Mwizi wa gari akamatwa Kimara

Mwizi wa gari akamatwa Kimara

Mtu anae watetea hawa ujue hayajamkuta wesubiri siku yakukute ndio upime kama unaweza kuvumilia hawa wezi, mtu umejinyima umenunua usafiriwako than mtuanakuja kukupa shida for nothing.

Suala kubwa hapa ni kwamba mnauthibitisho kwa kiasi gani hadi muamue kuuwa??, ndio maana kuna police na mahakama, mnaweza kuwa mmeuwa mtu asiye!, hivi kusikia mtu anauwa hivi kwakuwa tu ana kisasi na aliyemuuwa? Acheni jamani, wanaweza kkuta hata wewe.
 
Alihukumiwa mahakama gani? Je unajua kuwa kweli yeye alihusika? Je kama gari ni la kwake aliazimwa na wahalifu wamekwenda kulifanyia uhalifu?

Ivi Watanganyika watapata lini elimu, nani kawaroga nyinyi? Hebu someni kama hukuwahi kusoma shule japo vitabu vya dini.

Dini ipi imesema Mwizi auliwe sisi waislamu dini yetu inasema mwizi akatwe mkono anaposibitiswa mkono wa kulia na akiendelea wa kushoto je hapo ataweza kuiba tena?

Tusiwe wepesi wa kutoa roho za watu kwa mambo mepesi nchii hii itapata lana kubwa na majanga hayaishi, mbona mmeshaua sana lakini bado watu wanaiba?
Maskini,huwenda sio mwizi,tuacheni kuchukuwa sheria mkononi.Ni kosa kubwa kutoa roho ya mtu.Na hata kama ni mwizi,hakuna sheria ya kumuua mwizi.
 
Ni Nani Aliwaagiza Mwizi Akatwe Mkono? Ni Mungu Huyu Huyu Au Mnaye mungu wenu?maana Mungu Ninayemjua Mimi Kupitia Imani Si Katili Kiasi Cha Kuagiza Mtu Akatwe Mikono,mzinifu Auawe Kwa Mawe,dini Yenu Bila Kuficha Ni Ya Shetani Kabisa,ila Kwa Ujinga Wenu Hamjui,ni Bora Nikawa Mpagan Kama Kiranga Kuliko Kuwa Muislam,shetani Aue Na Atese,eti Na Mungu Naye Atende Kama Shetani,what A Nonsense Religion???
Shule zafunguliwa kesho tutapumzika,na nyinyi watoto wa shule.
 
Alihukumiwa mahakama gani? Je unajua kuwa kweli yeye alihusika? Je kama gari ni la kwake aliazimwa na wahalifu wamekwenda kulifanyia uhalifu?

Ivi Watanganyika watapata lini elimu, nani kawaroga nyinyi? Hebu someni kama hukuwahi kusoma shule japo vitabu vya dini.

Dini ipi imesema Mwizi auliwe sisi waislamu dini yetu inasema mwizi akatwe mkono anaposibitiswa mkono wa kulia na akiendelea wa kushoto je hapo ataweza kuiba tena?

Tusiwe wepesi wa kutoa roho za watu kwa mambo mepesi nchii hii itapata lana kubwa na majanga hayaishi, mbona mmeshaua sana lakini bado watu wanaiba?

mkuu nimeibiwa juzi juzi hapa vitu vya mamilioni lakini siungi mkono mwizi kuuawa....huu ni unyama,kuwa mwizi hakumuondolei haki zake kama binadamu,huu ni unyama na sijui utaisha lini.....LABDA tena LABDA kama ni jambazi kakuingilia na mapanga unaweza kujitetea kwa namna yoyote ile lakini mmmemshika then mnamfunga kama na kumuua!!! huu ni unyama
 
Suala kubwa hapa ni kwamba mnauthibitisho kwa kiasi gani hadi muamue kuuwa??, ndio maana kuna police na mahakama, mnaweza kuwa mmeuwa mtu asiye!, hivi kusikia mtu anauwa hivi kwakuwa tu ana kisasi na aliyemuuwa? Acheni jamani, wanaweza kkuta hata wewe.

Kwanza naomba kukuuliza nduguyangu Kimbisi, umewahi kuidiwa? Kama jibu ni ndio nikituchenye dhamani sawa na gari?. Je, ulihisi maumivukiasigani!!. Hawa watu sazingine wanakuwa na uwezo wakujitetea Mara wanapofikishwa polisi, maranyingine hutumia hata pesa ili kukwepa adhabu. I known the bitterness after Robin.
 
Tanzania kisiwa cha amani:biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin:.

Sijui huyu naye wamemuua kwa bunduki......?
 
Mtu anae watetea hawa ujue hayajamkuta wesubiri siku yakukute ndio upime kama unaweza kuvumilia hawa wezi, mtu umejinyima umenunua usafiriwako than mtuanakuja kukupa shida for nothing.
mnyama k nimeibiwa juzi juzi hapa vitu vya mamilion nimeumia sana roho lakini nashukuru Mungu niko hai nitatafuta vingine,lakini siungi mkono mwizi kuuawa,tena kama huyu ambae amekamatwa....vitu vidogo na magari yanatafutwa huwezi kulinganisha na uhai wa mtu acheni hii tabia ya kinyama for once tuwe kama binadamu na kuacha haya mambo ya kinyama.
 
Last edited by a moderator:
Tanzania kisiwa cha amani:biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin:.

Sijui huyu naye wamemuua kwa bunduki......?

bro huku tz watu wamekuwa kama wanyama na wanatetea unyama kwa nguvu zote....kibaka wa simu anachomwa moto,anapigwa matofali mbele ya macho ya watoto wadogo sasa hawa watoto wanajifunza nini??
 
hamjawahi kuibiwa nyie...wakiingia ndani huwa hawasubiri mahakama ithibitishe kama wewe ndo mmiliki wa mali...wanakushughurikia tu!!na wawaue sana...ningekuwepo ningeshiriki!

una uhakika kuwa ni mwizi?na hata kama ni mwizi na uhakika unao,je ni halali kuchukua sheria mkononi na kujifanya mshtaki,hakimu na mtimiliza hukumu?
 
bro huku tz watu wamekuwa kama wanyama na wanatetea unyama kwa nguvu zote....kibaka wa simu anachomwa moto,anapigwa matofali mbele ya macho ya watoto wadogo sasa hawa watoto wanajifunza nini??

Na hayo mauaji hufanyika hadharani na wakati mwingine huwa ni mchana kweupe lakini hakuna ambaye huchukuliwa hatua kisheria.

Hiyo ndo Tanzania yetu aka kisiwa cha amani aka nchi ambayo watu wake huthamini "sana" undugu.
 
Hiligar, ni LA rafikiyangu kaibiwa. Tegeta wilkitatu zilizopita
 
mnyama k nimeibiwa juzi juzi hapa vitu vya mamilion nimeumia sana roho lakini nashukuru Mungu niko hai nitatafuta vingine,lakini siungi mkono mwizi kuuawa,tena kama huyu ambae amekamatwa....vitu vidogo na magari yanatafutwa huwezi kulinganisha na uhai wa mtu acheni hii tabia ya kinyama for once tuwe kama binadamu na kuacha haya mambo ya kinyama.

Walimvamia rafikiyangu wakamkatakata na kumuua just for one million, from that day, am taken them like animal. Rip my friend. Naweka wazi sinahuruma na mwizi.
 
Last edited by a moderator:
una uhakika kuwa ni mwizi?na hata kama ni mwizi na uhakika unao,je ni halali kuchukua sheria mkononi na kujifanya mshtaki,hakimu na mtimiliza hukumu?
ulishawahi kuvamiwa na majambazi?!walikufanya nini...waliwafanya nini watoto wako wa kike au hata mkeo...
 
Ni Nani Aliwaagiza Mwizi Akatwe Mkono? Ni Mungu Huyu Huyu Au Mnaye mungu wenu?maana Mungu Ninayemjua Mimi Kupitia Imani Si Katili Kiasi Cha Kuagiza Mtu Akatwe Mikono,mzinifu Auawe Kwa Mawe,dini Yenu Bila Kuficha Ni Ya Shetani Kabisa,ila Kwa Ujinga Wenu Hamjui,ni Bora Nikawa Mpagan Kama Kiranga Kuliko Kuwa Muislam,shetani Aue Na Atese,eti Na Mungu Naye Atende Kama Shetani,what A Nonsense Religion???

Wiseboy hujui ulisemalo wala ulitendalo, kama wewe ni mpagani goahead ila uislamu umemaliza na kumfunga jela mwizi akitoka anaendelea kazi yake kama kawaida ujuzi hauzeeki
 
Alihukumiwa mahakama gani? Je unajua kuwa kweli yeye alihusika? Je kama gari ni la kwake aliazimwa na wahalifu wamekwenda kulifanyia uhalifu?

Ivi Watanganyika watapata lini elimu, nani kawaroga nyinyi? Hebu someni kama hukuwahi kusoma shule japo vitabu vya dini.

Dini ipi imesema Mwizi auliwe sisi waislamu dini yetu inasema mwizi akatwe mkono anaposibitiswa mkono wa kulia na akiendelea wa kushoto je hapo ataweza kuiba tena?

Tusiwe wepesi wa kutoa roho za watu kwa mambo mepesi nchii hii itapata lana kubwa na majanga hayaishi, mbona mmeshaua sana lakini bado watu wanaiba?
Kamuulize aliyepitiwa na Panya road atakupa majibu
 
Yote pumba kasoro mistari ya mwisho "tusiwe wepesi kutoa roho za watu.. wameuliwa wengi lakini watu bado wanaiba".
 
pia waizi wa wake za watu wawatende Kama walivyomtenda huyo, ila waizi wawaume za watu wahurumiwe wafinywe masikio tuu Kama wa Escrow
 
Back
Top Bottom