MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,564
- 850
Katika mazingara ya vyama vingi vya siasa itakuwa vigumu candidate wa Kizanzibari kushinda/kukubalika bara.
kwenye mgawanyo kimkoa nafikiri ilipaswa afanye hivyo kumwacha Prof. Mwakyusa na kumwingiza Mwakyembe kipenzi cha watu. ukifuatilia yupo Mwandosya pia haingewezekana kuweka mawaziri watatu mkoa mmoja. just my thinking
Wanajim walisema January Makamba atapewa wizara , kapewa wizara ipi?
Baba yuko JF? hana sifa za kuwa Great Thinkerni baba yake ndiyo aliyesema.
Ni kweli kuteuliwa kwa Nahodha kuwa mbunge ni aidha:
a)Kumuandaa kugombea uraisi bara
b)Kupozwa kisiasa.
Mimi naegemea zaidi katika kupozwa kisiasa kwa maana kama kweli wange kuwa wana taka agombee uraisi 2015 sidhani kama ange jisumbua kugombea uraisi Zanzibar. Mimi nadhani hii ni indirect way ya "kumtunza" huko akiwa na shughuli maalumu.
Kuhusu Mzanzibar kugombea uraisi 2015 mimi nadhani huo ndiyo uta kuwa mtihani mkubwa wa CCM. Uchaguzi wa mwaka huu ushaonyesha kwamba zama za CCM kuwezi kusimamisha hata jiwe lika shindwa ume pitwa na wakati. Kwa hiyo wakimpa MZanzibar just for the sake of it bila huyo mtu kukubalika na Watanzania walio wengi wata aibika vibaya sana.
Ila wakuu mimi nina swali. Mnaonaji hili la waziri kiongozi (cheo ambacho ni kama waziri mkuu kwa upande wa visiwani) kuja kupewa uwaziri Muungano? Je hapo kapanda cheo au kashuka?
Nahodha hatumtaki tz aende huko huko mji mkongwe
Kuhusu Mzanzibar kugombea uraisi 2015 mimi nadhani huo ndiyo uta kuwa mtihani mkubwa wa CCM. Uchaguzi wa mwaka huu ushaonyesha kwamba zama za CCM kuwezi kusimamisha hata jiwe lika shindwa ume pitwa na wakati. Kwa hiyo wakimpa MZanzibar just for the sake of it bila huyo mtu kukubalika na Watanzania walio wengi wata aibika vibaya sana.B]
Jamani Mkwere amekosewa nini na Mh John Jumanne Malecela? Mbona mama Anne Kilango sijamwona kwenye baraza ama ndo anampa ukuu wa Wilaya?
Ama kweli hata watu makini kama ninyi hamjui kwamba mama Anne Kilango ni mweupe ni uwezo wake tu wakufoka.... du!!!! nchi yetu bwana.
khee hata rage alikuwa anategemea apewe uwziri basi TZ in kazi jamani .kheee
na huyo makongoro unaiiiiiibu tuuu, atakuwa waziri kamili lini, ona angalau Nchimbi amekuwa waziri kamili. hata hivyo tusubiri mabadiliko atamteua Maua Daftari kuwa naibu waziri tenaNdugu wana JF nimelisikiliza baraza la mawaziri kwa umakini mkubwa hivi Nahodha na balozi Swedi kagasheki nani alipaswa kuwa waziri wa mambo yandani?
je,Sitta na mwakyembe ndo wamenyamazishwa??
je vijana walioingia wanatosha???