Mwizi wa gari akamatwa Kimara

Mwizi wa gari akamatwa Kimara

Alihukumiwa mahakama gani? Je unajua kuwa kweli yeye alihusika? Je kama gari ni la kwake aliazimwa na wahalifu wamekwenda kulifanyia uhalifu?

Ivi Watanganyika watapata lini elimu, nani kawaroga nyinyi? Hebu someni kama hukuwahi kusoma shule japo vitabu vya dini.

Dini ipi imesema Mwizi auliwe sisi waislamu dini yetu inasema mwizi akatwe mkono anaposibitiswa mkono wa kulia na akiendelea wa kushoto je hapo ataweza kuiba tena?

Tusiwe wepesi wa kutoa roho za watu kwa mambo mepesi nchii hii itapata lana kubwa na majanga hayaishi, mbona mmeshaua sana lakini bado watu wanaiba?

Ninalaani kitendo cha kumuua mtu wakati mmemkamata na hana uwezo wowote wa kuwadhuru.

Hivi ni mahakama gani imemhukumu kuwa ni mwizi?

Na hao waliomuua, wanauhakika gani kwamba kukutwa kwake hata kama yuko na wezi naye ni mwiiz?

Mara ngapi watu wanakodishwa na watu kuwasaidia usafiri ukizingatia hali ngumu ya maisha?

Mara ngapi watu wanapewa lift halafu mtoa lift anasema, anapitia sehemu anashguhuli kabla ya kuendelea na safari?

Acheni kabisa kumwaga damu za watu hivyo. Mnatengeneza laana kwa mikono yenu.

Ninyi mnadani kwa nini wenziye walikimbia yeye akabaki?

Mtasema nini juu ya damu yake huyu mtu, ikiwa alibaki kwa kuwa hakuwa akifahamu mpango wa hao wengine?

Damu za watu wasioa na hatia zitalia juu ya ardhi ya Tanzania na nchi italaaniwa.

Ninawambea watoto wenu ninyi mliomuua mtu bila kuhukumiwa wala kupewa nafasi ya kusikilizwa, kwamba gadhabu ya Mungu isije kuwaka juu yao.

Nanyi watanzania mnaofurahia mauaji ya watu bila trials, naomba muungame nia hizo ovu mbele za Mungu. La sivyo, msije mkashangaa mabalaa yatakayowaandama kuanzia sasa. Amani itakuwa mbali nanyi.

Mungu hapendi umwagaji damu za watu kwa kuwa damu ni uhai na uhai unatoka kwa Mungu pekee.

Acheni kabisa dhambi na ukatili huo.

Naomba Mungu kwa ajili ya mimi na uzao wangu, pamoja na watu wote wanaochukia uovu huu, na wanaotubu na kuacha Mungu awarehemu, ili atakapoipiga nchi kwa gadhabu yake,, sisi aturehemu. Tusiwe na sehemu katika mapigo hayo.

Inaonekana wakuu...hamjawahi kuibiwa...tatizo ni kwamba hao wezi wanapokuibia huwa hawana mahojiano...na wewe...
 
Suala kubwa hapa ni kwamba mnauthibitisho kwa kiasi gani hadi muamue kuuwa??, ndio maana kuna police na mahakama, mnaweza kuwa mmeuwa mtu asiye!, hivi kusikia mtu anauwa hivi kwakuwa tu ana kisasi na aliyemuuwa? Acheni jamani, wanaweza kkuta hata wewe.

Policcm wanapindisha ukweli mahakama inamwachia mhalifu. So what? Rule of law haipo
 
Suala kubwa hapa ni kwamba mnauthibitisho kwa kiasi gani hadi muamue kuuwa??, ndio maana kuna police na mahakama, mnaweza kuwa mmeuwa mtu asiye!, hivi kusikia mtu anauwa hivi kwakuwa tu ana kisasi na aliyemuuwa? Acheni jamani, wanaweza kkuta hata wewe.

Polisi nao wanaua,hata Jaji Manento anashangaa mauaj ya Mwangosi
 
Mna hakika kwamba kauawa, labda kazimia tu!!! Mleta uzi kamilisha taarifa.
 
Kwa kweli wezi wauawe tu tumechoka wote mnaotetea kula kulala hamjui uchungu wa kutafuta
 
Kama ni kuibiwa na hata kuvamiwa na kuumizwa na majambazi hayo yote nimepitia,lakini suala la kuua mtu siwezi afiki kamwe.Kweli tunatofautiana sana kama unaweza kufurahia kuua mtu kwa uvumi tu,wewe unamatatizo makubwa.

Mi pia siafiki kuwaua watuhumiwa lakini tatizo ni vyombo vinavyosimamia kutoa haki ikiwa ni pamoja na Polisi na Mahakama zinazowakatisha watu tamaa kwa kuwageuza wahalifu na waathirika miradi ya kujitajirishia! Mhalifu anakamatwa na vielelezo vyoote akishafikishwa Polisi anatoa rushwa na kuachiliwa! Si hivyo tu anawatambia mtamtambua! Vivyo hivyo Mahakamani Mahakimu wanapokea rushwa kote kote kwa mlalamikaji na mtuhumiwa kisha mtuhumiwa kuachiwa au kupewa adhabu ya kishkajishkaji! Hali hii itakoma pale nchi itakqpojijengea mfumo wa utendaji wa haki kwenye vyombo vya kutoa haki.
 
una uhakika kuwa ni mwizi?na hata kama ni mwizi na uhakika unao,je ni halali kuchukua sheria
Ni halali kuchukua sheria mkononi? Well, hakuna sheria nchi hii, watu wengi wanaamini hivyo, ndio maana wanawaua, na nadhani ni njia ya kuwa deter majambazi, waogope ogope angalau. Watu wanasikia Mwanasheria Mkuu mwizi, sasa wasichukue sheria mkononi wakachukue wapi?

Tatizo ni, je, tunajuaje jamaa mwizi? Vipi kama alitekwa na gari lake?
 
nina huruma sana na uhai wa mtu....nina jua roho ya mtu ikitoka hairudi tena....bt huwez amini ninao ndugu wawili...ni wajomba zangu....toka mwaka 1990 ni wezi na majambaz wa kutupwa..wauuwaji wa roho za watu...wanalinga sana eti kila gereza wanalijua....kwa hiyo watakuibia...watakujeruhi ...watakutishia maneno....ukiwapeleka gerezani baada ya miez 3 wapo uraian....je watu kama hawa wachukuliwe hatua gani???? police wanawajua....sio kwamba hawawajui.....sometime let dirty people b dimished.
 
Nafikiri wezi wanaofaa kukatwa mikono ni wale vibaka wa kuku ,wasimu ila wale wezi ambao huwa kama wanaenda vitani hawa si wa kukatwa mikono wala miguu wala kufikishwa kwenye vyombo vya sheria huko wataenda kunenepa tu na kujiimarisha wakitoka wanaingia mitaani na mbinu mpya ,hawa ni kuchinjwa tu. Mwizi kama anaenda vitani aloo amaze zake ama zako ,kwanini nikimpatia sawa nisimmalize ,tafakarini sana wezi wanaotumia silaha si wa kuwafuga.
 
Huyu Mwizi hajafa wala nn na mpaka Polisi wanakuja anaongea na wameondoka naye anaongea anawataja wenzie.

Sasa sijui nyie mnaoropoka kwamba ameuawa au tuna ushahidi gani kwamba ni mwizi wakati tumekuta amefungua Power Window na Lock ya Switch kavunja anataka awashe gari coz hakuwa na funguo, na amekimbizwa mpaka amekamatwa na alikuwa na T Handle, Screw Driver mbili Flat na Star, Nyundo, Sime, Kisu, Pliers, hata kama ni ww ungefanyeje? ??
 
Ninalaani kitendo cha kumuua mtu wakati mmemkamata na hana uwezo wowote wa kuwadhuru.

Hivi ni mahakama gani imemhukumu kuwa ni mwizi?

Na hao waliomuua, wanauhakika gani kwamba kukutwa kwake hata kama yuko na wezi naye ni mwiiz?

Mara ngapi watu wanakodishwa na watu kuwasaidia usafiri ukizingatia hali ngumu ya maisha?

Mara ngapi watu wanapewa lift halafu mtoa lift anasema, anapitia sehemu anashguhuli kabla ya kuendelea na safari?

Acheni kabisa kumwaga damu za watu hivyo. Mnatengeneza laana kwa mikono yenu.

Ninyi mnadani kwa nini wenziye walikimbia yeye akabaki?

Mtasema nini juu ya damu yake huyu mtu, ikiwa alibaki kwa kuwa hakuwa akifahamu mpango wa hao wengine?

Damu za watu wasioa na hatia zitalia juu ya ardhi ya Tanzania na nchi italaaniwa.

Ninawambea watoto wenu ninyi mliomuua mtu bila kuhukumiwa wala kupewa nafasi ya kusikilizwa, kwamba gadhabu ya Mungu isije kuwaka juu yao.

Nanyi watanzania mnaofurahia mauaji ya watu bila trials, naomba muungame nia hizo ovu mbele za Mungu. La sivyo, msije mkashangaa mabalaa yatakayowaandama kuanzia sasa. Amani itakuwa mbali nanyi.

Mungu hapendi umwagaji damu za watu kwa kuwa damu ni uhai na uhai unatoka kwa Mungu pekee.

Acheni kabisa dhambi na ukatili huo.

Naomba Mungu kwa ajili ya mimi na uzao wangu, pamoja na watu wote wanaochukia uovu huu, na wanaotubu na kuacha Mungu awarehemu, ili atakapoipiga nchi kwa gadhabu yake,, sisi aturehemu. Tusiwe na sehemu katika mapigo hayo.

Huyu Mtuhumiwa hajauawa na Wananchi Polisi wamefika eneo la tukio wanatalaumu kwa kuwapa kazi kwann tusingemmaliza?

Jamaa amekuja hom tunapopaki gari akabomoa kioo cha gari akatoa lock akafungua Power Window akaona haitoshi akaamia kwenye Steering akavunja Lock Switch anafungua ili aconnect nyaya gari iwake kabla hajafanikiwa jirani katustua kwa simu kwamba kuna movement ya watu huku nje ebu chungulieni kutoka na kuzunguka mtu katoka nduki tukamuungia akanza kuturushia mawe huku tunapiga kelele then tukamzingira tukamkamata kumkamata tunamkuta na Power Window mfukoni na bisibisi, T Handle na Pliers kumuuliza mlikuwa mnafanya nn kwenye gari eti Boss wao aliwatuma hiyo gari aina ya PRADO.
Gari yenyewe ni mpaka hata miezi miwili haina toka inunuliwe.

Je ingekuwa ww ungemfanyeje? ????
 
Kaka huyu Jamaa hajafa, na mpaka kwenye Difenda alipanda mwenyewe naisi wengi wetu humu ndani hatujawahi kuibiwa ndo maana

Ni kweli ndugu yangu juzi kati kuna mama mjamzito aliburulwa na hawa jamaa, kwa kweli sina hamu nao kabisa ni washenzi na hawana utu pindi wanapodhamiria kuamisha umiliki wa kitu chochote toka kwako.
 
hizo namba za gari kama ni za halali sijui lakini usajili wa hizo namba umetolewa kwa gari inayomilikiwa na MANJIS LOGISTICS kutokana na kumbukumbu za TRA, nawasilisha.
 
hizo namba zimelipiwa tra annual road licence shs 170,000 ikiwa ni gari chini ya cc 1500, hiyo ni Rav 4 ilitakiwa ionyeshe 230,000 hivyo hizo namba ni za bandia kwenye hiyo gari kwani rav 4 ni zaidi ya cc1500, (T423DAA) police ideal na huyo jamaa kwa details pia waende kwa MANJIS LOGISTICS wawahoji watoe maelezo namba ya gari yao kutumika isivyo halali kama hawakuhusika.
 
Wametekeleza agizo la pinda... Liwalo naliwe, wapigwe tu.
 
hamjawahi kuibiwa nyie...wakiingia ndani huwa hawasubiri mahakama ithibitishe kama wewe ndo mmiliki wa mali...wanakushughurikia tu!!na wawaue sana...ningekuwepo ningeshiriki!

ukiona mtu anatetea wezi basi naye ni mwizi..
 
Hapa kuna utata , wizi umefanyika siku 2 au 3 zilizopita , alafu leo wameona gari wana wauwa watu waliomo?! Kuna huhakika kuwa huyo aliyekuwa ndani ndo mwizi mwenyewe?
 
Back
Top Bottom