Mwl. niko Ughaibuni kuongeza Elimu, niliyoyaona..

Mwl. niko Ughaibuni kuongeza Elimu, niliyoyaona..

Naona JPM kungemfaa huko, yeye anaimba, anafoka na kusisitiza [HASHTAG]#hapakazitu[/HASHTAG]..
Hayo maisha yakija hapa bongo naona story za vibamia na mabwawa zitaisha, watu watakuwa busy mno..
kabisa kabisa..
 
Mzee yani wewe ni "SNITCH" wa kiwango cha lami,umeshindwa nini kubonyeza home button ukatafuta pengine paku-comment?binafsi nilikuwa msomaji tu maana sikuwa na cha kuchangia ila sasa wewe imebidi nikujibu tu.
Umeona eehhh?! Wachangiaji wengine wanamakusudi sana aise, hawajuwi kuna wenzao wanataka kupata habari mambo yalivyo, asante kwa kumsahihisha..
 
Sasa mwalimu, unafahamu waweza kuja kuwa mmoja wa recycling masters wa hiyo kanda ya ziwa. Chukua ujuzi kuna makampuni nayakumbuka kama Biffa na Veolia ni makampuni yaloanzishwa na familia au mtu mmojammoja. Jitahidi uchukue kila aina ya hatua. Utakuja kunikumbuka.
Sawa kabisa mkuu, yaani wana mashine za kufa mtu, wana recycle white plastics hasa, tins, plastic bags....
Residual zote (uchafu uliobakia) unapelekwa ku-fill some areas around the Country..
They so advanced Chief, yaani hapa naandika paper nyingine kuhusu wao tu, ni yangu kwa faida yangu...
They so so advanced Chief..
 
Na hiyo ni moja tu ya maeneo ya recycling.

Kuna recycling ya plastic pekee na kuna ile ya takataka za karatasi kama vikombe vya kahawa kutoka Starbacks na Costa Caffe na maboksi ya aina mbalimbali.

Hii ya pili nayo ni biashara nzuri sana maana wewe unakuwa unapita kukusanya hizi takataka na unalipwa na sehemu ambapo wanakusanya.

Unaweza kutumia compactor au rasilimali watu.

Tukisema nchi yetu inaweza kuendelea inawezekana kabisa kwa masuala kama haya.

Lakini bila shaka unahitaji mtaji na msaada wa serikali hasa halmashauri ya eneo ulipo.
 
Na hiyo ni moja tu ya maeneo ya recycling. Kuna recycling ya plastic pekee na kuna ile ya takataka za karatasi kama vikombe vya kahawa kutoka Starbacks na Costa Caffe na maboksi ya aina mbalimbali. Hii ya pili nayo ni biashara nzuri sana maana wewe unakuwa unapita kukusanya hizi takataka na unalipwa na sehemu ambapo wanakusanya. Unaweza kutumia compactor au rasilimali watu. Tukisema nchi yetu inaweza kuendela inawzekana kabisa kwa masuala kama haya.Lakini bila shaka unahitaji mtaji na msaada wa serikali hasa halmashauri ya eneo ulipo.
Hiyo niliisahau chief, jamaa wanasoma sana magazeti, vitabu, catalogues n.k. nazo wanazifanya kama ulivyosema, ila sisi hatuokote, tuonaokota nilivyokwambia na Residuals, hayo makaratasi, cardboards na boxes vinaenda straight kwenye shredders, halafu zawa compacted....Wana vi process vingi mno kwenye uchafu wao, washenzi acha watudharau tu mkuu..
 
Na hiyo ni moja tu ya maeneo ya recycling.

Kuna recycling ya plastic pekee na kuna ile ya takataka za karatasi kama vikombe vya kahawa kutoka Starbacks na Costa Caffe na maboksi ya aina mbalimbali.

Hii ya pili nayo ni biashara nzuri sana maana wewe unakuwa unapita kukusanya hizi takataka na unalipwa na sehemu ambapo wanakusanya.

Unaweza kutumia compactor au rasilimali watu.

Tukisema nchi yetu inaweza kuendela inawzekana kabisa kwa masuala kama haya.

Lakini bila shaka unahitaji mtaji na msaada wa serikali hasa halmashauri ya eneo ulipo.
Ni kweli kwamba nami naweza fanya hiyo biz, wacha nimalize chuo, nimalize ka research kwa kazi wafanyazo, baada ya hapo inshallah...
 
Umenipa hamasa Sana Mkuu, inamaana hata kuhang na smartphone, kuchungulia jf,wenzetu hawafanyi Kabisa au sio Mkuu?
 
Umenipa hamasa Sana Mkuu, inamaana hata kuhang na smartphone, kuchungulia jf,wenzetu hawafanyi Kabisa au sio Mkuu?
They still do bro, a lot, tena wao ni zaidi yetu sababu simu kwao ni kama part ya mwili wao...
Ila hapa job, haturuhusiwi, mpaka ukiwa break, baada ya hapo unazima unarudi job..
 
Ulipataje work permit? Au kazi unayoifanya work permit sio lazima?
Ni part time work kaka, nafanya 20hrs per week, yaruhusiwa kwa foreign students, ila sababu ya shida ya hela, huwa nazidisha masaa, nasubiri wazee waniibukie, wenzangu wanadai ni nadra sana, sababu washenzi wanapenda kodi na wanapenda watu wafanye kazi...Kuweza kupata kazi una apply for National Insurance, nafikiri ni kama Green Card USA, basi waruhusiwa masaa hayo...
Ila naona wako wagumu kwenye mambo ya ku overstay, chuoni wanasisitiza sana swala hilo, wangejuwa tu!
 
Back
Top Bottom