Kwenye hayo makopo au anayosoma?chota maarifa ya kutosha ukirudi isaidie nchi yako
Nakushauri usirudi bongo.UK mkuu..
olee wakeeee arudi hana hata nguo.....250000x30 UNACHEZA MIL 7 NA LAKI TANO WEWE MWAKA TU BILLIONAIRE
hahaha nimechekaolee wakeeee arudi hana hata nguo.....
Mzee yani wewe ni "SNITCH" wa kiwango cha lami,umeshindwa nini kubonyeza home button ukatafuta pengine paku-comment?binafsi nilikuwa msomaji maana sikuwa na cha kuchangia ila sasa wewe imebidi nikujibu tu.Acha ushamba wewe......
asipoangalia tutampigia had hesabu ya gari litakalompendeza kwa mshahara wake [HASHTAG]#LAMBORGHINI[/HASHTAG] itamfaa zaidhahaha nimecheka
bado na kodi yao,usafir,bill ya umem nq maji,chakula,matumizi ya mtandao tv,simu navingnevyo keep in mind that250000x30 UNACHEZA MIL 7 NA LAKI TANO WEWE MWAKA TU BILLIONAIRE
Bado hajalipa kodi hajala hajahonga250000x30 UNACHEZA MIL 7 NA LAKI TANO WEWE MWAKA TU BILLIONAIRE
hivi madem wa kitasha nao huwa wanahongwa?Bado hajalipa kodi hajala hajahonga
umenichekesha sanaNchi na nje tofauti na Afrika ni nzuri kwa majengo,miundombinu na huduma za kijamii ila kwa suala zima la maisha kwa ujumla wake hasa chakula sijaona km Tanzania.
Kuna nchi moja nilienda nikakuta wanauza boga lipo kwenye fridge kwa thamani ya sh.25000 kidogo nitoke mbio ila nikaona noma kwa mwenyeji wng,ss kuja kulipika likawa uji halina ladha hata kidogo nikawaza hyo pesa kwa Tz inatumikaje kwa chakula