ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,860
Hiyo spirit ya kuokota uchafu ukirudi hme uendeleze usisubiri kulipwa
hahaaa muache muhadhiri apige kazi mkuu haya maisha ni mwendo wa no pain no gainKWA HYO MHADHIRI UMEGEUKA MUOKOTA MAKOPO. KULE BONGO WANGEKUNG'ONG'A MPK BAS. PGA KAZ MKUU
Kabisa mkuuSala na Kazi mkuu
Siyo yeye tu, hata wazazi wangu miaka ya 50 na 60 walipokuja kimasomo, na waliniambia hzi kazi wamepiga vigogo, Professors wakubwa tu, hata majina ninayo..Haya ndio maisha halisi na siyo wizi, ubabaishaji, ufisadi na kutokuwajibika..Cha kushangaza mbona hawakutulea mazingira haya Bongo?!!Hizo kazi alipiga sana dr mihogo na mkewe huko canada....
Asante mkuu..Acha ushamba wewe......
Ni hivyo au nikose hela ya kula na kulipa masomo, wewe ungefanya nini??!!KWA HYO MHADHIRI UMEGEUKA MUOKOTA MAKOPO. KULE BONGO WANGEKUNG'ONG'A MPK BAS. PGA KAZ MKUU
Na maendeleo mkuu wanayo aisee...!Kwani mkiambiwa maendeleo mnadhani ni kushinda jf kutetea wanasiasa nakusubiri maendeleo nyumbani
Haina noma tuwasiliane..Niunge nije niokote mauchafu hayo na mimi , maan degree yangu haina maana Tz
Mkuu hata hizo fikra unazo basi?! Mie sijao, kwahiyo nina nafasi ya kufanya hayo, ukirudi uko hoi, walala masaa 4, unafunguwa laptop uanze shule, au lecture/tutorial online..Ntafutie mchongo au demu wa kizungu nipate shavu fanya ivo mkuu ht vibibi tuonganishie kama wanaigeria asante
Inakuaje upweke kwani hamna marafiki au wafanyakazi wenzio au mda wote kila mtu bize??wanasema ukitaka upate marafiki haraka kule labda uwe mnywaji wa pombe ndo utapata marafiki haraka.Uko sahihi..ila si lazma ukomae na hiyo yenye harufu kali.. zipo kazi nyingi najua huko si rahisi kupata kazi proffessional nimeishi zaidi ya miaka miwili nikiwa shule pia.. kuna kwenye kampuni za usafi, mashambani, migahawani nk.. kwa upweke kwa kweli hapo tumewashinda, huku kwetu tuna social life bwana..
huko nchi gani mkuu mbona unaogopa kutuambia Ni nchi gani hupo
Ila hata hapa bongo makopo yanalipa sasa hivi kuliko hata mkulima wa mbaaziKWA HYO MHADHIRI UMEGEUKA MUOKOTA MAKOPO. KULE BONGO WANGEKUNG'ONG'A MPK BAS. PGA KAZ MKUU
Keshasema, yuko UK, vp mkuu unataka kumwalika achukue train aje kukusalimuhuko nchi gani mkuu mbona unaogopa kutuambia Ni nchi gani hupo
Nami mkuu...Haina noma tuwasiliane..
Unatamanisha, ila hapana mkuu..Hahahaha huo mshahara ni mkubwa kuliko wa taaluma yako huku home kweli sie ni shit hole country bora uzamie tcha
Asante mkuuKeshasema, yuko UK, vp mkuu unataka kumwalika achukue train aje kukusalimu
Hahahahaha, nimecheka kisukuma ile mbaya, asante mkuu..Ila hata hapa bongo makopo yanalipa sasa hivi kuliko hata mkulima wa mbaazi