exburnny
Senior Member
- Jun 17, 2014
- 186
- 205
inategemea lakin maan kodi kwa wafanyakazi ambao sio wazawa ni kubwa san kwa wenzetuWanakuwa provided all the basic needs mkuu TENA FREE NA KAMPUNI WANAYOFANYIA KAZI.kwa hivyo labda chakula tu
inategemea lakin maan kodi kwa wafanyakazi ambao sio wazawa ni kubwa san kwa wenzetuWanakuwa provided all the basic needs mkuu TENA FREE NA KAMPUNI WANAYOFANYIA KAZI.kwa hivyo labda chakula tu
Anhaa hapo nimekuelewainategemea lakin maan kodi kwa wafanyakazi ambao sio wazawa ni kubwa san kwa wenzetu
Mkuu hapo kwenye "kandiga" tuko pamoja ila nawaza tu kwenye mziki wa kodi ya Kuingiza nyumbaniHahahahaha....Nguo siyo issue mkuu, swala ni cheti changu na kandinga (usimwambie mtu, taratibu)..Gari kwanza nyumba baadaye..
Huko huko kaka..hahahhaMkuu hapo kwenye "kandiga" tuko pamoja ila nawaza tu kwenye mziki wa kodi ya Kuingiza nyumbani
Karibu..Mkuu nami naomba uniunge...
23000 ni kwa saa Sio sikuHivi jamaa si kasema anapokea like tshs 23000 per day? Ambayo kwa wiki ni 250000 na ambayo kwa mwezi ni 1m? Hizo milioni saba yy kazikokotoa wapi?
Hata sijuwi kaka kwa hesabu za haraka haraka katakuwa kagari kadogo tu, kunitoa point A to B..Sina makuu, naenda na uwezo wangu boss..Ndiga gani mkuu
Nakanusha vikali mdau, nimejipeleka mwenyewe na kamkopo toka kwa mshua, kachukuwa title ya kiwanja kanipa mkwanja..Kazi kuukomboa boss..Kuna member alileta thread humu JF kwamba serikali hii imepeleka WASUKUMA pekee nje kusoma (scholarship) kutoka kanda ya ziwa nikadhani uongo kumbe sasa umekuja kutoa ushuhuda. Sawa tusiowasu k,um.a awamu hii maumivu.
Mdau una ushauri wa kufa mtu, nikirudi LAZIMA nikutafute..asante ndugu..Mwalimu, nikupe tu angalizo kwamba siku hizi wamelink hiyo NI number na hours worked na wapo strict na hiyo.
Ukiwa likizo piga masaa yote lakini wakati wa chuo jaribu kuepuka over 20hrs /Week.
Ila ni kazi kazi mkuu, lazima ukohoe kidogo ukitoka na mavazi kunikia! hahahahah, uzuri ma supermarket yana conditioners na sabuni za kufulia za kufa mtu..majebsmafuru MIMI NIMEKUSIFIA MKUU, ILA NIMESEMA INGEKUWA BONGO WANGEKUSHANGAA KWELI, SASA HAPO UNAPGA 250K PER DAY, HELA AMBAYO HATA UALIMU WAKO HULIPWI HYO KWA TZ
Umeme, gasi na Maji kama Alfu 15 each kwa wiki ...Kama bongo? We unalipa kaa sh ngapi kwa mwezi?...umeme na Maji pia sh ngapi per month?
Mkuu Komaa Mi huku Kwangu bado Najifunza lughaIla ni kazi kazi mkuu, lazima ukohoe kidogo ukitoka na mavazi kunikia! hahahahah, uzuri ma supermarket yana conditioners na sabuni za kufulia za kufa mtu..
Tutafika tu boss..🙂🙂🙂Asante kwa ufafanuzi mkuu.
Kwahiyo sisi wametuacha mbali sana!
Acha tukomae na chaguzi za marudio
Sasa mwalimu ukija huku kufundisha utaelekeza mambo hayo yakuokota mauchafu kama ndio vitu vya msingi kwako? Sidhani kama utakuja na jambo jipya ungebaki tu usome hapo SAUT kwenuKWA HYO MHADHIRI UMEGEUKA MUOKOTA MAKOPO. KULE BONGO WANGEKUNG'ONG'A MPK BAS. PGA KAZ MKUU
Kama watasikiliza na kukubali kaka, hukawii kuitwa mkoloni au kutaka kufanya wenzako watumwa...HahahahaFine chief,.me nikutakie kila lililo jema uzidi kuwa makini na kufanya yale yenye faida kwako na jamii yako(home) ili utuletee kujifunza na sisi huku kutoka kwako[emoji6]
Hahaha, ila sidhani kama unaelewa umuhimu wa RECYCLING mdau, this is big business now, rasilimali na maliasili karibu zinaisha Duniani kaka, binadamu tunafuja tulivyovikuta kwa fujo, anyway kila mtu na mtazamo wake..Sasa mwalimu ukija huku kufundisha utaelekeza mambo hayo yakuokota mauchafu kama ndio vitu vya msingi kwako? Sidhani kama utakuja na jambo jipya ungebaki tu usome hapo SAUT kwenu
Shukrani boss, ni £7.5 per hr23000 ni kwa saa Sio siku
Kwa wenzetu hiyo hela ni ndogo sana ukianza pangia matumizi na hili utusue lazima upige kazi kweli kweli.250000x30 UNACHEZA MIL 7 NA LAKI TANO WEWE MWAKA TU BILLIONAIRE