Mwl. niko Ughaibuni kuongeza Elimu, niliyoyaona..

Mkuu wale huku wanafuata Madini yetu tu...
Kifupi anachofanya JPM ni sawa, ila tunashangaaa inachukuwa muda raia kupata mafanikio, kama Mwl. wa wa biashara najuwa haya yanachukuwa muda, ila tatizo kaka hali ni mbaya, wananyambia wazazi, kwahili miezi kadhaa tu, ila anachofanya poa, tatizo matumizi kwenye serikali, wanatumia sana mkuuu, hii inamuangasha rais wetu, hata afanye nini...
 
Yah kweli mkuu hiyo nisawa nakupiga hatua 2 mbele unarudi 3 Nyuma au unatumia nguvu kubwa sana kubeba maji kwene pipa alafu limetoboka unafika nyumbani Maji hakuna kitu ambacho ni hatari sana kiuchumi
 
Yaani upweke kivipi mkuu?
kwenye nyanja zote, kule bwana watu wanapenda space, unaweza kuwa na jirani asitake hata kujua jina lako, japo milango yenu inafuatana. Yeye akiwa na mbwa wake tosha.. huku kwetu unaweza kutoka ukaingia lets say bar, mkakutana na washkaji tu mkapiga story kibao mkacheka na kuenjoy hadi mnaondoka hata majina hamjaulizana na maisha yanaenda..kule wanasema you are just a stranger, i dont talk to a stranger.. mvua ikinyesha kama huna mwavuli huwezi kuingia kwenye kibaraza cha mtu kujificha..itapigwa simu polisi fasta unasikia you are invading a private property.. yaani ni full ubinafsi kule.. kwenda kwa mtu lazma utoe taarifa si unasema mshkaji nilikuwa napita hapa nikaona nikupe hi..hakuna hilo.. ndo maana nikasema unaweza kuwa mpweke sana si sawa na huku
 
True, kuna jirani yangu hapa tuna share Jiko sometimes hata akikukuta jikoni hamna hata salamu, uzuri wake huku hakuna mambo ya umbea na unafiki mwingi kila mtu na 50 zake
 
Mungu akusaidie tu usiugue kwa sababu its very expensive to get sick there.
Ni Kweli, maana kumuona daktari tu ni kama 100,000 na hiyo ina ruzuku ya serikali otherwise ni kuanzia 200,000 kwenda juu. Bahati Nzuri bima za huku pia hazina ubabaishaji mwingi
 
Naomba nikaribishe na mm ughaibuni nije kuosha wazee miguu
Hutaosha vibabu miguu tu....utatemewa mikohozi na vizee vikorofi, vitakupiga kucha za hatari, utanyonya dushelele zao, uharo, matapishi n.k...hapo kibabu kinarun 97 yrs kimevuta mifegi mpaka koo likafunga[emoji23] [emoji23]

Mi nilipewa huo mchapo nikastagnant!
 
kwenye nyanja zote, kule bwana watu wanapenda space, unaweza kuwa na jirani asitake hata kujua jina lako, japo milango yenu inafuatana. Yeye akiwa na mbwa wake tosha.. huku kwetu unaweza kutoka ukaingia lets say bar, mkakutana na washkaji tu mkapiga story kibao mkacheka na kuenjoy hadi mnaondoka hata majina hamjaulizana na maisha yanaenda..kule wanasema you are just a stranger, i dont talk to a stranger.. mvua ikinyesha kama huna mwavuli huwezi kuingia kwenye kibaraza cha mtu kujificha..itapigwa simu polisi fasta unasikia you are invading a private property.. yaani ni full ubinafsi kule.. kwenda kwa mtu lazma utoe taarifa si unasema mshkaji nilikuwa napita hapa nikaona nikupe hi..hakuna hilo.. ndo maana nikasema unaweza kuwa mpweke sana si sawa na huku
Doooh!...maisha gani hayo ya kishetani!
 
True, kuna jirani yangu hapa tuna share Jiko sometimes hata akikukuta jikoni hamna hata salamu, uzuri wake huku hakuna mambo ya umbea na unafiki mwingi kila mtu na 50 zake
Mmmh mkuu...kumbe uko huko hongera!
 
Hivi jamaa si kasema anapokea like tshs 23000 per day? Ambayo kwa wiki ni 250000 na ambayo kwa mwezi ni 1m? Hizo milioni saba yy kazikokotoa wapi?
amesema ni 23,000 kwa saa moja, au 4000 kwa dakika.. 250,000 kwa siku..7,500,000 kwa mwezi
 
Back
Top Bottom