Mwl. niko Ughaibuni kuongeza Elimu, niliyoyaona..

Mwl. niko Ughaibuni kuongeza Elimu, niliyoyaona..

Ni part time work kaka, nafanya 20hrs per week, yaruhusiwa kwa foreign students, ila sababu ya shida ya hela, huwa nazidisha masaa, nasubiri wazee waniibukie, wenzangu wanadai ni nadra sana, sababu washenzi wanapenda kodi na wanapenda watu wafanye kazi...Kuweza kupata kazi una apply for National Insurance, nafikiri ni kama Green Card USA, basi waruhusiwa masaa hayo...
Ila naona wako wagumu kwenye mambo ya ku overstay, chuoni wanasisitiza sana swala hilo, wangejuwa tu!
Asante kwa ufafanuzi mkuu.
Kwahiyo sisi wametuacha mbali sana!
Acha tukomae na chaguzi za marudio
 
dah.... haya maisha noma sana. mkuu piga kazi, wenzetu wako siriaz sisi tunaendekeza ujinga ujinga usio na maana...
Wanapiga KAZI kwa sababu hizo kazi zina TIJA. So anapokuja mtu kukwambia piga kazi ndio msingi wa mafanikio ina-make sense (kwa huko). Hivi unafikiri kukiwa na mazingira hayo huku nani atakaa kijiweni? Unafikiri vijana wa Tz hawana spirit ya kazi? Kazi wanapiga SANA tu na fuatilia hata nyuzi za kilimo humu utaona watu wanavyojitahidi, lakini licha ya hayo HAKUNA mazingira rafiki. Mtu umekaa shambani miezi 6+ lakini huna hakika kama unachozalisha kitauzika & nobody cares wamekalia maneno tu na siasa za kipuuzi puuzi.
 
Uko sahihi..ila si lazma ukomae na hiyo yenye harufu kali.. zipo kazi nyingi najua huko si rahisi kupata kazi proffessional nimeishi zaidi ya miaka miwili nikiwa shule pia.. kuna kwenye kampuni za usafi, mashambani, migahawani nk.. kwa upweke kwa kweli hapo tumewashinda, huku kwetu tuna social life bwana..
Yaani upweke kivipi mkuu?
 
bado na kodi yao,usafir,bill ya umem nq maji,chakula,matumizi ya mtandao tv,simu navingnevyo keep in mind that
Hivi jamaa si kasema anapokea like tshs 23000 per day? Ambayo kwa wiki ni 250000 na ambayo kwa mwezi ni 1m? Hizo milioni saba yy kazikokotoa wapi?
 
Siyo kubwa, kama bongo tu, ila walinionya nilivyoingia chuo, kwamba ni heri niue mtu kuliko kutokulipa kodi, wao kodi ni kwenye kila kitu, ni DINI kwao..
Kama bongo? We unalipa kaa sh ngapi kwa mwezi?...umeme na Maji pia sh ngapi per month?
 
Ni part time work kaka, nafanya 20hrs per week, yaruhusiwa kwa foreign students, ila sababu ya shida ya hela, huwa nazidisha masaa, nasubiri wazee waniibukie, wenzangu wanadai ni nadra sana, sababu washenzi wanapenda kodi na wanapenda watu wafanye kazi...Kuweza kupata kazi una apply for National Insurance, nafikiri ni kama Green Card USA, basi waruhusiwa masaa hayo...
Ila naona wako wagumu kwenye mambo ya ku overstay, chuoni wanasisitiza sana swala hilo, wangejuwa tu!

Mwalimu, nikupe tu angalizo kwamba siku hizi wamelink hiyo NI number na hours worked na wapo strict na hiyo.

Ukiwa likizo piga masaa yote lakini wakati wa chuo jaribu kuepuka over 20hrs /Week.
 
bado na kodi yao,usafir,bill ya umem nq maji,chakula,matumizi ya mtandao tv,simu navingnevyo keep in mind that
Wanakuwa provided all the basic needs mkuu TENA FREE NA KAMPUNI WANAYOFANYIA KAZI.kwa hivyo labda chakula tu
 
Back
Top Bottom