majebsmafuru
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 463
- 649
Mimi Mwl. wa Vyuo toka Kanda ya Ziwa, niko Ughaibuni sasa miezi 6 na nusu, nimekuja kuongeza Elimu kwenye fani yangu ya kufundisha Biashara.
Kwa kweli Ughaibuni ni Dunia tofauti kabisa na nyumbani, achana na kwetu Kanda ya Ziwa, hata Dar yaonekana kama kitongoji fulani kisicho na miundo mbinu, huduma kadhaa za raia.
Tukubali, au takatae, BADO TUKO NYUMA SANA SANA KAMA MIAKA 300!
Anyway, Chuoni kuko poa, malazi poa, pamoja na kwamba ni ya kujibana bana, baridi, na upweke wa hali ya juu, kwa kweli Diaspora wanahitaji pongezi za hali juu kuishi maisha haya.
Nimetafutafuta kazi, part time, kwenye Recycling Company, tunaokota vitu vya ku-recycle kama makopo, mifuko ya plastics na Residuals ambazo ni uchafu usiohitajika, haya yote yanaokotwa na kutupwa kwenye mifuko au bins kubwa zilizopo pembeni yetu.
Uchafu unaletwa kwenye belt, unazunguka kwetu wote siye, tunaokota huu uchafu wakuu kwa Targets, yaani kopo/plastics 50 kwa dakika! Si mchezo Ngosha.
Uzuri tumepewa kofi ngumu, boots ndefu na zenye chuma, suruali za plastics za hapo, vests za njano, earplugs sababu ya makelele na gloves ngumu, vyote hivi na kwa ajili ya kupiga kazi pale kwa nguvu na usalama.
Ila Mangosha, harufu! Harufu ni kali sana tokana na uchafu mbali mbali unaoletwa, sababu ni uchafu wa kila aina, kuanzia plastics, makopo, magazeti, maboksi, wanyama waliokufa, mikojo, mavi, pads, pampers zilizojaa mikojo na haja n.k. n.k.
Ni shughuli, nikamkumbuka JPM na Ilani yake ya [HASHTAG]#hapakazitu[/HASHTAG]!
Kwa kweli wenzetu wanapiga kazi Mangosha, wacha watuite "Shitholes" tu!
Kazi ni masaa 11, mapumziko lisaa, 2 days in, 2 days off, ila kama uko fit waweza fanya masaa utakayo, hata contracts na kujitoa kunyimwa masaa zaidi ushasaini, hawa jamaa ni "Aliens" kabisa...Wacha wawe na maendeleo kuliko sisi.
Mshahara ni kama 23,000/= kwa lisaa, kwahiyo kwa siku waweza kunja siyo chini ya 250,000/= kabla ya kodi, ni pesa nzuri, ila si mchezo.
NITAENDELEA KUWAPA TAARIFA MAISHA YANAVYOENDELEA HUKU...
WASALIMIENI WOTE HUKO...