! Ngachoka!
Ubarikiwe wewe wa mjini..Weww jamaa mshamba sana!
Majini au maji ya kuoga?Ubarikiwe wewe wa mjini..
Yaani Mkuu hizi nchi ni ku "mind your business"Uzuri wenyeji wanadai huko kuna Wayahudi sana, wakubaguliwa kama sisi! Kasheshe umesikia wanavyowafanya Waafrika kule Israel!
Dada Huku its a man eat man/woman, or dog eat dog!
Hakuna ile ya ubinadamu kama home, I miss home sister...
Yote maisha sister, kwani wanaoosha maiti ni miti?! Ni kuamuwa tu..Nope mkuu, sitaki kwenda kuuza sura kule, kazi kazi ,sema vipi kazi anazopiga sister ziliniogopesha....kufanya usafi mochwari? Na mtu hapa alikuwa anapiga mzigo wa maana na master yake
Mkuu hii Karibu ya ukweli ukweli au ni ile Karibu yetu ya kiswahili, maana wengine hatutaniwi atiii[emoji4] [emoji4]Karibuni Mayfair London ndugu watanzania. Sky is the limit. Msinyanyasike na fikra potovu za ki CCM.
Mkuu wale huku wanafuata Madini yetu tu...sasa kama uko kuna kazi kiasi hicho kwa nini wanakuja huku na kutafuta kazi za kufanya