Mwizi wa gari akamatwa Kimara

Mwizi wa gari akamatwa Kimara

Huyu Mtuhumiwa hajauawa na Wananchi Polisi wamefika eneo la tukio wanatalaumu kwa kuwapa kazi kwann tusingemmaliza?

Jamaa amekuja hom tunapopaki gari akabomoa kioo cha gari akatoa lock akafungua Power Window akaona haitoshi akaamia kwenye Steering akavunja Lock Switch anafungua ili aconnect nyaya gari iwake kabla hajafanikiwa jirani katustua kwa simu kwamba kuna movement ya watu huku nje ebu chungulieni kutoka na kuzunguka mtu katoka nduki tukamuungia akanza kuturushia mawe huku tunapiga kelele then tukamzingira tukamkamata kumkamata tunamkuta na Power Window mfukoni na bisibisi, T Handle na Pliers kumuuliza mlikuwa mnafanya nn kwenye gari eti Boss wao aliwatuma hiyo gari aina ya PRADO.
Gari yenyewe ni mpaka hata miezi miwili haina toka inunuliwe.

Je ingekuwa ww ungemfanyeje? ????
hongereni sana kwa kazi nzuri
 
Hapa kuna utata , wizi umefanyika siku 2 au 3 zilizopita , alafu leo wameona gari wana wauwa watu waliomo?! Kuna huhakika kuwa huyo aliyekuwa ndani ndo mwizi mwenyewe?

soma vizuri uelewe....usikurupuke
 
Mtu kama halijamfika anaona rahisi sana kwa mwenzie,ivi kweli ukamate mwizi umpeleke police hujafika hata nyumbani kwako police wamesha mtoa ukiuliza ametolewa kwa dhamana,na kesi inakwenda mahakamani mwizi haji sasa naelewa mtu akichukua sheria mkononi mmalizane...........
 
Ni halali kuchukua sheria mkononi? Well, hakuna sheria nchi hii, watu wengi wanaamini hivyo, ndio maana wanawaua, na nadhani ni njia ya kuwa deter majambazi, waogope ogope angalau. Watu wanasikia Mwanasheria Mkuu mwizi, sasa wasichukue sheria mkononi wakachukue wapi?

Tatizo ni, je, tunajuaje jamaa mwizi? Vipi kama alitekwa na gari lake?
Kwa kweli hii ni dilema kubwa.

Miaka kadhaa iliyopita (late 90s), niliwahi kudhaniwa nimeiba kitu cha mtu, isingekuwa kupewa muda wa kujieleza na aliyedhani kaibiwa kupata muda wa kutafuta kitu chake, pengine nisingekuwa naandika hapa. Kwa mazingira yalivyokuwa ilikuwa ni sawa kwa aliyedhani kaibiwa kunishuku mimi (hata ningekuwa mimi ndio yeye,pengine ningefikiri kama yeye!). Lakini kwa sababu ya kupewa muda wa kujieleza/kusikilizwa, ilitoa nafasi kwa kitu kilichodhaniwa kimeibiwa kupatikana (na actually aliyedhani ameibiwa kuomba radhi maana ukweli ni kwamba aliki misplace hicho kitu kwa uzembe wake mwenyewe).

Niwahi pia kudhania wengine wameiba au kunitendea isivyo, lakini baada ya muda napata ukweli tofauti na nilivyoamini kabla.

Nimeibiwa pia mara kadhaa na kwa kweli nachukia wezi hasa katika nchi yetu ambapo utawala wa sheria sio effective kwa kiasi cha kuridhisha.

Kuna umuhimu mkubwa wa kusikiliza kabla ya kuadhibu, kulipiza kisasi n.k na hasa kama hiyo inapelekea mtu kupoteza uhai wake. Kufanya maamuzi kwa hisia ni mbaya sana.
 
Niliwahi kuona mmoja kauliwa kwa switch za power windows tu.

Hawakomi jamani?

Anaonesha kijana mtanashati na ana personality kuliko hata Yahaya wa Lady JD, kumbe mwizi.

Lakini Watanzania mjizuwie kuchukuwa hasira za kuwaua hawa wezi, watieni adabu kwa kuwakata mkono tu, ili wanapoonekana inakuwa ni fundisho kwa wengine.
 
Huyu Mtuhumiwa hajauawa na Wananchi Polisi wamefika eneo la tukio wanatalaumu kwa kuwapa kazi kwann tusingemmaliza?

Jamaa amekuja hom tunapopaki gari akabomoa kioo cha gari akatoa lock akafungua Power Window akaona haitoshi akaamia kwenye Steering akavunja Lock Switch anafungua ili aconnect nyaya gari iwake kabla hajafanikiwa jirani katustua kwa simu kwamba kuna movement ya watu huku nje ebu chungulieni kutoka na kuzunguka mtu katoka nduki tukamuungia akanza kuturushia mawe huku tunapiga kelele then tukamzingira tukamkamata kumkamata tunamkuta na Power Window mfukoni na bisibisi, T Handle na Pliers kumuuliza mlikuwa mnafanya nn kwenye gari eti Boss wao aliwatuma hiyo gari aina ya PRADO.
Gari yenyewe ni mpaka hata miezi miwili haina toka inunuliwe.

Je ingekuwa ww ungemfanyeje? ????

Kiongozi sasa umeeleweka, wadau walikuwa hawajapata maelezo ya kujitosheleza angalau kama haya. Hapa inaonyesha kweli ushahidi ya kwamba jamaa ni mwizi na hajasingiziwa. Usiwalaumu wadau, katika thread yako kule ju hakukuwa na maelezo yaliyoshiba kama haya. Ni sahihi kabisa mngemmaliza tu kwa ushahidi huo huo.Poleni sana wahanga wa huo wizi.
 
una uhakika kuwa ni mwizi?na hata kama ni mwizi na uhakika unao,je ni halali kuchukua sheria mkononi na kujifanya mshtaki,hakimu na mtimiliza hukumu?

Sijui hao wanaoua watajisikiaje wakijua kuwa pengine huyo hakuwa mwizi. Matukio haya yanadhihirisha jinsi binadamu hasa wa nchi hii walivyo WAOVU, kama mtu mumemkamata kwa nini sheria isichukue mkondo wake?
 
hizo namba zimelipiwa tra annual road licence shs 170,000 ikiwa ni gari chini ya cc 1500, hiyo ni Rav 4 ilitakiwa ionyeshe 230,000 hivyo hizo namba ni za bandia kwenye hiyo gari kwani rav 4 ni zaidi ya cc1500, (T423DAA) police ideal na huyo jamaa kwa details pia waende kwa MANJIS LOGISTICS wawahoji watoe maelezo namba ya gari yao kutumika isivyo halali kama hawakuhusika.

Asante sana kaka kwa taarifa yako tumezifanyia kazi na Polisi wamebaini kwamba zile namba T 423 DAA sio za gari hiyo bali ni namba feki
 
Alihukumiwa mahakama gani? Je unajua kuwa kweli yeye alihusika? Je kama gari ni la kwake aliazimwa na wahalifu wamekwenda kulifanyia uhalifu?

Ivi Watanganyika watapata lini elimu, nani kawaroga nyinyi? Hebu someni kama hukuwahi kusoma shule japo vitabu vya dini.

Dini ipi imesema Mwizi auliwe sisi waislamu dini yetu inasema mwizi akatwe mkono anaposibitiswa mkono wa kulia na akiendelea wa kushoto je hapo ataweza kuiba tena?

Tusiwe wepesi wa kutoa roho za watu kwa mambo mepesi nchii hii itapata lana kubwa na majanga hayaishi, mbona mmeshaua sana lakini bado watu wanaiba?

Wewe inaonyesha haijapata kutokea hata siku moja ukaibiwa hata Tsh. 400/= ya nauli.

Ukishaibwa huwezi kuwa na huruma na hawa watu.

Ukitaka waende Polisi hatimaye Mahakamani utashangaa baada ya wiki yupo mitaani tena kwa hasira anawatafuta nyie mliomuharibia dili lake. Yaani hapo "AMA ZAKO, AmA ZAKe"
Hakika katika maisha yangu namchukia Mwizi / Jambazi na mchawi tu. Sina huruma nao.

Dawa yao ni kuwamaliza tu na siyo kufuata sheria kama tunavyodhania, watatoka tu na ndio maana haishi mitaani kwani tunawapeleka isha wanarudia tena baada ya muda mfpi.

PIGA UA KABISa

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
nilikuwa sipigi mwizi ila nimevamiwa siku ya mwaka mpya nina hasira nao yaani walikuwa wanataka kuniua kabisa ,sasa unategemea nikiona mwizi anapigwaa sinitakuwa tu nafadhalii manunuzi yote ya petroli ya kuwachoma
kwa kifupi hawa jamaa wanatia hasira yaaani mali unatafuta kwa jasho hao wanachukua kiulaini kabisa na maisha yangu wanayahatarisha
chomaaaaaaaaaaaaaaa hawaa hawana maana
 
Ninalaani kitendo cha kumuua mtu wakati mmemkamata na hana uwezo wowote wa kuwadhuru.

Hivi ni mahakama gani imemhukumu kuwa ni mwizi?

Na hao waliomuua, wanauhakika gani kwamba kukutwa kwake hata kama yuko na wezi naye ni mwiiz?

Mara ngapi watu wanakodishwa na watu kuwasaidia usafiri ukizingatia hali ngumu ya maisha?

Mara ngapi watu wanapewa lift halafu mtoa lift anasema, anapitia sehemu anashguhuli kabla ya kuendelea na safari?

Acheni kabisa kumwaga damu za watu hivyo. Mnatengeneza laana kwa mikono yenu.

Ninyi mnadani kwa nini wenziye walikimbia yeye akabaki?

Mtasema nini juu ya damu yake huyu mtu, ikiwa alibaki kwa kuwa hakuwa akifahamu mpango wa hao wengine?

Damu za watu wasioa na hatia zitalia juu ya ardhi ya Tanzania na nchi italaaniwa.

Ninawambea watoto wenu ninyi mliomuua mtu bila kuhukumiwa wala kupewa nafasi ya kusikilizwa, kwamba gadhabu ya Mungu isije kuwaka juu yao.

Nanyi watanzania mnaofurahia mauaji ya watu bila trials, naomba muungame nia hizo ovu mbele za Mungu. La sivyo, msije mkashangaa mabalaa yatakayowaandama kuanzia sasa. Amani itakuwa mbali nanyi.

Mungu hapendi umwagaji damu za watu kwa kuwa damu ni uhai na uhai unatoka kwa Mungu pekee.

Acheni kabisa dhambi na ukatili huo.

Naomba Mungu kwa ajili ya mimi na uzao wangu, pamoja na watu wote wanaochukia uovu huu, na wanaotubu na kuacha Mungu awarehemu, ili atakapoipiga nchi kwa gadhabu yake,, sisi aturehemu. Tusiwe na sehemu katika mapigo hayo.
Hivi wewe umewahi kuibiwa kitu ulichoangaikia sana kukipata?
 
Huyu Mtuhumiwa hajauawa na Wananchi Polisi wamefika eneo la tukio wanatalaumu kwa kuwapa kazi kwann tusingemmaliza?

Jamaa amekuja hom tunapopaki gari akabomoa kioo cha gari akatoa lock akafungua Power Window akaona haitoshi akaamia kwenye Steering akavunja Lock Switch anafungua ili aconnect nyaya gari iwake kabla hajafanikiwa jirani katustua kwa simu kwamba kuna movement ya watu huku nje ebu chungulieni kutoka na kuzunguka mtu katoka nduki tukamuungia akanza kuturushia mawe huku tunapiga kelele then tukamzingira tukamkamata kumkamata tunamkuta na Power Window mfukoni na bisibisi, T Handle na Pliers kumuuliza mlikuwa mnafanya nn kwenye gari eti Boss wao aliwatuma hiyo gari aina ya PRADO.
Gari yenyewe ni mpaka hata miezi miwili haina toka inunuliwe.

Je ingekuwa ww ungemfanyeje? ????
Kwa kweli hawa jamaa wanakera sana! na hasira zangu zimeanza upyaaa! Japo nilishaanza kusahau.Mwaka jana mwezi wa 10 hawa jamaa,walinifanyia kitu kibaya sana,
Nimepaki kigari changu,Rav4,wamekuja usiku wachukua power window zote,side mirrors zote,redio, pamoja na control box!!
Hata mimi ningemwona sidhani kama ningemkamata nikampeleka polisi! Nahisi ningeanza na kumgawana kwanza!!
ILA TUNASHAURIWA TUSIUE!!
 
Hapa kuna utata , wizi umefanyika siku 2 au 3 zilizopita , alafu leo wameona gari wana wauwa watu waliomo?! Kuna huhakika kuwa huyo aliyekuwa ndani ndo mwizi mwenyewe?

Majuzi wameiba NOAH sehemu fulani panaitwa Rift Valley na kabla ya hapo waliiba maeneo ya Golani pia NOAH
Jana ndo wakaja stop over kuiba Prado ndo tumewakamata

Na kwa masikio yangu pale polisi mbezi huyu mwizi baada ya kubanwa kataja idadi ya magari 8 na sehemu walizokwisha kuiba hayo magari na mwenzie mmoja kakamatwa naye jana mchana

Sasa ww sijui unatetea nn hapo?
 
Ninalaani kitendo cha kumuua mtu wakati mmemkamata na hana uwezo wowote wa kuwadhuru.

Hivi ni mahakama gani imemhukumu kuwa ni mwizi?

Na hao waliomuua, wanauhakika gani kwamba kukutwa kwake hata kama yuko na wezi naye ni mwiiz?

Mara ngapi watu wanakodishwa na watu kuwasaidia usafiri ukizingatia hali ngumu ya maisha?

Mara ngapi watu wanapewa lift halafu mtoa lift anasema, anapitia sehemu anashguhuli kabla ya kuendelea na safari?

Acheni kabisa kumwaga damu za watu hivyo. Mnatengeneza laana kwa mikono yenu.

Ninyi mnadani kwa nini wenziye walikimbia yeye akabaki?

Mtasema nini juu ya damu yake huyu mtu, ikiwa alibaki kwa kuwa hakuwa akifahamu mpango wa hao wengine?

Damu za watu wasioa na hatia zitalia juu ya ardhi ya Tanzania na nchi italaaniwa.

Ninawambea watoto wenu ninyi mliomuua mtu bila kuhukumiwa wala kupewa nafasi ya kusikilizwa, kwamba gadhabu ya Mungu isije kuwaka juu yao.

Nanyi watanzania mnaofurahia mauaji ya watu bila trials, naomba muungame nia hizo ovu mbele za Mungu. La sivyo, msije mkashangaa mabalaa yatakayowaandama kuanzia sasa. Amani itakuwa mbali nanyi.

Mungu hapendi umwagaji damu za watu kwa kuwa damu ni uhai na uhai unatoka kwa Mungu pekee.

Acheni kabisa dhambi na ukatili huo.

Naomba Mungu kwa ajili ya mimi na uzao wangu, pamoja na watu wote wanaochukia uovu huu, na wanaotubu na kuacha Mungu awarehemu, ili atakapoipiga nchi kwa gadhabu yake,, sisi aturehemu. Tusiwe na sehemu katika mapigo hayo.

Niliwahi mkamata mwizi nyumbani kwangu nikampeleka polisi, wenyewe wakaanza kunilaumu eeti nawapelekea ili nini? Si ningemuua halafu niwaitie maiti? Polisi hawataki kufanya kazi za kiuchunguzi na kutoa haki ndio chanzo cha Haya yote
 
Kuna siku moja tena nilipita sehemu wananchi wakawa wamekamata mwizi. Nilipiga simu polisi, na hawkuchelewa wakafika eneo la tukio. Ajabu badala ya kumchukua mtuhumiwa wao, walianza kuwalaumu wananchi kwa nini hawajamuua. Mzee mmoja akamjibu yule askari "muue wewe".

Polisi walitakiwa wawachukue hawa majizi, wapeleleze ili wapate kujua mitandao mingine ya uharifu na hata namna ya kuzuia uhalifu kabla haujatokea.

Lakini wameaa kama walevi wa kande wakisubiri kuua waandamanaji!.

Niliwahi mkamata mwizi nyumbani kwangu nikampeleka polisi, wenyewe wakaanza kunilaumu eeti nawapelekea ili nini? Si ningemuua halafu niwaitie maiti? Polisi hawataki kufanya kazi za kiuchunguzi na kutoa haki ndio chanzo cha Haya yote
 
Semeni ivoivo nimewahi kuibiwa, au sijawahi kuibiwa nichokiamini ndicho ninachokisema lakini kama kuna siku nitamiliki silaha nchi hii naona na mimi nitahukumiwa kunyongwa kwa mauaji nitakayoyafanya bila ya kiasi kwa ujinga wenu, nitahakikisha nikiwa na gari langu nina risasi zisizopungua 50, Tatizo ujinga wa Watanganyika huwezi hata kuupima sijawahi kuona sehemu yoyote.

Unaweza kuona mtu kapata ajali anavamiwa na kupigwa, kuchomwa moto gari lake, bila hata ya aibu na kumuibiya kila kitu na vifaa vya gari vyote.

Ipo siku tutaweza kuyakomesha haya, eti unajiita binadamu wewe ni binadamu au mnyama? Nyinyi ni wadudu
 
Ninalaani kitendo cha kumuua mtu wakati mmemkamata na hana uwezo wowote wa kuwadhuru.

Hivi ni mahakama gani imemhukumu kuwa ni mwizi?

Na hao waliomuua, wanauhakika gani kwamba kukutwa kwake hata kama yuko na wezi naye ni mwiiz?

Mara ngapi watu wanakodishwa na watu kuwasaidia usafiri ukizingatia hali ngumu ya maisha?

Mara ngapi watu wanapewa lift halafu mtoa lift anasema, anapitia sehemu anashguhuli kabla ya kuendelea na safari?

Acheni kabisa kumwaga damu za watu hivyo. Mnatengeneza laana kwa mikono yenu.

Ninyi mnadani kwa nini wenziye walikimbia yeye akabaki?

Mtasema nini juu ya damu yake huyu mtu, ikiwa alibaki kwa kuwa hakuwa akifahamu mpango wa hao wengine?

Damu za watu wasioa na hatia zitalia juu ya ardhi ya Tanzania na nchi italaaniwa.

Ninawambea watoto wenu ninyi mliomuua mtu bila kuhukumiwa wala kupewa nafasi ya kusikilizwa, kwamba gadhabu ya Mungu isije kuwaka juu yao.

Nanyi watanzania mnaofurahia mauaji ya watu bila trials, naomba muungame nia hizo ovu mbele za Mungu. La sivyo, msije mkashangaa mabalaa yatakayowaandama kuanzia sasa. Amani itakuwa mbali nanyi.

Mungu hapendi umwagaji damu za watu kwa kuwa damu ni uhai na uhai unatoka kwa Mungu pekee.

Acheni kabisa dhambi na ukatili huo.

Naomba Mungu kwa ajili ya mimi na uzao wangu, pamoja na watu wote wanaochukia uovu huu, na wanaotubu na kuacha Mungu awarehemu, ili atakapoipiga nchi kwa gadhabu yake,, sisi aturehemu. Tusiwe na sehemu katika mapigo hayo.

dah wosia huu wangeupata alshabab wallah Somalia ingekuwa nchi salama ya kuishi
 
Majuzi wameiba NOAH sehemu fulani panaitwa Rift Valley na kabla ya hapo waliiba maeneo ya Golani pia NOAH
Jana ndo wakaja stop over kuiba Prado ndo tumewakamata

Na kwa masikio yangu pale polisi mbezi huyu mwizi baada ya kubanwa kataja idadi ya magari 8 na sehemu walizokwisha kuiba hayo magari na mwenzie mmoja kakamatwa naye jana mchana

Sasa ww sijui unatetea nn hapo?
Kunawakati mwingine mtu anaongea alafu ulitafakari akili yake utadhani Mtoto au kinda la njiwa.. ivi kunamtu asiyejua sheria inataka nini kuhusu mhalifu? Ivi kunamtu asiyejua kuwa polisi sasa wameendekeza rushwa? Tuseme ukweli sheria Kwa hapa Tanzania iliwekwa Kwa-ajili ya wasioweza kujimudu kiuchumi na wasio na mtetezi... sitawapongeza Kwa kumuua mwizi maana kuua haijaruhusiwa katika vikao vyetu dini na mafundisho ya kiroho. Ila ninawasifu Kwa kuchukua hatua dhidi ya huyo mwizi angalau mlitimiza wajibu wenu kama olivyotakikana.
 
Ni Nani Aliwaagiza Mwizi Akatwe Mkono? Ni Mungu Huyu Huyu Au Mnaye mungu wenu?maana Mungu Ninayemjua Mimi Kupitia Imani Si Katili Kiasi Cha Kuagiza Mtu Akatwe Mikono,mzinifu Auawe Kwa Mawe,dini Yenu Bila Kuficha Ni Ya Shetani Kabisa,ila Kwa Ujinga Wenu Hamjui,ni Bora Nikawa Mpagan Kama Kiranga Kuliko Kuwa Muislam,shetani Aue Na Atese,eti Na Mungu Naye Atende Kama Shetani,what A Nonsense Religion???

Hahahhahah sasa mbona we Mungu wako kashindwa kujitetea alivyovalishwa Nepi na kupigiliwa MISUMARI ya ugoko na utosini.
 
Back
Top Bottom