Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,492
- 42,564
Hahahaha nimekutega kidogo umeshaingia kingi! Kima kweli wewe kumbe ni kondoo ya mwamposa to hell with you!Sisi Mtume wetu anafundisha namna human spirit inavyoweza kufanya Kazi kwenye human soul.
Tena anasema, haipendezi hata kidogo human soul KUSHINDWA kuwa connected na human spirit.
Ndio maana maneno yake yana nguvu sana na mamlaka ya kuponya, kutenda miujiza ....na tutaendelea kujazana kwake....sio wakristo tu au waislam ...yani ni watu wa dini zote....we ushaona wahi kitu ya namna hii?
Mwakasege mbona kashindwa kuwaconvise madhehebu mengine wamfuate?
Sema AYAYAYA
Wengi wenu mnanuka dhiki na ufukara mno...


